EXCLUSIVE: MTAALAMU WA REDIO ATAJA MTAJI WA KUANZISHA REDIO TANZANIA "MNARA TU MILIONI 150"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 17 апр 2024

Комментарии • 299

  • @buberwarugaiganisa5190
    @buberwarugaiganisa5190 Месяц назад +18

    Chuma kama Chuma hicho na ni boss wangu siku zote. Muambie Mr.Jackson I do appreciate him always.

  • @isaacjosephjoseph2733
    @isaacjosephjoseph2733 Месяц назад +33

    Aisee hii kitu nilikuwaga najiuliza sana sana kuhusu gharama za ufunguzi wa radio 📻. Sasa nimeelewa naweza anzasha namimi hata ya mkowa mmoja aisee au miwili hivi.❤❤❤❤🙏

    • @millardayoTZA
      @millardayoTZA  Месяц назад +17

      all the best Joseph !!

    • @itstwinshi2179
      @itstwinshi2179 Месяц назад +7

      ​​@@millardayoTZA Kaka Millard shukrani kwa hii content! naomba utuletee na gharama za kufungua TV station!

    • @RamadhaniMwenyemvua-oi8ku
      @RamadhaniMwenyemvua-oi8ku Месяц назад +5

      Ndio maan nasemega milard ayo uko pekeako tz

  • @ProDJayOnDecks
    @ProDJayOnDecks Месяц назад +12

    Nipo nafanya kazi radio jamaa kaongea mambo ya msingi sana...ukisikia radio inasikika hewani ujue kuna pesa imewekwa si ya mawazo na mwenye kituo kakubali yote kupata faida mapema au kurun kwa hasara kwa muda mrefu.. Mfano mdogo tu gharama za umeme sisi mnarani pekee kila siku 1 humalizika units 56 mpaka 64 za Tanesco.. studio units 24 zinatumika siku 1 na nusu.... Na hapa tunasikika mikoa 4 kwa transmitter ya 1KW

  • @johnmwandu2116
    @johnmwandu2116 Месяц назад +20

    Millard umeuliza maswali ya msingi Sana, yaan umeuliza kumwakilisha mtu ambaye hajui kabisa chochote kuhusu radio, hongeraaa

  • @milindiibrahim8285
    @milindiibrahim8285 Месяц назад +4

    mimi ni Ingenier Congo sehemu panaitwa uvira, tumemupandishiya mbunge wa apo na kumukabizi radio yake , ime coast 120.000$ ila ni radio ya kawaida .

  • @amisamaurid1882
    @amisamaurid1882 Месяц назад +26

    Alikiba walikua wanamchukulia poa xana ndomana wengi hawaamini macho Yao mm namuombea Aishi miaka mingi mtaona mengi❤❤❤❤

    • @mtumeananiasjohachim8760
      @mtumeananiasjohachim8760 Месяц назад +2

      Nani alikuwa anamchukulia poa bro, aje tumsute

    • @malianonicass7029
      @malianonicass7029 Месяц назад +3

      ​@@mtumeananiasjohachim8760 😂😂 kwa kweli aje tumsute nani

    • @savageemperor2569
      @savageemperor2569 Месяц назад +1

      hakuna mtu alikuwa anamchukulia poa msanii ameimba toka zamani

    • @FettyMsuya-iw8sy
      @FettyMsuya-iw8sy Месяц назад

      Kabisa

    • @assuatemanuel8785
      @assuatemanuel8785 Месяц назад

      Uyou amepankua tu, Alikiba ana redio moja tu dar és salam, uweze kumlinganisha na Diamondi Platnumz, acheni ubueke

  • @arthurmakuluni4433
    @arthurmakuluni4433 Месяц назад +5

    Ni kitu kizuri sana kwakweli brother Millard

  • @allygoodboytzsdoneintanzan3970
    @allygoodboytzsdoneintanzan3970 Месяц назад +6

    Kumbe pesa ndogo sana kwenye Hesabu zangu hapa nikiwa na billion 2.5 nafunguwa nchi nzima mm mwakani

    • @GeorgeAkasha-zx2rj
      @GeorgeAkasha-zx2rj Месяц назад +2

      Kaka ukiwa na mill 734 kwa sasa unamiliki radio ya masafa karibu nchi nzima.

  • @user-kd6qq3fh7w
    @user-kd6qq3fh7w Месяц назад +3

    Safi sana blue wa kishua mr cowndown umereta majibu ya swali la necta

  • @magomakabanja480
    @magomakabanja480 Месяц назад +3

    Ningeomba
    Wasilinganishwe Kati ya Diamond Plz na Alikiba
    Maana Wote ni Wamba
    Maana Wote wana Redio na Media Wanazo na Pesa Wanazo na Wanajiweza na Kiba Ataeneza Redio Tanzania Nzima Insha'allah Kila la Kheri Kwa Wasanii Wetyu Pendwa Simba na Mfame

  • @user-zw1vz7or8v
    @user-zw1vz7or8v Месяц назад +2

    Follow from kenya

  • @robertkisasa1346
    @robertkisasa1346 Месяц назад +7

    Duh kweli Diamond n Kiba wanashahili heshim😂😂😂sio kwa hesabu hizo duh hizo hela zinarudije 500M+

  • @EmanuelShayo-ke2hn
    @EmanuelShayo-ke2hn Месяц назад

    Ni memwelewa vizuri sana na faida itapatikanaje

  • @silassaitoti7689
    @silassaitoti7689 Месяц назад +8

    Kva 50 kwenye mnara ni uongo ,20kva inatosha kabisa ndio nafungaga kwenye minara 😂😂😂

  • @ybmtaakwamtaaofficial3415
    @ybmtaakwamtaaofficial3415 Месяц назад +4

    Natamani Sana kuwa na radio

  • @mlamytz
    @mlamytz Месяц назад +1

    Noma sana

  • @JohnChedego
    @JohnChedego Месяц назад +12

    Diamond platnumz,,,ashavuka huko muda sana ❤❤❤

    • @JannatTahmid
      @JannatTahmid Месяц назад +1

      Lkn Daimond Hana ata radio,sio yake ile mbona Kuna mama mmoja hivi ndo anamiliki

    • @PrinceBonnyTz8
      @PrinceBonnyTz8 Месяц назад +1

      ​@@JannatTahmid😂😂

    • @lovelovetv
      @lovelovetv Месяц назад +2

      Je wewe umevuka au ni baba yako uyo 😂😂😂 pumbavu

    • @PrinceBonnyTz8
      @PrinceBonnyTz8 Месяц назад +1

      @@lovelovetv Huyu hata Kuvuka korongo bado labda makorongo ya madem 😂😂😂😂

    • @waltermfikwa4361
      @waltermfikwa4361 Месяц назад

      Kuna kitu wa Tz washamba kukielewa, Cha kwanza mnakurupuka kucomment ushabiki, badala ya kutumia uelewa, coz kila mtu anamawazo yke na anamipango yke, maendeleo sio km mashindano kila mtu anafakiw kw wakat wake, na km mawazo bas kla mtu anamawazo yke na ayatimize Baad ya muda gan, so kutangulia sio kwmb ndo mtu anaakir sana au anapesa sana hyo Haina maana hiyo hata kidogo... Hvyo tumia uelewa wa akiri na WA kujua jambo msiwe mnatumia ushabiki mtabaki kuw mazuzu hvyo hvyo.....

  • @kawingasimkoko1391
    @kawingasimkoko1391 Месяц назад +19

    Kweli usimzanie mtu alikiba ame pigaje pigaje mbona mkimya sana kumbe ana ma hela

    • @hoseanobocka7140
      @hoseanobocka7140 Месяц назад +3

      Kwani Alkiba amewaonesha hati miliki ya redio au mnaongea tu Sasa hivi hakuna tajiri anaetaka kufanya biashara yake 100% watu wanaweka share zao

    • @elizabethmasitsa6537
      @elizabethmasitsa6537 Месяц назад

      ​@@hoseanobocka7140bt he is the biggest shareholder wa hiyo radio

    • @halimahalima1488
      @halimahalima1488 Месяц назад

      @@hoseanobocka7140 it's true

    • @mustaphahassan589
      @mustaphahassan589 Месяц назад

      @@hoseanobocka7140 kwani hawezi kuwa na hiyo pesa?

  • @user-en1ci8jk7v
    @user-en1ci8jk7v 29 дней назад

    Alikiba nitajiri wahatari mumpe mahuwa yake🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤

  • @VitusEmmanuel-pe3yi
    @VitusEmmanuel-pe3yi Месяц назад +10

    Dah xina neno kwahil inabid mtu ajipange

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY Месяц назад +6

    Kufungua redio siyo gharama
    Kubwa imezidi million 900 tu
    Ngoma inakuwa tayl imewaka

  • @user-ij6eo6pq6z
    @user-ij6eo6pq6z Месяц назад +21

    Alikiba msani tajili sana

  • @AkramFlavour
    @AkramFlavour Месяц назад +1

    Alikiba ni mnyama

  • @braystuskibassa3842
    @braystuskibassa3842 Месяц назад +8

    Ndo vile imeisha hiyo

  • @Paplick9
    @Paplick9 Месяц назад +6

    Diamond is a don 🙌🙌🙌🙌🙌🙌

  • @ibrahkartel9778
    @ibrahkartel9778 Месяц назад

    Aisee ni hatarii kumbe clouds wanajitahid kusikika mikoa yote hongereni bwana 👏👏 mimi nilichukulia poa

  • @beniardajuna2580
    @beniardajuna2580 Месяц назад +5

    Sasa millard acha nisomeshe watoti niachane na radio maana nikujtafutia mawazo mbingun

  • @abasilihundu200
    @abasilihundu200 Месяц назад +11

    Jamaa amekimeza kihaya

  • @ElishaSolomoni-kc4zk
    @ElishaSolomoni-kc4zk Месяц назад +1

    Napita tu

  • @super_boy_tz
    @super_boy_tz Месяц назад

    Huyo dada nampenda sana kiukweli NIMEJALIBU kukaa kimya lkn daah ❤

    • @daudiayubu4464
      @daudiayubu4464 Месяц назад

      Unampenda wapi we sema umemtamani tu hakuna cha kumpenda wala nini

  • @mnazitv405
    @mnazitv405 Месяц назад +12

    Mnazi fm tumetumia m 300 imetosha

  • @vi3ayo1622
    @vi3ayo1622 Месяц назад +19

    Ela ndogo sana na mim naanzisha yangu😂😂

  • @nsuriitv2468
    @nsuriitv2468 Месяц назад +2

    Je swala la mapato likoje???

  • @user-zh5lc4in9u
    @user-zh5lc4in9u Месяц назад +1

    Ndoto yangu kuja kufanya kazi ayoTv kaka miradi nione mkuuu

  • @ivantompoo3420
    @ivantompoo3420 Месяц назад +6

    Haya mnae sema king hana hela vyote anavyo

    • @user-uo8xw9kr4b
      @user-uo8xw9kr4b Месяц назад +2

      Kwani pia wanakopa kuanzisha biashara kisha unalipa taratib bora uwe na dhaman yakueleweka au mkashare na mtu mwengne pia ni uaminif wenu tu.

  • @RashidKauka
    @RashidKauka Месяц назад +4

    Ayyo mjanja sana ,Mimi naiona radio ya ayyyo 2027 haifiki

    • @GuzuraGuzura
      @GuzuraGuzura Месяц назад +1

      Soon tutaisikia ayo fm, na ayo tv

  • @Kudonjoshow
    @Kudonjoshow Месяц назад

    Tanzania is very expensive to start radio station but Kenya iyonikupesha watu jamani mbona sio kitu kubwa vile mnasema

  • @GuzuraGuzura
    @GuzuraGuzura Месяц назад +5

    Safi sana kaka, tunaomba pia utuambie mtaji wa ufaao kufungua petrol station.
    Utakuwa umetufaa sana pia.

    • @donkhan6841
      @donkhan6841 Месяц назад +1

      Minimum 300M

    • @GuzuraGuzura
      @GuzuraGuzura Месяц назад

      @@donkhan6841 OK safi sana mkuu, asante

    • @GeorgeAkasha-zx2rj
      @GeorgeAkasha-zx2rj Месяц назад

      ​@@donkhan6841Hata mill 90 unafungua tu mkuu kwa pump mbili ukitoa eneo jengo na ujenzi

  • @ahmedkhator3968
    @ahmedkhator3968 Месяц назад +4

    Ayo unaisibir nn huanzishi ya kwako

  • @magomakabanja480
    @magomakabanja480 Месяц назад +1

    Kiukweli Mwanzo ni Mgum Alikiba Atafika Kama Alivyo Fika Diamond Plz
    Maana Hata Diamond Alianzia Chini Mpaka Kufika Tanzania Nzima Radio Inasikilizika

  • @mrsinia3064
    @mrsinia3064 Месяц назад +1

    Duuh! noma Sana hapo ukute platinum ana share na mtu mwingine si kwa huo mpunga aisee🤔🤔

  • @saeedmagoda9651
    @saeedmagoda9651 Месяц назад +4

    Uyu naye hamna kitu hap yaan umeambiwa jumla ww unaanza kuchambua HAPA HAMNA MALI KABSA

  • @ishengomamlangila4341
    @ishengomamlangila4341 Месяц назад +1

    Nakuulila kyoma

  • @halimahalima1488
    @halimahalima1488 Месяц назад +4

    Maokoto yanaitajika hasaaa

  • @user-vb2nc5vn7q
    @user-vb2nc5vn7q Месяц назад +2

    Mililioni 300 matirio,mnara ni milion 150 mjengo milion 40 na mlion 45 janereta mimi nimepata milion 540 ila kuna vitu inaendelea duh

  • @mtafyatv
    @mtafyatv Месяц назад +1

    Zaidi ya B1 hapo

  • @kissysimbaa2350
    @kissysimbaa2350 Месяц назад

    mzee kaeleza vizuri but hajaeleza k modern but yupo good

  • @kapotei
    @kapotei Месяц назад +1

    Huyu Ally K. ni hatar sana yaan hana sofa sifa ye anafanya mambo mdogo mdogo hatak mbwembwe hana mayowe

  • @pesaspy_tv
    @pesaspy_tv Месяц назад +23

    Huyu jamaa anataka kusema kuanzisha radio ni zaidi ya billion 1😂😂😂😂

  • @ZakariaMachibula
    @ZakariaMachibula Месяц назад +2

    daah

  • @zephaniazacharia519
    @zephaniazacharia519 Месяц назад +1

    Kumbe ela ya nyanya

    • @waltermfikwa4361
      @waltermfikwa4361 Месяц назад

      Kajisachi kwenye utupu uone km unaweza.....😂😂😂😂😂

  • @sebastiansappy5327
    @sebastiansappy5327 Месяц назад +12

    @millardayo nakuona unafungua radio mpya

    • @millardayoTZA
      @millardayoTZA  Месяц назад +6

      au sio 😃 asante sana kwa imani hiyo

    • @elvisoscar9912
      @elvisoscar9912 Месяц назад

      ​@@millardayoTZAna Mimi nitakuwepo pale kwenye kipindi cha today's discussion asubui 😂

  • @elvisoscar9912
    @elvisoscar9912 Месяц назад +1

    Kuhusu radio station kuanzisha akuna noma pesa yake ni ghalama nafuu kiasi vifaa unanunua uk shida ni leseni na jinsi ya kuweza kuiendesha radio yako sababu sipo aina nyingi za radio station ila ya biashala kama clouds efm Crown fm zinatakiwa kuendesha kwa pesa kubwa sana na auwez wekeza peke yako lzm yawepo na makampuni mengine makubwa kuna radio zinasilizwa tu wilaya nyingi mkoa nyingine mikoa kazaa na nyingine nchi nzima ila radio yako iende mtaani wana wasikilize na upate matangazo ni lazima uwe na contents ubunifu njoo na kiti wenzako awana jamii ikikubali radio yako ishatoboa we utakuwa ni mtu wa kupokea matangazo na kula pesa za makampuni makubwa kama tigo Airtel bank's nk

  • @harunamdogo19
    @harunamdogo19 Месяц назад +1

    Vp kuhusu faida..!wamiliki wa redio wanatengeneza vipi faida..???

  • @michaelminja
    @michaelminja Месяц назад

    Kuna redio used ipo kwenye hali nzuri made in italy inauzwa milioni 25.

  • @hamidamussa-sy4fm
    @hamidamussa-sy4fm Месяц назад +1

    Unataka kufungua redio nini ayo tv

  • @LilyWembo-up3qq
    @LilyWembo-up3qq Месяц назад +2

    Ase mnatudanganya hajafunguwa radio yeye ilo tunalijuwa yeye nibarozi waio radio munatudanganya asee

  • @peterrogathe5756
    @peterrogathe5756 Месяц назад

    Shikamoo kiba.

  • @user-ij6eo6pq6z
    @user-ij6eo6pq6z Месяц назад +60

    Alikiba ni msani mkubwa na tajili tz na Africa mashariki.yeye ni namba moja

  • @RobertChacha-hb9re
    @RobertChacha-hb9re Месяц назад +2

    Million 700 na watu wako kwenye mabilion mzee kwa kiba ni pesa ndogo saana

  • @mohamedshariffchanja8724
    @mohamedshariffchanja8724 Месяц назад

    50kva ni ya studio

  • @TujuzeTv
    @TujuzeTv Месяц назад +2

    Millard Ayo ipo siku utamiliki Redio na TV trust me . Alafu uwaajiri sisi ambao hautuishi Tanzania 🇹🇿 ili tushirikiane 🙏🙏🙏

  • @gaspergasper9830
    @gaspergasper9830 Месяц назад +2

    😂SIO KWAMBA KING KIBA HANA PESA ANAZO SANA LAKIN HANA AKILI YA kujuwa azifanyie nini SIO MBUNIFI na ataendelea kuburuzwa NA Diamond simba apewe heshima yake wcb 🔊🔊for life 🥰

    • @BakariMohammed-sr9kd
      @BakariMohammed-sr9kd Месяц назад +1

      Acha ushamba

    • @DattiKassim
      @DattiKassim Месяц назад +1

      Jidanganye

    • @gaspergasper9830
      @gaspergasper9830 Месяц назад

      @@DattiKassim sasa kwanini asubir SIMBA aanzishe lebo nayeye afate yupogo nyuma sana alafu ilitakiwa SIMBA ajifunze kwa kiba lakin kiba ushamba na maringo kama demu atashika mkia 😂labda SIMBA afe na SIMBA akifa niamini kiba atakuwa Rei alivyo kufa kanumba hazingatiwi 😂🙌

    • @gaspergasper9830
      @gaspergasper9830 Месяц назад

      @@BakariMohammed-sr9kd AKILI huna kusoma ujuw Picture huoni alivyo anzisha Wcb lebo uyo kiba akaiga SIMBA kaazisha wasafi radio kiba kafata lakin kwataaaabu sana anaiga kunya kwa tembo NGOJA SIMBA anajambo lake tena tuone kiba atafanya nn 😂😂 tunataka afanye kitu chake bila kuiga tatizo sio pesa tatizo Akili 😂🤝

    • @sunwizy608
      @sunwizy608 Месяц назад

      kwani umeongea nini

  • @saimonijonas4356
    @saimonijonas4356 Месяц назад +1

    Mtaji shi ngapi radio ya viwango vya chini?

    • @ayobow56
      @ayobow56 Месяц назад

      Nataka ya wilayani tu

  • @user-by2gj2bw9f
    @user-by2gj2bw9f Месяц назад

    King kiba is danger artist of africa

  • @jacklinelyimo7407
    @jacklinelyimo7407 Месяц назад

    Shareholder ni lazima

  • @goodlucktemu3149
    @goodlucktemu3149 Месяц назад +1

    Kumbe gharama ya kawaida tu hata mimi naweza kufungua radio yangu

    • @giztony2009
      @giztony2009 Месяц назад

      Duu hongera ndugu yangu mm najitafuta ndo kwanza nimejenga nyumba sina hata gari

    • @GeorgeAkasha-zx2rj
      @GeorgeAkasha-zx2rj Месяц назад

      ​@@giztony2009Kwani ww huoni huyo dogo kamaliza chuo anasubiri ajira, anakutia presha tu.

  • @giztony2009
    @giztony2009 Месяц назад +1

    Yy konde boy ameamua awekeze kwenye mapenzi

  • @EvaJuakaliTV
    @EvaJuakaliTV Месяц назад

    Heshima sana Kaka Alikiba na Diamond, Aisee leo ndio Nagundua kwanini Millard hajafungua Radio yake Mpaka leo 😂

  • @BAHATIAPALALEBernard-pd8xq
    @BAHATIAPALALEBernard-pd8xq Месяц назад

    Naimani kwasasa, diamond atapewa heshima yake.

  • @GbpAud_King
    @GbpAud_King Месяц назад

    Friday anazidi kua mzuri tu..... oya friday nakuelewa

  • @mkorinthomgalilaya6700
    @mkorinthomgalilaya6700 Месяц назад +6

    Wahaya wanaaminika kwele😂

  • @KafrogyPep
    @KafrogyPep Месяц назад

    Kufanya collabo za nje na Kupeperusha Mziki wake kimataifa Sio Shida zake. Hapa Hapa East Africa na Hela anayo ya kuwekeza.. Kijana wenu anapambana Sana Kimataifa lakini List ikitajwa Alikiba hakosekani top 5😁😁😂😂

  • @petercostakisoka
    @petercostakisoka Месяц назад +1

    Kama unayo pesa ya mawazo utoboi wachie matajiri wenye ma b yao

  • @ayobow56
    @ayobow56 Месяц назад

    Hiii ni kujiletea umaskini tu

  • @hassshoban8206
    @hassshoban8206 Месяц назад +1

    FM redio ya Ilala ni Tsh Milioni 50 tu upo hewani.

  • @hamisihassankengejr4375
    @hamisihassankengejr4375 Месяц назад

    Kumbe ni hela ndogo kiasi hicho nilijua balaaa

  • @VunjabeiVunjabei
    @VunjabeiVunjabei Месяц назад +1

    Ndio mana mabosi wa radio hawalipi wafaniakazi mambo ni mengi Kila mtangazaji anadai mshahara hajalipwa wamiliki wa radio wanadaiwa sana Kuma Kuna mmiriki wa radio hazurum watangazaji ajitokeze nimpe ukeli na madeni aliyo nayo poleni watangazaji.

  • @nkuzotv6219
    @nkuzotv6219 Месяц назад

    😅😅😅aah bas io sio redio ya ali kiba

  • @kondoomix
    @kondoomix Месяц назад +1

    ruclips.net/video/vsSa4SHVr64/видео.htmlsi=Tmmm7bLySRrDH5xz NYINGINE HIYO WAKUU

  • @moradidaudi3463
    @moradidaudi3463 Месяц назад

    Alikiba ninoma alikuwa hapendi kujionyesha

  • @user-hl9xu4vo1q
    @user-hl9xu4vo1q Месяц назад +1

    Mi nilijua ni mabillion!! Kumbe inawezekana tu

  • @zclassicfashionz1573
    @zclassicfashionz1573 28 дней назад

    Si mchezo vijana wamejitahidi sana

  • @amosmahona433
    @amosmahona433 Месяц назад +1

    NAOMBA kufahamu ni namna gani redio na tv zinaingiza mapato? maana kwa hesabu hizo ni shida sana..

    • @emazjassam2452
      @emazjassam2452 Месяц назад

      Mapato makubwa ya TV na radio ni matangazo

  • @Zahirshemweta-ln3cd
    @Zahirshemweta-ln3cd Месяц назад

    😅

  • @djmsafitzthemagicfingers1549
    @djmsafitzthemagicfingers1549 Месяц назад

    Naomba Kujua faida Ya Radio station 🚉

    • @adrianomaulaga1599
      @adrianomaulaga1599 Месяц назад +1

      Inategemeana maana biashara ya kubwa ya Radio ni matangazo ya kibiashara na kuuza vipindi kwa wanaokuwa na vipindi vyao binafsi

    • @deborakamsi6225
      @deborakamsi6225 Месяц назад +1

      Ah

  • @mbelyterry1584
    @mbelyterry1584 Месяц назад +1

    Vipi redio inahingiza je pesa Kama kuanzisha redio ni mpunga mkubwa kiasi hicho

  • @FredrickMatiku-xf2uk
    @FredrickMatiku-xf2uk Месяц назад

    Joseph kusaga kama alitupiga na kitu kizito katika historia yake alisema alitumia 40 milioni kufungua mawingu fm Sasa hivi mpaka uwe na mabilioni Bakhresa nae eti aliuza machungwa na urojo kariakoo akawa tajiri bilionea ila nyie maisha yana siriii juuu ya mafanikio ya mtu kila mtu anakula kwa urefu wa kamba yake

  • @collineedson9964
    @collineedson9964 Месяц назад

    Wiki ijayo nilitaka nifungue redio yangu Ila nmeghaili wacha tu nisikilize hizhz bas

  • @PrinceBonnyTz8
    @PrinceBonnyTz8 Месяц назад +1

    Kwanini mtu ataje pesa katika Dola hawezi taja pesa za bongo🤔🤔🤔🤔Au ndio ataonekana mjanja

    • @ismailahmed5133
      @ismailahmed5133 Месяц назад

      Kila hesabu zake ni dola na uro 😂😂

  • @user-td4le3xf7h
    @user-td4le3xf7h Месяц назад +5

    Tuache wivu wa kijinga tuache kuwa kadilia watu watu wana hela ila wameka kimya acheni zarau

  • @user-fz9dw5zm1v
    @user-fz9dw5zm1v Месяц назад

    Ali kiba hana ela nyie wenzake washafanya kitambo ayooo mamb

  • @msisimkotv5815
    @msisimkotv5815 Месяц назад +1

    Kuna aliweka rim ya gari just ya nyuma yake na radio ikawa inapatikana akaiita radio mabibo😂😂😂😂

    • @user-zs4qz4wm2n
      @user-zs4qz4wm2n Месяц назад

      😂😂😂tatizo huna Siri umeyazagaaa😂😂

  • @ayobow56
    @ayobow56 Месяц назад

    Tusimame kuowa tu bora

  • @michaeldoroleo4864
    @michaeldoroleo4864 Месяц назад

    Kupata hela bila kuwa na hela ni swlaa ambalo halipo😅😅,kama huamini kamsikilize baba level katumia shingapi kupata milioni 200

  • @adamhashim3352
    @adamhashim3352 Месяц назад +1

    Tumuulize na yule dogo wa kigoma alitumia bei gn😅

  • @WaziriRamadhan-ML
    @WaziriRamadhan-ML Месяц назад +2

    Daaah nilikuwa naogopa kumbe hela yenyewe ni hiyo kiduchu!!mwez ujao nami nafungua yangu puumbaavuuu

  • @richardrichope3528
    @richardrichope3528 Месяц назад +2

    Msitishe watu bana soundproof ya milioni 45 wapi wana uongo internet inatosha bana

    • @amospoti3766
      @amospoti3766 Месяц назад +2

      hahahahaha mjomba ndio maana ukitaka kuanzisha jambo usitafute watu kama hawa lazima wakuvunje moyo sound proof ya milion 45 hahahaha we ukitaka kufungua radio wafuate broadcast technology watakupa data zote

    • @millardayoTZA
      @millardayoTZA  Месяц назад +2

      lakini alisema "KAMA UNATAKA REDIO YA VIWANGO VYA JUU" labda tumzingatie kwenye hilo

    • @mandlasakhile9109
      @mandlasakhile9109 Месяц назад +2

      Studio 3 ndo 45M

  • @asukulubashilwango1907
    @asukulubashilwango1907 Месяц назад +2

    Mimi nataka muhihambiye mtu akafunguwa radio ana pata faida? Niko na nyumba yangu apa usa yenye samani ya $240k nikuhuza sitakosa M600 so nikifunguwa nitakuwa nakipato kizuri ?

  • @Badvoice707
    @Badvoice707 Месяц назад

    Mbona huyo kama sugu ndo anajibu