Ila jamani acha aseme mtu kutafuta Jina anasugua sana acha aseme bwana anajua jamaa Sana na acha aongee kwa kujiamini ukiwa chini wanadamu hawakupi saport acha jamaa acheze jukwaa lake
S2kizz is the best producer in his career zooming east africa at this era stop acting with hate and saying diamond is taking him at some levels, u tanzanians are supposed to give the guy his flowers
Sasa anajua ndio lakin ajue anamalizia walipoanzia wengine hawez kuwa 🐐 GOAT wapo akina p-funk majani master j mika mwamba ndo wamefanya mziki upo hapa kwaiyo awe na adabu
@@ramseychobaliko1002 unashindwa kuelewa, yeye anasema ndio Producer wa kwanza kuwa namba kubwa ya hits song zinazofanya vizuri nje, na ndio producer alie kwenye nominise kubwa na nyingi nje mfano wa Grammy, ndio producer mwenye na ngoma nyingi za wasanii wa nje ya bongo, na ndio mana anasema yy ni BEST, sasa kama yupo mwenye vigezo hivyo aje na FACT na STATISTICS, je yupo?? ukiangalia hayupo.. UMEELEWA??
Ana Haki ya kujisifu sababu kazi anafanya kweli na inaleta matokeo mazuri kwake kama wasanii wanajisifia na hamjawai kuwaambia waache kujisifia kwann yeye mna crush mi nafikiri tutafute hela ili tupunguze makasiriko yasiyo na msingi broh
😂😂😂😂uyupetit mapumbu yake alivimba Kweli hamuezi Ayolizer weye unatoa nyimbo peke yako lazima kamixalizer akuwe pale na project zote kubwa Ni lizer too🤣😂😂🤣🤣
Ila nawaomba sana “producers” wajiingize katika biashara ya kuanzisha companies za label. Sababu ni kwamba kwanza wamefikia kiwango cha kuwa mtaji na pia wanaweza ku partner na investors wengine. Hapo naamini underground wengine wata break even. Hizi label za Wasanii zina conflict of interest. Music label ikiwa producer kama S2K ita make a lot of money kutoka kwa wasanii ambao ni wazuri sana lakini wapo wapo tu.
Kwanini mtu akifanya vizuri asipewe maua yake? Kila mtu ana wakati wake s2kiz ni tym yake no matter anafanya na wasanii wakubwa... kwanini hao wasanii wakubwa wamtafute s2kiz ni kwasababu wanamkubali,maproducer wengine wanafanya poa lkn is time for zombie
Producer ndo mtu wa kwanza kwenye music tumpe heshima yake bwana
Na wewe fungua studio sasa
S2kizzy RESPECT YOU HOMEBOY,unajua kaka, ndomaana unaongea kwa comfidence, ❤🎉
Ila jamani acha aseme mtu kutafuta Jina anasugua sana acha aseme bwana anajua jamaa Sana na acha aongee kwa kujiamini ukiwa chini wanadamu hawakupi saport acha jamaa acheze jukwaa lake
S2kizzy gat his own unique beat and sound
Tunasema We Zhombie Haujui ila tuna-maanisha anajua sana 🔥🔥🔥🔥🔥
Zoooombie 🔥🔥🔥 Numbers don’t lie. imeisha iyo
Dogo S2kizy ni mkali sanaaa
Emu tuacheni majungu s2kizz anajua kwanini hatupendi kumpa mtu haki yake S2KIZZ ANAJUA
Asa mnapinga nini @2kizzy yupo vizuri wakuu
Yogo on the beat 💓
You always deliver man ,you deserve it
Hkn ubishi apo s2kizy yupo creative sana
Heshima yeke tumpe...beat ndio ua inasukuma ngoma 🇺🇲
Zombie ile ngoma ya Vanessa Mdee ft Joh makini na Cassper 🔥🔥
Noma sana mwenyewe nakubali nataman siku tukae chin tufanye kaz
Unyama sana kaka mkubwa 🎉🎉🎉🎉🎉
Anaepinga apinge kwa hoja zenye ushahidi wa namba sio maneno maneno, Tisha sana Zombie 🔥🔥
Nakubali Kaka 👏👏👏👏we zombie
Wazokubwa 🔥💯 haujui
Best producer kiukweli mdundo ndiounatambulisha mziki mkali huwezi sikiliza mziki kwa vijisauti sauti tuu
S2kizz is the best producer in his career zooming east africa at this era stop acting with hate and saying diamond is taking him at some levels, u tanzanians are supposed to give the guy his flowers
Wewe unaejua na hubebwi na wasanii uko wapiii?4
@@ellietitus6528 ♋♋😒
@@ellietitus6528 beleive what u beleive thats all
Mbona umetoboa pua vip mwenzetu sio rijali nin muogope mungu dogo jua kunakufa
We mwenye hujatoboa,,hautakufa?
Anaachaje kujisifia wakati uyu mnyakyusa ndoo walivo
anaongea fact 100%, ukiangalia kwa STATISTICS yupo sahihi na hio haina ubishi, kwa anaepinga alete DATA zake.. ZOMBIE ni genious 🔥
Sasa anajua ndio lakin ajue anamalizia walipoanzia wengine hawez kuwa 🐐 GOAT wapo akina p-funk majani master j mika mwamba ndo wamefanya mziki upo hapa kwaiyo awe na adabu
@@ramseychobaliko1002 unashindwa kuelewa, yeye anasema ndio Producer wa kwanza kuwa namba kubwa ya hits song zinazofanya vizuri nje, na ndio producer alie kwenye nominise kubwa na nyingi nje mfano wa Grammy, ndio producer mwenye na ngoma nyingi za wasanii wa nje ya bongo, na ndio mana anasema yy ni BEST, sasa kama yupo mwenye vigezo hivyo aje na FACT na STATISTICS, je yupo?? ukiangalia hayupo.. UMEELEWA??
@@ramseychobaliko1002 sasa wabongo kusikia au kuambiwa ukweli ndio shida, na wala sio kuwavunjia heshima ila ndio ukweli
😂et ntakua jini jaman we kaka
Yup sahihi he deserve mzee
nakubali sna ZOMBIEEEE💗💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥
Dude spk wth conf n hypr bt u shld gv thanx to God
Respect you brother🏋️♂️
Mimi naamini kua wanamsema s2kizz kwa ubaya ni kwamba wanatamani kua kama yeye ila hawa uwezo maana hawajuwi na hawataki kujua
Unajua sana kaka viba kaka
bro unajua
jamn jaman
bongo raha sana
oya Traxx Haya Mambo Yataleta Shida 🥶📌🛠
Beat mbona tume mkopi ya hiyo na ime toka zaid
Ulivo mtaja country ndo umenikosha
Dem kauliza swali kiufundi sana
haujui
We zombi
Nakukubari mzee zombie unajua sana mzee wala haukoseiii mzee mungu bress you mziki wako kaka mimi nipo South Africa 🇿🇦 solute Johannesburg
Sauth africa ya mashambani unalima.
Be humble mzee
Afanye na Mimi hardcore rap...ila sio uongo dogo mkali SIJAWAHI kumpinga kila kaz....kama alizofanya na Nyandu midundo mikali
Kujisifu tu .....hodar hajisifu.
Be civil and respectful 😂😂😂😂
Songa kweli arud mjin
Msanii bila beat hamna kitu kwa huyu jamaa mkali
Unajiamini sana ila acha kujisifu sana
Ana Haki ya kujisifu sababu kazi anafanya kweli na inaleta matokeo mazuri kwake kama wasanii wanajisifia na hamjawai kuwaambia waache kujisifia kwann yeye mna crush mi nafikiri tutafute hela ili tupunguze makasiriko yasiyo na msingi broh
@@ngadumbishi1405 elewa nilichomahanisha kama ni hela na mm ninazo mdog wngu ila kujisifu sn so vzr ujue hiv bhn
Ww hela huna nawe mjomba anajisifu mo 😂😂@@Johnsonnsteven-zs1pg5cx9k
Ukiendelea hivi utakua mchawi
Ukiendelea hivi utakua mchawi
Sanaa zombiee we noma .wengine wivu tuu
S2kizzy kipini je
Dogo unaongea sana dah!!yan mpaka unataka ku-takeover broadcaster
😂😂😂😂uyupetit mapumbu yake alivimba Kweli hamuezi Ayolizer weye unatoa nyimbo peke yako lazima kamixalizer akuwe pale na project zote kubwa Ni lizer too🤣😂😂🤣🤣
Acha kujicfu kipapa cha woote ww kuna wanaojua zaid yako pumb ila ndio hvy mnahinga hela wanapotea kisa mnaogopa kupitwaa kuuuuma ww ya babuuu yakooo
laiza mnamjua lkn
Kama ni rahisi copy paste na ww tukuone,mtu kafanya vzur tumpongeze na ana kila haki ya kujisifu maana Afrika wivu mpaka ufe ndo wakusifie
Ila nawaomba sana “producers” wajiingize katika biashara ya kuanzisha companies za label. Sababu ni kwamba kwanza wamefikia kiwango cha kuwa mtaji na pia wanaweza ku partner na investors wengine. Hapo naamini underground wengine wata break even. Hizi label za Wasanii zina conflict of interest. Music label ikiwa producer kama S2K ita make a lot of money kutoka kwa wasanii ambao ni wazuri sana lakini wapo wapo tu.
Kiuje huyo setu chiziiiiiii
Kelele nyingi sana
P-Funk Majani ndio wa kwanza Tz nzima.....wacha kwere ww...
Apana kiukweli uyu jamaa Ako vzur
Laizer ni baba Ako wa mziki
Kuna ukweli ndani yake😂
Abbah anakukalisha
Zombie shetan🎉
Weee!!! Zombiiiii!!!
Sikupingi s2kizzy
Ayoooo lizer
Mwamba unajua acha waseme tu ila unastahili pongezi
sema mwanetu unamcopy sana b12 vile una sound..rudi vile vile ulivyokuwa mwanzo mr presenter
S2kzy ni beat maker sio music producer ambae ni full package..🤞
+254 Kodi Namba CHORODO
#Dan B Wansagen Moshi Kama Mbele
001 Mbalali
YUPI NDO FULL PACKAGE
@@user-vz4xj2ci2w Wapo Younkizzy Morrento MixingKiller
LIZER
Si upo na Diamond,ondoka Wasafi tuone!
Hyupo Wasafi
Nooma
Huyo ana STUDIO YAKE MONDI NDIO ANAENDAGA
Fact
Atari sana kaka zombie
Shida best zako nyingi ni mapiano tupu piga midundo ya asili yetu
Bro don't ever say that you're here to stay ,just dig out scott scorchy story he was the best dr dre time back then
Anaitwa Scott storch producer mbaya sana.
Yeye ndie aliegonga you ain't know ya lil weezy
Zombie ni gini we ubishe au useme ajuhi ninani kila msanii anataja zombie diamond zombie mario zombie whozuh zombie zuchu zombie kisa msanii zombie we upinge nani ata kuimba aujuh useme zombie ajuh acha ufala ww
Hivi haka ka dogo kanajielewa kweli? Kezii ka bit za watu
Mkali nawala musilete shobo
Zoombieee......
Anaongea ukweli sio anajisifu
uyo jamaa mwingine alie vaa pama mbn haongeii chochotee anauza sura2😂😂😂
Yeye Hana anaona wenzie wanatema madini anayowaza
Na ss mtupe mchongo jaman
We ni mkuuundu2 huna lolooteee
WE ZOMBIE UNAJUA
s2kizzzy zimakulipa au ndo ulipewa hennessy na mademu tu.. manake nasikia mnafanyaga kazi bure
Zombie ni top dog
Kuwa naishima bro ila wakwanza niwakwanza tu uwezi gonga Kwa p
Producer mwizi tuu. He should stop stealing from upcoming artist
huyu muongo anesahau ngoma zake lazima akague laiza na amalizie huy mwehu
LAIZA NI MZURI KWENYE MIXING NDO MAANA ANKUWA KAMA MIXING KILLER KWENYE BEATZ ZA HABAH
Unym kk we nom
We zombii
Kwanini mtu akifanya vizuri asipewe maua yake?
Kila mtu ana wakati wake s2kiz ni tym yake no matter anafanya na wasanii wakubwa... kwanini hao wasanii wakubwa wamtafute s2kiz ni kwasababu wanamkubali,maproducer wengine wanafanya poa lkn is time for zombie
Weeee zombiii
Tangu laiza aache kuproduce asirimia fran wasani wcb nikama wanabahatisha bahatisha nyimbo sio kali kama wakati ule ila pambaneni
Mbona laiza tangia atoke wcb hasikiki kama alikua ni mkali
Laiza wcb ndo ilikua inambeba afu kumbuka s2kizy so wcb
S2KIZZY ameingiza kiburi.diamond akimtema itakuwa noma.but really he's good
Paka diamond kumfata jua huyo anamadini
We zombie haujui na mie mkaangalie video yangu jamani inaitwa enjoy😂😂
We zombie
🧟♂️ 🧟♀️ zombii
We zombie🧟♂️
Nishasema kugonga beats za midundiko ndo kuwa producer mkali? Haujui hata unachokiongea katulie dogo ww Bado sana
oaky
Mi sipingani na wewe ila im gonna beat you on music making just belive the process #FACT