NOMA!! HII NDIO STUDIO YA MKALI S2KIZZY BAADA YA KUONDOKA SWITCH RECORDS

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 19 апр 2019

Комментарии • 143

  • @rahimmarions5712
    @rahimmarions5712 5 лет назад +17

    Maproducer bongo wananyonywa sana..ukitaka kugundua ni hii ngoma ya tetema,jamaa anajisifia kuwa kalipwa pesa nyingi sana nazo ni mil4..kimahesabu na km ingekua kabisa haki za hawa jamaa kwa mgoma ya tetema tu angekua anasumbua mtaani cz kila ngoma inavyoingiza ndivyo na yeye kipato kinatakiwa kuongezeka...

  • @briannesta2740
    @briannesta2740 5 лет назад +36

    Furaha yangu ni kuona vijana wengi hapa Afrika Mashariki wakifanya makubwa kutokana na vipaji alivyowajaalia Muumbaji.

  • @matarisuma9036
    @matarisuma9036 5 лет назад +15

    Nakubali s2kizy uko vzuri man

  • @allenkonky3146
    @allenkonky3146 5 лет назад +40

    aliyegundua kuwa ule wimbo wa rayvany na vanessa mdee ambayo bado hujatoka umetengenezewa hapa baada ya kuona masofa agonge like

  • @centralboytz4240
    @centralboytz4240 5 лет назад +10

    switch generation mwanzo ckujua kwamba switch record ni sehemu ya kutengeneza producers wenye high level big up

  • @dennischarles8524
    @dennischarles8524 5 лет назад +11

    Kumbe ni wewe uliipika, congrats S2kz

  • @nathannuru
    @nathannuru 4 года назад +3

    S2kizzy napenda kazi za kwako ....ivi karibuni nakutafuta mtaa wa kwako mimi kama dogo nutty msanii kutoka kenya ....kuna mengi ningependa ukaweze kunishauri

  • @rccstv689
    @rccstv689 5 лет назад +6

    Bro thanks nakubali sana kaz yako

  • @ernestjohanes9087
    @ernestjohanes9087 5 лет назад +22

    Hii kazi ngumu watu wengine wanaona kawaida unatumia akili nyingi sana

  • @chidiomari.65
    @chidiomari.65 5 лет назад +28

    Tetema inasumbua club mingi sana hapa Finland 👊💪

  • @Yegon254
    @Yegon254 5 лет назад +8

    napenda sana jinsi unavyouliza maswali, S2kizzy

  • @omarymohammed6683
    @omarymohammed6683 Год назад +1

    Nimekuelewa sana kaka upo vizur

  • @princemujuni9803
    @princemujuni9803 5 лет назад +25

    aliyesikia collaboration ya mtangazaji kwenye dk ya 12. agonge like hapa

  • @itzfareed7068
    @itzfareed7068 5 лет назад +8

    Huyu jamaa yuko open sanaaaaaaa

  • @benysamwellaw4313
    @benysamwellaw4313 5 лет назад +32

    Ufanye ufanyavyo lazima WCB uwatangaze hata Kama hutaki kila uendapo kila umhojie lazima WCB ipaishwe

  • @Kazimily_Music
    @Kazimily_Music 5 лет назад +3

    Yuko good sana salut

  • @jackspar1663
    @jackspar1663 2 года назад +1

    Naomba namba

  • @Pac_Gson
    @Pac_Gson 5 лет назад +3

    Namkubali sana broo s2kizzy

  • @user-rm1vl3hs8s

    Unatisha kaka yani wew nimkaliiiiiiiiiiii😊

  • @dallasnigers9104
    @dallasnigers9104 5 лет назад +1

    napenda sanaa kufanya kazi naee