Dakika 10 Za Maangamizi - Nikki WaPili | Planet Bongo

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 ноя 2024

Комментарии • 222

  • @atenionesmo_A10
    @atenionesmo_A10 8 месяцев назад +2

    nawaona omg kipindi wanajitafta na s2kizzy

  • @geofreyniyonkuru5724
    @geofreyniyonkuru5724 4 года назад +6

    Elie ona es2kixy akiwa bado boya like hapa

  • @juliuspoul2997
    @juliuspoul2997 3 года назад +1

    Niki bablai tunakumanya kinoma...uko yee arifuu..wakalishee si unajua wale maniaje hawapendii kuonaa..

  • @zabronerastus2359
    @zabronerastus2359 2 года назад +1

    Salmin swagg, lunya, conboi, s2kizzy nyuma hapo daah maisha ni safar ndefu

  • @EarningsEdge101
    @EarningsEdge101 7 лет назад +12

    Nikki amezingua kuchana, hajajtendea haki mda , ila vitu alivyochana ni noma sana...mistari conc sana, anaflow vizurrrrr! Punch tupu!

  • @myriamshafii897
    @myriamshafii897 7 лет назад +11

    nikki sio anaburudishia tu ni anafundishaa 🙌🏿🙌🏿🙌🏿

  • @impeccablerito7922
    @impeccablerito7922 2 года назад +1

    Izo flow unanikumbusha form1 wkt naanza kujifunza kuimba..

  • @jumayusuf1694
    @jumayusuf1694 7 лет назад +3

    Umezinguaaa niki2 halaf mbona hujiaamini unaoneshaaa unatizama saa kila sekunde. Mleteni nchama the best& haidary scoba wafanye yao

  • @jordaninosenti3549
    @jordaninosenti3549 3 года назад

    Noma sana nakumbushia Dk 10 zirudiwe tena

  • @jacksonmkwela6824
    @jacksonmkwela6824 7 лет назад +11

    kiukweli mzee baba sijakusoma kabisa narudia tena sijaona kama mchama!! the best

  • @abuumanyati4185
    @abuumanyati4185 7 лет назад +23

    “ma undergroung ndo wanafanya hip hop inangara” Respect brother Professor J

  • @zaituniathumani8659
    @zaituniathumani8659 7 лет назад +7

    hiphop is harder than math's nikk you have killed it..#from R chuga tunawakilisha™

  • @ahmedkhatibu5387
    @ahmedkhatibu5387 7 лет назад +1

    ebana weeee,,,,,,salute mkubwa Nick wa pee

  • @jaystar1004
    @jaystar1004 7 лет назад +1

    Mtu kaimba vtu special lakn mnaleta ujuaji mwingiiiii........mnashkilia tu hapo anapouliza mda......kwel anasizi sana lakn co kwamb kashndwa..#nikki katisha bn

  • @didamugya6039
    @didamugya6039 7 лет назад +27

    Huyu jamaa anaongoza kwa Lylics skills bongo, the man is genius though dakika 10 zimemuangamiza😁

    • @jackkileo6740
      @jackkileo6740 7 лет назад

      dida mugya inaitwa lyrics sio lylics

    • @hassanwazir3458
      @hassanwazir3458 6 лет назад

      dida mugya acha kupotosha kwa lipi alofanya na Ana lyrics skills zipi upuuzi kafanya fala uyu asiejuaa kuchana miaka yoteee nilioiona kwenye game in short hawezi

    • @barakamshiu7146
      @barakamshiu7146 6 лет назад

      +Hassan Wazir we unajua sana kuchana eee???

    • @hassanwazir3458
      @hassanwazir3458 6 лет назад +1

      dida mugya sana nangoma zangu kaliii mzeeee

  • @yusufmsuya9
    @yusufmsuya9 7 лет назад +2

    weusi blessed........nikki poa sana

  • @zerpaul8981
    @zerpaul8981 7 лет назад +16

    umefanya poa wasiojua awaoni wameshikilia tu apo ulipo uliza mda

  • @ikoziboy4488
    @ikoziboy4488 4 года назад

    Freestyle inakuwa tamuu wakiitwa marapper maundergraund bhana huyu star anazingua

  • @eddiedonald7483
    @eddiedonald7483 6 лет назад +1

    Nikki ana mistar mikali ila dakika kumi hapana maana tunataka mtu atakaetupa mizuka sasa nikki toka dakika ya kwanza anachungulia saa af ana sizi sana adi anakata stimu.. laiti angeunga bila kusiz siz angekua ametisha saana

  • @mtokambali801
    @mtokambali801 7 лет назад +21

    Only under grounds can kill 10min, some one like Scoda mc, Nchama the best & Maarifa big thinker.

  • @dennischarles8524
    @dennischarles8524 7 лет назад +3

    Safi Sana, I like those rymes, lines zina akili na ubunifu mkubwa, we want to listen to u more.

  • @anohwizman6605
    @anohwizman6605 3 года назад

    Aliuwaa Sana mkaliwade wa R

  • @rashidimkunjila8096
    @rashidimkunjila8096 3 года назад +1

    Oa irudiwe nawaona wauni kibao lunya na frida oyaa s2kizz nawauni kibao

  • @billycage5672
    @billycage5672 7 лет назад +2

    kaishiwa mistar nn mbna anaomba pooo....

  • @dastanherman.kingdicetv1840
    @dastanherman.kingdicetv1840 7 лет назад

    mnaobisha mnaweza

  • @elishamachilu5414
    @elishamachilu5414 7 лет назад +3

    Aisee sijaona aliYEweza kumfuniKa HIDARY ESCODA A YOUND KILLER kwenye dk 10 za maangiziii...hawa wengine wanazinguaa saaana

    • @heriprince6166
      @heriprince6166 6 лет назад

      Elisha Machilu ushawah iona ya Bonta Maarifa ww??
      Jamaa ana'flow had anaambiwa muda umeisha bad0 anataka aendelee..

  • @baloziubalozini5074
    @baloziubalozini5074 7 лет назад +1

    Ana midondoko mingi mikali + lyrics tamu Ila hajatoa mzigo wa Kutosha so binafsi naweza sema hajazitendea HAKI DKK 10 ZA MAANGAMIZI

  • @fundisalum5874
    @fundisalum5874 7 лет назад

    Naona kila mara anacheki saa kwa ukuta kweli hakuna kitu hapo.....bado lunduno watakuwa hip hop harisi siooo haoo....

  • @theoriginals3240
    @theoriginals3240 7 лет назад +1

    nickiii mavina

  • @justinwella8119
    @justinwella8119 2 года назад

    Niki we ni nomaa

  • @lomgoldtz907
    @lomgoldtz907 6 лет назад +1

    god bro good blees

  • @chikirasaid6575
    @chikirasaid6575 5 лет назад

    oyyya nakubali babbu unajua had uunakera

  • @mbishitrump5621
    @mbishitrump5621 7 лет назад +1

    Haidary scouda & selementally bado wameangamiza dakika 10 mpaka leo hii

  • @mkomenijumamkomeni6513
    @mkomenijumamkomeni6513 6 лет назад

    Niki Ni noma sana

  • @allanausi5099
    @allanausi5099 7 лет назад

    hamna kituu .... respect tu maarifa

  • @mussadembelle2845
    @mussadembelle2845 7 лет назад +8

    Dakika 10 ni nyingi sana kwa ma fake rapa lakin siyo mbaya umejitahidi

  • @mbishitrump5621
    @mbishitrump5621 7 лет назад +2

    Nikki wa pili kazana tizi mzee umepwaya japo una mistar ya kurudia

  • @gloriaringo9363
    @gloriaringo9363 7 лет назад

    holaaa holaa !!!!!!!!!! nice Kaka

  • @zakariagerald6381
    @zakariagerald6381 7 лет назад

    Hahahah mzee baba dk zimekutoa jasho...... umejitahid though

  • @madeduwatanashat6342
    @madeduwatanashat6342 7 лет назад

    yuko njema sanaa jamaa

  • @lawrencealfred1707
    @lawrencealfred1707 5 лет назад

    Iko sawa

  • @franklampard342
    @franklampard342 7 лет назад +17

    hizi dk 10 za maangamizi kuna siku zitakuja kumwaangamiza baadhi ya emcees

    • @daud305gtv
      @daud305gtv 7 лет назад

      frank lampard hahahahahahahaha kweli jamaa

  • @aliceangelo7028
    @aliceangelo7028 5 лет назад

    Niki ninoma sanaa weusi

  • @swaggadiv
    @swaggadiv 4 года назад

    Nacheki young lunya na S2KIZZY Kumbe walikua wanajipanga saizi ndio baba yao

  • @ToyTz
    @ToyTz 7 лет назад +1

    jamaa ana mistar mizur sana tena yenye ubunifu ila anasiz sana

  • @mudyhamady5859
    @mudyhamady5859 7 лет назад

    juuue hawawez kufanana wote m namkubali huyu anatoa mistar mikali sana

  • @suleishdishelectronics4140
    @suleishdishelectronics4140 7 лет назад

    dk 10 zijaona zaid ya chemicaltz na coyo master....ila niki wa pil we endelea kukaataa kaz ..ila michano umefel

  • @dr.abdinassir6807
    @dr.abdinassir6807 7 лет назад +10

    ningeomba #Nikki angalie alichokifanya *#Maarifa* alafu ajiulize
    *niaibu msanii mkubwa umeshindwa kumaliza dakik 10 dah* 😂😀😂😀 I can't believe kk

  • @ramadhanthabith6668
    @ramadhanthabith6668 4 года назад +1

    Lunya na s2kizzy kam nawaona

  • @isacknguvumali3445
    @isacknguvumali3445 7 лет назад +1

    Huyu ku flow hawez hivi vitu ana weza young killer. Napenda music wa nikk wa pili ila kwa hili limekutoa Ko

  • @dobidotz3696
    @dobidotz3696 4 года назад

    Aibu yako bro

  • @musasadiki3898
    @musasadiki3898 7 лет назад +2

    Sometimes Lina mistari interesting lakin limezinguaaaaa, limepwaya li Nikki. Hahahaaaaaaaaaa.amepotea

  • @gilesbashaje775
    @gilesbashaje775 4 года назад

    Nakubali kaka

  • @amaniamani6520
    @amaniamani6520 7 лет назад

    Jamaa hajajiandaa ndo maana kila saa anaangalia mda yaani mistari imeisha kabisa.. mastar wengi wanakuja kama wameenda kwenye interview

  • @tomplexbrigedier2282
    @tomplexbrigedier2282 3 года назад

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂.....hadi unaomba pooooohhhhhh!!!!! rapa mzimaaaa😀😀😀😀😀😀😀😀😀
    #UMEANGAMIZWA KAKA....
    MPKA JR. ANAKUAMBIA HII BEAT BADO HUJAITENDEA HAKI
    😂😂😂😂😂😂😂

  • @kibwamoko8767
    @kibwamoko8767 6 лет назад

    Kimtindo kajitahidi, haikuwa mbaya sana ila asipende kuulizia dakika kila saa.

  • @meshakimmale2003
    @meshakimmale2003 6 лет назад

    kumi za mangamizi wote mmeka kwa watoto wa kike stosh na kiu girl

  • @dhatianafi4409
    @dhatianafi4409 7 лет назад

    Niki uko vzr sana kaka

  • @sefagomez6883
    @sefagomez6883 6 лет назад

    Da Unajua mpaka unaboa Niki

  • @amourmohd3510
    @amourmohd3510 7 лет назад +1

    duh kweli verse for money broo

  • @lodrickvungwa7783
    @lodrickvungwa7783 5 лет назад

    Nilishawaambia huyu dogo hakuna kitu anakiweza kwenye mziki mtu unauliza mda wakati wenzio wanaona mda ni mchache daaaa nimeshangaa sana yaani

  • @zompasevenludovick51
    @zompasevenludovick51 7 лет назад +1

    afu ndo mnajiita wakali wa Hip-hop bongo...tumuacheni Chidbenz abaki kuwa Chidi aseee

  • @miltonemusumbah2544
    @miltonemusumbah2544 7 лет назад +1

    Amelemewa.
    Hivi hakuna msanii ambaye ameweza kuangamiza dakika kumi za maangamizi akazizika kama CHID BENZ.... Naomba kujua ni saa ngapi hii show huangushwa live kwenye radio ndiyo niwe naitegea live

    • @mzalamohalisi6754
      @mzalamohalisi6754 5 лет назад

      Hawa Jamaa amnakitu kabisa wana bebwa na miadia to nilijua atanimalizia MB zangu Hip Hop aiwezi kabisa puzi akuna mistari myepesi kama karatas

  • @nonamenoname-vx1lb
    @nonamenoname-vx1lb 7 лет назад

    lain hakuna kutumia nguvu jamaaa anateleza vizuri bila kutumia mbavu

  • @sonofjesus1832
    @sonofjesus1832 6 лет назад

    dula nakuomba tuletee na six O'Clock ktk dakka10

  • @fdkdonard8489
    @fdkdonard8489 7 лет назад

    mwenge Wa Uhuru sio #Bamaga

  • @boyclassic5122
    @boyclassic5122 7 лет назад

    Saafiiiiiiii sanaaaaaaaa

  • @titholongo708
    @titholongo708 5 лет назад

    chid benz ndo baba laooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo

  • @mariameena5630
    @mariameena5630 6 лет назад

    we mkal brow big up xnaaaa

  • @frankjokonea5653
    @frankjokonea5653 7 лет назад +1

    masuperstar wanazingua tuu

  • @jumakasanda4057
    @jumakasanda4057 6 лет назад

    Wasanii wakongwe siwapendi napenda wanaotoka wanakuja na style mpya makongwe nimeshawazoea

  • @juliusjohn4685
    @juliusjohn4685 7 лет назад

    Young killa kiboko yao niki ame zngua xana

  • @nicholauswiliam8876
    @nicholauswiliam8876 5 лет назад

    Ngumu nyeusiii haina kwereee

  • @samsonkusupa6809
    @samsonkusupa6809 7 лет назад +2

    sasa maanake nn AF wakisema yang killer anawakalisha mnaanza kutoka povu

  • @hassansamata5995
    @hassansamata5995 4 года назад

    Ushoga atutaki chana arakati tukuelewa kweli weusi wanabebwa Amna kitu..runduno stand up

  • @allytunda8489
    @allytunda8489 5 лет назад

    Kalii @daddyboy

  • @donaldtarimo9280
    @donaldtarimo9280 7 лет назад +1

    Dakika kumi za maangamizi mpaka sasa maunderground ndo wametisha hawa wenye majina hamna kitu

    • @atikombogolo2356
      @atikombogolo2356 7 лет назад

      Donald Tarimo tukiunganisha zinakua dk 6 tuu hizi kwakweli

  • @stevenkaria6
    @stevenkaria6 7 лет назад

    hiz dakika wangekuwa wanapewa underground, hawa wakubwa hamna kitu

  • @peterregy6660
    @peterregy6660 6 лет назад

    Duh duh Nikki kasoma ase wengine wameliwa tu ada😂😂😂

  • @lionking3015
    @lionking3015 7 лет назад +5

    Bro kwenye track hua unatisha kinoma lkn kumbe leo tumejua unabebwa na producer..freestyle kama upo maskani wapiga story.. rudi zoezi hujatosha mboga kwa haidary scoda na selementaly hata killer kakufinika aisee

    • @seifsuleiman846
      @seifsuleiman846 4 года назад

      weee jmaa kazingua bhana hayupo serious wakati wenzie wanaona dakika chache watembee na beat muda umeshaisha

  • @mnedykareem3927
    @mnedykareem3927 7 лет назад +1

    Nimekuelewa nikki ila dzaini ka beat zpo chini sana

  • @sambayoo6441
    @sambayoo6441 4 года назад

    Niki ww bado me namkubali maktric noma

  • @peteryohana2737
    @peteryohana2737 6 лет назад

    Hamna kitu wawawawwa nyingi kupotezea muda uishe ziro hapo

  • @hopesosy2192
    @hopesosy2192 4 года назад

    hahahaa.....sitaki kuwa padri nikose chini nn

  • @mickskillstechnology7511
    @mickskillstechnology7511 7 лет назад

    Mastar kwenye dk kumi za maangamiz wanapwaya, leten ma-underground ndo wanayoosha au legends wenye mikato ya freestyle kama zila na stamina

  • @eliamgata3958
    @eliamgata3958 6 лет назад

    Hakuna kitu hapo

  • @andrewbajuta4750
    @andrewbajuta4750 6 лет назад

    Ni hatari sanaaaaa

  • @pharergyramson5918
    @pharergyramson5918 7 лет назад +1

    Harafu muwe mnaangalia watu wa kutuletea asee huyu jamaa mzinguaj tu!!!

  • @chandenyatto2497
    @chandenyatto2497 2 года назад

    Huna lolote bora uimbe taalabu sio Mc wew

  • @Prem_Rich
    @Prem_Rich 6 лет назад

    Amani na Upendo Daimaaaaaaa

  • @cholokanji7139
    @cholokanji7139 7 лет назад +6

    mm naona niki ndo kaketa mistar yenye man kuliko awi wanao frestyle lkn hawaongei vitu vyamana mstar ipo mingi lazma ufikirie pale

  • @benardjames5718
    @benardjames5718 6 лет назад

    chini ya kiwango nick

  • @hisammaziku4658
    @hisammaziku4658 6 лет назад

    good show man

  • @jovinoryoungpoisonjames6270
    @jovinoryoungpoisonjames6270 6 лет назад

    nyinyi nima k mnaocomment kua Nikki si kichwa mm nampa miamia

  • @crispingerald3000
    @crispingerald3000 7 лет назад

    ninoma minamjua jama haadikang kwenye dafutal anaandikanga kichwan ndosfa ya jaman

  • @mrramadhanimsangi7073
    @mrramadhanimsangi7073 7 лет назад

    Zimekutoa jasho dk 10

  • @evelinekaaya586
    @evelinekaaya586 4 года назад

    Full xanah ding

  • @frankwilliam144
    @frankwilliam144 5 лет назад

    Hamna kitu amefanya seriously sikutegemea matokeo haya

  • @mkuluwaukae2221
    @mkuluwaukae2221 7 лет назад +1

    mbona beat iko chini aisee

  • @saviongaila3546
    @saviongaila3546 7 лет назад +2

    Apo ndio Tofauti ya NIKKI MBISHI na ma MC wengine inapoonekana