unamwita darling na wife huyu mama mamito, na unapata habari kuna walafi wanamla had jicho, noma sana asee....midundo classic sana, vocals, lyrics, bonge la chorus....iko tofaut sana
Greatest Mc of All times,Ngoma kaliiii sana,simu yenye mipasword kila kona na majina kibao ka kadabra,kumbe Ibra yani ROMA na aliyemsave ka baba kumbe ndo aliyejiiba naye kinoma,,ULIMI MBILI umespit trueth kabisa hasa kwa mapenzi ya siku hizi sema wachache hawatoelewa!
Ngosha ni Fundi wa fasihi na sanaa. Yeye ni zaidi ya msanii, nafikiri ni mwanafalsafa wa hii game. Anaweza. The level of creativity, lyrics na beat ni zaidi muziki.. Ngosha......!! Way too inspiring...
Kwanza heshima kwako broo ngoma nimeielewa kinoma nimependa anko nurel duu hatar pia ngosha bit safi na haitaleta shida ukiwa nabend hii ndoinafaa kufanya watakuelewatu
Congrats wazee wakongwe,idea Kali,pia nimefurahia kuwachanganya Na new blood ila Kidume Mkushi kafanya maajabu sana Na ile Nurueli ndiyo kanogesha balaa.Big up Majani.we missed real Music
Hii nyimbo Nuruelly kalalamika vizuri sana Ila kapewa ki Pande kidogo mwishoni pia Maua sama na hardmad combination nzuri ya ladha, beat kali na fid q umeitendea haki
unamwita queen na unapassion ya kumwona, cm yake ina pin na password kila kona na majina kaa cadabra kumbe ni ibra yani roma.................. GENEUS MWANAMALUNDI
Fid Q. Chukua ushauri wangu. Fungua TikTok halafu weka vipande vya mashairi ambavyo ni vya moto. Itakuwa akaunti yenye Nguvu sana
Yani huyu jamaa ukimsikiliza juu juu unaweza usimuelewe! Kaza masikio utafurahi na roho yako.....
Nikweli
Da kweli ila sikiliza vizuli ili song
Naminia bro unatisha kaa balaa
Song kali bro
Wengi wanajua mapenzi lakin wachache wanaya enjoy ----- Fid bwana
unamwita darling na wife huyu mama mamito,
na unapata habari kuna walafi wanamla had jicho,
noma sana asee....midundo classic sana, vocals, lyrics, bonge la chorus....iko tofaut sana
U killd... Mii nakuona kama yul mototo mkendrnkLamar o jayZ koz unaheshmu micng y hip hop saaaana
fid ni matatizo, Una touch kila kona, na kila aina ya maisha such a talent
hivi ndio maskio yangu yanapenda kusikiliza,huku natikisa kichwa mdogomdogo
Sometimez hii ngoma inatia hasira 😀😀😀
Una kila sifa yakuitwa GENIUS, mapenz ni kama jini, muache anaekuona wa nn,,,HBD Ngosha ain't no body can conference wt yah braa
bonge la ngoma kali sana brooo
Happy birthday THE WORLD'S BEST EMCEE mwanamalundi
fid q wewe ni mkali mnooooo.... nilishawaambiaga watu kuwa flow zako ain't nobody can touch em
Fid q wasiokuelewa acha wasijue umuhimu wako ila wew ndio mfalme wa hi hop tanzania kwangu wew ni kama shule ya watu wazma
HBD #QUBANDA tunashukuru kwa ku tupa zawadi hiyo #ulimiMbili.....huwa hutuangushi tu naomba brother P aimalizie hiyo...#GOAT
pure underground bongo hip hop...... moto... sana...
Great song..Soo Conscious ...!Wasanii wa skuiz wanatunga mistari sio nyimbo...,wanaweza kujifunza kitu hapa..fid
Greatest Mc of All times,Ngoma kaliiii sana,simu yenye mipasword kila kona na majina kibao ka kadabra,kumbe Ibra yani ROMA na aliyemsave ka baba kumbe ndo aliyejiiba naye kinoma,,ULIMI MBILI umespit trueth kabisa hasa kwa mapenzi ya siku hizi sema wachache hawatoelewa!
Qubanda, wee ni shule tosha, Salute broooda
kuanza ni kugumu kutengana ni raisi .daa mzee baba umetisha
Ambaye FRESH imemvuta ULIMI MBILI gonga like APA..
Kidahya Revocatus kali
Ngosha ni Fundi wa fasihi na sanaa. Yeye ni zaidi ya msanii, nafikiri ni mwanafalsafa wa hii game. Anaweza. The level of creativity, lyrics na beat ni zaidi muziki.. Ngosha......!! Way too inspiring...
The best lyricist 🙌🙌
by the way Majani + Fid Q = 🔥💣🔥💣🔥 Always
The GOAT strikes Again,Happy Birthday Gods Gifted FID Q...Finally kesho kinanuka Album na kitabu nimevisubiria miaka kadhaa
limi mbili.iko poa sana its rly of the reality.. big up national icon(fid q)
Nakutakia furaha yenye amani ya bwana na kila lenye Heri katika hii Siku yako ya kuzaliwa na isiishie kwa leo tu maishani pia Kaka nakukubali sana.
Hehehehe,,,,NANI BINGWA KAMA FIDI,,kamwe haitai tokkea HIPHOP NI WEWE NGOSHA #miakwamia.
"__kila msichana anamtaka bwana mwenye demu hahaha anamaanisha anamtaka bwana mwenye game!
Kusoma ujsnja kma wanadada vyuon....👏👏
Huyu noorelly anahitaji tuzo ya msaanii bora ya mda wote
Baba la mababa wa hip hop asantee kwa zawad hii ktk siku yako special Happy birthday Ngoshaa the swagger Don
Track kali.....kheri ya kuzaliwa bro
brother ukiimbaga hizi za ma❤ unauaga kinomabig up bonge la dude
Fid Q wee ni noma sana you are the really MC
Najivunia kushare birthday na wewe fid q.lets pop up August 13
Happy birthday
happy b day tore/mwanamalundi/g.o.a.t /kubanda
happy birthday broda... boonge la ngoma iiiiiiiii Hiphop hujawahi niamini
Fid Q hajawahi niangusha kama shabiki wake .. nice album
Ngosha anaafya ya maandishi mtemi wa lugha dop broooooo
Nomaaaaaa kubanda. real hip hop is alive through you
Happy birthday to you king of hip hop music...bonge moja la ngoma...you made it Mr G. O. A. T
Fid q namukubali saana ndo maana huwa najikuta nameza mbegu
hana mpinzan kwenye hip hop fid hupo juu
Wazamani simwachi.. na mpya nliempata yupo kwetu
One kick one snare...track kali sana..happy birthday
Happy birthday mkali wa hip hop kuanzia uandishi hadi kuchana hapo mpinzani asubiri miaka elfu moja kukuta ww ni mkali
Mjanja Hawezi enda kununua vitu akiwa Peku Lord jah pamoja fid q
Bakora nyingine hiii shuuukraaan
Kwanza heshima kwako broo ngoma nimeielewa kinoma nimependa anko nurel duu hatar pia ngosha bit safi na haitaleta shida ukiwa nabend hii ndoinafaa kufanya watakuelewatu
ngoma kal broo ya da baddest original ngosha motoo
oyooooo level za mbeleeeeee b blessed ngosha
sawa mzee baba farid q,,,ngoma kali bro
Nice sanaa kijana wang unafanya kazi nzur sana mzeee wa hip hop
ni zaidi ya somo. hiphop for life.
H.B.D mzee wa propaganda...
much much blessed brother
nipo dunian toka August 13 kiubishi ubishi. happy birthday faridi kubanda.
Umetisha kinomaa💥💥
Much love from Seoul Sk☆
+82.
the great man at himself, unreplaceable fid
wow Doh noma sana bonga langoma big up FiD Q
happy birthday fid q.....nimengoja sana hii siku ili niskie ngoma yako mpya
wengi wanajua mapenzi""wachache ndo huenjoy
Huyu jamaa hana ngoma mbaya zote ni firee
duuuuuuuhhh fundiiii big up
Farid the G.O.A.T
Fid me sina cha kuongea mzee!!! DAAH!!!
heshima kwenu ngoma kali saana hardmad nakuheshimu,fid ur the greatest rap all the time,maua sama big up mdada.
fid hajawahi kukoseaga !we ngosha ni Nouma sanaa
Bonge la ngoma bro salut kwako
Unaeka ngumu sanaaa broo
Happy birthday homeboy Fid Q,Mwanza Mwanza home of the greatest rapper mtoto wa Dandu comes first then you are professional! Pini nyoko sana!
Kubandaaaa mzee baba.
Producer Fundi, Fid Q Fundi, Maua Fundi + Bonge la ngoma
Fid Q ndo mwenye Hip Hop yake hapa Tz Nani anabisha
Fiq q nakukubali sana, hiyo laana ya fasihi inanikosha balaaa,
Ulimi mbili | Ngoma Kali🙋
Fid q...tisha sanaaa
uko juu bonge la ngoma fareed
hahhahah Ww fid q sio mtu powa kabisa kaka du
Inshort naipendaga saaaaana!
we noma mgosha tishaaaaaaa sanaaaaa
Congrats wazee wakongwe,idea Kali,pia nimefurahia kuwachanganya Na new blood ila Kidume Mkushi kafanya maajabu sana Na ile Nurueli ndiyo kanogesha balaa.Big up Majani.we missed real Music
Unakubalika hadi USA brah we gatch ya fid-q
aminia
Sideboy Saidi kitu mzee
Sio nyimbo ila ni bonge la jimbo, yooo Q aminia Bro.
happy birtday to you brotaher #NdoshTheSwaggDonn #Agost13 ulimi mbili kali sana
Msaniii kabaki fid q tu na mrisho mpok zx song iz fire
last man standing on bongo hiphop salute
Hii nyimbo Nuruelly kalalamika vizuri sana Ila kapewa ki Pande kidogo mwishoni pia Maua sama na hardmad combination nzuri ya ladha, beat kali na fid q umeitendea haki
Ngom nimeielewa bobu iko vizuri sana
Mimi naomba msaada Wa lyrics, coz kiukweli mziki wako ni fundisho kubwa Sana kwa kizazi hiki, hivyo inapaswa kujua kila neno ulilotamka.
Skay Media mmmh fid q anaweza akakupa lyrics na usielewe na ukahitaji tena uchambuzi..
we jamaa unajua.
no one like u in Tz. I salute u bro
Nyimbo nzr sana
unamwita queen na unapassion ya kumwona, cm yake ina pin na password kila kona na majina kaa cadabra kumbe ni ibra yani roma.................. GENEUS MWANAMALUNDI
Shikamoo kubanda much respect
Happy birthday the legend #msukuma mwenye swagger
wengi wanajua mapenzi ila wachache wana enjoy
hbd honger ngoma kal xana
Cool Ngosha .....
umetisha ngosha
tunaomba video fid Q.. we jamaa una mashairi balaa halafu ya akili..
Mapenzi no kupotezeana mida tafuta amani na mawe utaifurahia dunia
Tunataka Ladha zote mbili Mixed nd Unmixed kama na wewe ulivyosema Ulimi mbili,Halaf> Happy Birthday to U bro' kula gwala👊
Happy birthday ngosha ngoma kali imani yangu video itakuwa kali pia.