Nisiwe Mwongo mbele za Mungu. Kwa hili nmejikuta natokwa machozi. Mondi wewe Mungu atakuzidishia maradufu Wewe ni msanii mkubwa sana kwa mambo makubwa na mazuri unayofanya. Hii ndiyo maana sahihi ya Real love. Hakika hautashuka wala kupungukiwa kamwe bali utazidishiwa zaid! Mungu akupe maisha marefu sana bro You will always stand as my number one artist in Africa and one of the biggest artist in the world ❤❤ H
This made me really emotional! Chidi Benz is still the top Hip Hop artist in East Africa hands down. I look forward to the day he will return to his senses and be fully sober. And Diamond has really proved that akikupenda amekupenda. One love.
Diamond Platm Ukimkazia Mtoe Hio Nyimbo Itatambaa Balaa Tena Ambane Asiwe Anavuta Unga Tunamtaka Chidi benz Arudi Kwenye gem Mond please Mshike Mkono Chid Benz Hadi Mwili Unasisimka Haelewi Tena Mzuka Umempanda
Af Kuna umbwa nyengine unasema et hamuwez Simba ivi anajelewa yule maisha malefu kwako mond unajua utu unajua mbaka unajua Tena mungu bariki Kaz za guy mwamba ilove you simba
"Ni kweli kabisa kweli hakuna aliyekamilika asonahili analile but kwenye hili rafiki zangu hapana nimeona love nimeona mapenz nimeona jinsi gani mapenz ya mtu yalivyo kwa mwengine nimeona kujitoa nimeona kujali dah nimejikuta nadondosha machozi tu ya furaha unajua nini ndugu zangu maisha ni kuwajali wengine na siwewe peke yako mwenyezi mungu utupe mapenz ya kupendana kama alivyo yeye anavyo tupenda.
Salute , Ebwana Daaah .... mbona kama Saigon kaimba kidogo sana aisee, ama ngoma ni kali ndio maana naona kama wimbo umekua mfupi ebwana daaaaah salute....🎉
Diamond Platnam nina kila sababu ya Kuita Afri-icon. Mond anajua kurudisha Fadhira.... Daaah !. Amenitoa Machozi "Trust me". Daaaaaaaaareeeesaaaalaaam Standup🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Dah aise nasibu unajua music unataka nini safi sana kazi nzuri unajua sometime unakuta mtu unapenda kitu kiasi ambacho huwezi juzuia hisia zako mbele ya kitu ulichokipenda unapokiskia au unapokiona chid ameguswa sana na hii ngoma kama ilivyo nigusa mimi hakuna hiyo mistari ya nyimbo dah aiseh kweli acha tuishi nao hao wanao tubeza kazi nzuri
Hii kitu nimependa sana binafsi mwamba kakunjua moyo wote yaan bonge la surprise hakuna surprise kubwa kama hiyo kwa msanii yaan ata surprise ya gari ikasome yaan
Nisiwe Mwongo mbele za Mungu.
Kwa hili nmejikuta natokwa machozi.
Mondi wewe Mungu atakuzidishia maradufu
Wewe ni msanii mkubwa sana kwa mambo makubwa na mazuri unayofanya.
Hii ndiyo maana sahihi ya Real love.
Hakika hautashuka wala kupungukiwa kamwe bali utazidishiwa zaid!
Mungu akupe maisha marefu sana bro
You will always stand as my number one artist in Africa and one of the biggest artist in the world ❤❤
H
@@stanslausjohn8791 mbn Sasa nyimbo,haujatoka mpk Leo 🦁
Allah akuzidishiye riski diamond ameen
This made me really emotional! Chidi Benz is still the top Hip Hop artist in East Africa hands down. I look forward to the day he will return to his senses and be fully sober. And Diamond has really proved that akikupenda amekupenda. One love.
Namfurahi kumuona chidi afya yake iko swari...🇰🇪🇹🇿🇰🇪
Tukiachana na mapungufu yake hakuna msanii mwenye UPENDO kama diamond platnumz I'm so emotional najikuta nalia jamani it's big love 😭😭😭😭
Point 🎉
Ebwna hii nyimbo ata mm imeniumiza sana
Sure!!!ingawa watu wengi hawalijui hili...
@@obeydmwemezi3663yah kweli mkuu jamaa anawapenda sana wenzake
@@yaedlifemedia3203Hata meme asee
Nyimbo Kali sana diamond anajua
🙌🙌
Nilichogundua chidi anampenda sana Babu tale
Hata kama hua sikutambui Diamond walai ungekua mkenya you have a big heart ❤ ume nikumbusha shujaa
ila kwa roho aah Diamond Platnumz anayo🇰🇪🇰🇪🔥
Am crying can't stop it a love Tanzania music
Wacheni mchezo chid ni kiboko big up brother chid u are difrant
This is true. This guy is a real deal 👌 💯 🙌 👏 😂
Hii ngoma heat tayar kabla haijatoka..hii clip namim nimeipakua naishi nayo daily🔥🔥🔥
Yaaani chid kakaa zake chini very emotional anatingisha kichwa without singing na bado unaweza kumtazama leo hadi kesho na usichoke❤
Nyimbo kali sana , long time chidi hajatoa kaa hii
Oooooh my God, uyu Diamond ni bala sana tena sana. Chid Benz hoyi hoyi kweli. Love from Burundi🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Chid benz,he's god of music(baphomet)....i remember ngwair and just cry alone...😢😢😢😢diamond he's just good soul...got lots of respect to his brother.
Anco inuatu kipaji chake kwa sababu akuna Musani anaweza iyo kazi wewe mwalimu wa nyimbo naimani ifwate mutindo waaa ko💪❤️🌹💯💯
Chibu dangote Noma saana aisee 🔥👏🔥💥🌟
Uyu istukyz mbaya sana hii bit kali sana Dah chid bado yupo kwenye pick 🎉
Mondi ana roho nzuri sana Msaidie mkongwe huyo
Enyewe wewe diamond your the best artist on earth may God bless you with everything your going bro thank you alot
Kenya Nairobi 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🖐️
Chidy benz Kwa hizi verse Diamond Makin na chorus👏👏👏
Chid benz👍👍👍👊👊👊🤘
Dmk kadhr from Nksvegaz city can waite for another Chid benz ft Diamond platinumz moment ❤🎉🎉🎉since enzi zile til now 💯💯💯🇰🇪
Diamond Platm
Ukimkazia Mtoe Hio Nyimbo Itatambaa Balaa
Tena Ambane Asiwe Anavuta Unga Tunamtaka Chidi benz Arudi Kwenye gem Mond please Mshike Mkono Chid Benz
Hadi Mwili Unasisimka Haelewi Tena Mzuka Umempanda
Diamond muacheni ni king wa est africa na africa jumla❤
Af Kuna umbwa nyengine unasema et hamuwez Simba ivi anajelewa yule maisha malefu kwako mond unajua utu unajua mbaka unajua Tena mungu bariki Kaz za guy mwamba ilove you simba
"Ni kweli kabisa kweli hakuna aliyekamilika asonahili analile but kwenye hili rafiki zangu hapana nimeona love nimeona mapenz nimeona jinsi gani mapenz ya mtu yalivyo kwa mwengine nimeona kujitoa nimeona kujali dah nimejikuta nadondosha machozi tu ya furaha unajua nini ndugu zangu maisha ni kuwajali wengine na siwewe peke yako mwenyezi mungu utupe mapenz ya kupendana kama alivyo yeye anavyo tupenda.
Hizo Punch line za Chidy🙌🏽🙌🏽🙌🏽
Benzino ni 🔥🔥🙌
MUNGU AKUBARIKI BWANA AWE NAWE DANOND PLAT NAMZ🎉❤
Salute , Ebwana Daaah .... mbona kama Saigon kaimba kidogo sana aisee, ama ngoma ni kali ndio maana naona kama wimbo umekua mfupi ebwana daaaaah salute....🎉
Sanaa msimbaziii ile mbaya Pande hizi 26life for life...254 timamu tunaishi na hivyo hivyo
Babaake iyo verse ya pili 🎉🎉🎉 heshima yko CHID BENZ
That moment yooooo......Big time kwa Diamond
Diamond Platnam nina kila sababu ya Kuita Afri-icon. Mond anajua kurudisha Fadhira.... Daaah !. Amenitoa Machozi "Trust me".
Daaaaaaaaareeeesaaaalaaam Standup🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Ipige tusikie man chid Benz noma sana voice yake
Sema kunawakati simba anakua na moyo sana amsapot jamaaa hongela sana kaka mkubwa
I'm so emotional for this love
Wow mnyama huyu chid chid❤
Wawo Diamond bwanaa anajuwaa sana nakubali sanaa
Dah aise nasibu unajua music unataka nini safi sana kazi nzuri unajua sometime unakuta mtu unapenda kitu kiasi ambacho huwezi juzuia hisia zako mbele ya kitu ulichokipenda unapokiskia au unapokiona chid ameguswa sana na hii ngoma kama ilivyo nigusa mimi hakuna hiyo mistari ya nyimbo dah aiseh kweli acha tuishi nao hao wanao tubeza kazi nzuri
Much respect to that bigest support to daimond
Simba na roho yke ❤❤❤
Daaaah brother nasibu hapo umeuwa kweli mrudishe chid benzi bwana katika ubora wake brooo
Huyu mwamba Chid bado mzima sana tu💪
Kabisaa bro uyu mwamba toka nianze kumjua nikiwa kijana mwenye kubalehe na kuanza kufatilia hip hop jamaa ni 🔥🔥🔥🙌
Nassibu una roho ya peke yako mdogo wangu Mungu akupe furaha kila wakati
Platnumz is a father of music in TZ brooo endelea kutuonysha my mzur
Nakubali sana bro Chibu, hebu mrudishe huyo jamaa kwenye game asee.
❤❤❤❤❤ngoma kali sana
Kutoka Congo Diamond ni mwalimu wa wasaniiii
Safi sana diamond,chid gud saana!
Asante diamond hivyo ndio tuishi,ubarikiwe
A love you Diamond nime ona chidy tena
Mwanaume kila siku wanageka wanake..hatali sana 🔥
ina ujumbe mzuri sanaa, safi Chibu, safi Chid unarudi kwy game
É mungu we kizur hua hakidumu ila hichi kipemida ili aweze kutufajir zaid samaani kwa ujumbe huuu kama nitamkera yeyote yule
Hapo kweli Chidi benz Yupo Au Ndioo Ungaa 😂😂😂
Hii kitu nimependa sana binafsi mwamba kakunjua moyo wote yaan bonge la surprise hakuna surprise kubwa kama hiyo kwa msanii yaan ata surprise ya gari ikasome yaan
Oya oya kwa msanii suprise kubwa ya kwanza inaanzia kwenye mziki wake na simba kapiga kwenye mshono
We unaijua gari kweli au
@@ikouwasi7644 😁😁😁😁
Yaaani kafurahi sana chid maaana hakuaamini kabisaa yaani ndoto imetimiaa
Sana tusiwanafiki mondi mungu amuzidishie
Chid ft Chibu by Tunaishi nao🔥🔥
Chid ft platinum 2naishinaooo imeweza kuliko zote
Chd best emcee ever
Sure master, Ukiwanacho watakuja wengi sana kihitaji urafiki nawewe ila ukishafulia hapo ndo utafahamu nani rafiki wa kweli
Love you chid benz ❤❤❤❤❤
Yaani chidi hamtambui bodyguard wa Simba😂😂😂naye pia anataka kushikiwa tshirt lake na bodyguard😂
Umenichekesha wewe😀😀😀😀😀😀😀
😄😄😄😄😆
This is beautiful,,,,a really great surprise
Daaahh Imeonesha hisia za Upendo had Imeniguda Moyoni mwangu. Naseeb tunaombea huo wimbo uusimamie had uhiti ni Wimbo wamaana sana
God bless our lion Diamond platnamz
Chidi Benz,the freestyle master
Nakubari sana iyi kitu alio onesha Diamond Simba
Kiukwel nimetaman kulia 😢 chibu anamapungufu yake ila huyu mwamba ni unique
So amazing 🔥🔥🔥
Simbq la masimba dangote🥰🥰🥰🔥🔥🔥
Too much love bless up @Chibu 🙌🙌📌🐐🐐
Congratulations diamond ❤❤❤❤
💎💎💎💎💎💎💎💎 Allah akuwekee watuu tunalia tuu Wala hata hatujalizwa😓😰😰😰😰 🙌🙌🙌🙌
Pia chid anaweza sema tuu ni mambo ya dia
Ishaisha iyooo!! % dai una roho safi sana aisee
Tunaishi nao❤❤❤❤❤❤
Wow diamond platinumz
More love to him congratulations simba
Hio remix Moto 🔥🔥. Diamond tumtambua hapa Kenya...aaah chid Benz hapa umeomoka..simba
Simba wangu love simba
Chidi fanya itolewe bana mnasubiri nini
Kwenye mzk auna zambi kaka umemaliza mwendo wako dimpoz umempa saport chid ndo uyo upo vzr
Diamond thanks for supporting that legend
Inayo ilkuwa suprise 🔥🔥🔥🔥
Chid kumamake ana balaaa sana
chidi benz mwenyewe ni mzima au teja siku hizi
One love ma big brothers
Diamondi kaniuwa🍧
Asante broo unahurum sana
Oya we harmonize chukua good example
Chid still on fire.
Danha bless up chibu D🔥🔥🔥
God bless up our lion Diamond platnamz
Dogo mond atakama vip Mungu akubressng Sana upenfo
Diamond anazidi wote aho
DIMOND baba lao❤❤❤❤
Hawa wasanii wa zaman wakishikwa mikono wana maneno ya kuskika sana saf sana chibu hapa umeonyesha utu