CHID BENZ: AFUNGULIWA MILANGO YA GEREZA NA BIG SUNDAY LIVE/ SHANGWE LAKE NI BALAAA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 янв 2025

Комментарии • 614

  • @blackkid7377
    @blackkid7377 4 года назад +117

    kama unatizama show ya chind benz kwa kurudia rudia drop like hapa

    • @twinsnationtz
      @twinsnationtz 4 года назад

      Zijue dalili 8 za penzi penzi lililokufa kufufua upya/atapenda kukushirikisha mambo yake ya sir na mengineyo, bonyeza link hii kuyapata yote ruclips.net/video/1qwpVcjw6OE/видео.html .

  • @mrbweichum
    @mrbweichum 4 года назад +332

    *KAMA UNAMKUBALI CHIDI BENZI ACHIA LIKE YAKO*

  • @chidybwax8080
    @chidybwax8080 4 года назад +50

    Dudubay hata aimbe vp kushindana nahuyu mwamba kuna ugum sana show love kwa benz

    • @m.mmarckus6298
      @m.mmarckus6298 4 года назад +3

      Labda ashindanishwe kutukana,hahahahahah

    • @ommietrendz7175
      @ommietrendz7175 4 года назад +1

      Nani huyo anamfananisha Chidi na vitu vya kijinga 🤔🤔🤔🤔 ifike mahala sasa

  • @issagasago3400
    @issagasago3400 4 года назад +40

    The people of Tanzania help this boy he can sing 100% support him 🇧🇮

  • @zarohjuma2151
    @zarohjuma2151 4 года назад +11

    This is an example of a true Free Style Legend. No one can beat this guy's talent.
    CHUMA always Leaves a Mark.

  • @alledymaimbosikaz1297
    @alledymaimbosikaz1297 4 года назад +32

    Chid Benz he always gives me hope to do a lot of things in my life and I wish to do a collabo with him I believe one day,(Sean wislyn)

  • @LnmTMDesign
    @LnmTMDesign 4 года назад +36

    Chid ni mkali Kama unamkubali like hapa💕

  • @Kijosh854
    @Kijosh854 4 года назад +28

    King Kong chuma your talented bro big up sana own your own level #254 much love

  • @sajumahelatz397
    @sajumahelatz397 4 года назад +3

    Daaah nimerudia kuangalia hii performance mara 278,daaah nipeni like na mimi

  • @magreth7981
    @magreth7981 4 года назад +46

    The set back was always for the come back May my god i save/ help this talent, and never go back to the old life and everybody who wish this guy blessing says amen 👌🙌

  • @slimpirate6020
    @slimpirate6020 4 года назад +84

    Najua kuna wengine wakiona hivi they won’t Bother but wako Makini sana kufuatilia...🔥🔥🔥👏👏🎶🇹🇿🇰🇪👑👑😂😂 King Konggggg.....🎶🎶🎶🔥🔥🔥❤️❤️

    • @laughingclub9660
      @laughingclub9660 4 года назад

      I think he should do something with khaligraph jones

  • @radsonpatrick9809
    @radsonpatrick9809 4 года назад +18

    Aya ndo mapinduz ya burudan tunayotaka...good creativity...shout out kwa wasafi

  • @kapituomary2344
    @kapituomary2344 4 года назад +23

    Huyu ndio chidi tuliye mmiss kwa muda mrefu aisee king is back ngoma itambaeee

  • @hassannyale6901
    @hassannyale6901 4 года назад +30

    Eeeeh Mwamba aliua ajabu Jana..chuma...big up my Brother...hawakuwezi Hip Hop Ni yako mwana wailalaa

  • @gwajetheentertainer363
    @gwajetheentertainer363 4 года назад +129

    Msanii anayeishi kwa Ngoma moja zaidi ya miaka 10 daaah hii tupeleke kwenye maajabu ya dunia

    • @atikombogolo2356
      @atikombogolo2356 4 года назад

      Hakika aiseeee kama ngoma ya mwagwea tuu....Mitungi🔥🔥🔥🔥

    • @johel882
      @johel882 4 года назад +1

      Haishi kwa ngoma moja..we unaijua moja tu

    • @officialandotoz5592
      @officialandotoz5592 4 года назад

      Uhakika

    • @halimambwego3520
      @halimambwego3520 4 года назад

      Hahahaha

    • @kingwattanlibz9391
      @kingwattanlibz9391 4 года назад +3

      we hujajua ngoma za chid.....East Afrika hamna mwana hiphop wa kufikia madini ya chid.....254 tunamtambua sana

  • @coastylegend
    @coastylegend 4 года назад +73

    This dude still rocks. The guys who were talking negative things about him can now RIP

  • @petervaller417
    @petervaller417 4 года назад

    Uyu mwamba Duh namkubali chid kama chid Benz anapumzi sana
    Mungu akupe afya na uwahi chid Benz

  • @yeremialaini5589
    @yeremialaini5589 4 года назад +4

    Aisee, chid yupo moto ever. I like the way he spit. Noma sana, child is gold

  • @ammymartin1401
    @ammymartin1401 4 года назад +4

    Chid benz be blessed bro..supernatural lyrical killer,freestylerand performer of all the time..keep rocking joh..

  • @sitiabubakar2892
    @sitiabubakar2892 4 года назад

    Mungu akupe umri chidy benz hata ukiondoka leo Duniani hakuna wakiziba pengo lako utakua msaani wa kukumbukwa kma steven kanumba, God bless ua talent

  • @chuwaloonlinetv6672
    @chuwaloonlinetv6672 4 года назад +7

    Sijawah kupata like hata moja lakin poa chid mnyama kaua

  • @nahyialetomia9284
    @nahyialetomia9284 4 года назад +50

    The man has energy

  • @zakiasultani8890
    @zakiasultani8890 3 года назад +5

    The father of real hiphop in tz I love this guy

  • @alwihussein6888
    @alwihussein6888 4 года назад +3

    Nime miss sana v2 vyako chidi, karibu sana kwenye jukwaa...... Much love from 254👊🏽👊🏽

  • @reaganbenjamin9000
    @reaganbenjamin9000 3 года назад +1

    Nomaaaaaa sanaa Chid Benzee bado mkali we bwaanaaa 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌 basterime wa Bongo

  • @rahmamfinanga2137
    @rahmamfinanga2137 4 года назад +2

    Aaah.....more energy brother and u r still the best ever....Alf now dayz benz anarud kwenye kila kitu,kuanzia mwili,akili na uko kwenye kurock ndo daaah....usipime.Keep it up broh we love youuuuu

  • @ltlmedia8480
    @ltlmedia8480 4 года назад +3

    Uyu jamaa sijui Ana nn kwakweli dah yaani akiimba lazima mizuka ije tuu dah bless up @chidbenz

  • @mengiuswege3654
    @mengiuswege3654 4 года назад

    Ukimchukia huyu mwamba unasababu zako kwanza anaheshimu fans wake na anapokuwa stejini anakupa unachostahil haujutii pesa yako hata kidogo more life brother chidy benz

  • @devisanselmo
    @devisanselmo 4 года назад +11

    Much love to chid benz.. He still need your support diamond platinumz

  • @beatusmutembei4640
    @beatusmutembei4640 4 года назад +4

    Jamaa mpaka mwili umerudi.....Chiddy be Back 💥💥💥💥

  • @patrickbasil9554
    @patrickbasil9554 2 года назад

    Wasafi nawaomba sana mfanye mfanyavyo, kuwepo na colabo ya chid Benz na Kalligraph John, hii itakuwa moto balaaa

  • @iddymussa4585
    @iddymussa4585 4 года назад +1

    anae mkubali Benz naomba like hata 10

  • @alhajishehoza5554
    @alhajishehoza5554 4 года назад +7

    Mwnye mziki wke sas, naon afya iko poah sas Broo. All thnx to God pambn Broo

  • @lovetonny0793
    @lovetonny0793 4 года назад +1

    Huyu jamaa anabhusia kali sana na mziki I can feel him, welcome back king

  • @baloziubalozini5074
    @baloziubalozini5074 4 года назад +17

    Maaaan!!Am out of Words,Damn.

  • @devisanselmo
    @devisanselmo 4 года назад +1

    Please Diamond na wasafi wote.. Mkitaka muendelee kupendwa zaidi tafadhali endeleeni kum-support Chid benz

  • @petervaller417
    @petervaller417 4 года назад

    Kwa upande wangu nafurahi sana chid Benz kuludi mwili wake
    Kwa upande wa kurop sina shaka nae
    Mungu ampe afya ila akaze gem la sasa

  • @dastopadady2402
    @dastopadady2402 4 года назад

    Jaman wasfi tunaitajimuziki mizuli kutokakwachid mumupe sapot nitafulahi Sana Mimi nishabiki namba 1

  • @westonchibwete3006
    @westonchibwete3006 4 года назад +57

    Jini wa rap si ndo huyu hapa sasa ??????!!!!!

  • @yusufumungo5057
    @yusufumungo5057 4 года назад

    Huyu djama ndo first Ms kabisa.kama unakubali like ata 10 basi

  • @johnfrank5808
    @johnfrank5808 4 года назад +23

    Hakika utabaki kuwa juu chidi unakipaji dudubaya anakuponda lakini hawezi moto wako

  • @ngulubesuzika3940
    @ngulubesuzika3940 4 года назад +2

    Chid will always be chid...thanks to God you are now back on your feet.....chidiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

  • @immanuelherbelt745
    @immanuelherbelt745 4 года назад

    Tunafurah sana kuona chidi akirud kama hvi, wasafi mpo vzur hamjui kumdhihak msanii au mtu akiwa ktk mazngira magumu isipo kuwa mnataman asimame vzur

  • @shedrackelia687
    @shedrackelia687 4 года назад

    Chid anajua jmn anabonge la voko energy na furai sn kuona changes za kweli ,love da bro

  • @reaganbenjamin9000
    @reaganbenjamin9000 3 года назад

    🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌 Chid benz sio wa nchi hiii duhhh

  • @dayocha1855
    @dayocha1855 4 года назад

    Chidbenz huyoo noma sana na ndio msanii pekee anayeweza kudumu na ngoma moja miaka mingi

  • @disantojevnco2718
    @disantojevnco2718 4 года назад +1

    Chidi benz ndio msanii wangu bora kwa full style wa pili Ngwea.

  • @BenCheck-jx9lo
    @BenCheck-jx9lo 4 года назад +1

    Nafarijika sana kuona comments za kumkubali Kinkong chi-chi-chi....Chidi Benz

  • @frankmbexu7706
    @frankmbexu7706 4 года назад +4

    Legend himself...chuma dhese guy is very energetic

  • @rahimmarions5712
    @rahimmarions5712 4 года назад +1

    Weka matatizo yake pembeni katk game huyu jamaa apewe heshima yake kabisaaaa,tusisubir baadae alaf tuanze unafiki...DSM stand up.nitajie ngoma inayoishi miaka yote mpk nw kupita hii!!!..CHID CHUMAAAAA🙌🙌🙌🙌

  • @tuwenasitv9695
    @tuwenasitv9695 4 года назад

    weee hatar unaambiwa brother chichichii chidy benz anajua sana kipaj aisee

  • @mangalenjole4073
    @mangalenjole4073 4 года назад

    Chidibenz anajielewa. Big up tu sana wasafi

  • @allymaujiko1840
    @allymaujiko1840 4 года назад +1

    Uyu ndo chid benzi ninayomjua mimi izi flow zinaitwa uliyemchokoza kaja 💪

  • @jamesnjenda9338
    @jamesnjenda9338 4 года назад +1

    Kama unamkubali chid like hapo

  • @abuimran2470
    @abuimran2470 3 года назад

    Nafikiri unabidi urudi kwa MJ pale achoronge beat zake uachie vocal yako...ngoma itakua ya moto sana... thanks buddha for the coming back

  • @tonnyhassany2105
    @tonnyhassany2105 4 года назад +1

    King of kingz chid chid umeuawa bro wellcome back

  • @petermlundwa6399
    @petermlundwa6399 4 года назад +7

    Class is permanent big up!

  • @bonfacemwashi1641
    @bonfacemwashi1641 4 года назад +39

    Nikisema,,-. chidi....unasema,,, "Benz"

  • @lawlove9281
    @lawlove9281 4 года назад +5

    The Energy man you kill it 🙌, King Kong

  • @iddimwamtemi550
    @iddimwamtemi550 4 года назад

    Mzee kapasuka Hadi maiki imemuogopa imezimaaa chidi ni fireeeeeee🔥🔥🔥

  • @nimujocentre2173
    @nimujocentre2173 4 года назад +2

    Daaah....Mwenyezi Mungu ameweka hazina kubwa sana kwa huyu... wanachana ila huyu ni zaidi yao

  • @lovvy854
    @lovvy854 4 года назад +42

    Chidi Benz ni Dume na nusu kwa mistari yuko juu anatisha mbona

    • @veedaddysativa
      @veedaddysativa 4 года назад

      ruclips.net/video/CAf8A7Jbmoc/видео.html

  • @saidysaleh7421
    @saidysaleh7421 4 года назад

    Ila huyu jamaa anajua sana aiseeee, kama unamkubali embu fanya kuweka like hapa

  • @Chekanamimi_
    @Chekanamimi_ 4 года назад

    Chid Benz is a business and a really deal,akipatikana promoter akae naye chini wafenye kazi wanapiga mahela

  • @farouqkatana7216
    @farouqkatana7216 4 года назад +6

    CHIDBENZ KING OF RAP👑 TANZANIAN 🔥🔥👑👑👑👊

  • @dickisonjackson2613
    @dickisonjackson2613 4 года назад +12

    Chichichichi d benz🔥🔥🔥

  • @mbeguclassic3387
    @mbeguclassic3387 4 года назад

    Mm nasema mafala wote mnaofanya hip hop za kishamba huyu ndio rapa sasa nipeni lik 👍 kama una unapenda chid kama mm

  • @jfourmeyor5743
    @jfourmeyor5743 4 года назад

    Duuuuuh chid Benz nouma 💪💪💪👊 namkubar sana jamaa

  • @abubakariferuzi206
    @abubakariferuzi206 4 года назад +7

    One Love show Qali Mzee Baaba✔️✔️

  • @robbarobbz4088
    @robbarobbz4088 4 года назад

    Chid nakukubali all de way from USA

  • @abdulprincejr7625
    @abdulprincejr7625 4 года назад +7

    Wasafi ni fireee 🔥🔥🔥🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @ibbumastory4663
    @ibbumastory4663 4 года назад +2

    *Walio ona ubunifu wa chidi gonga like hapa*

  • @elianyakolema4133
    @elianyakolema4133 4 года назад +1

    Kama umeona chid kanenepa naunamkubali like hapa

  • @marycelinapaschal9619
    @marycelinapaschal9619 4 года назад +2

    Huyu mtu akija kufariki ndio mtamuona mtu mhim anajua sana mshikeni mkono ana power

  • @chancesholdan342
    @chancesholdan342 4 года назад +2

    Huyu msenge anajua sana! Vocal imejaa

  • @mbangukajaphari3000
    @mbangukajaphari3000 4 года назад +1

    Nakubar san chid na one

  • @rogermazombo9744
    @rogermazombo9744 4 года назад +3

    Child benz still the top rap star in tz and we will respect everyday

  • @somoehussein7948
    @somoehussein7948 4 года назад

    chidi anarudi kwa kasi,keep it up bro nakukubali mbaaaaya

  • @alhandhar6902
    @alhandhar6902 4 года назад

    Dar es salam no 1 chidi benz rapa

  • @officialgolden7271
    @officialgolden7271 4 года назад +1

    NI HATARIIIIII MY UNCLE LA FAMILIA

  • @cwedertza3975
    @cwedertza3975 4 года назад +5

    Brooo mziki wako utaishi daima kama unamkubali cheed gonga like hapa

  • @cobadadon2334
    @cobadadon2334 4 года назад

    Yani hili lijamaa kama mnaendanalo fresh lipo poa sana bonge la Mc Chid benzino noma babaaaaaa

  • @abubakariaman8575
    @abubakariaman8575 3 года назад

    Chid Benz your life if you more my chid Benz for everyone

  • @hashimoscar1920
    @hashimoscar1920 4 года назад

    Safi sana mchizi chidi Benz kipaji cha ku Rapp hakuna Africa kama wewe ur unik.. Trust me focus na uache madawa upige mazoezi.. Utaona mafanikio.. Hata diamond utamueka pembeni.. Bidii jomba

  • @benedictpius849
    @benedictpius849 4 года назад

    Big up Chid Benz naona afya imekuwa pouwa King Kong one love

  • @andersonchibule4761
    @andersonchibule4761 4 года назад +7

    Legend still rockin....

  • @dimosobariki4915
    @dimosobariki4915 4 года назад +1

    DJ anazngua Sana. Anashndwa kwenda na spidi ya muhuni chiddbenga

  • @swalehemkwango9518
    @swalehemkwango9518 4 года назад +1

    Dua langu lime jibiwa chid ndio huyo sasa Motoooo

  • @ommysemehjtwego6174
    @ommysemehjtwego6174 4 года назад

    Big up
    Xan mungu awazidishie kwa kuboresha. /kuwakumbuka wadau
    By Ommy from kyela mbeya

  • @williamtawete4600
    @williamtawete4600 2 года назад

    Diamond platinums support this talent Genius Chid

  • @muniraahmed624
    @muniraahmed624 4 года назад +4

    Chuma kama chuma❤😊

  • @waddytz5239
    @waddytz5239 4 года назад +1

    Duuh kama anamapafu ya mbwa❤💥

  • @JxJ-vh3ft
    @JxJ-vh3ft Год назад

    Rappa Bora Africa Nzima,,,,,,,,,Chid Benz!

  • @silvesterjerome6512
    @silvesterjerome6512 4 года назад

    Chichichiichichichc.....chid beeeeeeenz💪🏽

  • @movahussein1532
    @movahussein1532 3 года назад

    Natoa comment ya 600
    Chid noma naomba like hata 5 hapo jmn

  • @godistenmarisham6313
    @godistenmarisham6313 3 года назад +2

    My no 1 rapper of all the time

  • @tausindekwa7314
    @tausindekwa7314 4 года назад +1

    Duhhhhh meirudia mpaka MB zimebaki %10💪💪💪💪💪kingkoooooong

  • @freemansaria2259
    @freemansaria2259 4 года назад +1

    Boom Bap .... Buster michano wa Tz 💥

  • @treycarlos3583
    @treycarlos3583 4 года назад

    Unajua saaaaaaana Brother acha tu moshi serious wote wanasubiri for me

  • @mastermbarak254
    @mastermbarak254 4 года назад +12

    King Kong Chuma 🔥🔥🔥 the Best MC Of all Time 🙌🏾