Kuna kitu watu wengi huwa hawajamuelewa Chidi japo wanamchukulia kama CHIZI. Hii kichwa ina akili sana (GENIUS) tatizo binadamu huwa tunapenda kuongopewa huyu jamaaa anangeaga ukweli mtupu. Natamani sana ningekuwa na uwezo kifedha ningekuwa hata mfadhili wake ila basi tu. Namuombea sana kwa MUNGU arudi tena juu zaidi kwny mziki Inshaallah
Naweza msikiza Chid siku nzima. Ana mambo, ana ushauri na ana mwanga rohoni mwake. Waja wasiskize mambo mabaya ya kumchafua mtu mzuri. Jamaa ana advices nzuri sana
Hakuna kitu kibaya kama wewe kuwa sawa halafu kila mtu anakwambia hauko sawa au anafanya vitendo vya kuonesha hauko sawa.. inafika muda unakua completely hauko sawa, angekua mtu mwengine angegoma hata kuhojiwa maana daily anaulizwa same shit na kila anaekutana nae first impression kwake ni kumuona Hayuko sawa.. Mwenyezi Mungu amsaidie azidi kuwa bold💪🏾.
Jamaa yuko Sawa Sana..! NAMWOMBEA KWA MWENYEZI MUNGU AMUONGOZE INSHAALLAH na Nchi Pia Pamoja Na Watanzania Watambue Huyu Jamaa Ana akili gan..!! Mwisho Niseme Tu.. MWENYE AKILI ANATAMBULIKA NA MWENYE AKILI MWENZIE same To Some One CRAYZ👋👋
Chidi 🎉🎉 ukweli unauma ila watu hubadilika i can feel he has changed but still watu bado tunamfatafita chidi yule aliyekuwa namajanga yake ya zamani tujifunze k appreciate the way he is now and try to support him mentally, emotional, financial big kwa roma hajaangalia his pastlife but his talent
Chid akiwa katika hali hiyo still bado kawazidi uwezo wa kufikiri wasanii wengi sanaa... sijui kabla ya dawa alikua je.. ila chidi kwenye wasanii genius top three yangu yupo akiwa na hali hiyohiyo
We nae dharau nyingi ndo maana husaidiki sasa mtu hata akikupa laki moja ulikuwanayo? halafu chid wewe sio kwamba wasanii hawakupendi bali wewe ndo hutaki kubadilika 😢ila mungu akusaidie kwakweli
Halafu nyie mnae muhoji chid benzi mnamuharibia sana aonekane ni mtu wa kulalamika yan mbna mna roho mbaya aisee mwana anajitafuta nyie mnamleta maswali ya kikuda aonekane analalamika yan
Dakika ya 12 umeongea point. Mtu akikutukana jitafakari... Hata na wewe ujitafakari uone ni kwanini watz wanakutusi.. chid punguza unga na pombe.. utafika mbali.
Hujamuelew jamaa amekanusha kwa akili sana sababu lilikuwa swali la mtego kuwa alienda arusha kufuata pesa kwahuyo na bii ndio maana kajibu mimi nilizishka nying na hakujua kama makanisa yanato pesa
Huyu Jamaa Dah! Mungu Ana Kitu Kikubwa Sana Amempa Kichwan Kwake Ila Mengine N Madhaifu Ya Kiubinadam Tu! This Man Is So Smart
Chidi anathamini utu zaidi ya vitu hyu ni legendary god bless him
God*
Kuna kitu watu wengi huwa hawajamuelewa Chidi japo wanamchukulia kama CHIZI. Hii kichwa ina akili sana (GENIUS) tatizo binadamu huwa tunapenda kuongopewa huyu jamaaa anangeaga ukweli mtupu. Natamani sana ningekuwa na uwezo kifedha ningekuwa hata mfadhili wake ila basi tu. Namuombea sana kwa MUNGU arudi tena juu zaidi kwny mziki Inshaallah
Dah Ukiacha mengine chid ni mmoja tu
Respect bro
Chid Benz
Ana Akili ya ajabu Sana 🎉🎉 proud of him 💪
Naweza msikiza Chid siku nzima. Ana mambo, ana ushauri na ana mwanga rohoni mwake. Waja wasiskize mambo mabaya ya kumchafua mtu mzuri. Jamaa ana advices nzuri sana
Don't say that I am the one who makes him on trending but I am happy because he trusting me to collaborate with him. This man is Genius.
President of Dar City
broken watch tells right time twice a day.
Kweli uyu Jamaa napenda jisi anavyoo kuwa mkweli ndomana watch Wanamaker zarau just bcz yupo open Sanaa
Well said
This dude is smart
Hakuna kitu kibaya kama wewe kuwa sawa halafu kila mtu anakwambia hauko sawa au anafanya vitendo vya kuonesha hauko sawa.. inafika muda unakua completely hauko sawa, angekua mtu mwengine angegoma hata kuhojiwa maana daily anaulizwa same shit na kila anaekutana nae first impression kwake ni kumuona Hayuko sawa.. Mwenyezi Mungu amsaidie azidi kuwa bold💪🏾.
yes. hasa watanzania tunapenda saana kufanya wengine waonekane wehu. hata watu wa karibu huwa wana hii shida
Ujumbe mzuri sana
Chidi anauwezo mkubwa sana wakufikiri. Na #anautu_sana na ukiona humuelewi anachokiongea #chidi jua wewe ndo umechanganyikiwa ❤❤
Uyo ndo chid benz ❤❤❤❤❤❤❤kaka yangu nakupenda sana yaan ss watu mliyo sema chid benz yupo na njaa ayo ndo majibu yen
Mungu Akupiganie Ila Na ww Jitahid utoke Huko Tunakupenda Chid One Love..
Upholding humanity
Daah the respect alotoa na akakiss the ground for ngweaaa daah chidiiiiiiiiiiiiii salute
Jamaa yuko Sawa Sana..!
NAMWOMBEA KWA MWENYEZI MUNGU AMUONGOZE INSHAALLAH na Nchi Pia Pamoja Na Watanzania Watambue Huyu Jamaa Ana akili gan..!! Mwisho Niseme Tu.. MWENYE AKILI ANATAMBULIKA NA MWENYE AKILI MWENZIE same To Some One CRAYZ👋👋
Chidi for life
This guy sio crazy... ako tu sawa, na angekua chizi hangeweza kuimba kwa umakini kwenye hii ngoma
Nice chidbenze👍
Much love kwa chid i wish atakubali kuna tatizo na atafute msaada kweli.
Mungu akubariki sana chidi benz uwe kama zamani
He can do it,ni msani mzuri sana,and this guy is so smart more than you think 🤔
Ukirudia hii interview mara 4 na hujaielewa ubongo wako ni mdogo saana chid ni genius
Inahitaji utulivu wa akili sana kumuelewa Genius Chid
Kwani yeye tu Chidi ndio ataishi Aki complain hajasaidiwa Na kila Mtu 😊
This guy ni genius
Chidi Is so Impressive and Motivating Wallai May Allah Guide and Protect Him Daima.
chid Benz upo sahihi alienda Kumpa pole na hakufikiria atapewa pesa,, wakati anapewa hakuwa na furaha nazo
M
Ayo Tv
Nawapenda sana from Burundi 🇧🇮 🎉❤ lakini an day interview na Bg Fizzo please 🙏🙏
You have a deep heart Chid Beenz, forever in my heart and praying hard for you.
Aki chidi kumuelewa yataka uwe very keen anauliza kingine anajibu kingine 😂😂😂but we got love for him❤
Ubongo wako low IQ huwez muelewa
Chidi 🎉🎉 ukweli unauma ila watu hubadilika i can feel he has changed but still watu bado tunamfatafita chidi yule aliyekuwa namajanga yake ya zamani tujifunze k appreciate the way he is now and try to support him mentally, emotional, financial big kwa roma hajaangalia his pastlife but his talent
Chid safi hiyo nimeikubali sana
Chid ana real luv kutoka moyoni kabsaa
Chidi benzi❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥🔥🔥🔥❤️❤️
Legendary welcome back brother
am from Japan but leme say Huyu msenge anaakili sana
Chidi mungu tu nfio atamsaidia aache vitu anatumia ako na kitu ndani yake talented 😅
P1 sana chidi, big up sana mzee
Chidi benz noma sanaa
Bonge la genius
Dah Huyu jamaaa ana AKILI sana sikiliza mpaka Mwisho
Ira serikar ingekuwa inaangalia wasanii wetu kabla awajatoka katika uso wadunia uyu tumtizame kwajicho lakwanza kabisa mtu mhimu sana uyu katka taifa
Chidbenz jina kubwa mjini lakini mwenye jina walaaa hajali wala nini🎉
Chini ni noma
Chid Benz mtu poa sana
Chidi ni wazokubwa sana🔥🔥
Jomba ni noma sana Benz
Chid akiwa katika hali hiyo still bado kawazidi uwezo wa kufikiri wasanii wengi sanaa... sijui kabla ya dawa alikua je.. ila chidi kwenye wasanii genius top three yangu yupo akiwa na hali hiyohiyo
Nipe top 2 yako walobakia
Unju na Fidii
King Kong gunius🎉
Roma super but chiddy ni super since Long Time chiddy ni super msela
Kwanini kila kitu ni madaawa..mnataka niongee kama nani tufanane.
Chiz sio mbinafsi 100 💯
Ngoma ile kali sn kuanzia beat na lyrics,Chidi amemmeza Roma kbs.
Safi sana aiseh
We nae dharau nyingi ndo maana husaidiki sasa mtu hata akikupa laki moja ulikuwanayo? halafu chid wewe sio kwamba wasanii hawakupendi bali wewe ndo hutaki kubadilika 😢ila mungu akusaidie kwakweli
Hiyo nimeipenda pipa na mfuniko😂😂😂❤❤
Kumuelewa chid inaomba akili 🧠👈 Sana 🙏😅🎉🎉🎉
Chid you so bright but ni mtundu na mwenye dharau upo kama player balloteli,unajiona star sana kuliko mond kuliko kiba kuliko roma😂
It is about love
Drugs are a bad thing to human
Problem with thought process
Chiz Benz big up bro
Nakosa kuelewa chidy ana tatizo gan...watu wanajaribu kumrudisha kwenye njia lakin Bado aelewi....ila chidy Ujui kama tunakukubali?
Nimecheka et oooh chidi sijui kaiba ooh sijui nini, wanaficha ndani
Mungu amsaidie.
Halafu nyie mnae muhoji chid benzi mnamuharibia sana aonekane ni mtu wa kulalamika yan mbna mna roho mbaya aisee mwana anajitafuta nyie mnamleta maswali ya kikuda aonekane analalamika yan
Bro we Roll❤❤
Ushakuwa wenge BCBG aisee
STAMINA & ROMA WANAMPENDA CHIDY BENZ KI KWELI KWELI. “Wengine wanamcheka”
Me kwangu chd ni msanii bora mara zote hayo mengine ambayo anayo ni mambo ya kibinadam tu
Bro kwel anaroho nzuri afu anakipaji
Unaongea vzur sana tatizo kila unapoongea point pia kuna nguvu ya dawa nayo inajitahid kuongea..Mungu akutangulie
Wewe shoga Sana...dawa za mamako
I love this 😅
@@ericmuthiani1676we ndo shoga sasa
Salute bro
Nyie chid hayupo sawa😕
Et pipa na mfuniko😂😂😂
Ila jamaa anaakili mingi,, ila pia inahitaj akili mingi kum understand
CHIDI HAWAJAMMJULIA HUYU TAHIRA
Pale alikuwa Chod benz Leo ni Rashid 😂😂😂
Daah kamtu kadogo mnadanganywaaaa
Jamaa yuko really sn 🇶🇦
Safi sana
Chid me shabik Yako kitambo na bdo cjakuchoka ..ila kuusu Ile video ya kuomba pesa Ile nitakwel bhana
I like this
😂😂😂😂😂anakula kwa hasiraaa
Hakika bro chidy
King kong❤
Kuna kipande kimekatwa 16:58
Dakika ya 12 umeongea point. Mtu akikutukana jitafakari... Hata na wewe ujitafakari uone ni kwanini watz wanakutusi.. chid punguza unga na pombe.. utafika mbali.
Chid anamaadui wasiotaka Aendelee kuwa Kwenye Nafasi yake, wengine wanajikosha kuwa karibu nae ila Makwilo Still yupo na kipaji kikubwa.
ChidKing🇹🇿
Fact
Genius, na ndy msanii pekee aliyepotezwa ambaye anafuatwa sana na media.
Anakula KWA hasira sana😂😂😂
Binafsi sina uwezo wa kufanya jambo lolote juu ya Chid ila Naamni maombi yangu yatamsaidia,huyo ni Azina kubwa sana kwa Muziki wa Bongo
Pipe na Mfuniko😅😅😅
Chid Benz king Kong chumaa...He come back in town 💥🔥🔥
Duh, dawa mbaya sana. Get well soon kong.
REspeCt chid benz 😂😂😂
Tuseme tu ukweli huyu jamaaa ameeenda
Chidy unasumbua sana broo.tishaaa
Uyu namshangaza Hana shukrani.
Huna akili wew
Shog we
Hujamuelew jamaa amekanusha kwa akili sana sababu lilikuwa swali la mtego kuwa alienda arusha kufuata pesa kwahuyo na bii ndio maana kajibu mimi nilizishka nying na hakujua kama makanisa yanato pesa
Kabla ujamponda huyu bwana kasikilize vyote sizani kama hakuna kitu utofunguka lipo la kushika katka 10 anayo yatamka
Chidy akili nyingi sana
Yani huyu jamaa madawa yashamuaribu ata awezi kujitambua