Asante Mchungaji nmejifunza mengi.Mm binafsi hua nina hasira saana,kitu kidogo hua naanza kumfoka ila leo nmejua ntakua mtu wa kunyamaza.MUNGU akubariki
Heli mungu agekueka huishi miaka mingi mafundisho yako nimazuri sana ya menisaidia sana anyway kila jambo na wakati wake mungu akuweke mahari pema na pia mungu hailinde familia yako kwa kila namna .
Miti mingiii nakupongeza kwa mafunzo yakoo ilaa nnakupinga kwa kutamka kuwaa waislaam hawajaokoka ilaaa wana mafanikio kwa ndowa zao sasaaa nnakuulizaaa MAFANIKIO HUJA KWA MFUMO WA MAABRISHO YA NA NIIII? SASAAA NNAKUJIBU UISLAAM NI MFUMO BORAA YA MAISHA YA MWANAADAM NA NI MAABRISHO YATOKAYO KATIKA A MBRI ZA MWENYEEZ MUNGU
Soo plzzz towa mafundisho ya kijamii na matokeo ya kiduniaa na yampendezayo ALLAAH SUBHANA WA TASLA ilaa sio kuwazungumzia waislaam AATII HAWAJAOKOKA HAKUNA MJA WA MUNGU YOYOOTEE KWA HAPA DUNIANII ALIE OKOKAA KUOKOKA NA KUOKOLEWA NI SIKU YA MALIPO MBELE YA ALLAAH SIKU HIYOO NDIO KILA MTUU ATAJIJUWA KUWA KUOKOKAA AU KUZAMA ILA SIKU HIYO HAIJAFIKAA UTALIPWA TUU HAPAHAPA DUNIANII KWA UYATENDAYO KWA BINAADAM WENZIO ILAA BAINA YA WEWE NA MUUMBA WAKO UTAKWENDA KUUONA UOKOVU SIKU HIYO IKIFIKA SO UNAPO TOWA MIFANO MIZUURI KWA WAISLAAM USIKATIZE NJIANII KWA KUOGOPA KUNYOOSHA KWA UKWELI KWA KUWAOGOPA WATEJA WAKO MUOGOPE MUUMBA WAKO NDIE ALIE KUPA UHAU, PUMZII, NA NGUVUU YA KUSIMAMA HAPO MELE YA WAJA WENZIO SAWAAAA
@@pjsite2390 OOOH INNALILAAH WAINNARAJOUN DAAH SIKUWA NIKIJUWA KUWA AMEFARIKI MWENYEEZI MUNGU AMSAMEHE KWA KIILA ALIYO YAKOSEA NA AMLIPE KILA MAZURI NA MEMA YAKE ALIYO YA TENDA AAMEENA AHSANTE SANA KWA KUNIJUZA NDUGUYANGU🤝🤝🤝🙏🙏🙏
Mwenyezi Mungu Awe pamoja nawe pastor
Asante Mchungaji nmejifunza mengi.Mm binafsi hua nina hasira saana,kitu kidogo hua naanza kumfoka ila leo nmejua ntakua mtu wa kunyamaza.MUNGU akubariki
Wooow! Umenena vema Pastor, barikiwa sana!
Barikiwa baba
Amen
Pumzika kwa amani
Mch natamani kujoin kanisa lako.you are so blessing
Nimeelewa sana mungu akubariki mtumishi
Baba mitimingi kweli MUNGU amekuchagua kuhudumia kanisa la wcc... Mungu akutie nguvu sana usonge mbele
Heli mungu agekueka huishi miaka mingi mafundisho yako nimazuri sana ya menisaidia sana anyway kila jambo na wakati wake mungu akuweke mahari pema na pia mungu hailinde familia yako kwa kila namna .
Mungu akutumie mtumishi Kuokoa ndoa Za watu
Ahsante Mchungaji kwa somo zuri sana
ubarikiwe Baba. unanibariki sanaaaa
Mimi mina itwa Jérémie APA Drcongo province Kolwezi mina farhayi n'a mafundisho ,namuna gani minawezi ku sungumuza n'a pasteur
Rip Bado neno lako liko masikioni mwetu
MASOMO YAKO YANA NGUVU SANA
Mwanamke je
Amina baba barikiwe sana
Mubarikiwesana
Amen 🙏 🙏
Unazunguka sana mchunganji mpaka ufike kwenye point,
Ubarikiwe sana mchungaji
Victor Mwakenja Amina Victor Barikiwa sana sana
Jmn sijawah kuamini km huyu kafa
😭😭😭
Am Kenyan watching from Oman, l love your teachings, you are really preparing me for my husband
Hayo yapo kwenye Quran yote dini ni moja hakika lugha tofauti
be blessed PR
Wambiye hawo wanawake
Mchg nami naanza mabadlko kuanzia sasa maana mambo hayaend
sawa
Nice RIP M.
Amani sana mtumishi
Amina sana baba chunga kondoo wa Bwana
Mara nyingi nakukumbuka nakuombea Mungu akupe raha ya mileke .huko mbinguni
J'en précis et j'encourage ...
S'il vous plaît veuillez l'abonné pour suivre vos prédications....
Bonjour frere Ahadi
hata mmi nimuislam na ninaskiliza aisee
Miti mingiii nakupongeza kwa mafunzo yakoo ilaa nnakupinga kwa kutamka kuwaa waislaam hawajaokoka ilaaa wana mafanikio kwa ndowa zao sasaaa nnakuulizaaa MAFANIKIO HUJA KWA MFUMO WA MAABRISHO YA NA NIIII? SASAAA NNAKUJIBU UISLAAM NI MFUMO BORAA YA MAISHA YA MWANAADAM NA NI MAABRISHO YATOKAYO KATIKA A MBRI ZA MWENYEEZ MUNGU
Soo plzzz towa mafundisho ya kijamii na matokeo ya kiduniaa na yampendezayo ALLAAH SUBHANA WA TASLA ilaa sio kuwazungumzia waislaam AATII HAWAJAOKOKA HAKUNA MJA WA MUNGU YOYOOTEE KWA HAPA DUNIANII ALIE OKOKAA KUOKOKA NA KUOKOLEWA NI SIKU YA MALIPO MBELE YA ALLAAH SIKU HIYOO NDIO KILA MTUU ATAJIJUWA KUWA KUOKOKAA AU KUZAMA ILA SIKU HIYO HAIJAFIKAA UTALIPWA TUU HAPAHAPA DUNIANII KWA UYATENDAYO KWA BINAADAM WENZIO ILAA BAINA YA WEWE NA MUUMBA WAKO UTAKWENDA KUUONA UOKOVU SIKU HIYO IKIFIKA SO UNAPO TOWA MIFANO MIZUURI KWA WAISLAAM USIKATIZE NJIANII KWA KUOGOPA KUNYOOSHA KWA UKWELI KWA KUWAOGOPA WATEJA WAKO MUOGOPE MUUMBA WAKO NDIE ALIE KUPA UHAU, PUMZII, NA NGUVUU YA KUSIMAMA HAPO MELE YA WAJA WENZIO SAWAAAA
Mmnajua kafa huyu
@@pjsite2390 OOOH INNALILAAH WAINNARAJOUN DAAH SIKUWA NIKIJUWA KUWA AMEFARIKI MWENYEEZI MUNGU AMSAMEHE KWA KIILA ALIYO YAKOSEA NA AMLIPE KILA MAZURI NA MEMA YAKE ALIYO YA TENDA
AAMEENA AHSANTE SANA KWA KUNIJUZA NDUGUYANGU🤝🤝🤝🙏🙏🙏
Amen
😢
Mchawi kujifunza hapa
Tunajifunza