MJUE ADUI YAKO KWA AJILI YA USALAMA WA FAMILIA YAKO"PASTOR MGOGO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 дек 2024

Комментарии •

  • @BerthaPaul-r2g
    @BerthaPaul-r2g Месяц назад

    Amen MUNGU akupe maisha mema

  • @RosemaryRoberty
    @RosemaryRoberty Месяц назад

    Amina sana mchungaji mungu akubatik mafundisho yako yanazid kunipa nguvu na ujadir nakuamini kama mambo yote yanawezzekana

  • @MaryAwinja-s5s
    @MaryAwinja-s5s 8 месяцев назад +6

    Naomba Mungu anisaidie kulinda nafsi yangu

  • @fridahtears8619
    @fridahtears8619 7 месяцев назад +3

    MUNGU akubariki sana mtumishi wa MUNGU,mafundisho Yako yanabariki sana...

  • @zubedamae-ro1jx
    @zubedamae-ro1jx 7 месяцев назад +19

    Hii church bwanangu haeizi ingia kwa maana ataona mtumishi anamuongelea yy tu 😂 Mungu akuzidishie nguvu ndani yako uzidi kutuhubiria ukweli kwa maana unaponya wengi wetu nafsi zetu ❤️

  • @EzechiasKASAY
    @EzechiasKASAY 8 месяцев назад +7

    Mungu azidishe nguvu zake ndani mwako baba

  • @HidnahMuema
    @HidnahMuema 8 месяцев назад +1

    Zidishiwa Sana neema ya Mungu Sana pst

  • @mercylinemakori2040
    @mercylinemakori2040 16 дней назад +1

    Pastor unaongea ukweli kabisaa Asante kwa neno nakua na furaha nyingi nikisikia mahubiri yako Mungu akubariki

  • @DariusNdayikengurukiye-m8s
    @DariusNdayikengurukiye-m8s 5 месяцев назад

    Pastor mgogo mungu akuzidishiye Sana na akubariki

  • @JOHNKKULULINDA-pc6gy
    @JOHNKKULULINDA-pc6gy 7 месяцев назад

    MTUMIXHI, HONGERA SANA KWA ELIMU. AMEN.

  • @VIRGINIENDINDIYAHAGA
    @VIRGINIENDINDIYAHAGA 7 месяцев назад

    Mungu akuongeee neema ps na nguvu kwa kazi ya uhubiri kwa jina la yesu kristo was Nazareth

  • @consolatamanirakiza5076
    @consolatamanirakiza5076 7 месяцев назад +1

    Mungu akupe ma ishamalefu uendeleye kufundisha hayoma neno unatufula Hisha mungu akubaliki❤

  • @isaacmanasse243
    @isaacmanasse243 6 месяцев назад

    Shukrani kwa Mungu Wa mbinguni

  • @MagamboWambura
    @MagamboWambura 7 месяцев назад

    Mungu aendelee kukufunulia zaidi utufundishe 2mjue mungu aliyehai.

  • @benjaminimtafya8707
    @benjaminimtafya8707 7 месяцев назад +1

    Barikiwa sana baba 🎉

  • @emilywacira
    @emilywacira 8 месяцев назад

    Kweli mchungaji Asante kwa ujumbe

  • @JaneJane-h2i
    @JaneJane-h2i 7 месяцев назад

    Ubarikiwe sana muchungaji

  • @AnttonetMawombi-l8r
    @AnttonetMawombi-l8r 7 месяцев назад

    Nikweli pasta Mugogo Asante sana Mungu akubalik 😊😊😊🎉🎉

  • @WanjalaErnest
    @WanjalaErnest 5 месяцев назад

    Pastor mungu akube nguvu sana.

  • @AngelMyinga
    @AngelMyinga 5 месяцев назад

    PASTOR MUNGU AKUBARIKI AKUBARIKI SANA UNANIJENGA SANA

  • @MorishoMasasuGrevisse
    @MorishoMasasuGrevisse 7 месяцев назад

    Vraiment pale ni Sawa kabisa

  • @moseskyalo1350
    @moseskyalo1350 8 месяцев назад +1

    Naomba MUNGU anifundishe kudhibiti nafsi.

  • @rosemassawe9456
    @rosemassawe9456 7 месяцев назад

    Mungu azidi kukupaka mafuta.Amina

  • @BettyNyakoa
    @BettyNyakoa 6 месяцев назад

    Ukweli kabisa nilikua napigwa kama sina kazi nikiomba hela nachapwa sahii simwombi tukopoa sana ju siombi hela zake asante tumebarikiwa sana

  • @RizikiMakayaShabani
    @RizikiMakayaShabani 6 месяцев назад

    Ameni Amina Amina Amina

  • @revereddoriswafula3838
    @revereddoriswafula3838 7 месяцев назад

    Neema ya mungu itutoshe

  • @AngelMyinga
    @AngelMyinga 5 месяцев назад

    Hongera sana

  • @emillyzeeh1173
    @emillyzeeh1173 3 месяца назад +1

    🙏🙏🙏🙏🙏🇩🇪🇩🇪🇩🇪🇩🇪🇩🇪Amen Pastor

  • @EzekiahMdoe
    @EzekiahMdoe 7 месяцев назад +1

    We unajua kuhubir

  • @estherkmulinya
    @estherkmulinya 7 месяцев назад

    Ujumbe nzuri

  • @sifamleci3143
    @sifamleci3143 8 месяцев назад +1

    amen🙏🙏

  • @MusaKatsuba
    @MusaKatsuba 5 месяцев назад

    Ninapenda nikuwe Sawa weeeh!!! Mu chungaji!!!!

  • @veronicacyprian8771
    @veronicacyprian8771 7 месяцев назад

    aminaaaa

  • @GraceNdakuya
    @GraceNdakuya 6 месяцев назад

    Umesema ukweli mtumishi

  • @EuniceBarasa-kn5zk
    @EuniceBarasa-kn5zk 7 месяцев назад +1

    🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @neemakarisa1496
    @neemakarisa1496 7 месяцев назад +2

    Mahitaji ya nyumbani ni ya mwana ume,hata tukawa nakazi hatuwezi kununua vitu vya nyumbani maybe mahitaji yetu binaus Tena ikibidi lazima tuombe,kama hatutaomba siataenda kuhonga wana wake wengine huko inje,

  • @EugeneWafula-w2v
    @EugeneWafula-w2v 21 день назад

    Amen ❤❤❤❤😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉

  • @ذوات
    @ذوات 5 месяцев назад

    Amen 🎉🎉🎉

  • @MosesSichalwe-dn3pu
    @MosesSichalwe-dn3pu 8 месяцев назад

    Amen

  • @KevineKataka
    @KevineKataka 7 месяцев назад

    😂❤apo umetuwezaa aki pst 😅😂😂😅🤣🤣🤣🤣😅😂 Amina kabisa true 🥰🤔🤣😅😂👈ni saa mihe ni me kosaaa🤔🥰🤣🙏🤝

  • @rebeccahsidede2858
    @rebeccahsidede2858 5 месяцев назад

    FACT

  • @CarrenaMichael
    @CarrenaMichael 5 месяцев назад

    Nauliza kunakuwaga na seminar za wamama because nataka kupeleka mamangu

  • @AtienoAchoki-yl9or
    @AtienoAchoki-yl9or 6 месяцев назад +1

    Walimu hodari na kiswahili sanifu

  • @BerthaPaul-r2g
    @BerthaPaul-r2g Месяц назад

    20:45 20:47

  • @AmAm-xt1og
    @AmAm-xt1og 6 месяцев назад

    😂😂😂😂😂😂😂😂Amen

  • @KephaDanieli-jl4rl
    @KephaDanieli-jl4rl 7 месяцев назад

    Nakumbuka ulivo kuja dodoma ihumwa ulitupiga mawe

  • @JaneJane-h2i
    @JaneJane-h2i 7 месяцев назад +2

    😂😂😂😂😂😂

  • @JimmyByamungu
    @JimmyByamungu 7 месяцев назад

    Kuna mda unakosea mtumishi haiwezi piga mke bila kosa kwani uamini kuwa kunamwanamk haambiliki Hilo hunijui unachat umemuagiz kit mala yakwanza naya nne kipi kifanyike

  • @estherkmulinya
    @estherkmulinya 7 месяцев назад

    Amen

  • @JamesYaya-vc8zl
    @JamesYaya-vc8zl 7 месяцев назад

    Amen

  • @francinebuhoro
    @francinebuhoro 7 месяцев назад +2

    Amen

  • @marynyota6146
    @marynyota6146 7 месяцев назад

    Amen

  • @SAKINDINSOROEmmanuel
    @SAKINDINSOROEmmanuel 6 месяцев назад

    Amen

  • @SalomeMoturi
    @SalomeMoturi 3 месяца назад

    Amen