MZEE MACHANO: NILIKUWA NAFUNGWA KILA ZIKIKARIBIA SHEREHE ZA MAPINDUZI/ TULIANZISHA CUF

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 29 янв 2022
  • --
    Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
    JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
    ⚫️ Email: dar24news@gmail.com
    ⚫️ Website: www.dar24.com
    ⚫️ Instagram: @Dar24Tz
    ⚫️ Facebook: @dar24news
    ⚫️ Twitter: @Dar24News
    #MzeeMachano #Zanzibar

Комментарии • 10

  • @zuweinaally2413
    @zuweinaally2413 2 года назад +2

    Ningependa Mahojiano yaendelee..Mzee Machano useme ukweli wote ili watoto wetu waelewe Faida na Hasara ya Vyama vingi na matokeo huko ZANZIBAR...Nimefurahi kukuona ukihojiwa na muandishi wa Habari..

  • @omarhamadomar8832
    @omarhamadomar8832 2 года назад +1

    Mzee machano umepambana sana

  • @oscarezekiel1826
    @oscarezekiel1826 2 года назад +4

    Tatizo unakatisha mahojiano kinyambinyambi,,,hakuna hata kuaga yaani utadhani ulikatikiwa na umeme..ila kipindi kizuri.

  • @a.856
    @a.856 2 года назад +1

    🙏

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 2 года назад +1

    Hii ndio faida ya siasa

  • @saidsuleiman1753
    @saidsuleiman1753 2 года назад

    We bardhuli mbona umekata

  • @OmarMohamed-zf8dp
    @OmarMohamed-zf8dp 8 месяцев назад

    Huyo nimuongo CUF muwazilishi ni ALI haji pandu huyundio muwanzilishi wa Chama cha CUF mzaliwa wa kusini unguja makunduchi

    • @hassanzizi8420
      @hassanzizi8420 5 месяцев назад

      Amesema alishirikiana na wenzake kuunda chama hakusema yeye ndie alieunda chama cha CUF.

    • @saidijumahussein533
      @saidijumahussein533 4 месяца назад

      uwe unasikiliza sio unakurupuka kukoment