Wamenifukuza CCM lakini hawawezi kuuchukuwa uzalendo wangu kwa Zanzibar - Mzee Moyo

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 17 авг 2020
  • Miaka mitano iliyopita, Mzee Hassan Nassor Moyo alifukuzwa kutoka chama chake alichodumu nacho muda mrefu cha CCM kwa shutuma za kukiuka misingi ya chama hicho. Mwenyewe aliiambia Sauti ya Ujerumani ya Deutsche Welle kwamba hajali na angeliendelea kukisimamia alichokuwa akikiamini ambacho ni Maridhiano ya Wazanzibari, Muungano wa Serikali Tatu, na Zanzibar yenye mamlaka yake.

Комментарии • 58

  • @AP-uk3mq
    @AP-uk3mq 3 года назад +11

    Allah akupe Qauli thabit Mzee wetu. Akusameh makosa yako

  • @zanlec7357
    @zanlec7357 11 месяцев назад +1

    Allah atie nuor Njema kwenye Kaburi lako, na manukato mazuri ya neema, na akujaalie pepo siku ya mwisho

  • @Time-ev3dw
    @Time-ev3dw Месяц назад

    Alla akurehem mzee wet hakika uliipambania nchi yet na hukuyumba wao ni madalali wa nchi yet kwa uwezo wa Alla hawatafanikiwa

  • @MsanangoMwalabu-rx1oo
    @MsanangoMwalabu-rx1oo 6 месяцев назад

    Mzee mshukuru mungu kukumbusha usiondoke dunian na DOA LA dhuruma na ukandamizaji haki za wananchi

  • @salimharrasy7047
    @salimharrasy7047 3 года назад +3

    Allah akustiri mzee wetu.
    Amin.

  • @albassambakili3757
    @albassambakili3757 3 года назад +1

    Mzee moyoo Allah akusamehe madhambi yko

  • @pandungozi1072
    @pandungozi1072 3 года назад

    Allaah akughufirie dhambi zaka na akulaze pahala pema peponi but tumeondokewa na mzee wetu mwenye msimamo mkali,fikra na busara kubwa kwa wazanzibarii🙏

  • @masoudyrashidy9041
    @masoudyrashidy9041 3 года назад +2

    Babu yangu mungu akuvishe taji la peponi

  • @maikosaga3632
    @maikosaga3632 3 года назад +2

    Mungu akulaze mahali pema peponi mzee wetu mwema amiin

  • @abdulfirst_pilot
    @abdulfirst_pilot 3 года назад

    Mungua ailaze roho ya mzee moyo mahali pema peponi amini kiukwelii wazanzibar wata kukumbuka sana kwa msimamo wako na kuitakia mema zanzibar pia

  • @amarbinswaleh4293
    @amarbinswaleh4293 3 года назад +3

    Inasubiriw ukasitiriwe kwenje njumba yako ya Miller Mungu akulaze mahala pema peponi Amin

  • @talibally8743
    @talibally8743 3 года назад +2

    Allah akupe kauli thabit n akuingiz peponi kw rehma za Allah... Ww unaipnd nchi yk n wtu wko huu ndio uislm unvotkiwa n hii ndio dini y kweli... Unambiw uwpend waislm wenzio kuliko unvo ipnd nafsi yk.. Mm nkuombea dua ya rabbi mpe pepo mj wko kw rehma zako apokelew kw mikono miwili n kitbu chko upew kw mkon w kulia... Amin.... Zanzibar asa hv tun dhulumiwa cc n cc viongz wn lion hli lkn wnfny hv Sbb wnaon jion wnpt kil kit cc wchn nd tunumia

    • @rehemamost444
      @rehemamost444 3 года назад

      Dini yakweli , unapenda binadamy wote sio waisilamu wenziio Tu,

    • @alhamdulillah5796
      @alhamdulillah5796 3 года назад

      @@rehemamost444, Uisilam ni dini ya kweli na haq. Na ndio mana Allah akaeka wazi mapenzi ya imani, ya udugu na ubinaadamu. Uisilam umetufunza kupenda waisilam wenzetu, kupenda wanaadamu wote kiujumla, nakuwapenda ahli zetu. Na uisilam hauna kosa kusema mpende muisilam mwenzio kuliko unavyoipenda nafs yako mana nyote ni waimani moja. Akifa leo hatatoka wa dini nyengine akaja akamzika.

  • @maryamabdullah9169
    @maryamabdullah9169 3 года назад +6

    Innalillahi Wainna Ilayhii Rajiuun

  • @fatmas7338
    @fatmas7338 3 года назад +1

    Allah akupe qaul thabit mzee wetu

  • @salimmawiya6473
    @salimmawiya6473 3 года назад +2

    Mzee Wangu umeonesha juhudi yako kwa Zanzibar

  • @rukky4169
    @rukky4169 3 года назад

    Allah a kurehemu na akusameh makosa yako ww na jamii muslimiin

  • @aybkham5795
    @aybkham5795 3 года назад

    ALLAH amped mzee Hassan Nassoro Moyo Makazi mema peponi, Aameen

  • @alialibablly7010
    @alialibablly7010 3 года назад +6

    Uchungu wa zanzibar aujua mwana zanzibar alie kinae

  • @sulaimanalriyami471
    @sulaimanalriyami471 3 года назад +1

    اللهم غفر له وارحمه واسكنه فسيح جناته

  • @muhiddinjamhour910
    @muhiddinjamhour910 3 года назад +6

    انا لله وانا اليه راجعون
    الله يرحمه ويغفر له

    • @kingelkindy2920
      @kingelkindy2920 3 года назад

      الله يغفر له ويرحمه ويسكنه فسيح جناته

  • @Ahmadasshii-raazy8888
    @Ahmadasshii-raazy8888 3 года назад

    اللهم اغفر له وارحمه واسكنه في الجنة واكرم مثواه

  • @husseinmillans3794
    @husseinmillans3794 3 года назад

    Inna lillah wainna ilaih rajiuun!!R.I.P Papa.

  • @amarbinswaleh4293
    @amarbinswaleh4293 3 года назад +9

    Mung akulaze pema peponi

  • @alisaid1204
    @alisaid1204 3 года назад +2

    Ewe Mola wa Arshi tukufu msamehe mzee Moyo na wazee wetu walo kwisha tangulia na uwaingize katika jannat l-firdaws.

    • @AP-uk3mq
      @AP-uk3mq 3 года назад +1

      Ameen

    • @ahmedkhamis9539
      @ahmedkhamis9539 3 года назад +1

      Allah amrehemu mzee wetu amsamehe makosa yake

    • @rehemamost444
      @rehemamost444 3 года назад

      Kama Tanzania inanuka maovu, usingeishi, nenda hapo Somalia Tu, ukaishi harafu ndo utajua Tanzania viongoz wetu wananukia Aman,

    • @mohammedhamad9392
      @mohammedhamad9392 3 года назад

      @@rehemamost444 Zanzibar kwanzaaaa

  • @samoragoodwin7309
    @samoragoodwin7309 3 года назад +1

    Mzee moyo alisimamia kile alichokuwa anaamini

  • @thedriver.michael.3975
    @thedriver.michael.3975 Год назад

    Kama wewe ni muasisi wa muungano iweje leo unataka uvunjike? Inna lillah...

  • @z.nalnabhani7194
    @z.nalnabhani7194 3 года назад

    Alamdulillah uliwaacha madhalimu na udhalimu wao

  • @athumankigomba427
    @athumankigomba427 3 года назад

    Mzee Zanzibar au tanzania

  • @hamishamis9905
    @hamishamis9905 3 года назад

    Rip

  • @happyjeremiahmhuli4043
    @happyjeremiahmhuli4043 Месяц назад

    Hawakumtendea haki

  • @gangmore9091
    @gangmore9091 3 года назад

    Ukisema ukweli n kutaka mamlaka kamili zanzibar nakutetea zanzibar ccm haitaki ivo Allah akusamehe mazambi yako akujalie kauli sabit naukisema ukweli ktk ccm lazima ufukuzwe

  • @adilhabibu7958
    @adilhabibu7958 3 года назад

    Mmh

  • @saidrakwe8727
    @saidrakwe8727 8 месяцев назад

    Mola akubari na umejitahidi kadiri ya uwezo wako

  • @iddijumaali7192
    @iddijumaali7192 3 года назад +1

    Simba

  • @mattarmattar4405
    @mattarmattar4405 3 года назад

    [[[[[[[]]]]]]]]

  • @abdulrahmansalim9773
    @abdulrahmansalim9773 3 года назад

    Mapinduzi ya mama zao

  • @mwalimumbukuzi7273
    @mwalimumbukuzi7273 3 года назад

    kina maalim sefu igeni ukweli na uaminifu wa huyu comred,ili iwe ni ushahidi mbele ya Allah.
    fitna na farka+majungu vitawafanya mfe vibaya

  • @tawfiqissa6123
    @tawfiqissa6123 3 года назад

    Hatuta kusahau ww nilulu kwa zanzibar yetu

  • @abdulrahmansalim9773
    @abdulrahmansalim9773 3 года назад

    Tanzania inanuka maovu kutoka kwa wanaongoza uongozi

    • @fahadfaraj1822
      @fahadfaraj1822 3 года назад

      Siasa ya duniani ipo ivyo leo iyo saudia nchi takatifu na kumeoza kiuongozi ivyo tuombe pepo tu haya ya dunia wala hayana lolote

  • @abdulrahmansalim9773
    @abdulrahmansalim9773 3 года назад

    Bado tinga tinga na wafuasi wake

  • @adammillanzi6087
    @adammillanzi6087 3 года назад

    Mnafki hana chochote. CCM oyeeeeee mpaka kiama. Mkichukia poa tu.

  • @jumakapilima5674
    @jumakapilima5674 3 года назад

    Mnafiki wewe!!!

  • @muhammadmuhammad5043
    @muhammadmuhammad5043 3 года назад

    Allah Akujaalie Qabri Yako Minalriadhiljannah Yarabiy