@@khamiskidiko3827 wacha ujinga huo inaonekana ww mbumbumbu sana ndgu yngu wacha chuki na choyo jamaa wanalengo zuri tuwaombee Mungu awaongoze ndio nyinyi wanga
Kwa hiyo siku zote watu munataka wewe wahadimu . Na ndio uchoyo na ushirikina haukoondokeni .mila na utamaduni ndio nini .na ndio mana majumba machafu na mabovu .kisa munaitunza historia kama .mji mkongwe na majumba ya michenzani. .
Mashaallah mwenyekiti na katib wake imependeza sana tu
Hongereeee wa Zanzibar kwa tamaduni zenu zapendeza mashaallah. Chakula chenu pia kitamu. Hodi zenji kijiji cha bweleo
Kuwapumbaza masikii tu mbona hamuwapeleki wtto wa mizi wa serekali. Wapumpavu wakubwa njie
@@khamiskidiko3827 wacha ujinga huo inaonekana ww mbumbumbu sana ndgu yngu wacha chuki na choyo jamaa wanalengo zuri tuwaombee Mungu awaongoze ndio nyinyi wanga
🤔
@@josej9888 🙄
MashaAllah. Ufundi wa mkono 😘. Vyakula jee? Nzuri jamani 😋👍🏼. Mabruk🙌🏽👏🏼👌🏽. Jamani mi nakumbuka mchezo wa utotoni. Yaani hadi raha
utamadun ktu muhimu sn
Kwa hiyo siku zote watu munataka wewe wahadimu . Na ndio uchoyo na ushirikina haukoondokeni .mila na utamaduni ndio nini .na ndio mana majumba machafu na mabovu .kisa munaitunza historia kama .mji mkongwe na majumba ya michenzani. .
Unaongea pumba tupu wallah ovyo kabisa aibu comment yko ni ww peke yko tuu
Pole sana haji abdalla ovyooo