Ebu mtu wa Mungu tukuza kuona na wengine wana mkiri Mungu ujue ndiyo manzo wa safari kumkiri Mungu napia wakiburudika ni sawa kabisa kwake Yesu hakuna huzuni bali rahani
Ukweli nikwamba hii nyimbo inaweza kuwa moja ya nyimbo itakayoleta roho za watu kwa Mungu. Asili ya uimbaji ni utamaduni wa jamii flani. Huwezi sema waimbaji injili wa Jamaica ni wadunia. Nini kinachoibwa nibora zaidi kuliko aina ya uimbaji. Ikumbukwe Rap, RNB, Opera, etc ni aina tulizo zitenngeneza wanadamu kuzipangilia na kufundishana kisha kuzawadiana pale zinapofanya vyema. Message/Ujumbe ndio hufanya kitu/nyimbo kuwa ya ki-Mungu/Dunia.
Hakuna ibada humo bali ni uimbaji wa kuburudisha watu ,hakuna tofauti na muziki wa kidunia kabisa au msanii darasa ,God help us .kama wapo kimaslai sawa lakini kiibada hakuna ibada
@@jimmy-z5n ndio maana kuna disko na kanisa haya yote yana utaratibu na watu wa aina gani au sifa wanaotakiwa huko. Elewa mada usitetee vitu ambavyo sio sahii
Nafurahi kuona Gospel inachanja mbuga mpaka kwa wasanii wa music wa kidunia
wimbo mkali ila wameondoa maadili ya dini wameifanya Kam wa kidunia
Wimbo huu umekuwa gumzo mtaani bonge la dude 🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤ 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
ni hatari
Oya corasi nimeikubali sana p mawenge wwe fundi sana
Ebu mtu wa Mungu tukuza kuona na wengine wana mkiri Mungu ujue ndiyo manzo wa safari kumkiri Mungu napia wakiburudika ni sawa kabisa kwake Yesu hakuna huzuni bali rahani
Ndio maana Yesu hatajwi kwenye huu wimbo. Purely secular. Center of attention sio Yesu na kazi yake ya msalaba.
Acha watu watengeneze pesa wewe, yesu mtaje wewe kwenye nyimbo zako.
@katinila Asante sana ubarikiwe.
Olodumare ni miungu ya kabila la Nigeria huko hivyo usishangae
Am goin to ask my fellow nigerian @@warakawayohana2896
basi MUNGU anayetajwa humu awe YESU moyoni mwako 😊
Huu wimbo watu wa hip hop ndio wanauwezea Sana halafu huyu producer ni mkali Sana
Bando kaia sana
Feel bressed with this morden gospel song...❤❤❤
Ya kufungiaa mwakaaa
Owaaaaaa😂😂😂😂
Hip hop imeonekanaaa this year atariiii na nusuu❤❤❤❤❤
Mawenge kawakalisha wote 😅😅😊
Wote wameua 🔥🔥
🔥🔥
I imeuwa snaaa❤❤❤❤
Mungu yuko upande wako G hata ulipo ni kwaaneema zake, nyimbo yako inaliza kwakweli
Noma Sana 🎉🎉
🎉🎉🔥🔥
Unyama ni mwingi big up sana mmeua
Povu liko juu tenaa aaahhh moni moni moni 😅😅
Mawenge kaua sana !!!! P Maawennge
Majengo sokoni fire 🔥 sana
bless you joel langw
Mon and sound vizuri kabisa
Mawengeee
Wakuu hapa hakuna mshindi but you all deserve respect as evry one has made it to the extent..
Injili isonge mbele
Safiii Desekepi music 👊
Ungemuweka na mon centrazone kaua sana
Moni Centrozone Yuko verse ya kwanza hapo mkuu
This guy ran away from copyright claims😂😂😂😂 it's a good track
Wote wameua sana
Woyoooo hii ni zaid ya track 🔥🔥
P Mawenge ni floo zakinyamwezi sana
Sana
Mwenye bando lake sass @bandomc%%10000
Wanajua
1. Bando🔥
2. P Mawenge🔥
3. Moni Centrezone🔥
🔥🔥
Hilo jina la hiyo nyimbo ni mchawi mmoja hatari nigeria na ukimtaja tu lzm utoboe
🤣🤣🤣🤣🤣😘
Akuna mnyonge 🎉
Wame tulia mbaya
Kaliii
🔥🔥🔥
Zote za moto💥💥💥💥💥
Wamesahau ney
malumeeee💥💥💥
Bando bado mshamba shamba sijawah kumuelew sio mbaya ndo anaingia mjini hivyo hivyo tutafanyaje,, kajitahid ana mjua mungu kias chake bless
Wengeeee 🎉🎉🎉💐💐🙏🤝
Mawenge noma
Much respect broh,all the way from Spain!!
Moni killed it
Maweeeeeeeeeengeeeeee😂😂🔥🔥🔥🔥🔥✌️
Weeeengee🔥🔥
Classic Tune Mr P🎉🎉🎉
Secular and gospel too 😫🚒🚒🧨
Kwenye comment kuna watu wanaona husuda😂😂
Malumeee❤❤❤
Smart af🔥🔥
Umemsahau izzo b
Izo Yuko hapa ruclips.net/video/Vk76BD_WlsM/видео.htmlsi=vkAvXi3no1dkcLlf
Mawenge kauwa
Bando mc 🔥🔥🔥🔥🔥💪
❤
Malumee
❤🙏🙏🙏
Bando katisha
Ukweli nikwamba hii nyimbo inaweza kuwa moja ya nyimbo itakayoleta roho za watu kwa Mungu. Asili ya uimbaji ni utamaduni wa jamii flani. Huwezi sema waimbaji injili wa Jamaica ni wadunia. Nini kinachoibwa nibora zaidi kuliko aina ya uimbaji.
Ikumbukwe Rap, RNB, Opera, etc ni aina tulizo zitenngeneza wanadamu kuzipangilia na kufundishana kisha kuzawadiana pale zinapofanya vyema. Message/Ujumbe ndio hufanya kitu/nyimbo kuwa ya ki-Mungu/Dunia.
❤❤❤🎉
🔥🔥
Wameuwa ile mbaya l see you marume
Weeenge
🔥 🔥
P mawenge🎉
❤❤❤
Bado verse yangu ujaweka mzee wnagu
Nataka niseme ukweli hii kitu initoke nyimbo zenu ni kazi kuntu na murua Sana but ikiendelea hivi Kuna mtu atagongewa
OLODUMARE??? 😢😢
Hakuna ibada humo bali ni uimbaji wa kuburudisha watu ,hakuna tofauti na muziki wa kidunia kabisa au msanii darasa ,God help us .kama wapo kimaslai sawa lakini kiibada hakuna ibada
Ww pekee ndo unajua jins ya kuabudu na utaenda mbingun peke yako maana unajua Kila kitu
Yah neno liko wazi nuru na giza havichangani
Acha kujitenganisha sisi sote tunamtegemea mungu katika mafanikio yetu
@@jimmy-z5n ndio maana kuna disko na kanisa haya yote yana utaratibu na watu wa aina gani au sifa wanaotakiwa huko. Elewa mada usitetee vitu ambavyo sio sahii
@@pascaltesha7329 Mungu ni wautaratibu maalamu. Hiyo ipo wazi kabisa
Where is Fivara?
👍👍👍