5. MBINU ZA KUSHINDA VITA VINAVYOKUJA VYA KIFIKRA KATIKA MIFUMO || MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE: MBEYA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 дек 2024

Комментарии • 56

  • @gilliangillian6748
    @gilliangillian6748 Месяц назад +4

    Mungu mpe mwl Christopher na mwl diana Mwakasege na team nzima ya mana plenty of years filled with alot of blessings ,joy, happiness 😊 and laughter 😃 🙏🙏🙏asante mwl kwa mafundisho mazuri sana your super right ✅️ mwl Diana thanks so much

  • @aloisnjau7086
    @aloisnjau7086 Месяц назад +6

    Tunamshukuru Mungu kwa ajili ya semina hii 🙏🙏🙏🙏........hakika Mungu ni mwema nyakati zote.

  • @JoyceMetsoni
    @JoyceMetsoni Месяц назад +4

    Tunamshukuru Mungu kwa ajili yako mwalimu mwakasege Mungu akubariki,,,,,, hakika Mungu ni mwema semina hiii imenibariki san🙏🙏

  • @JanethValentine
    @JanethValentine Месяц назад +2

    Mwalimu na mama Diana Mungu aliye hai awape maisha marefu yenye amani na furaha… awaepushe na kila baya kutoka kwa yule mwovu, Neema yake na kibali visiwapungukie 🙏🏾

  • @SarahPeter-q4y
    @SarahPeter-q4y Месяц назад +3

    Mungu abariki sana huduma yako. Mungu azidi kukutumia kutufundisha kuhusu mambo yajayo tuzidi kuelewa na Mungu atusaidie kuelewa na kuamini.

  • @SarahMollel-ul5um
    @SarahMollel-ul5um Месяц назад +1

    Baba na mama mwakasege na uduma yote ya mana Mungu awabariki na kuwatunza katka maisha yenu yote Ameeeen

  • @teddymhenga3006
    @teddymhenga3006 Месяц назад +3

    Kwa kweli kupitia Semina za Mwl tunamwona Mungu sana na jinsi anavyotupenda na kutuhangaikia Kila siku tuweze kuvuka na tutoke maeneo tuliopo.

  • @gilliangillian6748
    @gilliangillian6748 Месяц назад +1

    Asante Mungu kwa mafundisho haya.Uwabariki watumishi wako mwl Christopher na Diana Mwakasege na timu nzima ya MANA.

  • @teddyjohn1240
    @teddyjohn1240 Месяц назад +1

    Asante Mungu kwa injili tamu uzidi kutufungua tuelewe na maandiko yoko

  • @maryswai3403
    @maryswai3403 Месяц назад +2

    Mungu nakushukuru nipiganie juu ya vita niliyinayo juu ya wito na karama juu ya roho za Uzinzi zinazotumwa ktk maisha yangu,wanaochimba mashimo watumbukie wenyewe🙌🙌🙌

  • @heradiussdereck2257
    @heradiussdereck2257 Месяц назад +3

    Asante Yesu kwa kutupatia maelekezo haya ya faida kw maisha yetu

  • @GEOFREYKILINDU
    @GEOFREYKILINDU Месяц назад +2

    Mungu akubaliki sana mwalimu wang yan nataman sana kila sehem unayo kuwa namimi niwe nakuwepo

  • @nancydenis.9231
    @nancydenis.9231 Месяц назад +3

    Kaa chini unasimama,simama unakaa chini n UASI ...Mungu tusaidie kukuelewa na kukusikia na kufanya mapenzi yako

  • @nancydenis.9231
    @nancydenis.9231 Месяц назад +2

    Woooooooh❤❤ dar es salam

  • @DianaPascal-zg8fg
    @DianaPascal-zg8fg Месяц назад +1

    Ubarikiwe sana mtumishi

  • @shukurugeorge6366
    @shukurugeorge6366 Месяц назад +1

    Mwalimu ni mwalimu Mungu akutunze kwa utukufu wake tu.

  • @Denisdidasurio
    @Denisdidasurio Месяц назад +2

    Baba asante umetupa upanga mkali 🙌🏾🤲🏽🤲🏽

  • @marynialivet3746
    @marynialivet3746 Месяц назад +10

    Kuna masomo unayasikia yanaponya nafsi yako yanakupoya Roho na mwili yanakupa nguvu ya kutafakari na kusonga mbele🙌🙌🙌na ulipokosea unaanza upya🙏

  • @ELIWITNESSPHILIPO
    @ELIWITNESSPHILIPO Месяц назад

    Naona utukufu sana wa MUNGU . Amen

  • @magdalenasirikwa517
    @magdalenasirikwa517 Месяц назад +5

    Watu ukiwaambia Yesu karibu kurudi ,anakuambia toka tunazaliwa tunaambiwa anarudi na hajarudi .Mama Mwakasege ulicho sema ndicho tunachokutana nacho

  • @ganakoluxurylodge7663
    @ganakoluxurylodge7663 Месяц назад +1

    AMINA. TO GOD ALMIGHTY BE ALL THE GLORY. MUNGU WETU NI MWEMA SANA.

  • @user98771
    @user98771 Месяц назад +2

    Mungu mkuu anasema na kanisa lake! Baba tunapokea kwa Jina la Yesu ni neno la wakati!

  • @gilliangillian6748
    @gilliangillian6748 Месяц назад +1

    Amen mwl

  • @nurukanju894
    @nurukanju894 Месяц назад +2

    Sifa naheshima ni zako Mungu Mkuu

  • @MagrethWilson-r3m
    @MagrethWilson-r3m Месяц назад +2

    😭😭😭😭😭😭🧎‍♀️🧎‍♀️🧎‍♀️🧎‍♀️🧎‍♀️🔥Mungu nisaidie mimi mwanao 🇦🇪🇦🇪🇦🇪

  • @MabelKaaya-hl2je
    @MabelKaaya-hl2je Месяц назад +2

    Halleluya Halleluya Halleluya

  • @IpyanaGolden
    @IpyanaGolden Месяц назад +2

    Mungu akubariki

  • @pollineshirima5023
    @pollineshirima5023 Месяц назад +2

    Sifa na na utukufu ni kwako Mungu wetu

  • @yosiaazaria-lt3eq
    @yosiaazaria-lt3eq Месяц назад +3

    Amani utukufu kwa Mungu

  • @evarisaernest2146
    @evarisaernest2146 Месяц назад +2

    AMEN

  • @elyhillary2000
    @elyhillary2000 Месяц назад +3

    Ameeeeeeeniii

  • @perfectelly8902
    @perfectelly8902 Месяц назад +2

    Na review somo zuri

  • @shadrachkamyori9911
    @shadrachkamyori9911 Месяц назад

    Huyu mwalimu ni hazina kubwa sana. Ukimfuatilia na kulitenda neno, lazima ufanikiwe.

  • @SarahMollel-ul5um
    @SarahMollel-ul5um Месяц назад +1

    Ameeeen

  • @GivenessJohnson
    @GivenessJohnson Месяц назад +3

    🙏🙏

  • @gastonmodestkaziri2566
    @gastonmodestkaziri2566 Месяц назад +21

    Mtumishi wa Mungu Mwl. Christopher Mwakasege, umenena sahihi kuhusu mifumo inavyotumiwa au kutumika hapa duniani na mbinguni. Mimi nilianza kukuelewa ulipozungumzia wakati fulani juu ya "Viti" na umuhimu wake. Nilijipima kwa kiwango cha elimu niliyonayo, uelewa wa mambo nilionao na mahali nilipo sasa, nikaelewa kwa usahihi nini maana ya "Kiti" na sasa "Mifumo." Unaweza kuwa na elimu ya dunia nzima lakini kama hakuna mfumo wa kutumia elimu yako, elimu yako ni bure! Na kama hutakuwa na uwezo wa kutumia elimu yako kujiajiri basi hapo ndiyo umekwisha kabisa! Sasa hata mambo ya Mungu ni hivyo hivyo, unaweza kuonekana umeokoka kweli kweli lakini kama moyo wako haujafungamana na ufalme wa mbinguni kupitia Bwana wetu Yesu Kristo, ni bure!

  • @PeterLongida
    @PeterLongida Месяц назад +1

    MUNGU NA AKUTIE NGUVU

  • @EsterMagayo
    @EsterMagayo 25 дней назад

    Ulimwngu na vyote vimejaa utukufuwako ,.

  • @catherinemdee1964
    @catherinemdee1964 Месяц назад +2

    Ivi leo semina iko mkoa gani?

  • @kakajoss2464
    @kakajoss2464 29 дней назад

    Where can we get these books in Kenya?

  • @SarahPeter-q4y
    @SarahPeter-q4y Месяц назад +3

    Mungu abariki sana huduma yako. Mungu azidi kukutumia kutufundisha kuhusu mambo yajayo tuzidi kuelewa na Mungu atusaidie kuelewa na kuamini.

  • @SarahPeter-q4y
    @SarahPeter-q4y Месяц назад +3

    Amen

  • @SarahPeter-q4y
    @SarahPeter-q4y Месяц назад +3

    Mungu abariki sana huduma yako. Mungu azidi kukutumia kutufundisha kuhusu mambo yajayo tuzidi kuelewa na Mungu atusaidie kuelewa na kuamini.

  • @davidngaraba6958
    @davidngaraba6958 Месяц назад +2

    AMEN

  • @SarahPeter-q4y
    @SarahPeter-q4y Месяц назад +5

    Mungu abariki sana huduma yako. Mungu azidi kukutumia kutufundisha kuhusu mambo yajayo tuzidi kuelewa na Mungu atusaidie kuelewa na kuamini.

  • @Willy-l7l
    @Willy-l7l Месяц назад +2

    Amen

  • @SarahPeter-q4y
    @SarahPeter-q4y Месяц назад +2

    Mungu abariki sana huduma yako. Mungu azidi kukutumia kutufundisha kuhusu mambo yajayo tuzidi kuelewa na Mungu atusaidie kuelewa na kuamini.

  • @Nehemiaally
    @Nehemiaally Месяц назад

    AMEN