Even the Europa champions which is like the Confederations, Cup, beat the Uropa Champions League , which is like the Africa champions league in the Super cup, . A good example is Sevilla.
Kweli huyo chalii wa yanga kichwa hakuna kitu kama anasema kilabu bingwa anacheza bingwa msimu ulioisha simba kacheza kilabu bingwa huyo simba alikuwa bingwa
Champions League or Confederation Cup , A champion remains a champion.
Even the Europa champions which is like the Confederations, Cup, beat the Uropa Champions League , which is like the Africa champions league in the Super cup, . A good example is Sevilla.
Last season Zamalek the Confederations Champions beat Al Ahly the Champion league winners in the Super cup final.
Kweli huyo chalii wa yanga kichwa hakuna kitu kama anasema kilabu bingwa anacheza bingwa msimu ulioisha simba kacheza kilabu bingwa huyo simba alikuwa bingwa
Mandala bana kisa tu elias kamtaja jana imebidi aje mpaka huku woiiiii
Naichukia simba nasa kwaajili ya mashabiki wake wanaongea sana kulikovitendo kama wanawake
Ushindi mwingi wa simba papatu papatu kama siyo penati goli la of side
Mashabiki wa ngongwe fc matatizo sana 😂😂😂😂😂😂
Ww elias mpira hujui ila unaropoka
Kichwa hiki kama kinayuma yumba hakijui nini chakuongea
kumbe unajua simba ni role modal wa utopolo..kama hujui bingwa wa klabu bingwa na bingwa wa shirikisho huwa wanacheza kupata bingwa wa supa cup
Azam je alikuwa Bingwa?
Oya wanayanga huyu mandala ana kitu msikilizen mana nyie amjuh chchte kuhusu mpira
Utopolo ni mlopokaji kishata mtaa
Nyuma mwiko kweli una kili kabisa
Kweli yanga wenye akili wawili tu,sijawahi kuona yanga anahojiwa asijibu pumba lbd kwa sasa kidodo Dosa na kwa sbb anahisia kesho kutwa simba bingwa
Katika mashabiki wenye wendawazimu Simba wanaongoza, Young so level zenu Young wamefika final Simba mwisho robo kunanini Cha kujifunza???😂
Simba hawezikufika hata final papatu papatu fc