GB 64 AIBUKIA ISHU YA SIMBA KUFUNGIWA NA CAF MECHI YA CONSTANTINE,

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 27 янв 2025

Комментарии • 116

  • @maikomatayo2794
    @maikomatayo2794 13 дней назад +2

    mungu ni mwema kikubwa ushindi mungu tujalie tupate ushindi mnono ❤❤❤❤

  • @AngelaMatiya-n3t
    @AngelaMatiya-n3t 13 дней назад +8

    Mungu ibariki Simba

  • @MhabeshiMaluja
    @MhabeshiMaluja 12 дней назад

    Faini ni bei gani watani na mm nipitishe bakuli huku hata jerojero jamani..

  • @SophiaWanene
    @SophiaWanene 13 дней назад +6

    Mwe nye hukumu ya haki na kweli ni mu ngu tu mungu ibariki simba

  • @Esterkomba-ef7eb
    @Esterkomba-ef7eb 13 дней назад +7

    Waandishi inaoneka mefurai sana Simba kufungiwa.

    • @saidbakari7998
      @saidbakari7998 13 дней назад

      Huyu mwandish ndo huwa anaongea hiv hiv Esther japo mungu atusaidie simbaa

    • @salumhamdu6633
      @salumhamdu6633 13 дней назад

      Waandishi wengi n wanafiki na wazandiki wanauliza huku wanajejeaa humohumo❤😂🎉

  • @Josephtibu-l9e
    @Josephtibu-l9e 13 дней назад +6

    Mungu ni mwema🎉🎉🎉

  • @UjingaMtamu
    @UjingaMtamu 13 дней назад +7

    Walisababisha hayo sio wana simba ni jamii ya akina mchome mapovu.

  • @ChristinaAloyce-pp6vj
    @ChristinaAloyce-pp6vj 13 дней назад

    Mingu ibariki simba labda ni mipango ya Mungu kuna jambo baya lingetokea. Yote kheri tu Mwenyezi Mungu ijarie simba ushindi.

  • @IbrahimJabu-o8x
    @IbrahimJabu-o8x 13 дней назад

    ❤ l love SSC, hawa watu hawana jipya Simba ashapita weweee!

  • @saidbakari7998
    @saidbakari7998 13 дней назад

    Simba nguv mojaa

  • @KhamisAlawi-n1k
    @KhamisAlawi-n1k 13 дней назад +4

    Haha haha haha, wamechelewa, wamefunga Banda farasi ameshatoka kitambo🤣

  • @AhmedBakari-l4d
    @AhmedBakari-l4d 13 дней назад

    Simba Iko juuuuuuuuu

  • @Salimramsey-x8u
    @Salimramsey-x8u 13 дней назад +4

    Ata kama tumefungiwa tutawakanda waarabu

  • @husseinkarim7663
    @husseinkarim7663 13 дней назад +1

    Mashabiki wa hawana muhimu, wakifungwa, hunyamaza kama wamemwagiwa maji baridi.

  • @josephbonday8510
    @josephbonday8510 12 дней назад

    MECHI MOJA NA FAINI,SIO MECHI MBILI

  • @AliJussa
    @AliJussa 13 дней назад

    Hayo ndio maneno 😅😅,, ila sio kupamba ujinga, mnavunja viti ipite buree😂 watoto wa Caf poleni Sana

  • @MathayoMichael-z9x
    @MathayoMichael-z9x 13 дней назад +2

    Ss simba hatuna shida tutawapapasa waarabu kelele tumemwachia Ali kamwe na ushamba wake

  • @josephvenus3259
    @josephvenus3259 13 дней назад +3

    TIKETI TUNANUNUA ZOTE. ILI TIMU YETU IPATE HELA YA KULIPA DENI NA BONASI KWA WACHEZAJI

  • @OctavianGaspar
    @OctavianGaspar 13 дней назад +3

    Kafu ilijua hilo ila ilisubria simba ifuzu kwanza

  • @z.osterzulu6899
    @z.osterzulu6899 13 дней назад

    Yaani huyu jamaa mnafiki kweli kweli unatafuta kiki 😊

  • @WazerKing
    @WazerKing 13 дней назад +2

    Viongozi wa simba waweke lipa namba tulipe hilo deni

  • @ekiliangoliga644
    @ekiliangoliga644 12 дней назад

    Kila la heri simba sports

  • @philipoFabiani-e1n
    @philipoFabiani-e1n 13 дней назад

    Mashabiki wasimba mtulie. Halafu viongozi msajili wachezaji waushindan maana hiyo mechi ilikuwa yakushinda ikiwa shida ndo maana ikaleta shida

  • @AllyMboma-r6o
    @AllyMboma-r6o 13 дней назад +1

    naamini tutaongoza kundi juma pili simba nguvu 1

  • @TomasiklistophaMwinuka
    @TomasiklistophaMwinuka 13 дней назад +1

    Gb64 nakufatilia sana ubaya ubwela

  • @ShameNgeza
    @ShameNgeza 13 дней назад

    Mi kidogo Niko tofauti kwani hivi viti si vinafungwa na NATI aw ilikuwa bado havija fungwa nashindwa kuelewa kwa kweli

  • @REGIUSMWANAWIMA
    @REGIUSMWANAWIMA 13 дней назад

    GB64,Wewe ni mjinga,kumbe uliyajua mbona mwanzo ulisema yanga ndo walivunja viti lkn adhabu mmpewa ninyi,hiyo imekaaje? Burudani au kigodoro?

  • @MathayoRajabu
    @MathayoRajabu 13 дней назад

    Huyu ni chaw

  • @TopclassTransport
    @TopclassTransport 12 дней назад

    tu toe angalizo upande wa pili kwenda uwanjani wakati imekatazwa ili kutuharibia

  • @andrewkitema9838
    @andrewkitema9838 13 дней назад +6

    We juzi kati CS Faxien walipofungiwa uliwaambia Mbumbumbu wenzio kwamba Faxien walipigwa ile ban kwa zile vurugu za kwa Mkapa na ulienda mbali zaidi kwamba mna viongozi makini ndio wameishinikiza Caf kuwapiga ban Faxien Mbumbumbu wenzio wakawa wanashangilia, leo vipi tena?

    • @KANAZIBoy
      @KANAZIBoy 13 дней назад

      Utopolo inaumaee😂😂

    • @GodfreyWilliam-pb3wh
      @GodfreyWilliam-pb3wh 13 дней назад +1

      Wew nilikuma moja la utopolo😂

    • @ramadhaniharuna5441
      @ramadhaniharuna5441 13 дней назад +1

      Mbumbumbu ni wewe unayeongea vitu huvijui,
      Sfaxien nao wana rungu lao,
      Mpaka wachezaji waliowapi marefa watapata haki yao,
      So usiropoke tu kama malaya wa kimboka.

    • @AgiripinaNisiphory
      @AgiripinaNisiphory 13 дней назад

      Mbumbumbu dada yako mdogo😮😮😮😮

    • @andrewkitema9838
      @andrewkitema9838 13 дней назад

      @ramadhaniharuna5441 Wewe ni Mwehu. Faxien hata wakipigwa hilo rungu mimi hainihusu. Ninachosema juzi kati Faxien walivyopigwa hiyo ban kutokuingiza mashabiki kwenye mechi dhidi yenu Mbumbumbu nyie mkiongozwa na GB 64 mlitoa sana mapovu mtandaoni mkidhani nyie hilo rungu haliwafikii tuliwaambia hamjaelewa ile barua ya Caf mkashupaza shingo kiko wapi sasa? Acheni kamdomo nyie nyumbu wa Bunju.

  • @SamsonSamsoni-q9s
    @SamsonSamsoni-q9s 13 дней назад +1

    👏👏👏👏👏👏👏🦁🇹🇿♥️♥️♥️♥️💪💪💪🙏🙏

  • @salimngajoga3407
    @salimngajoga3407 13 дней назад

    Nikuombe GB 64 Washauri viongozi waweke lipa namba tuichangie sisi mashabiki wenyewe tuliosababisha hayo ni mtazamo wangu

  • @mayigishauriyake305
    @mayigishauriyake305 13 дней назад

    Bareke bado anawasubiri awapeleke fifa sasa sibora ufungiwe na caf kiliko fifa

  • @REGIUSMWANAWIMA
    @REGIUSMWANAWIMA 13 дней назад

    Hao si mashabiki bora,caf tu waliamua kuwabeba tu,hapo hamna shabiki bora bali ni ulofa tu.

  • @z.osterzulu6899
    @z.osterzulu6899 13 дней назад

    Yaani huyu jamaa mnafiki kweli kweli unatafuta kiki

  • @salimrajab3266
    @salimrajab3266 13 дней назад

    SIMBA NJE NDANI MARA 2 MFULULIZO

  • @jumamakame3978
    @jumamakame3978 13 дней назад +2

    Zamani iyo ulikua na timu saivi huna timu bhana

    • @swadahamningo1948
      @swadahamningo1948 13 дней назад

      Timu mbovu lkn imefuzu na bado Ina mchezo mmoja mkononi,

    • @abdallahshariff6555
      @abdallahshariff6555 13 дней назад

      Masindano fc,timu zilizoingia shirikisho ni nyingi lakini hazijafika robo,hiyo unayo iona mbovu iko robo na Ina mechi moja mkononi,Uto unau.ia

  • @Userog254
    @Userog254 13 дней назад

    Wametuonea hizi ni figisu za GSM tu kuishinikiza CAF, uwanjani hawakuwepo Simba tu vp km walioibu mashambulizi na Yanga alikuwepo wakijua wanatuharibia cc

  • @UjingaMtamu
    @UjingaMtamu 13 дней назад +1

    Na hatujaadhibiwa na caf bali ni tff. Caf wamewanawisha uso tff kwavile walisha ihukumu simba kabla uchunguzi.

  • @MikidadiAbdu-s6o
    @MikidadiAbdu-s6o 13 дней назад +1

    Wamerusha wakat Kuna waarabu weusi walikuwa wanang'oa viti na kuwapiga waarabu wenyewe

  • @REGIUSMWANAWIMA
    @REGIUSMWANAWIMA 13 дней назад

    Kwa hiyo ndo tabia yenu kumbe unakumbuka na mnafanya kwa mazoea,yamekuta.

  • @JosephMakolo-n9j
    @JosephMakolo-n9j 12 дней назад

    Mkundu huyu gb 64 na sikupendi kabisa.

  • @MauaGabriel
    @MauaGabriel 12 дней назад

    Andrew mbumbumbuu n mama yako so funga kopo lako kwan inakuuma nn simba kupgwa fain?

  • @mayigishauriyake305
    @mayigishauriyake305 13 дней назад

    Bora kufungiwa mashabiki kuliko kufunguwa kusajiri kama uto na gamondi anawasubiri dirisha kubwa awapige pini tena mpaka mtaacha tu utapeli viti tutavunja sana mkileta ujinga hata uto tutawagonga viti kama kawa saivi ubaya ubwela

  • @kambamazig02024
    @kambamazig02024 13 дней назад

    Liwe somo kwa mashabiki wa Simba. Ujinga wa kuharibu miundo mbinu si uzalendo na wala si ushabiki mzuri! Na kama si mashabiki wa Simba basi Simba walihitaji kuja mbele na kuyasema hayo vizuri.

  • @REGIUSMWANAWIMA
    @REGIUSMWANAWIMA 13 дней назад

    Tutawalazimisha tu,kwani hao wachezaji unaowataja ni wakwako na haohao wamekufunga kwenye ngao ya jamii na kwenye ligi kuu NBC, kwani wewe huogopi?

  • @benswai8099
    @benswai8099 13 дней назад

    Wee jamaaa hujui kiingereza. Acha kujichoresha. Daaaaaah

  • @GabrielAmma-jp1oo
    @GabrielAmma-jp1oo 13 дней назад

    Me shabiki wa simba lakini walichokifanya mashabiki wa simba ni utoto na ni aibu kwa taifa mmeshakuwa na akili acheni vitu vya hovyo tunajifelisha

  • @sosomacharles9920
    @sosomacharles9920 13 дней назад

    Yanga kaingiaje tena hapo.

  • @GabrielAmma-jp1oo
    @GabrielAmma-jp1oo 13 дней назад

    Kikubwa hii hasira ya kufungiwa mashabiki tuwaombee wachezaji wapambane wawashenyente waarabu

  • @JescacasianChaho
    @JescacasianChaho 11 дней назад

    Ila waandishi wamefurahi kufungiwa uwanjani? Ila sis tunasimama na mungu

  • @abdallahshariff6555
    @abdallahshariff6555 13 дней назад

    Timu Mchome ndio wanavunja viti,wanao vaa jezi za Simba ni wengi ndio tatizo

    • @AshaNchira
      @AshaNchira 13 дней назад

      M home kavunja viti na shetani wa yanga

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 13 дней назад

    KWANI KUCHEZA BILA MASHABIKI NI AJABU?MARA NYINGI WAMECHEZA BILA MASHABIKI?MUNGU NI MWEMA SIMBA ITASHINDA

  • @godyjafari6033
    @godyjafari6033 13 дней назад

    DkMohamedi alisema ni mashabiki wa Yanga wale

  • @MADINAKITEMO
    @MADINAKITEMO 13 дней назад

    Haina kufeli wana lunyasi

  • @RashidChilumba
    @RashidChilumba 13 дней назад

    Tunaenda kugawana mirasi tu

  • @DanielChaula
    @DanielChaula 13 дней назад

    Unyama mwingi sana

  • @ShukranKawind
    @ShukranKawind 13 дней назад

    Huyu ni kuma pia msenge kama wasenge wa jera wanaotobwa kwa matonge ya ugali ,,

  • @sosomacharles9920
    @sosomacharles9920 13 дней назад

    Mmeshazoea kung'oa vitu nyinyi,sasa dawa imewaingia🤣🤣🤣🤣 hili jambo lingekuwa upande wa Yanga sipati picha.Harafu swala la kufungwa hao ndugu zako watafungwa tu,sijui sura yako hiyo ngumu utaificha wapi.

  • @MuhamedIssa-kw2qh
    @MuhamedIssa-kw2qh 13 дней назад

    Huna jipya mshapigwa

  • @hawamasanje9589
    @hawamasanje9589 13 дней назад

    Tatizo Simba hamukubali ukweli Yanga wanatoka wapi hapo?uwongo mwingi umewajaa ninyi mmekuwa wa fujo na matusi siku zote kama wewe GB 64 una matusi sana leo unaongea kwa upole ongea kama siku zote baba.

  • @idrissamohd
    @idrissamohd 13 дней назад

    Pamoja GB hatutarudia tena tumejifunza

  • @PauloMkwama-t1g
    @PauloMkwama-t1g 13 дней назад

    Kaka kuwaomba ladhi niwaombe tu mjitokeze au mjikusanye kuwaomba msamaa cf sasa

  • @DullaBallack-mw9zd
    @DullaBallack-mw9zd 13 дней назад

    huyu paka ingekuwa yanga angeongea sana

  • @GabrielAmma-jp1oo
    @GabrielAmma-jp1oo 13 дней назад

    Screen kubwa ziwekwe uwanja wa uhuru watu wajae kule vaibu kama kawaida hadi waarabu wachanganyikiwe

  • @cosmasluwanja7394
    @cosmasluwanja7394 13 дней назад

    Na sisi tumezidi tulinja vioo Mwanza, tulivunja viti mechi ya Yanga na hiii juzii tuwe wastarabu jamani

  • @LinusKyando
    @LinusKyando 13 дней назад

    HAWA NDIO MASHABIKI WAJINGA NA MBUMBUMBU KULIKO MASHABIKI WOTE TANZANIA

  • @KhonjeTijengibweka-sp7nz
    @KhonjeTijengibweka-sp7nz 13 дней назад

    Tujifuze mashabiki tunaihitaji kujifuza mpila ni fulahaa gazabu

  • @saidingumbo-is2oe
    @saidingumbo-is2oe 12 дней назад

    Hao mabwana zako tutawafunga utalala bila chupi

  • @fadhilalex7340
    @fadhilalex7340 13 дней назад

    Kwahiyo Simba ana makombe zaidi ya Al ahly au Zamalek?

  • @husseinshabani9522
    @husseinshabani9522 13 дней назад

    Tushapita Robo fainali...Tatizo nini?

  • @LetasKomba
    @LetasKomba 13 дней назад

    Mbona mnawaona akinamchome wamtaki kuwaadhibu hata kwa kuvunja mguu sasatunapovujwa ccweyewe tuvumilie cc niwajinga sana watu wanaichafua simba yetu halaf cctunawachekea tu wenzetu yanga wako tiali kugombana na wanahabali kwaajiri ya kuitetea timu yao

    • @zumbeshauri8114
      @zumbeshauri8114 13 дней назад

      Hakika hata huyu mchome na yule meja kwakweli wana nikera halafu hawa adhibiwi kiukweli wanajifajanya wana simba kumbe sio

  • @MohamadKhalid-k3r
    @MohamadKhalid-k3r 13 дней назад

    leo hujapata pombe nini unaongea kama mtu nyoko laana hio na bado

  • @tambazamohamd
    @tambazamohamd 13 дней назад

    To-do mistake not mistake mistake to repeat mistake

  • @jumamakame3978
    @jumamakame3978 13 дней назад

    Weee mpiga kelele huna timu saivi unajisifia uzamani

  • @GodlistenAndersonMremi
    @GodlistenAndersonMremi 13 дней назад

    Eti Mungu Amepanga Acha Ujinga Mungu Aliwatuma Mvunje Viti? Swala La Vurugu Na Kuuharibu Uwanja Mlishaanza Siku Nyingi Nyie Ni Wahuni,Mlichoma Uwanja,Mling'oa Viti Kwenye Dabi,Wacheni Uhuni.

  • @mrrockboy9508
    @mrrockboy9508 13 дней назад

    Kamdomo kamdomo

  • @WadhifHajji
    @WadhifHajji 12 дней назад

    Hunalolote

  • @MkassiwaAuctionmart
    @MkassiwaAuctionmart 13 дней назад

    Ww ni mbumbu tabia zenu Huwa nikungoa viti mpuuzi Huwa huna km km

  • @moyolameck555
    @moyolameck555 13 дней назад

    😂HUYU SI ALISEMA YANGA NDIO WALINGOA VITI?KUMANINA WALLAH

  • @sosomacharles9920
    @sosomacharles9920 13 дней назад

    Hayo yote ni kwa sababu mnakikosi kibovu ndo maana baada ya kuingia lile goli hamkuamini kabisa mpaka mkaamua kung'oa viti.

    • @AledyMlasu
      @AledyMlasu 13 дней назад

      Nandio maana bdo hatujafuzi mpka game ya mwisho 😂😂😂😂😂😂😂

    • @sosomacharles9920
      @sosomacharles9920 13 дней назад

      @AledyMlasu Wafungwa FC kumbe mpo

  • @salimrajab3266
    @salimrajab3266 13 дней назад

    TP MAZEMBE ILI PIGWA NJE NDANI

  • @Rahma-h3x6w
    @Rahma-h3x6w 13 дней назад

    Mungu ibariki simba

  • @JoeSadoki
    @JoeSadoki 13 дней назад

    Simba nguvu moja