SEIF SIMBA: AGEUKA MBOGO CAF KUILIMA RUNGU SIMBA | KUMLAUMU CHEMALONE NIKUJISHUSHA KIMPIRA.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 янв 2025

Комментарии • 9

  • @BoyHans-j3n
    @BoyHans-j3n 10 часов назад +1

    karibu korogwe kaka..........mji mtukufu kama uitavyo kiongozi nakkubali sana ticha wangu

  • @PauloMkwama-t1g
    @PauloMkwama-t1g 44 минуты назад

    Kaka unajua sana kuongea na vyombo vya habar ata jamii uko vzr sana mungu akujalie ww na jafet

  • @MasoudMganga
    @MasoudMganga 11 часов назад +2

    Bwanaee mdamwingine ukimya unazidi tatizo La cufu naowanapendelea ssna

  • @PauloMkwama-t1g
    @PauloMkwama-t1g 54 минуты назад

    Kaka unaludilini? Pole sana kwakuumwa kaka

  • @Salimramsey-x8u
    @Salimramsey-x8u 8 часов назад

    Kweli tumeigarimu timu sana tena

  • @PauloMkwama-t1g
    @PauloMkwama-t1g 35 минут назад

    Mjitoke nyny seif ww mzee wasalut, milaji ,mzalamo,kisugu, kmzuwanda ,docta hamed, agg simba , beby merry , mkusanye watu seem tuomba ladhi kwa cf kama mtaweza lakin

  • @almasikitumba6756
    @almasikitumba6756 Час назад

    Kaka fondo ktk mashindano haya hii ni mara ya 4 anatungusha kaka anzia kw mabululu cefaxien mechi ya algeria anamsetia mtu kwa kichwa goli la pili na ss na bravo.kwnn yy tu?! Akae nje kwanza angekua mzawa mngemuacha?!nakupenda kaka msimtetee huyu jamaa

  • @Esterkomba-ef7eb
    @Esterkomba-ef7eb 6 часов назад

    Unaona jisi mwandishi anavokwepa kuitaja yanga.

  • @aginsagins-jf4vz
    @aginsagins-jf4vz 11 часов назад

    Kumbe amesafiri leo nimemkumbuka huyu kaka nilikuwa simuoni