Annoint Amani - Hebu nipishe njiani mpumbavu we ( official music video )

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 сен 2024
  • #hebunipishienjianimpumbavu#
    hizi ni siku za mwisho shetani presha iko juu,
    maana muda wa hukumu yake una karibia hivyo ana tumia kila mbinu kuwapumbaza watu wasijue majira na nyakati za kujiliwa kwao,
    lengo la shetani aingie na watu weengi motoni,
    lakini Asifiwe Yesu kwa kupigwa kwake sisi tumepona,
    itumie vizur neema tuliyo nayo na usikubari kuenda Jehanam ya moto,
    mpinge shetan na kaz zake zote,ikitokea umeanguka kidogo simama enderea mbele mpka Tuingie Mbinguni kwa ushindi mkuu🙏
    👇
    Tiktok,Annoint Amani tz
    whatsaApp & call
    +255767240181 = +255755099942
    Dar es Salaam Tanzania )

Комментарии • 193