Mchungaji ubarikiwe Sana, anytime I watch ur videos it's like, u know what I'm going through. You preaching is always my rescue. Let ur word go, go far, n touch other people's life, as u have always done in my life. God bless u abundantly.
Mchungaji barikiwa sana kwa mafundisho haya, mimi ndoa yangu ilivunjika nimekaa na mme miaka nne na Niko na watoto wawili lakini ndoa ya matusi, aibu kila mahali, vile tulijuana hakuwa anakunywa pombe, wacha tu tuishi na yeye, makubwa mchungaji nilishindwa kuvumilia saa hii Niko saudi arabia kumtafutia watoto kazi ataki, kucheza tu gambling. Naomba unikumbuke kwa maombi ukipata message hii. Thanks.
Asante san mchungaj kwa kunifumbuwa macho nitayatekeleza hayo yote ulio Sema nitamusikiliza mme wangu nitampnda San cloudy dugu wng ktk Jina la yesu kristo Amen
Be blessed mchunga.mchungaji niko na uchungu sana maana nilishaatoka kwenye ndoa na hizo dalili zipo kwenye familia yetu,nifanyeje mchungaji naomba unisaidie
Mtani upo vizuri sana mahubiri yako bafuatilia sana na mafundisho yako yananifanya mahusiano yangu yazaliwe upya ndan ya mahusiano, yameinua kiuchumi, kiafya na kuendesha mahusiano kirahi sana, ubarikiwe baba mchungaji
Pastor,,, hivi inawezekana mtu akapitia hiyo hatua ya nne kama sikosei hiyo kuweka petrol kwenye pikipiki,,,, kabla ya kuingia kwenye ndoa,,,,??Yaani kumpenda mtu kwa hivohivo tuu???
Ubarikiwe Mchungaji ila Masomo Haya yamechelewa kufahamika maana wengine wamefikia Hata mbaya mapaka wameuana Mimi sijui itakuwaje. Mambo mengine ni magumu mno
eeh jamni Mungu wangu yani sijawahikuona harusi yenye kupendeza kama hii sisemi hivi kwa sababu hii ni arusi ya ki Christo au kwa sababu mimi naipenda hii youtube channael maubiritv ila kila mtu njisi yule dada wakwanza macho yake yalivyo kuwa na ngaa lakini Bwana harusi alimkazia mkewe macho pekehe yake tuu. awww hii ndoa ina sura yakudumu hadi kihama milele.
Mchungaji ubarikiwe Sana, anytime I watch ur videos it's like, u know what I'm going through.
You preaching is always my rescue.
Let ur word go, go far, n touch other people's life, as u have always done in my life. God bless u abundantly.
Eti weeee 😂😂😂😂😂 ubarikiwe pastor l thank God kupitia mafundisho yako niliponya ndoa yangu hakika mungu n mwema 🙏🙏🙏
Ameeeen
This is so real n applicable.Marriage works❤❤❤
Mchungaji barikiwa sana kwa mafundisho haya, mimi ndoa yangu ilivunjika nimekaa na mme miaka nne na Niko na watoto wawili lakini ndoa ya matusi, aibu kila mahali, vile tulijuana hakuwa anakunywa pombe, wacha tu tuishi na yeye, makubwa mchungaji nilishindwa kuvumilia saa hii Niko saudi arabia kumtafutia watoto kazi ataki, kucheza tu gambling. Naomba unikumbuke kwa maombi ukipata message hii. Thanks.
Asante kwa maneno mazito mazuri❤,💞🙏
Asante san mchungaj kwa kunifumbuwa macho nitayatekeleza hayo yote ulio Sema nitamusikiliza mme wangu nitampnda San cloudy dugu wng ktk Jina la yesu kristo Amen
Ameen
Ubarikiwe sana na ndoa yako ikadumu milele
@@isacktarimo5537 amen
Asante Mchungaji kwa mafundisho haya nitakapo igia kwenye ndoa nitakuwa imara kabisa
Asante kwa huduma hii nimebarikiwa Sana.
Amina pastor nimejifunz kitu hakika bwn ataniongoza kw hili
AMEN nimebarikiwa sana na mafundisho mchungaji
Asante sana mchungaji mahubiri yako yananibariki sana
Be blessed mchunga.mchungaji niko na uchungu sana maana nilishaatoka kwenye ndoa na hizo dalili zipo kwenye familia yetu,nifanyeje mchungaji naomba unisaidie
Tuwasiliane +255755932283 whatspp
Nabarikiwa sana na mafundisho.Mungu azidi kuwatia nguvu watumishi wake.
Amen Amen mtumishi
Amen Najifunza mingi sana natumai nikifikia Hapo nitakua nmejua namna ya kuishi
Mtani upo vizuri sana mahubiri yako bafuatilia sana na mafundisho yako yananifanya mahusiano yangu yazaliwe upya ndan ya mahusiano, yameinua kiuchumi, kiafya na kuendesha mahusiano kirahi sana, ubarikiwe baba mchungaji
🙏
Amen ubarikiwe nimejifunza kitu hapo🙏🙏
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu
Unanibariki Sana mtumishi Mungu akubariki Kuna vingi najifunza
Asante pastor Mungu akubariki sana unaponya ndoa zetu🙏
Nimeipenda.yani somo.nizuli
Hakika mchungaji unatoa nondo
,Ubarikiwe sana.
Pastor mungu akubariki
Amina mchungaji, Mungu atusaidie kuzifikia hatua 5
Asante sana.Mungu akubariki kwa somo zuri.
Karibu kenya pastor 🇰🇪🇰🇪
😃😃😃Ndo maana mahusiano yanavujika mapema skuhiz 😝😝😝😝aiseee ahsante sana Mungu akubariki sana mtumishi Mungu akupe maono zaid na zaid 🙏
Ahsante sana Pastor
Mungu awe pamoja nawe Pastor.
Pst barikiwa sana sijaoa ila nipo kwenye uchumba ila hichi kijisehemu nimekipenda kinamafunzo mazuri kweli-kweli
Somo zuri sanaaa!!Mungu akubariki
God bless you pastor David am blessed
Mungu akuongeze kipaji pastor
God bless you Pastor
Mungu akubariki sana past na akuzidishie maisha marefu
Asante pastor !
Amina, Mungu anisamehe,zaburi 103:3Barikiwa PR.Mmbaga
Mungu akubariki ,nmetiwa ngu na nuru ktk masomo yako.
AMEN, God 🙏 bless you
Asante kwa somo mchungaji umenigusa sana
Amen
Amina Sana Pastor
Ubarikiwe mtumishi wa mungu
Mungu akubariki mchungaji nimejifunza mambo ya muhimu asante
Amina mtumishi
😀😀😀😀aminaa ubarikiwe pastor Mmbaga
Nimejifunz meng pastor🙏🙏🙏🙏 barikiwa
Amen amen pr ubarikiwe yani nimecheka sana umeongea pointi
amen be blessed
Amin
Blessed by mahubiri T.v pastor mmbaga please pray for me Anthritis inanimaliza
Mungu akuponye,kwa jina la Yesu Amen
@@MahubiriPrMmbaga Amen,Amen Amen
Amen somo zuri sana Mungu atusaidie
Amina , somo limenibariki sana
Hakika nazidi kubarikiwa na mahubiri yako pastor
Amen barikiwa pst kwa mafunzo tamu
Barikiwa Pr
Nakuoma mjomba mungu akubrki sana
Asantee kwa fundisho hili
Your so right
Jaman mungu akuonekanie akuweke daima nimejifunza mengi
Laiti ningepata hili somo mwaka mmoja uliopita nisingemwacha mwanamke wangu ubarikiwe sana pastor
Hujachelewa kama unampenda unaweza mrudia na mkasonga mbele tena
Mtafute ikiwa bado ajaolewa
Upendo wa kweli haufi kirahis kama unampenda mrudishe
💞💞💞💞 hujachelewa Kama na yeye anaupendo wa kweli kwako
Abwene misuri ya imani
Uwepo wako by Reuben k
Aki this pastor make me laugh 😂😃😂🤣🥰 it’s true what he say🙏
Hii nimeipenda pastor, pia nina swali
Thanks much.👊🤣✈️🛩️
I wish Somo hili ningelisikia kabla.......
Nimekwelewa leo
🙏🙏🙏
Hakika nimebarikiwa Sana Pr.
Leo mchngaj nimecheka Sana, eti leo umezidisha chumvi 🤣🤣🤣🤣🤣
Mm nairud rudia tu kuisikiliza 😝😝😝😝😝
Barikiwa sanaaa PR
Asante kwa neno
Ameen sana
😂😂😂😂😅😅😅😅😅😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😁😂😂 Asante Mtumishi
Wape maneno
👏👏👏👏👏👏
Swal ni mme au mke akifanya kosa gan huwez kumsamehe
Pr makini
Amina
🤣🤣🤣🤣 ni kwel kabsa mtumish nimebarikiwa... Stage ya pil hatr et anakoroma
Pastor,,, hivi inawezekana mtu akapitia hiyo hatua ya nne kama sikosei hiyo kuweka petrol kwenye pikipiki,,,, kabla ya kuingia kwenye ndoa,,,,??Yaani kumpenda mtu kwa hivohivo tuu???
Mchungaji m ni muadventist nipo sumbawanga nahitaj maomb ndoa yang ipo hatian nahitaj msaad wa maombi nimechelew kupat mtoto nna miak 3 na nus
Amen
Mungu akutumie we jamaa
Ubarikiwe Mchungaji ila Masomo Haya yamechelewa kufahamika maana wengine wamefikia Hata mbaya mapaka wameuana Mimi sijui itakuwaje. Mambo mengine ni magumu mno
Sawa
Ameee
eeh jamni Mungu wangu yani sijawahikuona harusi yenye kupendeza kama hii sisemi hivi kwa sababu hii ni arusi ya ki Christo au kwa sababu mimi naipenda hii youtube channael maubiritv ila kila mtu njisi yule dada wakwanza macho yake yalivyo kuwa na ngaa lakini Bwana harusi alimkazia mkewe macho pekehe yake tuu. awww hii ndoa ina sura yakudumu hadi kihama milele.
Hapa umesema.....Ni Kama unanambia mmi
Nimejifunza vitu vingi San
Eti tungebaki stage ya kwanza watu hawangeenda kazini...😂😂😂nimecheka sana😂😂😂
🤣
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌️👍.
Natamanii
Duuuuu
Hili kanisa liko sehemu gani Tz?
Kanisa la Waadventista wasabato lipo kila mahali!!! Unaweza kulitafuta maeneo yako. We upo wapi?
nimejifunza kitu
🤣🤣🤣 Hii nayo pastor
Ifike wakati psychology na uhalisia muutofatishe kwani BWANA ndiye aamuaye kesho yetu
Unamanxha nn
mbona saa saba😂😂
asante mchungaji tunajifunza kila siku
Naitaji hii video naipataje
Download tu hapa
😀😀
Napnd
Iyo hatuwa ya kwanza yani ni HORMONE inaitwa DOPAMINE ndo inapanda juu sana.
Ameen
Kutafuna vitu ni upungufu wa vitamin jmn 🤣
C
Uwiiiiii mimi huyu