Kumjua mtu mcha Mungu kunaweza kutegemea vigezo mbalimbali vilivyowekwa na Biblia na mafundisho ya imani ya Kikristo. Hapa kuna baadhi ya ishara zinazoweza kuonyesha mtu mcha Mungu: 1.Kuheshimu Neno la Mungu: Mcha Mungu hujifunza na kuheshimu Neno la Mungu, akitumia Maandiko kama mwongozo wa maisha yake. Zaburi 1:2 inasema, "Bali furaha yake iko katika sheria ya Bwana, na katika sheria yake huitafakari mchana na usiku." 2. Maombi na Kuomba Mwelekeo wa Mungu: Mtu mcha Mungu ana mazoea ya kuomba mara kwa mara, akiwasiliana na Mungu kwa njia ya maombi. Anaelewa umuhimu wa kumtegemea Mungu kwa kila hali. Luka 18:1 inatufundisha tuombe bila kukoma. 3. Matunda ya Roho: Biblia inafundisha kuwa mtu aliye na Roho wa Mungu huonyesha matunda ya Roho Mtakatifu kama vile upendo, furaha, amani, uvumilivu, fadhili, wema, uaminifu, upole, na kiasi (Wagalatia 5:22-23). Mcha Mungu ataonyesha tabia hizi kwa wengine. 4. Kutembea Katika Njia za Haki: Mcha Mungu atajitahidi kuishi maisha matakatifu, kuepuka dhambi na kutafuta haki. Yeye humtii Mungu na kuishi kulingana na amri zake. Mithali 14:2 inasema, "Aendaye kwa unyofu humcha Bwana, bali mwenye njia za upotovu humdharau." 5. Kujitolea kwa Wengine: Mtu mcha Mungu ataonyesha upendo kwa wengine kwa kuwasaidia, kwa vile Yesu alifundisha kuwa tunapaswa kupenda jirani zetu kama tunavyojipenda wenyewe (Mathayo 22:39). 6. Unyenyekevu: Mcha Mungu ni mnyenyekevu mbele za Mungu na wanadamu. Anaelewa kuwa kila kitu hutoka kwa Mungu, hivyo anaishi maisha ya shukrani na unyenyekevu. Yakobo 4:10 inasema, "Jinyenyekezeni mbele za Bwana, naye atawakweza." Kupitia sifa hizi, mtu anaweza kutambulika kama mcha Mungu. Pia, siyo tu kwa maneno, bali kwa matendo ya kila siku.
Praise God... Nina Swali kwako mchungaji... Hivi Ukipata kijana a nakupenda na ni mcha mungu na pia hard working but unashindwa kumpenda sababu ya height... Can you still get married and live happily???
Hivi kuapa wakati wa kufunga ndoa imetokana na neno au agizo lipi kwenye Biblia? Kwani ninachofahamu Yesu Kristo alikataza kuapa katika Mathayo 5:34 Lakini mimi nawaambia, msiape kabisa, ama kwa mbingu, kwa sababu ni kiti cha enzi cha Mungu, 35 au kwa ardhi, kwa sababu ndipo mahali pake pa kuwekea miguu, au kwa Yerusalem kwa sababu ndio mji wa Mfalme Mkuu. 36 Msiape kwa vichwa vyenu kwa sababu hamwezi kugeuza hata unywele mmoja kuwa mweupe au mweusi. 37 Ukisema 'Ndiyo' basi iwe 'Ndiyo'; na ukisema 'Hapana' basi iwe 'Hapana'. Lolote zaidi ya haya hutoka kwa yule mwovu. Lakini pia katika Yakobo 5:12 Zaidi ya yote, ndugu zangu, msiape, ama kwa mbingu, au kwa dunia au kwa kiapo kingine chochote. Bali mkisema 'ndiyo' iwe ndiyo, na mkisema 'hapana' hapana.
Past n kwel usemalo mungu akubark sana Ila nkumbuke kwa maombi maan at a Mimi nataman mungu anfungulie na anibark npate mwenzi mwema
Asante pastor nataman nipate mweza wangu na mm
True pastor David
much respect to you pastor mbagga!
Asante sana pester nilikua kwenye atua hyo nashukur San Kwa ujumbe wako amina
Amen mtumishi watu tunabadilika kutokana namafundisho mnayoyatoa
Amina ubarikiwe sana mtumishi wa MUNGU kwa somo zuri
I believe and i receive in the Mighty Name of JESUS AMEN Ubarikiwe sana
Amin mtumish ubarikiwe san
Ubarikiwe sana pastor
najifunza sana mchungaji mungu akubariki kwa kuwa najikuta naweza kuyahanle mahusiano yangu kwa namna ipasayo na yakumpendeza mungu
❤ Amina paster
Thank you pastor 👏👏👏
Ahsante Pr, MUNGU na akubariki
Mungu na azidi kukutumia siku zote mtumishi wa Mungu
Utarikiwe sana mchungaji
Asante pastor mbarga
Mungu akupe ngufu u ili utangaze injili yake
Barikiwa saana mchungaji, japo nilitaka kukuuliza kwa upande wa huduma zako za vitabu mbona huku mkoa wa kagera umetusahau saana?
Ubalikiwe mtumishi was Mungu nakupata sana
Amina, hakika Yesu ndio chanzo cha Safari njema
Mungu akubaliki
Mchungaji nisaidie ,unieleweshe mtu anapokwambia au unapokuwa unaangalia mtu mcha mungu unaangalia Nini,au unamjua je
Kumjua mtu mcha Mungu kunaweza kutegemea vigezo mbalimbali vilivyowekwa na Biblia na mafundisho ya imani ya Kikristo. Hapa kuna baadhi ya ishara zinazoweza kuonyesha mtu mcha Mungu:
1.Kuheshimu Neno la Mungu: Mcha Mungu hujifunza na kuheshimu Neno la Mungu, akitumia Maandiko kama mwongozo wa maisha yake. Zaburi 1:2 inasema, "Bali furaha yake iko katika sheria ya Bwana, na katika sheria yake huitafakari mchana na usiku."
2. Maombi na Kuomba Mwelekeo wa Mungu: Mtu mcha Mungu ana mazoea ya kuomba mara kwa mara, akiwasiliana na Mungu kwa njia ya maombi. Anaelewa umuhimu wa kumtegemea Mungu kwa kila hali. Luka 18:1 inatufundisha tuombe bila kukoma.
3. Matunda ya Roho: Biblia inafundisha kuwa mtu aliye na Roho wa Mungu huonyesha matunda ya Roho Mtakatifu kama vile upendo, furaha, amani, uvumilivu, fadhili, wema, uaminifu, upole, na kiasi (Wagalatia 5:22-23). Mcha Mungu ataonyesha tabia hizi kwa wengine.
4. Kutembea Katika Njia za Haki: Mcha Mungu atajitahidi kuishi maisha matakatifu, kuepuka dhambi na kutafuta haki. Yeye humtii Mungu na kuishi kulingana na amri zake. Mithali 14:2 inasema, "Aendaye kwa unyofu humcha Bwana, bali mwenye njia za upotovu humdharau."
5. Kujitolea kwa Wengine: Mtu mcha Mungu ataonyesha upendo kwa wengine kwa kuwasaidia, kwa vile Yesu alifundisha kuwa tunapaswa kupenda jirani zetu kama tunavyojipenda wenyewe (Mathayo 22:39).
6. Unyenyekevu: Mcha Mungu ni mnyenyekevu mbele za Mungu na wanadamu. Anaelewa kuwa kila kitu hutoka kwa Mungu, hivyo anaishi maisha ya shukrani na unyenyekevu. Yakobo 4:10 inasema, "Jinyenyekezeni mbele za Bwana, naye atawakweza."
Kupitia sifa hizi, mtu anaweza kutambulika kama mcha Mungu. Pia, siyo tu kwa maneno, bali kwa matendo ya kila siku.
😂😂🙏🙏🙏barikiwa sana mchungaji mahubiri yako yamenifaa siku ya leo💞💞🙏🙏
rose Peter Amen
Wah
Barikiwa🙏🙏🙏🙏🙏
be blessed pastor
Safi sana Mchungaji. Nimebarikiwa sana🙏
Watching love frm turkana county kenya nyc i rem kuwa si kila alie na nyundo ni fundi
Amen umeniupili iyo point ni yangu kutoka Dubai,Sabato njema
Judith Cheroto amen
Amina
Ubarikiwe mchungaji
Nabalikiwa na mahubili
Hakika umenena ukweli; Amani ya Bwana wetu yesu iwe pamoja nanyi siku zote.
Amin mchungaji
❤❤❤
Praise God... Nina Swali kwako mchungaji... Hivi Ukipata kijana a nakupenda na ni mcha mungu na pia hard working but unashindwa kumpenda sababu ya height... Can you still get married and live happily???
Hi
Asante
MCHUNGAJI UMENIGUSAA BHANA ONGELAA
Thanks
amen PR d mbaga
ubarikiwe pastor
Kupitia semina hii akanipe aliye sahihi
Amen
Jamani mkishasikia mahubiri ninawakaribisheni mpate wimbo wa injili ruclips.net/video/QJhwWhs-5Pw/видео.html Yesu kristo awe nany
Nashukuru mung kwakunipa nafas ya kusikiliza masomo yako ubalikiwe
pasta mbaga.
Ubarikiwe pst kwa mawaidha yako mazuri
I like it
baba vizuri pastor
Pr nimebalikiwa sana na somo la Leo nimejifunza kitu
Ameen
Hakika unatuelimishaa
Ni kweli kabisa pasipo yesu hatuwezi lolote
Hakika
Hillary Mollel uuurl
Wanakula zaidi sababu hawajatolea jasho hapo ni kweli kabisa
Asante
Hahaha😂😂😂😂💃💃💃
Ameen Ameen
Hivi kuapa wakati wa kufunga ndoa imetokana na neno au agizo lipi kwenye Biblia? Kwani ninachofahamu Yesu Kristo alikataza kuapa katika Mathayo 5:34 Lakini mimi nawaambia, msiape kabisa, ama kwa mbingu, kwa sababu ni kiti cha enzi cha Mungu, 35 au kwa ardhi, kwa sababu ndipo mahali pake pa kuwekea miguu, au kwa Yerusalem kwa sababu ndio mji wa Mfalme Mkuu. 36 Msiape kwa vichwa vyenu kwa sababu hamwezi kugeuza hata unywele mmoja kuwa mweupe au mweusi. 37 Ukisema 'Ndiyo' basi iwe 'Ndiyo'; na ukisema 'Hapana' basi iwe 'Hapana'. Lolote zaidi ya haya hutoka kwa yule mwovu.
Lakini pia katika Yakobo 5:12 Zaidi ya yote, ndugu zangu, msiape, ama kwa mbingu, au kwa dunia au kwa kiapo kingine chochote. Bali mkisema 'ndiyo' iwe ndiyo, na mkisema 'hapana' hapana.
Hey
Kila wakati wayeyusha kiroho Maulana akubariki ndo uzidi kutupasha ya mbinguni
Anayejua jina analotumia huy mch. Insta tafadhal aniambie
Kelvin Kasiano pastor David mbaga
@@drwinnie7145 shukrani
Pastor _David_mmbaga
Good
Asante kwa mafundisho .Maana salam tu nusu saa
@@witneshawa116 salam ndefu ndio nn
𝗔𝗺𝗶𝗻𝗮𝗮
Yani ukimfatilia huyu jamaa alafu ukashindwa kupata changes ktk maisha.....unahitaji nguvu ya ziada ya maombi
🙏
God bless you apostle
Be blessed pastor