Hongereni sana wanakwaya wenzangu wa Dekania yetu mmeimba vzr sana Mungu azidi kuwatunza muitangaze injili yake kwa uaminifu ,mtoto Yesu alizaliwa awe nanyi daima,hongera kwa timu nzima iliyofanikisha kazi hii baba paroko na waandamizi wake,halmashauri walei, waalimu na wanakwaya na waaumini wote ❤❤❤❤❤
Namshukuru Mungu kwa ajili ya John Genda Mwl wa kwaya hii na mwanafunzi wangu wa muziki, pamoja na walimu wengine waliofanikisha kazi hii, Mungu awabariki. Pongezi kwa kwaya nzima, producer wa audio na video directors my friends Naza, Nesto, Mabogo Blessings guys... Mtoto Yesu aliyezaliwa Horini aendelee kutubariki sote tuweze kumtumikia Mungu kwa njia ya kuimba katika roho na kweli... Amina 🙏
Hongereni wanakwaya wa BMMA Parokia ya Dongobesh kwa wimbo mzuri. Mmependeza sana. Ukifanya kila jambo kwa ustadi, upendo na furaha huleta uzuri usio wa kawaida. Hongera Fr. Y. Gaare kwa kuwafikisha ktk hatua ya juu ya uimbaji. Utume mwema vijana.
Kumbe jimboni kwetu zipo parokia ambazo zina kwaya nzuri hivi?? Hakika MUNGU wa mbinguni awatunze na aendelee kuwabariki jamn❤️❤️❤️❤️❤️ Toka parokia ya DAREDA
Wimbo mzurii sana mwalimu John genda nakuona humo ndani kwakwel hii kazii imesheheni ubunifu wa Hali ya juu sana hongereni wanakwaya pamoja na waandaaji wote wa kazi hii mungu awabariki sana 🙏🙏
Waoo hongereni Wana bmma dongombesh kwa wimbo mzuri wa noel
Asante sana ndugu. Tumshukuru Mungu🙏
Hongereni Wana bmma dongombesh kwa wimbo mzuri wa noel ❤❤❤❤❤
Asante Sanaa🙏🙏
I'm in my
Mtunzi yuko makini sana nimekubali kazi
Mungu awabariki nyote heri ya kuzaliwa kwake mkombozi wetu Yesu kristo ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Asante sana. Tunamshukuru Mungu
Hongereni Wana BMMA Dongobesh kwa kazi nzuri,
Asante sana dada Sesilia.Tunamshukuru Mungu
Hongereni sana wanakwaya wenzangu wa Dekania yetu mmeimba vzr sana Mungu azidi kuwatunza muitangaze injili yake kwa uaminifu ,mtoto Yesu alizaliwa awe nanyi daima,hongera kwa timu nzima iliyofanikisha kazi hii baba paroko na waandamizi wake,halmashauri walei, waalimu na wanakwaya na waaumini wote ❤❤❤❤❤
Asante sanaaa🙏🙏 Tunamshukuru Mungu.Tuendelee kuombeana katika utume wetu
Hongera Sanaa Nazareth Kwa kazi nzuri
Hongera Kwaya Kwa ujumla
Asante sana.Tunamshukuru Mungu
Hongereni sanaaa❤❤❤❤❤ naurudia rudia mara 10 hamu yake haiishi kabisaa, hususani .......so so mi fa mi re do ,so so mi fa mi re do....
Ubarikiwe Sana🙏🙏
@KWAYAYAB 7:49 7:51 MMA-DONGOBESH-qx5uz
7:57
Aiseeee, hongereni Sana, mwalimu,wanakwaya, ma producer na ma directors wote, hongereni Sana. Kaka Nazareth & mwl. John Mgenda kazi yenu nimeiona🎉🎉
Asante sana dada Angel. Sifa na utukufu zimrudie mwenyezi Mungu🙏
Namshukuru Mungu kwa ajili ya John Genda Mwl wa kwaya hii na mwanafunzi wangu wa muziki, pamoja na walimu wengine waliofanikisha kazi hii, Mungu awabariki. Pongezi kwa kwaya nzima, producer wa audio na video directors my friends Naza, Nesto, Mabogo Blessings guys... Mtoto Yesu aliyezaliwa Horini aendelee kutubariki sote tuweze kumtumikia Mungu kwa njia ya kuimba katika roho na kweli... Amina 🙏
Amina kaka Maestro.
Asante sana kaka Kwa utunzi wako mzuri🙏🙏🙏.Mungu aendelee kukujalia moyo wa kukitumia kipawa chako vyema.
hongera kwa utunzi mzuri mwl Bdo ule wa shukranii sasa...
Aminaa KUBWAA🎉🎉🎉🎉
❤❤❤❤
Dah! sichoki kuusikiliza huu wimbo hakika mmetisha pokeeni maua yenu🎉🎉
@@MejNgoi Amina Mungu akubariki
Barikiweni....nawatakia Krismasi yenye Heri njema ❤❤❤
Kheri ya kuzaliwa kwenu kwa Mkombozi wetu Yesu Kristo, mimi ni mwanakwaya ya Mt Sesilia Bukoba Parokia ya Katoke❤ hakika mmeimba vizuri sana💐💐wenzangu
Hongereni sana sana Kwa wimbo mzuri sana. Hongera Sana sana Kwa mtunzi na waimbaji mahiri
Tunashukuru sana wasalimie Bukoba karibu Manyara
@@KWAYAYABMMA-DONGOBESH-qx5uz Asante sana
BEST CATHOLIC SONG 2023 ❤be blessed my Family merry Christmas wana dongobesh na Tanzania nzima
Asante sana mkuu karibu Dongobesh
Nice 👍 song Frt .Batu Big up
🙏🙏
Waoooooh jaman hongereni wanakwaya wangu nafurahi kuusikiliza wimbo mzuri wa noel mungu awabariki utume uendelee ❤❤❤❤❤ nawapenda wotee
Amina 🙏🙏
Hongeni wanakway WA dog na poroko wenu pongezi walimu WA kway pamoja nawalezi wot mungu awatie nguvu muwe na moyo mkuu❤❤❤❤❤❤ nawapenda
Asante sana kwa kutuombea mema Mungu akubariki sana
Hongereni wanakwaya wa BMMA Parokia ya Dongobesh kwa wimbo mzuri. Mmependeza sana. Ukifanya kila jambo kwa ustadi, upendo na furaha huleta uzuri usio wa kawaida. Hongera Fr. Y. Gaare kwa kuwafikisha ktk hatua ya juu ya uimbaji. Utume mwema vijana.
@@NyerereWomen Tunakushukuru sana NyerereWomen kwa upendo wako. Mungu akubariki sana
Jmn ongereni Sana mbalikiwe Sana kipawa mmepewa
Hongereni Sana Wanakwaya. 🎉🎉❤
Asante sana@stfranciscoofasischoirs
Waooh hongereni Sana mmemtendea haki Yesu
Asante sana
Waoooh superb
Asante sanaa
Hakika mumeimba, Mungu aendelee kuwainua katika utume wauimbaji
Amina 🙏🙏
Fresh kabc
Hongerinii sana Kwa nyimbo nzuriii
Hongera sana waandaji mbarikiwe 🎉🎉heri ya noeli
Asante sana na kwako pia
Hongereni Wana dongobesh mji ulio barikiwa asali maziwa
Asante sana.tunamshukuru Mungu🙏🙏
Such a beautiful song 😊❤❤❤❤❤😊🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
Much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Nawapenda sana!
Hongera kwa mtunzi ❤❤❤❤
Thanks for ur appreciation
Hongera Sana Frateri Batu kwa utunzi mzuri. Choir congrats. Beautiful singing
To God be the glory.. thanks
Naeza pata nota
Hongereni sana waimbaji Kwa wimbo mzuri kwakwelii mtoto kazaliwa horini mwa ng'ombe
Waoooooh jaman nimeupenda uimbaji wenu kwakwelii mungu awabariki Kwa ujumbe mzuri
Asante sana
Unyama ni mwingi , Mungu anatukuzwa kutoka mitaa hadi parokiani 😂😂 mpka kule miisho ya nchi
Amina 🙏
HONGERA SANA SANA KWA DIRECTOR KAZI NZURI SANA KEEP IT UP NDUGU
Asante ndugu,Mungu atubariki sote.
Asante sana. Tunamshukuru Mungu 🙏
💯💯hongereni sana jaman🔥🎉❤ na heri ya noeli kwenu wote💌
❤❤
Asante sanaa🙏🙏🙏
Wimbo Hatare🫶🤗 Merry Christmas to you 🎉
Thanks Mungu akubariki
🎉wow hongereni kwenu nyote wimbo mtamu sana
Asante sana Samweli🙏🙏
Wimbo mzuri sana nawapenda wote
Asante sana 🙏🙏🙏
Bonge ya wimbo aiseee kongore Nazareth
Tunamshukuru Mungu 🙏🙏
Kongereni sana mmeimba vizuri sana,,pongezi kwa walim na mtunzi kaka bathlomeo,,mungu awatie nguvu
Tunashukuru sana
Naweza kupata nota za huu wimbo!!
Wooooooooo wimbo amaizing sana ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Thanks more
Hakika wimbo ni mzuti sana Wana BMMA mmetuheshisha wana Dongobesh
Asante sana
Hongereni sana 👏👏👏
Mungu awabarikia
Asantee sanaa tubarikiwa sote 🙏
Batu uishi milele✊️✊️
Amina🙏🙏
Hongereni Sanaa.Noeli njema
Asante sana na kwako pia🙏🙏
Jamny wimboo mzuriii kwakwel wapew mauwa yao wana dongobesh by JOEBOY MALLECK
Asante sana kaka Joel. Tunamshukuru Mungu
Asante sana kwakazi hii nzuri sana mbarikiwe.
Amina🙏
Yoo yoo yoo...👏🏽👏🏽👏🏽❤❤❤🔥
Thanks
Dah hongereni Sana wimbo umetisha ni mzuri Sana imetimia kila idara yani
Asante sana kaka Ezekiel🙏🙏
Watu na sauti zao, burudani kbs, hongeren sana
Asante sana
❤amina❤❤❤❤❤ tunawapenda wote mnaotutazama❤
Amina❤❤
Kumbe jimboni kwetu zipo parokia ambazo zina kwaya nzuri hivi??
Hakika MUNGU wa mbinguni awatunze na aendelee kuwabariki jamn❤️❤️❤️❤️❤️
Toka parokia ya DAREDA
Asantee sana dada Monica. Sifa na utukufu zimrudie mwenyezi Mungu🙏
@@KWAYAYABMMA-DONGOBESH-qx5uz Amen ❤️
@@monicaanselmi6992 karibu sana Dongobesh
@@KWAYAYABMMA-DONGOBESH-qx5uz ahsante sana navyopenda kuimba sasa😊😊 yaani natamani hiyo spirit ingekuja kwenye parokia yetu itakuwa neema kubwa sana❤️
@@monicaanselmi6992 karibu sana. Hakuna kinachoshindikana Kwa Mungu.
Hongera sana Nazareth ❤❤❤
Asante sana 🙏🙏
Mmefanya vyema sanah hongereni ndugu zangu❤️
Asante sana dada Irene🙏🙏🙏
Hongereni sanaaa Kwa utume wa uimbaji
Asante sana kaka Peter🙏🙏. Tunamshukuru Mungu
Horin
Heri ya Noeli,Kristo azaliwe katika familia zetu azijalie amani,furaha,upendo na mshikamano.
Amina kaka.Ubarikiwe sanaa
Ukweli kabisa
Kazi nzur sana wanakwaya, mtunzi wa wimbo na walimu kwa ujumla hakika mmejua kutuburudisha,,, hongeren sana ❤❤
Asante sana kwa maneno matamu yenye nguvu ya kiroho.
Wimbo mtamu san kbs ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Asante sana
Wimbo mzuri sana hogereni sana👏👏👏🎄🥳
Asante sana
Wooow Aminaa Mungu azidi kukuza vipaji vyenu 🙏🙏
Amina
Nawapeni mkono wa tahania kwa kazi hii aula . Hongereni Sana
Asante sanaaa🙏🙏
Mmbarikiwe sana mnajua kuimba sanaaaa❤❤❤
Amina. Tumshukuru Mungu🙏🙏
Hongereni sana! Kazi nzuri. Kongole Br. Batuu
Asante sana kaka. Mungu atubariki sote
Asante sana
Kazi nzuri❤❤❤
Asante Sana🙏🙏
So so mi fa mi re do, 😂😂😂 @Mdusu
🔥🔥🔥👏👏👏 @Mozen Pro, Mtunzi & Kwaya ya BMMA.
Bwana harusi bado uko honeymoon 😅
Bado bro, 😂😂😂😂
Asante sana
Hongera sana Frt. MWENYEZI MUNGU AKUJAELI UWE PADRE. Kazi yako ni nzuri sana 🎹🎼 fa, fa mi, re, do😂😂😂😂😂😂
Amina. Asante sana 😊
Amina
Wimbo mzurii sana mwalimu John genda nakuona humo ndani kwakwel hii kazii imesheheni ubunifu wa Hali ya juu sana hongereni wanakwaya pamoja na waandaaji wote wa kazi hii mungu awabariki sana 🙏🙏
Asante sana kaka Martin tunamshukuru Mungu Kwa kutuwezesha kufanikisha kazi yetu Ili mkombozi azaliwe mioyoni mwetu.
hongereni kwa utume uliotukuka
Amina 🙏🙏
Wimbo mzuri sana ubarkiwe sana mtunzi mtumishi wa Mungu Mwema frt
Asante sana
Hongereni waimbaji,mtunzi na Studio.Wimbo unabariki.
Hongera kwenu wimbo mzuri🎉
Asante sana dada Happy 🙏🙏
Hongereni kazi nzuri Wana wa Dongobeshi
Asante sana Pascal.Tuzidi kuombeana 🙏🙏
Hongera sana Kwaya ya nyumbani Dongobesh 👏👏👏👏👏👏👏👏keep it up watumishi wa Mungu
Thank you so much
Duh mwaaaaaaah is the best song love it
Thanks much
Thanks much
Mungu awabariki kwa kutubariki kwa nyimbo nzuri wakati kama huu🎉🎉
Amina tunamshukuru Mungu
Hongerenii sana wanakwayaa MUNGU azidi kuwabariki , Wimbledon mzuriii sanaaa
Asante sana
hongereni sana👏👏👏
Mungu awabariki
Amina kaka🙏🙏🙏
Asanteni sanaa
Amina🙏🙏
Hongereeni sana. Utunzi mtamu
Asantee sana kaka Martini 🙏🙏🙏🙏
Hongereni Sana, ❤❤❤❤
Asante sanaa
Well done ✅ congratulations 🎉
Thanks🙏🙏
Mungu awabariki saana jamani
Amina
Dahh ❤❤❤❤❤❤nawapenda sana wanadongobesh asanteni kwa kunifungia mwaka vizuri kaka batholomeo umeupiga mwingi sana ♥💖 naenjoy sanaaaaaa
Ubarikiwe sana ndugu
Tumshukuru Mungu
Wahusika wa huu wimbo naombeni mnisaidie NOTA YAKE naomba sana ikiwezekana nipatieni namba ya mawasiliano
0784302285
Akhsanteni sana Mbarikiwe.!!🙏🏽🙏🏽
Amina🙏🙏🙏
Kwel mmeimba, hongeren Kwa utume
Asante Sanaa 🙏🙏
❤❤kali sana
Asante sana
Hongereni sana kwa kazi nzuri🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤😂
Asante sana.sifa na utukufu zimrudie mwenyezi Mungu
Padre Yuda
🙏🙏🙏
Nice
Thanks🙏
Nice one
Thanks🙏
Hongera sana wimbo mzurii
Asante sana. Sifa na utukufu Kwa mwenyezi Mungu
Oro loa tunutsuq ❤
Naas ne kinge
Hongereni sana mungu awabariki sana wanakwaya
Amina sana.tubarikiwe sote
nice sog❤
Thanks🙏🙏
Mungu awakirimie zaidii
Amina
Mungu awabariki katika utume wenu. Wimbo umenibariki
Amina tuzidi kuombeana 🙏🙏
Hongerenii 🔥🔥🔥
Asante sanaa🙏
Christmas 🎄
Asante sana
Herini ya mwaka mpya Wana BMMA Mbarikiwe sana
YESU KRISTO azaliwe mioyoni mwetu MUNGU pamoja nasi
Asante sana
Hii ndio moto sasa, Naz hongera sauti Iko top🥰🙏🎉
Asante sana.
Be blessed nmebarikiwa saaaaaaan
Thank you
Hogereni Sana kwa kazi njema.
Asante sana