JUBILEI | MTUNZI:ATHANAS KIJUU
HTML-код
- Опубликовано: 8 фев 2025
- Huu ni wimbo maalum kwaajili ya maadhimisho ya Jubilei ya miaka 25 ya upadre wa Mhashamu Askofu Anthony Lagwen.
Tuungane naye kwa kumwombea na kumpongeza.
Mtunzi: Athanas J. Kijuu
Audio:RAJO PRODUCTIONS
Video:MOZEN PRODUCTIONS
Mawasiliano
Kwaya:+255 786 749 898 | +255 784 302 285
bmmadongobesh@gmail.com
Studio
MOZEN Productions:+255 746 775 116
RAJO Productions:+255 758 988 827
"Onyesha upendo kwa ku subscribe, share, like and comment" nawe utakuwa umeshiriki katika utume huu na Mungu atakubariki maradufu"
#MOZENprouctions#RAJOproductions#Kwayakatoliki #tmcsmbeya #Kwaya ya BMMA-Parokia ya Dongobesh#Horini#jubileimbulu
Hongereni sana wana Dongobesh kwa wimbo mzuri, kongole kwa mwalimu Kijuu kwa kazi nzuri
Assnte sana
Hongereni kwa utume wenu mzurii Mungu aendelee kuwainua zaidi❤❤❤
Asante sana dada Mary
Hongera sana Kwa kazi njema ya kumtukuza Mungu.
Asante sana
Shukran walimu na Mungu atukuzwe daima
Amina
Congrats 🎉🎉
Happy silver jubilee 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Thanks for ur good comment
Mmetisha sana mungu mbarikiwe mnooo❤❤❤
Amina dadangu
Pongezi nyingi sana kwenu nyote kwa wimbo mzurii....Mungu azidi kuwabariki.
❤❤❤❤❤❤
Tunashukuru sana kwa maneno ya kututia nguvu. Amina
Jamani MUNGU awazidishie mema na neema zake mzidi mkimpendeza MUNGU Daima, zaidi pongezi zangu kwa Askofu mhashamu Antony lagwen pamoja na father Gaare paroko wangu❤❤❤🎉🙏
Zimefika hizi pongezi kwa wakati ufaao
Daah..Mmetisha sana wapendwa Hongereni sana Kwa wimbo mzuri sana ❤️❤️❤️🔥
Asante sana
Nzurii sana mwalim hongera kwa utunzi na wanakwaya wotee , wote twasema asante asntee
Asante sana
❤❤❤❤ Sauti soft kabisaa, Hongereni kwa nyimbo nzuri ya kuzidi kumtia moyo baba yetu kwa utume wake,Mungu azidi kuwainua katika kipawa cha uinjilishaji kwa njia ya nyimbo muimbe mpaka mbinguni.Hongera director Ka mkubwa Nestory❤,
Amina, huyu director yuko vizuri sana na assistant wake Charles Mabogo
Hongereni Sana,Mungu awatunze.
Asante sana, amina
🎉🎉🎉🎉🎉 hongereni nipo mbeya
Karibu sana Manyara, tunashukuru
Pongezi kubwa Wana kwaya❤🎉❤ good son
Asante sana
❤ Mwenyesi Mungu wabariki sana
Hongereni sana wanakwaya🎉🤗. Mungu awabariki wote🙌 na pia ampe nguvu askofu wetu😇 Antony Lagwen❤️
Asante sana, Mungu ndiye kila kitu
Hongereni Kwa utume ulotukuka mpo juu Mungu awe pamoja nanyi🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Amina
❤ hongera anko Antoni
Bila shaka ataitika
Hongereni sanà mungu awatangulie katika utume wenu muwe na huo moyo siku zote
Asante sana
Hongerenii 🎉🎉🎉🎉
Asante sana
Kazi nzuri.Hongereni sana
Asante sana Anastacia
Sweet song🎉❤❤
Thanks
Hongereni san mungu awape afya tele kuifanya kazi yakee🙏🙏🙏
Assnte sana
Hongereni sana❤❤
Asante sana mkuu
Hongeren🎉🎉🎉🎉
🎉🎉🎉🎉🎉hongereni sana kwakazi kubwa kumpongeza askofu wetu
Asante sana Ndugu
Hongereni wa nyumbani, Bravo mwl. Kijuu.
Asante sana Baba
Hongeren sana
Asante sana
Wow 🔥
Thanks
Nipo temeke
Karibu sana Manyara
Safi🎉❤
Asante sana
Hongereni sana mungu azidi kuwapigania na kuwaongezea vipaji vya kuendelea kumtukuza mungu kwa njia ya uimbaji
Asante sana karibu tena kwenye channel yetu
Mwezi ujao kwa Neema ya Mungu nitakuja Dongobesh
Karibu sana
Awesome... mungu awatunze🌹💖💖
Amina
AISEE KAZI TAAM HADI RAAHAA 🎉🎉🎉🎉
Tunamshukuru Mungu
Congratulations 🎉🎉
Asante sana
Hongereni sanaaaaa
Asante sanaaaa
Hongereni sana sana
Asante sana sana
KAKA KIJUU UKO JUU KAMA KAZI ILIVYO JUU
Asante sana rafiki yangu
🙏🙏💕💕
Asante sana
Shukran sanaa
Amina
🎉🎉🎉🎉
Asante sana
❤❤❤🎉
Asante sana
🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Asante sana Mbano
❤
Thanks 🙏🙏
H
Congratulations 🎉🎉
Thanks
Hongereni sana
Tunashukuru sana
H
Hongereni sana
Asante sana
🎉🎉🎉🎉🎉
Asante sana
H