Sasa Wakati Umefika | Basil A. Lukando | Sauti Tamu Melodies | wa Matoleo | SKIZA 7482439

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 сен 2024
  • Sasa wakati umefika wa kushika nilicho nacho
    Kwa wema niende kwa Mungu nitoe zawadi
    Sasa wakati umefika kwenda mbele za Mungu wangu
    Aone nilivyoandaa zawadi ya leo
    Nitamwambia Bwana pokea, hiki kidogo nilicho nacho
    Kwani Mungu wewe wanijua, mimi siwezi hata kueleza
    Nakusihi sana Baba unipokee
    Nigawie na baraka niwe salama
    Tazama anayekula mwili wako na nijaposema kwa lugha
    #SautiTamu #kwayakatoliki #Zilipendwa
    subscribe channel hii kwani nyingi zaja.
    Fuatilia pia channel ya Rajo Production, Holy Trinity Studios, Tanganyika productions kupata nyimbo nyingine za kwaya Katoliki Afrika Mashariki zikiwemo mimina neema maneno matamu wimbo ulio bora Bwana unibadili na neema ya Mungu.
    Nyimbo nyingine za sadaka zinazojulikana sana ni uzipokee sadaka, nitakwenda mimi mwenyewe, utukuzwe ewe Baba, Sadaka yangu kwako ee Mungu, Nikupe nini Mungu wangu cha kukupendeza, sasa ndio wakati, na Beba mikononi
    sasa wakati umefika catholic song

Комментарии • 1,5 тыс.