It's a nostalgic song because when I was young we used to live in huruma and this was like an alarm on a Sunday morning kuenda church mtu wakuuza cd akiziplay 7.00am ❤❤❤
Ni nani aliye Mungu, Mungu ila Bwana Ni nani aliye mwamba, mwamba ila Mungu {Ni Mungu ndiye anifungaye mshipi wa nguvu aha! Ni Mungu ndiye kimbilio la unyonge wangu aha! Naye anaifanya kamilifu njia yangu } *2 Ni yeye Bwana aliye nguvu zangu nampenda sana Ni yeye Jabali langu na boma langu na Mwokozi wangu Mungu wangu mwamba wangu ninayemkimbilia Ngao yangu na pembe ya wokovu wangu na ngome yangu Katika shida zangu nilimwita Bwana ee Bwana Na kumlalamikia Mungu ee Mungu Akaisikia sauti yangu hekaluni mwake Kilio changu kikaingia masikioni mwake Bwana alinitendea sawasawa na haki yangu Akanilipa sawasawa na haki yangu Nitamwita Bwana astahiliye kusifiwa Hivyo nitaokoka na adui zangu
I have been searching for this song for pass 10 years now . Thank God I finally saw it 2024 on February 26 . This was a great song in my child hood as a catholic reform Christian. We usually sing this song and even stage in school even though I don't understand the meaning because I am from Cameroon . Much love to this song . 2024 fans gather here
Huu wimbo ni Sifa kamili kwa Mungu, “Daudi alimwimbia Bwana maneno ya wimbo huu wakati Bwana alipomwokoa mikononi mwa adui zake wote, na pia mkononi mwa Sauli.” Ukisoma maandiko matakatifu 2Samweli 22 utakutana na huu wimbo kuanzia mstari wa 32 na kuendelea. Glory to God 🙏🏼🔥🔥
Hi brothers and sisters of year 2090,,,,.......we enjoyed alot in 2019/2023 with this song hope you are enjoying it too. Stay blessed...make Catholic more respected than we your elders did. And God will put best in your lives.
i dont mean to be so offtopic but does any of you know of a method to get back into an Instagram account? I somehow lost my account password. I appreciate any help you can offer me.
Franchement les catholiques tanzaniens different des autres catholiques.quand on entend les sons de leurs chant avec la facons don't ils dansent,on les reconnait rapident . Je vous suis depuis le burundi.soyez richement benis
Najivunia kuwa mkristu mkatoliki, mbarikiwe na babayetu wa mbinguni, wooote msikilizao nyimbi za kumsifu na kumshukuru yeye aliye juu, naiwe heri kwenu
Thanks Woka for liking our song. You have no idea how I love SDA hymns. You also have a unique way of singing. Let's all praise our Creator. That's why we were put in this world. Our God is one and He loves us equally. Tumtukuze forever.
Katika shida zangu nalimwita Bwana Eee Bwana na kumlalamikia Mungu eeh Mungu akaisikia sauti yangu Hekaluni mwake kilio changu kikaingia masikioni mwake... I love it 2019 January
At last i saw this album,for the fact that i never knew the name of the choire i had to watch almost all the Catholic songs just to find this ,i don't speak Swahili but the Rhythms and the acent gives me a deep feeling of belonging 😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍
Kama umeisikiliza hii 2024 gonga like
@@WAMOTOWAMOTO-tr9ft mwezi WA kumi na moja niko ndani
Leo tarehe 29/11/2024 nimebarikiwa sana kupitia wimbo huu
Nimeuskiza tena na tena leo tarehe 7 Disemba 2024
Who is listening 2024🎉🎉??
2024 here we are 😇🙏
Am here
Be blessed☺👼
Mimi niko hapa
Mimi huyu
Who is with me 2024❤❤❤🎉🎉 🔥 🔥
nani yupo nami 2024
Wajina nipo
Me
here
I am here too, doing it over and over God is good🎉🎉
Mm nipo
2024 anyone?
Here 😂
It's a nostalgic song because when I was young we used to live in huruma and this was like an alarm on a Sunday morning kuenda church mtu wakuuza cd akiziplay 7.00am ❤❤❤
@@Davie353 Mimi❤️❤️
Yeah. Me
Twende nayo hadi 2024
2024 gonga like kama unabarikiwa na wimbo huu🎉
Naupenda huu wimbo jaman acheni tu tuendelee kumsifu Mungu piga like yako hapa kama wampenda Mungu..
Nahisi unishindi mm daaah
May Allah remember you all
Bado mapambano Tuko Locked mbita....
Mungu ni mwema
Who also came here from tiktok 😅😅😅😅😅😅
mimi nimeijulia kwa meme😂😂😂😂
Tulio tazama tena mwaka huu gonga like twende pamoja
2024 mungu nifunge mshipi
Nimekuwa Mtu wa elf 1. 1000 kucomment... YESU awatunze ❤❤❤❤
Nimekuja tena KUSIKILIZA 2024
Jamais quitter mon propre église catholique, j'aime beaucoup catholique de plus que toutes choses. Merci seigneur Jésus Christ.
Que Dieu te bénisse mon frère.
2024 in it fully,my love for this song can not be measured with anything❤❤❤❤❤
Ni nani aliye Mungu, Mungu ila Bwana
Ni nani aliye mwamba, mwamba ila Mungu
{Ni Mungu ndiye anifungaye mshipi wa nguvu aha!
Ni Mungu ndiye kimbilio la unyonge wangu aha!
Naye anaifanya kamilifu njia yangu } *2
Ni yeye Bwana aliye nguvu zangu nampenda sana
Ni yeye Jabali langu na boma langu na Mwokozi wangu
Mungu wangu mwamba wangu ninayemkimbilia
Ngao yangu na pembe ya wokovu wangu
na ngome yangu
Katika shida zangu nilimwita Bwana ee Bwana
Na kumlalamikia Mungu ee Mungu
Akaisikia sauti yangu hekaluni mwake
Kilio changu kikaingia masikioni mwake
Bwana alinitendea sawasawa na haki yangu
Akanilipa sawasawa na haki yangu
Nitamwita Bwana astahiliye kusifiwa
Hivyo nitaokoka na adui zangu
Takes me far back in time as a very young boy. This song made me admire Catholicism at a very young age and now am a proud catholic
I have been searching for this song for pass 10 years now . Thank God I finally saw it 2024 on February 26 . This was a great song in my child hood as a catholic reform Christian. We usually sing this song and even stage in school even though I don't understand the meaning because I am from Cameroon . Much love to this song .
2024 fans gather here
Also watching from Cameroon 🇨🇲🇨🇲🇨🇲. March 15, 2024.
Which part are you from? I'm from Buea
Good to hear that....much love from Kenya
@@ashudesmond3050 from bamenda but currently in India
@@FondahTravel wow great 👍.
All the best brother. How's India? I've always wanted to be there someday
@@ashudesmond3050 India is very Good , ohh you should come
Who else is steeling watching this song 2019 🙋🙋🙋 nice one Amen
tena sana..... it will never loose its meaning
Akinyi wacha kunletdown maze "" stilling notsteeling ama"""
Yes Akinyi we are still watching..Amen indeed.To Nyongesa it might as well have been a typo typing error.God bless us all.
thanks wale tunaendelea kuwatch twende,,, hadi 2030 au sio dio manake
@@ferdnandnyongesa6734 still
Watching in 2024 in UK and remembering how God has been so good.Amen..ni mungu ndiye anifungae mshipi wa nguvu
Baada ya miaka mingi nimeupata huu wimbo naskia nimebarikiwa, 2024 still a hit
@@leonppolygathoni3607 nipo
Mimi nipo hapa 2024. Tunawapenda kutoka Kigali, Rwanda.
Que Dieu vous bénisse.
2023 am still loving this song, such a masterpiece!
Anyone who still watching this song 2020🙏
Me
I am
Yes! On April, 13. From Brazil!
Tupoooo
Queen zeey me
Bwana Yesu asifiwe wakatoliki wote Nchini Kenya 🇰🇪
Mungu abiriki watu wake na Nchi nzima ❤
nimebarikiwa sana kama na ww umebarikiwa please usiache kugonga like
2024 anyone...🔥🔥🙌
@@vanbizopaul Yea. Me
Watching it in 2025. Though am a Malawian n I can't everything in the song but I love it 😅❤
Me too
Huu wimbo ni Sifa kamili kwa Mungu,
“Daudi alimwimbia Bwana maneno ya wimbo huu wakati Bwana alipomwokoa mikononi mwa adui zake wote, na pia mkononi mwa Sauli.”
Ukisoma maandiko matakatifu 2Samweli 22 utakutana na huu wimbo kuanzia mstari wa 32 na kuendelea.
Glory to God 🙏🏼🔥🔥
Umeipata kabisa, ubarikiwe sana, Chichi.
Watoto wa elf mbili ndo tunasikiza huu wimbo 2024❤❤❤❤❤catholic my church forever
This song in sang in almost every Catholic Church here in Kenya! Thank you Tanzanian choir for this masterpiece!
Thank you more
Don't forget about st Joseph's choir huyu ni nani
@@FreshVille-fu8rn Yes… very true!
I proud Roman Catholic 🙏
Hadi Leo nausikiliza huu wimbo 2024
Hujakosea kabisa.
Whos here 2024 kenya
I’m not a catholic but I schooled in catholic schools both primary and secondary, I love their songs. I know all of them and I enjoy listening to them
@@kainoyano4022 likewise dear
Morng,I like the song,nn kinanzuia kusema asante na nmeona day ingine.
Hi brothers and sisters of year 2090,,,,.......we enjoyed alot in 2019/2023 with this song hope you are enjoying it too. Stay blessed...make Catholic more respected than we your elders did. And God will put best in your lives.
😂😂😂weh
Awww😂😂😂ati 2090
@@TashTashliny-uh7ts yeah probably most of us will be buried ⚰ 🙏😂🙄
Aww 2090 some us will be already buried ⚰️⚰️
This mshipi song hits differently 😢❤ asanteni sana St. Cecilia 🇹🇿
2024 still watching 🇨🇲🇨🇲🇨🇲👏👏👏
The unique of Roman Catholic is that we have unique tones everywhere you go,when you here these sounds you know exactly where it's belongs...😍
i dont mean to be so offtopic but does any of you know of a method to get back into an Instagram account?
I somehow lost my account password. I appreciate any help you can offer me.
👍
{
P
L
Pop
Franchement les catholiques tanzaniens different des autres catholiques.quand on entend les sons de leurs chant avec la facons don't ils dansent,on les reconnait rapident . Je vous suis depuis le burundi.soyez richement benis
2024 here i am enjoying this song
Any one watching this song 2020, I am so much proud to be a chatolic member God bless you all
2020..... still in our hearts
Najivunia kuwa mkristu mkatoliki, mbarikiwe na babayetu wa mbinguni, wooote msikilizao nyimbi za kumsifu na kumshukuru yeye aliye juu, naiwe heri kwenu
DENNIS MLAKI evedu jigajika
DENNIS MLAKI amina
DENNIS MLAKI amina
Ameni
Mimi piya najivuniya sana piya niko muimbaji wa kwaya ya mtakatifu cecilia🤩😍❤️👌🤦♂️
Namaliza mwaka 2019 na hii, nani tupo pamoja.
Ukovizuri sanaa
Pamoja sanaa
Nyimbo nzuri ya pasaka ❤❤
If im not here tomorrow just know this song started my day....2024 noww
Glad you are blessed by this song among others.
Acheni Mungu aitwe Mungu, Nyimbo Katoliki ni tamu saana
Wimbo mzuri hongera sanaa...2024 here am listening
Nina furaha sana kuwa mkatoriki mkamilifu,tumsifu yesu kristu wapendwa
Milele Amina
I remember us singing the song back in 2009- i was form two by then
Though am an Adventist this one of my all time Gospel song naupenda wimbo huu... mbarikiwe 🔥🔥💯😘
Thanks Woka for liking our song. You have no idea how I love SDA hymns. You also have a unique way of singing. Let's all praise our Creator. That's why we were put in this world. Our God is one and He loves us equally. Tumtukuze forever.
Nani Yuko na Mimi 2023❤❤❤
Tupo hapa 2023
am here 18/12/2023
Tupo apa. This song never gets old though ❤️
Niko hapa 2023 pia
Oyoo
Ni Mungu ndie anifungae mshipi wa nguvu😌
Anyone watching in 2020 October make that thumb blue 💙 wow this song in the days of my youth choir were awesome
❤❤mungu a wabarik sana kwahizo sauti nzuri kwamungu
2020 wangapi bado tunasikiza huu wimbo 👍👍👍
Me
Asnte be blessed
Lilian Akinyi pamoja Dada
Nani yuko na mimi 2024
Ain't catholic but these are some songs that i love listening to..God bless
mimi pia
Amen 🙏🙏🙏
Bwana alinitendea sawasawa na haki yangu, akanilipa sawasawa na haki yangu...............................thanks
Nice song 😊
November 2024 🎉 God bless you all ….God bless this choir.❤
2020 still watching🙏🙏be blessed🙏
Namuona mwalimu G.MKUDE, kumbe ii kazi ameianza zamani
Zamani sana George.
ni mungu ndiye anifungae mshibi wa nguvu Aha!ni mungu ndiye kimbilio la unyonge wangu Aha! nae anifanya kamilifu njia yanguuu🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Casine Obote m
Ahsante
Ongera sana nawapenda na hizi wimbo nzuri sana ❤
Hakika Yesu Kristo Awabariki Sana Wimbo Mzuri Sana.
Best beautfull catholic songs am very pleased to listen them and be blessed!
❤❤❤ Asante sana
Katika shida zangu nalimwita Bwana Eee Bwana na kumlalamikia Mungu eeh Mungu akaisikia sauti yangu Hekaluni mwake kilio changu kikaingia masikioni mwake... I love it 2019 January
Thank God I found this after so much search.
Glory to Jésus
Tamu I say😍😍kipi kitotacho nifungia kuona Mungu💖💖likes za 2021
Murindabirwi wamaye imero ya nasitazi ESA damuru araho ndabaramukijecyane!!!!🇷🇼🎼
October 2024 wapi likes🥳🥳
I’m Cameroonian but my dad so loved this song
At last i saw this album,for the fact that i never knew the name of the choire i had to watch almost all the Catholic songs just to find this ,i don't speak Swahili but the Rhythms and the acent gives me a deep feeling of belonging 😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍
Tuko sawa adi mm nmeupata leo
May i teach u some swahili
Nimeuskia huu wimbo toka utotoni na bado naupenda hadi leo,,kutoka kenya
2019 anyone??...
This song is just beautiful... I looove it.... ❤️
Thank you Mt. Cecilia Choir
Anyone 2024 this song reminds me my late uncle he used to love this song when I was kid rip 😢 Mr okumu
Eternal rest grant unto him, O Lord, and let perpetual light shine upon him. May his soul rest in peace.
Kila binadamu ana unyonge ✌️ GUIDANCE❤️🇰🇪🌍Be Wise 🦉 This song is so Good 💯
Nikweli
😭😭😭🙏🙏🙏 nikweli
Kila mara ninapo sikia huu wimbo hunivuta machozi na kunipa matumaini mapya,mubarikiwe watunzi
Yani huu wimbo naupenda mno❤️
I really love this song since day one on my RUclips congratulations all catholic for making millions of people happy and blessed 🎉🎉🎉
Nani Yuko 2024
Tupo wengi kutoka pande zote za dunia
❤❤🙏who is here 2024 please give likes to St. Cecilia
Is part of my best songs
Ain't a Catholic, but as an SDA adherent, this song is so inspiring that I came back to listen to it in Oct 2019
Glory to God.
Me too
Wangapi tuna sikiliza uwimbo mwaka uuu 2024
Naendelea kubarikiwa sana na nyimbo hizi. Naomba kama twaweza pata muziki(music scores) ili pia tuweze kuzitumia nyimbo hizi katika ibada hapa kenya
Can't believe i last watched this song in 2007 on a video cassete, the memories and the song itself remains a blessing forever
You must be a very ardent supporter; God bless you.
I don't think my soul will be tired of loving this song. it blesses me so much
Barikiwa na wimbo nzuri jama ❤❤🎉🎉
Old is gold..2019 and still jamming to it!!God bless the choir
near 2022
My mum's favorite 😊
I really like the song. Keep fire burning and God bless you all 🙏🙏🙏
hizi ni zile enzi za madvd na cd, nakumbuka jirani zangu wakituomba hii cd sundays ati wanaturudishia (listening it in 2023)
Am proud to be a catholic of Roma by faith. When you sing you pray twice,, it is said so and I believe
Sichoki kusikiliza hii nyimbo hakiamungu ina ujumbe mzuri saana kutoka 🇩🇪nafarijika kusikiliza nyimbo za nyumbani ❤️🇹🇿
ni wangapi tunaendelea kuskiza wimbo huu?
ni watatu
Mimi hapa wa kwanza
Yuko wengi
Wimbo huu nakupenda sana mungu mwema sanaa
Wangapi tunausikiliza wimbo huu 2024
One of the best over the best still counting on 2024
Yaani huu wimbo haupotezi ladha muda wote.