KWAYA YA MOYO MTAKATIFU WA YESU // MWILI NI HEKALU _ Mwita Isack

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 фев 2025

Комментарии • 18

  • @MARCOBTseamaZimbwejr
    @MARCOBTseamaZimbwejr 2 дня назад +1

    Hongerenii sanaa

  • @GETRUDAWILLISON-je5if
    @GETRUDAWILLISON-je5if 2 дня назад +1

    Amina nitautunza sitaunajisi, Asante sana kwa ujumbe mzuri mbarikiwe sana

  • @despinae.mdende
    @despinae.mdende День назад +1

    Hongereni sana Wanakwaya Mungu awatunze Mzidi kumuimbia Mungu hata ktk Magumu. Kashusha,Mathias,Bony Myunani Mungu awabariki sana.

  • @tempochoir
    @tempochoir День назад +1

    So nice ❤❤❤

  • @kwayayamt.theresiawamtotoyesuv
    @kwayayamt.theresiawamtotoyesuv 4 дня назад +4

    huu wimbo ushaimbwa na watu wengine... wimbo mzuri ila mmeuimba kwa namna flani hivi. Ila hongereni mmejitahidi. huu wimbo unaitwa USIUNAJISI uliimbwa na pro studios choir

  • @TembaWenceslaus
    @TembaWenceslaus 4 дня назад +1

    Wimbo mtamu sanaaaaaaaa🔥 hongera dada despina na kashusha.

  • @jamesmboyi30
    @jamesmboyi30 4 дня назад +2

    Hongereni sana wapendwa ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉

  • @astridathadei8700
    @astridathadei8700 4 дня назад +2

    Hakika mwili ni hekalu na tutunze

  • @methodstivin8496
    @methodstivin8496 2 дня назад +1

    Hongereni sana

  • @Joseph.Manyama
    @Joseph.Manyama 3 дня назад +1

    kongole kwenu

  • @brightonpeter1034
    @brightonpeter1034 2 дня назад +1

    Mungu azidi kukujalia afya njema Dada, unatumia vizuri talanta uliyojariwa na mungu 🙏

  • @MeshackAudax-bv5xu
    @MeshackAudax-bv5xu 2 дня назад +1

    Hongera Sana dada despina na Kaka angu kashusha 🔥💯🙏

  • @NELSONWILLIAM-l3p
    @NELSONWILLIAM-l3p 4 дня назад +1

    huu wimbo ushaimbwa na watu wengine. aiseeeeeeeeeeeeeeeeeeee bora mgeacha tu. ila hongereni. nakuona kashusha bigup

  • @titussiame6589
    @titussiame6589 4 дня назад +1

    Hongereni wimbo mzuri: ujumbe, melody 🎉

  • @AsintaMayombo
    @AsintaMayombo 4 дня назад +1

    Hongereni sana🙏🎧

  • @Arati3
    @Arati3 3 дня назад +1

    Safi😊

  • @clementinalotary4913
    @clementinalotary4913 3 дня назад +1

  • @vairethmhoza
    @vairethmhoza 4 дня назад +2

    ❤❤❤