SPIKA NDUGAI ALIVYOMTOA NJE MBUNGE CONDESTER - "NENDA KAVAE VIZURI"..

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 31 май 2021
  • SPIKA NDUGAI ALIVYOMTOA NJE MBUNGE CONDESTER - "NENDA KAVAE VIZURI"..
    Spika wa Bunge, Job Ndugai amemtoa katika ukumbi wa Bunge mbunge wa Momba (CCM) Condester Sichwale, kutokana na kuvaa suruali iliyombana.
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
    ⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com/shop/globaltvo...
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
    ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

Комментарии • 113

  • @rahmaabdallah4514
    @rahmaabdallah4514 3 года назад +6

    Ni kweli wanawake tunaenda uchi sana tunawapa shida wanaume wao wameumbwa na hisia za karibu sana

  • @rehemamasoud3687
    @rehemamasoud3687 3 года назад

    Dugai uko sawa izo nguo mtavaa mkitoka bungeni

  • @papafikiri
    @papafikiri Месяц назад

    Maisha yanaenda kasi

  • @fidelludemwa2943
    @fidelludemwa2943 3 года назад

    Sawasawa

  • @hamzanasry8011
    @hamzanasry8011 3 года назад +4

    Kweli arudishiwe hukohuko getini asiingie

  • @ramadhanmasiku4105
    @ramadhanmasiku4105 3 года назад +5

    Islam religion--ililiona hili kitambo

  • @brightonkomba3200
    @brightonkomba3200 3 года назад

    Huo ndo msimamo, nmekuelew Ndugai

  • @frankmakomba378
    @frankmakomba378 3 года назад +1

    Mfumo dume vazi ni zuri kabisa. Pia alichaguliwa na wanawake huko jimboni kwake. Msilete mambo ya jinsia na dini bungeni.

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 3 года назад

    Ni kweli vazi Hilo halifai bungeni.

  • @aishadubat8028
    @aishadubat8028 3 года назад

    Anakiherehere

  • @jaffarabdullah4011
    @jaffarabdullah4011 3 года назад

    Huyo mzee yuko sawa baadhi ya wanna wake mnapend kuvaa uchi mkiambia mnasema mnadhalilishwa wacheni kuvaa uchi

  • @abdillahhussein3020
    @abdillahhussein3020 3 года назад

    Na hk mtaani je ?

  • @dr.djshigongo4927
    @dr.djshigongo4927 3 года назад

    Kwa nini wasingemuita kwene kamati ya maadili ya bunge?

  • @tumainielmaruwa3148
    @tumainielmaruwa3148 3 года назад +2

    Pasipo maono taifa huangamia

  • @noelbryson7840
    @noelbryson7840 Год назад

    Tulikuwaga na lispika la ajabu sana miaka hiyo, na majitu mashamba sana

  • @jumaramadhani5214
    @jumaramadhani5214 3 года назад

    Naaam

  • @zainarashid1024
    @zainarashid1024 3 года назад +2

    Na avae kwake au nyumbani sio kazini nawe vaa sio waislam heshima haiuzwi

  • @mohamedkutwambi
    @mohamedkutwambi 3 года назад

    Kwa nini msianze na utaratibu wa Wabunge wote kuvaa majoho wakati wakiwa kwenye vikao?

  • @emanuelisraelmandi5891
    @emanuelisraelmandi5891 3 года назад +2

    Hawa wazee wanawachukulia vijana kama watt wao ni sawa lkn mambo ya kuaibishana kama watt hayana maana nadhan hekima imempungua mheshimiwa Omar angetumia namna nzur tu kumjulisha huyo mbunge , amenikera sana anataka avae baibui au kwann nahc analeta udini tu

  • @officialbntrasool5223
    @officialbntrasool5223 3 года назад

    Stara iheshimiwe mpk aib

  • @shebizo4769
    @shebizo4769 3 года назад +1

    Hii iwe muendelezo Adi mtaan uku

  • @magrethmtengie5133
    @magrethmtengie5133 3 года назад

    Mm sijaona kama kavaa vibaya labda muwawekee majoho wakifika hapo muwavishe

  • @mohamediazizi3658
    @mohamediazizi3658 3 года назад

    Na kwann mruhusu mavazi hayo ikiwa nyie ndio kioo cha jamii!!!!? Inashangaza sn kwa mtanzania kufanya vitu vya kuiga ninaimani hiyo sio asiliyetu jamani yani sipendi mwanamke anaevaa suruali yaaani mtihani sn nampenda kwa kujiridhishatu kwa tamanio lake lakini nikizungumkuti tumcheni mungu tuepukane na mitihani ya mungu ogopeni sn

  • @verostaherman4952
    @verostaherman4952 3 года назад +2

    Duuu sawa lakini udhalilishaji huo angepewa onyo kipekee

  • @mwanajumamohammed6327
    @mwanajumamohammed6327 3 года назад

    😅😅😅😅kazi kwelikweli

  • @hamadiseleman3677
    @hamadiseleman3677 3 года назад

    Ila alipendeza huyu mbunge

  • @charlesmwisera7175
    @charlesmwisera7175 3 года назад +2

    Wanaonyesha matako yao.

  • @rogatianmtenga7265
    @rogatianmtenga7265 3 года назад +1

    Huu ulikua ushamba wa spika. Shame on him.

  • @floranyambominja5797
    @floranyambominja5797 3 года назад

    Bungee liwekwe bango la dress code nje linaloonyesha mivao isiyokubalika. Kwani huko ndani si kuna wengi na wanaume waliovaa suruali mninginizo!

    • @faridaltamimi7454
      @faridaltamimi7454 3 года назад

      Nadhani kimtindo umekasirika kiambiwa ukweli ! Wewe ushawahi kuona mbunge wa kiume kavaa matako nje acha unazi kichwani mmezidi kutuonesha makalio na mishepu yenu ! Nawewe katoe mfano bunguni .

  • @mayrfrimi4759
    @mayrfrimi4759 3 года назад +9

    Nyie waislam msitulazimishe tuvae kama nyie, hamtutendei haki, sisi wakristo, watu milioni zote tuvae utakavyo wewe haitawezekana ,

    • @suleimaniamadi1441
      @suleimaniamadi1441 3 года назад +5

      Sasa Dada yangu ukristo umewaambia mvae nusu uchi mbona mnajitoa ufaham hata kristo atawashagaa

    • @ndukulusudikucho_
      @ndukulusudikucho_ 3 года назад

      Kwahiyo Wakristo ndio wakaa uchi

    • @rmaryp6269
      @rmaryp6269 3 года назад +5

      Walio wa Kristo org. Wanaliangalia Neno la Mungu na kulifuata. Neno la Mungu ktt Kumbukumbu la Torati 22:5 limeandikwa:- "Mwanamke asivae mavazi yampasayo mwanamume, wala mwanamume asivae mavazi ya mwanamke; kwa maana kila afanyae mambo hayo ni machukizo kwa BWANA, Mungu wako.

    • @ndukulusudikucho_
      @ndukulusudikucho_ 3 года назад +5

      @@rmaryp6269 afadhali umetukumbusha maana mambumbumbu na mazwazwa mengi yanahisi ukristo ndio kimbilio Za uchenzi

    • @shabanimohamedi3680
      @shabanimohamedi3680 3 года назад +1

      hatupo KANISANI apa BUNGENI kanuni na Shelia kuzingatiwe. asubili akienda KANISANI akaonyeshe DUDE.

  • @deniccgabriel6153
    @deniccgabriel6153 3 года назад +1

    Hao ndio wabeba maono napeleka kelo za wananchi jamani

    • @salomemchewa5187
      @salomemchewa5187 3 года назад

      Baada ya wapeleke shida za watu , ,ushamba Tu unawasumbua kavaa uchi ,hapo sasa ,ni ushamba ,mmezoa mavitenge.

  • @juliusmartin1839
    @juliusmartin1839 3 года назад

    Getini hukohuko..

  • @benedictmhina6741
    @benedictmhina6741 3 года назад

    Zee limeomba mzigo limekataliwa

  • @solomonsamson1907
    @solomonsamson1907 3 года назад +2

    Yeye huyo Mbunge mbona amevaa kofia ya Msikitini kwani mule Msikitini, Mule Bungeni siyo msikitini Dada yupo vizuri..

    • @Muhammad-wu1om
      @Muhammad-wu1om 3 года назад

      Mbona wakristo wanaingia na misalaba, kwan kanisani?

    • @solomonsamson1907
      @solomonsamson1907 3 года назад

      Nimesema huyo Mbunge amevaa kofia, Sijasema waislam soma vizuri .

    • @Muhammad-wu1om
      @Muhammad-wu1om 3 года назад

      kwan wanaoingia misiktin nan ww?

    • @faridaltamimi7454
      @faridaltamimi7454 3 года назад

      Wapi ime andikwa kofia ya msikitini? Kwani kofia kama hizo wazee mikoani wanavaa tena nyekundu au chuki zako binasfi ? We zuzu mbuzi we tumia akili usitumie matako kufikiria! Kofia haina jina ni ya wapi.

    • @coyancodavao6891
      @coyancodavao6891 3 года назад

      Kofia hiyo unavaa popote wee zuzu, ttzo lako hata sheria za nchi huzijui

  • @jmk7b947
    @jmk7b947 3 года назад

    Shameful for those women why are they still sitting with colonizers

  • @faridaltamimi7454
    @faridaltamimi7454 3 года назад

    Wengine ni watu wazima kidogo sijui wanatafuta nini nadhani hata mtoto anaelewa

  • @nishasalim2880
    @nishasalim2880 3 года назад

    Duh! Aibu🤭

  • @mashaallhmkonokwakwamkonog4845
    @mashaallhmkonokwakwamkonog4845 3 года назад

    Uzalilishaji wangemuita pembeni

    • @binrashid8671
      @binrashid8671 3 года назад

      Wewe ndio mzalilishaji aitwe pembeni vipi kwamba hajui kua yupo uchi?

    • @faridaltamimi7454
      @faridaltamimi7454 3 года назад

      Ni kweli ilipaswa wamstiri badae wamwambie ingekuwa bora zaidi

  • @rmaryp6269
    @rmaryp6269 3 года назад +4

    Hao wanawake wanaovaa hivyo, wanatangaza biashara yao.

    • @mayrfrimi4759
      @mayrfrimi4759 3 года назад

      Hakuna kitu, acheni raia wawe huru na mavazi yao, kwani hakuna aliezaliwa na nguo, na hakuna cha biashara yoyote ni fikra zenu duni.

    • @seifnassor3729
      @seifnassor3729 3 года назад +1

      @@mayrfrimi4759 Kama hoja ni kuzaliwa uchi kwanini unavaa nguo.

    • @saidichilyenga2847
      @saidichilyenga2847 3 года назад

      @@mayrfrimi4759 Uhuru gani wa kuvaa vibaya? Kama ni hivyo ubakaji uruhusiwe

  • @mussataliye7815
    @mussataliye7815 3 года назад +1

    Wana jiuza wengine humo

  • @aishadubat8028
    @aishadubat8028 3 года назад +1

    Huyu mzee akakiherehere hatar

    • @binrashid8671
      @binrashid8671 3 года назад

      Getini huko huko

    • @faridaltamimi7454
      @faridaltamimi7454 3 года назад

      Nawewe kavae nguo za kubana kama ume kasirika

    • @aishadubat8028
      @aishadubat8028 3 года назад

      @@faridaltamimi7454 ivi umeelewa nilichoandika au umekurupuka

  • @skeetermasoi3068
    @skeetermasoi3068 3 года назад +1

    Angekuwa amevaa vibaya angerudishwa getini. Huyu Baba alikuwa na lake

    • @donjb3178
      @donjb3178 3 года назад

      Getini anarudishwaje wakati yupo na gari yke 😂😂😂

    • @skeetermasoi3068
      @skeetermasoi3068 3 года назад

      @@donjb3178 Wabunge huwa wanakaguliwa na usalama wa taifa kabla ya kuingia kwenye ukumbi

    • @donjb3178
      @donjb3178 3 года назад

      @@skeetermasoi3068 Sasa huyo kaingiaje humo ina maana hawakumkagua? Au hawakumuona?

    • @skeetermasoi3068
      @skeetermasoi3068 3 года назад

      @@donjb3178 Hata mimi hicho ndo nilichosema, kama walimkagua wakaona yuko sawa inakuwaje wamemtoa. Mi nahisi ameonewa

    • @binrashid8671
      @binrashid8671 3 года назад

      Wewe ndio una lako

  • @albertremmy3479
    @albertremmy3479 3 года назад +2

    hivi unawezaje kujua kwamba huyu mtu hajavaa nguo za heshima kama hukuchukua hatua ya kumtazama.hebu tuwe makini na macho yetu sio lazima kumtazama mtu.

    • @frankkaduganyatindo784
      @frankkaduganyatindo784 3 года назад

      🤣🤣sasa tutazame wapi?

    • @frankkaduganyatindo784
      @frankkaduganyatindo784 3 года назад

      🤣🤣sasa tutazame wapi?

    • @albertremmy3479
      @albertremmy3479 3 года назад

      Ninamaana hv yani usimtazame mwanamke kwa kumtamani. sio una mtazama kwa kumtamani mambo yanakushinda unakuja kutusumbua ndani ya bunge.

    • @coyancodavao6891
      @coyancodavao6891 3 года назад

      Wee ndo mjinga wa mwisho kwani macho yana pazia? Acha kutetea upumbavu

    • @willymwaipaja6783
      @willymwaipaja6783 3 года назад

      YAANI NAONA HUJAFIKIRI, HIVI UNAMJUAJE NDUGU NA ASIYE NDUGU, MWENYE AKILI TIMAMU NA KICHAA? INA MAANA WEWE HUJAWAHI KUMWONA ALIYEVAA OVYO AU ALIYEVAA KWA HESHIMA. NA KAMA UMEWAHI KUWAONA, ULITUMIA NINI KAMA SI MACHO. KWANI KUNA SHERIA YA KUKATAZA KUONA? MIE NAJUA TUNAKATAZWA KUCHUNGULIA MTU KWENYE FARAGHA YAKE AU KUKITAZAMA KITU BILA RIDHAA YA MHUSIKA. KAMA WEWE HUTAZAMI YALIYO WAZI, BASI WEWE UNACHUNGULIA MAANA MACHO UNAYO.

  • @charlesmwisera7175
    @charlesmwisera7175 3 года назад

    Wanawake mbona wanatembea uchi kila mahali.

  • @nyabahailani3169
    @nyabahailani3169 3 года назад

    Wengine wakuja kuuza k tu kudanga kama huyu arusha magige

  • @aishadubat8028
    @aishadubat8028 3 года назад

    Anakiherehere