JAMAA LEO APIGIKA NA KUFUNGWA KAMBA MASAA 5 , MTU MREFU HANA HURUMA KABISA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 8 ноя 2024

Комментарии • 270

  • @Ramista75
    @Ramista75 Месяц назад +13

    Iyo ndio konteti ipo vizuri mno waangalie tuu wasikupige Sana ufanye mazoezi ya kukwepa kipigo

  • @VcentPaul
    @VcentPaul Месяц назад +25

    Hii kazi mimi nakushauri uiache, itakuumiza siku moja. Pole

  • @EmaanueliEvod
    @EmaanueliEvod Месяц назад +9

    Lupyana huo mkanda uliofunga nao suruale nimeupenda😂😂😂😂😂

  • @AbduliSuleiman-o9l
    @AbduliSuleiman-o9l Месяц назад +10

    Huyo mchungaji hakuna kitu , roho mbaya tu
    Halafu aliambiwa na nani kuwa watu an hitaji pesa zake

  • @aminielorio737
    @aminielorio737 Месяц назад +13

    Siku wakikuua tutakumisi Sana aisee 😂😂😂😂😂

    • @AhmedHImran
      @AhmedHImran Месяц назад +1

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @BurundiNathan
    @BurundiNathan Месяц назад +2

    Supu Kwa bomba 🤣🤣🤣🤣 Lipota was michongo Respect brother kunijengea Siku 🇰🇪♥️

  • @goldenyzacks3566
    @goldenyzacks3566 Месяц назад +2

    Mwanangu Leo ulikua maskani kwangu kabisa yan😂😂 sema big up sana #ripota😅

  • @yusuphibrahim-yq9mv
    @yusuphibrahim-yq9mv Месяц назад +3

    Eti mwana wa Mungu tahira kweliiii 😅😅😅

  • @TabuHome
    @TabuHome Месяц назад +1

    Kaka hiyo kazi Bora uwache tuu maana watanzania wengi wamechanganikiwa hakili ya maisha watakuja wakuumize tuu ,ingawa tunapenda lakini tutafanyaje ,Sasa ,wengi wamechanganikiwa 😂😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉

  • @yusti-maln3316
    @yusti-maln3316 5 часов назад +1

    Uyu jamaa aisee...
    Duh... Ila sio mbaya,,
    Mimi nilitegemea mtumish awe mpole,, asa nashangaa anakuwa mbogo
    Sasa ile ya shavu moja mgeuzie na la pili iko wapi?
    Na ile ya mpenda adui yako ipo hapo kwel!!!?
    Huyu naye ni mtumish wa mchongo

  • @PopSocrate
    @PopSocrate Месяц назад +1

    Man you are the best for sure

  • @TabuHome
    @TabuHome Месяц назад +4

    Watumishi wa mungu wamechanganikiwa na maisha 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😅😅😅😅🎉🎉🎉🎉

  • @JJ-fb9jp
    @JJ-fb9jp Месяц назад +3

    We ni mbunifu hongera sana, binafsi nakufatilia sana

  • @user-chaliboy
    @user-chaliboy Месяц назад +10

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣Unanifraixha Sana ripota wa mchongo komaa mwenyezi Mungu akutangulie

  • @musaambonisye6046
    @musaambonisye6046 Месяц назад +1

    Mtu kakusaidia na unaanza kumfanyia prank nae😂😂😂😂😂😂

  • @KomboHassan-r9y
    @KomboHassan-r9y Месяц назад +6

    Hana utumishi wowote. Mjinga Tu huyo bwana mdogo mjinga mjinga

  • @AbduliSuleiman-o9l
    @AbduliSuleiman-o9l Месяц назад +10

    Mungu hana mtoto wala hana kabili wala wawzi fanana na kinyago kama weyee
    so ghbu zako zisikufanye umtukane Mungu, acha upumbavu

    • @mjombawallace4966
      @mjombawallace4966 Месяц назад

      Hizo ni za Quran tu sisi huku mungu ana wanawe na ni Yesu pia sisi tumefanyika Wana Kwa kuamini yesu

    • @mjombawallace4966
      @mjombawallace4966 Месяц назад

      Wewe enda usome Biblia na uilewe ndio uzungumzie maneno ya Dini

  • @simbaedouardo8499
    @simbaedouardo8499 Месяц назад +1

    Haya tumeachiwa sasa tunakwenda liiiiiiiiive bilachengz😂

  • @Ccmjke
    @Ccmjke 7 дней назад +1

    Na ule sima mwanangu

  • @Wami-Sababisho
    @Wami-Sababisho Месяц назад

    Mbona huyo mwimbaji alikuwa serious sana😂😂😂😂😂

  • @zuberhamza7852
    @zuberhamza7852 20 дней назад

    Bwana mtumishi mimi sio bwana mtumishi mimi ni Mwana wa Mungu😂😂😂😂😂

  • @Iamstanstz
    @Iamstanstz Месяц назад +8

    😂😂😂kadakwaaaa leoooooooooo mamaeeeee

  • @sunwasonga8714
    @sunwasonga8714 Месяц назад +1

    Kuja Nairobi tukupige kipara yako iyo😂😂😂😂😂😂 nway uko smart

  • @Ccmjke
    @Ccmjke 7 дней назад +1

    Next enda kwa diamond😅

  • @edgahendi1949
    @edgahendi1949 Месяц назад

    Hahahaaaaaa akyamungu dahhhh huyujamaa ananifurahisha sana

  • @jeremiadaniel523
    @jeremiadaniel523 Месяц назад +8

    alishawapanga tiari kabla ya kwenda

  • @kingblack6560
    @kingblack6560 17 дней назад

    Pumbavu zako mwana wa mungu kenge mtupu huna lolote kama mimi ukiniachia nakuchafua zaidi

  • @PatienceBazahica
    @PatienceBazahica Месяц назад

    Uyu sio mrumishi wa Mungu Ana mbegu ya huruma ndani yak,ingawaji hasira Kumbe ni mtekaji,Jami ya Tanzania ifatilie vizuri maisha ya wajiitao watumishi

  • @PeterKalonzo-y5r
    @PeterKalonzo-y5r 8 дней назад

    Mm unanipaga raha snaa bro

  • @AbduliSuleiman-o9l
    @AbduliSuleiman-o9l Месяц назад +3

    Kumekucha kumekucha kumekucha 😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @WilondjaCesar-c1d
    @WilondjaCesar-c1d Месяц назад

    😂😂😂😂weye lupia zambe apambola yoooh vraiment

  • @elizamasangula2935
    @elizamasangula2935 20 дней назад

    Wachungaji wa kizazi kipya, Mungu atusamehe

  • @Barakah-l4x
    @Barakah-l4x 7 дней назад

    Nibora tu uwachane nayo hiyo kazi itakuja ikutoleshe roho yako siku moja mh mtihani kwa kweli

  • @TabaroMapatano-v2k
    @TabaroMapatano-v2k Месяц назад

    From New York DRCongo-S.KIVU
    Mtumishi wa MUNGU kutoa ruhusa wafunge mtu KAMBA Duuh!!
    Pia Wewe COMEDIAN Tuliza UJINGA
    CHAPA KAZI bila UZUSHI

  • @bluden3895
    @bluden3895 Месяц назад +1

    Piga kazi ripota, genius

  • @AnnaMwanry
    @AnnaMwanry Месяц назад

    Kweli wew😂😂😂😂utakuwa vibaya wew🎉🎉🎉❤❤❤😂😂😂

  • @sephaniamussa2498
    @sephaniamussa2498 12 дней назад

    Eti anang'ata wanafunzi😂😂😂 yani unamgeuka adi tall wakati kakusaidia daaaaaaah!!!!! Bola ungeachwa kwa mwana wa MUNGU

  • @mariamdjuma-d9y
    @mariamdjuma-d9y Месяц назад

    😂😂huu ni Mr kivuruge wa azam tv

  • @mjombawallace4966
    @mjombawallace4966 Месяц назад

    Kumbe waseeee wanajuana mtu mrefu na officer wa mchongo... 😂😂😂

  • @AllyMpemba-r7e
    @AllyMpemba-r7e 12 дней назад

    Uyu ayupo sawa

  • @HassanWilson-f7q
    @HassanWilson-f7q 16 дней назад

    Yaani hizi hakufai kaka

  • @mosesetyangbinkapule7266
    @mosesetyangbinkapule7266 12 дней назад +1

    Wewe mjinga eti mtumishi wa mungu mjinga

  • @JacobGbeimys-on4nn
    @JacobGbeimys-on4nn Месяц назад +3

    Iyo basata iribapa nasaini yakucafua watu😅😅

  • @TabuHome
    @TabuHome Месяц назад

    Mtumishi wa mungu umepangawa

  • @EstherYoram
    @EstherYoram Месяц назад +3

    Lipota unaweza sana

  • @issamlibwa9398
    @issamlibwa9398 18 дней назад

    Sema ww jamaa una kaujasiri flan hivi🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @williamotunga8733
    @williamotunga8733 14 дней назад

    Julius mrefu mno aje Kenya atakuwa topik

  • @GoodluckLoserian
    @GoodluckLoserian 23 дня назад

    😮😮😮😮😮kuminane pumbbaaaav leo uxhomoki 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @shabanijafari4731
    @shabanijafari4731 Месяц назад

    Julia's mtu peace sana

  • @PaulMarko-x9j
    @PaulMarko-x9j Месяц назад +1

    Pole sana ila Haina shida kazi si umeipenda mwenyewe watakuuwa duuh!!!

  • @SamiraseifAlfan-ph4ke
    @SamiraseifAlfan-ph4ke Месяц назад

    Ww kenge km kenge wengine Iko siku utaomba maji na hutapewaaa Hata km una kibali🤣🤣🤣🤣🤣

  • @GeorgeAyieye
    @GeorgeAyieye Месяц назад

    Husiwai fanya hivyo tena 😂😂😂😂😂mafunzo Leo hupata.

  • @Kelvinkevohshow
    @Kelvinkevohshow Месяц назад +1

    😅😅😅😅kucheka tuh

  • @AlbertSafari-c6g
    @AlbertSafari-c6g Месяц назад +1

    Hii kazi itakudhalilisha haki vipigo daily 🤣🤣

  • @BlessingsJosephMsofe
    @BlessingsJosephMsofe Месяц назад +2

    We ripota sijapenda tafuta kazi nyingine hivi kama una familia watoto watakuelewaje namke atakuelewaje😂😂

    • @RajabuMkonje
      @RajabuMkonje Месяц назад

      Kumbe tunatafuta watekaji kumbe ndo hao jamaa😂😂😂😂 ila leo umeyatimba

  • @collotz01
    @collotz01 Месяц назад +3

    lupyana kenyas number 1 fun

  • @aminabdalla7824
    @aminabdalla7824 Месяц назад

    Oyaa pande zile kumechangamka😂😂😂😂

  • @smanticflavour1380
    @smanticflavour1380 20 дней назад

    🤣🤣🤣🤣🤣live bila chenga

  • @NassibUkasha
    @NassibUkasha 5 дней назад

    😂😂pole enda hospital

  • @SamwelMgainja
    @SamwelMgainja Месяц назад

    Tupo pamoja na ww mpaka wakuue kaka😂😂

  • @JacobGbeimys-on4nn
    @JacobGbeimys-on4nn Месяц назад +2

    Mashabiki tumeishiwa

  • @AminosALLY-ub5gw
    @AminosALLY-ub5gw Месяц назад +2

    LIPOTI WA MUCHONGO LEO UMEPATA CHA MTEMA KUNI.POLE SANA

  • @ismailchibonda5005
    @ismailchibonda5005 Месяц назад

    Eti mwana wa mungu mpumbavu mwizi mkubwa

  • @KP-fe6io
    @KP-fe6io Месяц назад

    Huu jama ni hatari 😂❤❤❤🎉

  • @AdijaNjovu
    @AdijaNjovu 17 дней назад

    Wwe kaka unajiita mchungaji mbona unaroho mbaya hujui comedy

  • @Mego-s4s
    @Mego-s4s Месяц назад

    Pole kaka

  • @penzamatirio7812
    @penzamatirio7812 Месяц назад

    ❤❤❤❤ ikopoa sana

  • @JOHNIMbughi
    @JOHNIMbughi 9 дней назад

    Mhh jaman hyu lipota duuu

  • @albinanyanyalu3933
    @albinanyanyalu3933 Месяц назад

    Ripota iko siku utauliwa jmn😅😅😅😅😅😅

  • @godmbishitv
    @godmbishitv Месяц назад

    Siku wakuombeshe maji kudadadeki 😂😂😂

  • @edwardpaulo3351
    @edwardpaulo3351 Месяц назад

    Njaa mbya jameni😂😂😂😂😂

  • @BelyHero
    @BelyHero Месяц назад

    Ila lupian 😂 kama anadawa vile wanamsikiliza vizuli kabisa😂😂

  • @TabuHome
    @TabuHome Месяц назад

    Mtumishi wa mungu huna huluma 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @PaulCamero-s6i
    @PaulCamero-s6i 8 дней назад

    Sizan kama Kuna ukwel hapa

  • @FelixMlelwa-wo2yx
    @FelixMlelwa-wo2yx Месяц назад +2

    aaah leo kumechangamka sana

    • @sephaniamussa2498
      @sephaniamussa2498 12 дней назад

      🤠🤠🤠🤠🤠🤠🤣🤣🤣😂😂😂 eti leo kumechangamka sana

  • @AmaniRazalo
    @AmaniRazalo Месяц назад

    Julias hongera kwa moyo mzuri sana ila si kwa kipigo hicho

  • @andrewlusambo7123
    @andrewlusambo7123 Месяц назад

    Watakuuwa njaa ni mtu mbaya sana

  • @_Wayiva_mukuta_jean
    @_Wayiva_mukuta_jean Месяц назад +2

    Levis umalaya tu kuoga anh ! anh😂😂😂🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @Ccmjke
    @Ccmjke 7 дней назад +1

    Dhaah, hii ndio content ya kweli hizo za wengine ni mpango wa kipuuzi tu😅

  • @McSija
    @McSija Месяц назад

    Hahaaaaà.... tutammiss sanaa

  • @azammussa2000
    @azammussa2000 Месяц назад

    Hahaha ila huyu jamaa kweli riporter wa mchongo

  • @PreciousZaituni
    @PreciousZaituni 20 дней назад

    We kk acha ujinga unafwatia mambo ya watu

  • @AmaniRazalo
    @AmaniRazalo Месяц назад

    Njoo unihoji na mimi lupyana nikufumue vizuri mpaka ufe sikuachi kukufatilia mpaka ufe yaani ndio nitaacha kukufatilia

  • @SamiraChai
    @SamiraChai 18 дней назад

    😂😂😂😂 jmn ila nmemuonea huruma

  • @GilbetKalisto-o6i
    @GilbetKalisto-o6i Месяц назад

    Pole kijana

  • @nassoromarero6015
    @nassoromarero6015 Месяц назад +1

    Ila huyu jamaa inabidi ajifunze maana anaweza poteza Maisha Kwa ujinga abadilishe style ya kutafuta

  • @MosesKamarutz
    @MosesKamarutz Месяц назад +1

    Ubunifu wa hali ya juu

  • @Emmanuelyamoikivuyo
    @Emmanuelyamoikivuyo Месяц назад

    Hapana hii kazi bora kufa masikon

  • @Wami-Sababisho
    @Wami-Sababisho Месяц назад

    Kwani hili jamaa ndio lile streka refu kuliko goli😂😂😂😂😂😂

  • @JosepgGeorge-xu2ie
    @JosepgGeorge-xu2ie 18 дней назад

    Siku nyingine asiludie piga kabisa mjinga huyo

  • @FudidohwcbOfficial
    @FudidohwcbOfficial Месяц назад

    Sawa kaka 🇲🇿 Mozambique

  • @abdallaMkenga
    @abdallaMkenga 4 дня назад

    Hivi huyo jamaa ni kweli anapigwa au anaigiza tu??

  • @OlivierIsenge-xi2hh
    @OlivierIsenge-xi2hh Месяц назад +1

    Wewe utatuuwa 🇨🇩🤣🤣🤣

  • @TanganyikaTanganyika-d6c
    @TanganyikaTanganyika-d6c Месяц назад +1

    yani camera mani da yeye na camera 📸📸📸 tu 😂😂😂😂😂😂 thambi hana

  • @EvenAyo
    @EvenAyo Месяц назад +1

    Piraaaaaaa😂😂😂😂😂😂😂

  • @DalvinAneth
    @DalvinAneth Месяц назад

    Lipota tuko na wew mpaka wakuue...

  • @stephanSandika
    @stephanSandika Месяц назад

    Endelea kutetea kazi Yako mpaka kifo

  • @RugoBike
    @RugoBike Месяц назад

    Acha ujinga mbn prank zipo nyingi

  • @Laumwamba
    @Laumwamba Месяц назад +2

    Ongelea na utekaji 😂😂😂

  • @AminaKioko-lv6jx
    @AminaKioko-lv6jx Месяц назад

    Wewe ripota. Wajithalilisha bwana Wacha hiyo. Kazi