"Nimeshea na SUMALEE / Hataki KUZUNGUMZIA / Nalinda BRAND" - PAPYCHULO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 21 фев 2019
  • "Nimeshea na SUMALEE / Hataki KUZUNGUMZIA / Nalinda BRAND" - PAPYCHULO
    Ukiongea kuhusu hit songs zilizowahi kusumbua sana kipindi hiko hutoacha kuitaja HAKUNAGA ya SUMA LEE, ni wimbo uliofanya poa sana na uchezaji wake ulibamba sana.
    Mmoja kati ya watu waliocheza kwenye wimbo huo ni jamaa anaitwa Papychulo, pia ni mtu wa karibu sana Suma Lee ambaye amefunguka kuhusu kurudi kwa msanii huyo kwenye game.
    #Hakunaga #SumaLee
    www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook:
    globalpublishers Instagram: globalpublishers Twitter: GlobalHabari Install Global App: ANDROID: goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: goo.gl/2jDyho
  • РазвлеченияРазвлечения

Комментарии • 11

  • @gnlmutabazihamza9998
    @gnlmutabazihamza9998 4 года назад +3

    ALLAH ambariki SUMA LEE, hakika sisote ALLAH atubaliki mwisho MWEMA pia

  • @egattamkaima676
    @egattamkaima676 5 лет назад +5

    Ngoma Kali sna mpka Leo mm ninayo hatar sna

  • @mombasaraha1502
    @mombasaraha1502 2 года назад +1

    Ndugu umetangalia kusema sumaa Lee nimuislam na wewe ni.muislam kisha mwisho wa maneno ukamsahau allah ukamtaja jah bless nafikiria kwa tako hilo Allah anaeza kuwa na ghadhabu gani na wewe anyway Allah aturudishe sote kwa Allah

  • @Daudifm5800
    @Daudifm5800 4 года назад +3

    Ni noma sana

  • @abuumaryam185
    @abuumaryam185 2 года назад +2

    suma lee kule aliko kwenye qadiria ni bora mzki

  • @kareemkiwamba139
    @kareemkiwamba139 4 года назад +1

    Kizazi sana

  • @agreymkaburu7464
    @agreymkaburu7464 4 года назад +1

    Unaelewa maana ya papichulo au unajihita tu.

  • @zemgotanar5264
    @zemgotanar5264 4 года назад +2

    Goma mpaka Sasa rinait conde geng tupe mix

  • @allyjumaally8353
    @allyjumaally8353 4 года назад +1

    daaah hakunaga

  • @khalidikibakuli132
    @khalidikibakuli132 4 года назад +1

    Akunaga