Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
Wadada wengi wanaotoka Africa na kuacha waume au wapenzi wao, huwaga wakifuka huko akili zao kupata wanaume wenye makaratasi Ili wapate sheria so ndugu zangu tunaotuhusu wanawake wetu kwend kutafuta maisha nje tuwe na mioyo ya subra sana au umuache akafanye mambo yake akn haumuwezi kuwa sawa japo wachache wanaweza ila wengi wao ni shida haswa Kam hana dini
Chillla kun mwanmke alikujana naee muhez tanga kwa bib yake tukaend muon akasem ameshamuoa dar alikua mwanamk mkubwa kwake anavuta masigara hadharan watu tumebaki tunashangaaa mpk ndugu zake sasa cijui ndio huyu km ndio huyu kweli mungu yupo
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
Nimependa sana huyu dada nimejifunza kitu kikubwa.mnoo natamani kukuina inshallah Mungu akutunzie na familia yko❤❤
Wadada wengi oman
Wamedoda majumbani walah,no ndoa,njoo uwatibu maskn.mdada anafikisha 40 hajaolewaaa afu kuzaa nje ni AIBU😢 DINI HAIRUHUSU
Kumbe rakaa mbili ni noma😮😮😮
Kweli mungu anakupenda usimuache. Kweli mungu anatuaziia mema kutupa tumahini siku zetu Za mbele
Kuna namna sio bule😂😢
Naomba nambazako majina Niko ici jirani zambia
Dini ya kiislam haikatazi mwanamke kuolewa akiachika akimaliza wda anaweza kuolewA na mume mwengine
TumekatazwA kuzini
Amesharud dada kwhy mrudie tu akuoe
Dah ttzo la q chillah tumejua lilipoanzia kumbe ww mshangazi una majini au sio
Vip tutampata dida nahitaji kuongea nae
mimi nipo tayari nikuoe
Duuu mzee wa kitonga unataka fursa😂😂😂
Mashaallah kumbe alikuwa mke wa q Chila
All in all pole kwa yote
Dida, Rihaab sio riaab
Kuna shida kukosea mbona nawewe umekosea ni rehab (rehabilitation) kukosea vitu vya kawaida
@@FahadAbubakari Asante sana
@@FahadAbubakari sifikiri sijui inavyoandikwa, nimeandika kuionesha zaidi ili watu wa fahamu baina ya riab na rehab
@@fatmaalnabhani3609 sasa unakosoaje kwa kuandika jambo ambalo ulijui kwa yakini
@@fatmaalnabhani3609 usjali Dada hamna mjuaji nikuelekezana na kuchangamshana kidogo usjali Dada yangu it's ok mkamilifu Allah sie wote twajifunza
Wadada wengi wanaotoka Africa na kuacha waume au wapenzi wao, huwaga wakifuka huko akili zao kupata wanaume wenye makaratasi Ili wapate sheria so ndugu zangu tunaotuhusu wanawake wetu kwend kutafuta maisha nje tuwe na mioyo ya subra sana au umuache akafanye mambo yake akn haumuwezi kuwa sawa japo wachache wanaweza ila wengi wao ni shida haswa Kam hana dini
Kumbe kazi yako ni kuolewa na kuachika
olewa na wewe uachike kama yeye
Inaruhusiwa kwenye dini.
KUOLEWA NA KUACHIKA UNAIITA KAZI??? KISWAHILI CHA WAPI HICHO.
@@salimmalaka256 kama hauna D mbili itakua ngumu kwako kuelewa
kuolewa, kuoa, kuacha na kuachika ndio maisha yenyewe hayo ama wewe wa wp
Chillla kun mwanmke alikujana naee muhez tanga kwa bib yake tukaend muon akasem ameshamuoa dar alikua mwanamk mkubwa kwake anavuta masigara hadharan watu tumebaki tunashangaaa mpk ndugu zake sasa cijui ndio huyu km ndio huyu kweli mungu yupo
Sio huyu
Tupen majina anayotumia mitandaon huko
Ingia Instagram ya global utaona wamemtag
😂😂😂😂😂😂😂njoo oman
I think this women was cheating
😅😅😅😅