Sea - Papi Kocha, Nguza Viking

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 29 окт 2024

Комментарии • 919

  • @benjaminimwalimu3750
    @benjaminimwalimu3750 28 дней назад +6

    Anae angalia mwenzi wa kumi 2024❤❤❤

  • @fredrickfuraha
    @fredrickfuraha 4 месяца назад +44

    Anae angalia leo mwezi wa sita 20204 gonga like twende pamoj🎉👋♾️

  • @johnnjoroge2460
    @johnnjoroge2460 Год назад +20

    Am Kenyan I love this song so much!!!❤❤ Big up Tanzania!🇹🇿🇹🇿

  • @vickduwan4197
    @vickduwan4197 6 лет назад +149

    Afadhali mmeachiwa huru sasa, nilikua nasikiliza hii nyimbo kwa machozi. Thank you Lord, thank you Mr. President Magufuli

    • @treziaasanga5857
      @treziaasanga5857 4 года назад +1

      Mungu akupe miaka buku maan kaz yako iko poaa

    • @hassanmfaume4522
      @hassanmfaume4522 3 года назад +3

      Kwani walioko jela kwa kubaka mbona wengi kawatoa hawa vipi ubaguzi uliokatazwa na katiba ndio huu..!

    • @marthamanywa903
      @marthamanywa903 3 года назад +1

      Naupenda Sana huu wimbo

    • @Thekidp3702
      @Thekidp3702 Год назад +1

      @@hassanmfaume4522 Hawa walisingiziwa alafu pia ni mastar hao wengine si atuwajui

  • @AsmaHamisi-eb7wr
    @AsmaHamisi-eb7wr 5 месяцев назад +12

    Yn nikiisikia huu wimbo nakumbuka mbl sn ckuiyo unapig tunabuludik vua inyesha kubw na upep wa maan heeee tunaisi hew nzur ndn mzk umekubali kumbe bati limebebwa na upepoo😂😂😂😂😂

  • @kajimahona4678
    @kajimahona4678 6 лет назад +59

    siku ya leo ya tarh 9.12.2017 ikumbukwe kwa babu sea
    kwan n siku pekee ktk maisha yake gerezan
    magufuli ametenda miujiza kwake........... lazma tutoke leo mpenz wangu seaaaaaaa

  • @everlynekayesi5510
    @everlynekayesi5510 Год назад +11

    Forever a hit, gen Z hamuwezi elewa, 2023 july enjoying it like has just been released

  • @Bkbarbershop593
    @Bkbarbershop593 5 лет назад +51

    Rest in peace my dear father you really liked this song Dad...😭😭 2004. I miss you so much

    • @japhetonserio4133
      @japhetonserio4133 2 года назад +2

      JAMES SIAME he is resting in peace. sorry for loosing him. the song os cool

    • @zachariajonas6455
      @zachariajonas6455 7 месяцев назад

      .mungo ni munene

  • @chrisroby1953
    @chrisroby1953 5 лет назад +71

    Anae iangalia 2019 niachie like zang hapa

  • @wenslauseranga2419
    @wenslauseranga2419 21 день назад +1

    Inavutia sana! Nipo hapa leo, October 2024!!❤❤❤

  • @norbertkyara96
    @norbertkyara96 6 лет назад +6

    kama Adam na Eva walisamehewa na Mwenyezi Mungu sembuse sisi wanadam tujifunze kusamehe pale mtu akijutia kosa well done JPM...

  • @edisonbarnabas1693
    @edisonbarnabas1693 6 лет назад +186

    nimerudi tena youtube kutazama wimbo wako niliposikia upo huru, hakika mungu ni mkubwa na nakutakia kira la kheri kwenye maisha yako ya huru!

    • @quietatse
      @quietatse 5 лет назад

      Ilikuaje mpaka wakafungwa?

    • @aymankhadija619
      @aymankhadija619 4 года назад

      Mwenyewe pia nilikuwa naupita hata siusikilizii kipindi chote walipokuwa jela

    • @chalresisimkanga8485
      @chalresisimkanga8485 4 года назад

      Ukilitimba mwingi sana tanzania

  • @tavasikachabvonga5026
    @tavasikachabvonga5026 10 месяцев назад +12

    I grew up hearing this song in my country, Zimbabwe. We didn't know the lyrics so we used to sing our own things. Great song

  • @chonegaboy
    @chonegaboy 15 лет назад +30

    no matter what the performing artists were up to, this song will always be an east african classic, and that's what counts! cheers to all those who feel me!!!

  • @rizikinash8221
    @rizikinash8221 4 года назад +5

    Magufuli,,wewe ni raisi bora. tena mfano mzuri wa kuingwa,❤❤❤❤🌹🌹😘😘afadhali ulitawala.hawa wasanii,ukawatoa jela mikono kwa raisi wetu😊😊😍💤

  • @erasmusshauritanga8485
    @erasmusshauritanga8485 2 месяца назад +1

    Bado unapendwa sana hadi 2024 August still listening wimbo wa mdogo wangu Papii cocha rafiki yake na James Lutufyo.

  • @marthashikuku7124
    @marthashikuku7124 8 лет назад +39

    naupenda sana huu wimbo, yaani tuonyeshe mapenzi ya ukweli sea, wale wabaya wetu wabaki na aibu. mungu aliyewasaidia paulo na sila na awapiganie nanyi kaka.

  • @jasonmujera.3275
    @jasonmujera.3275 5 лет назад +6

    Ngoma ndio hii sasa, hongera kwa wimbo mtamu na makafuri alifanya vizuri kwa kuwaweka uhuru, I salute you men.

  • @lucmuenik
    @lucmuenik 7 лет назад +17

    God help this guys, they're wasting away in jail and I don't believe they did what they're being accused of. Real talent. Praying for you.

  • @Birir
    @Birir 4 года назад +6

    Watu wa 2020 tuko hapa chapa likes....sea ni tamu sana. Naskia Jela ulitoka kitambo...best song 2020

  • @fredykibuga2065
    @fredykibuga2065 6 лет назад +10

    Mr president i will always remember 09.12.2017 very very thanks

  • @mpapyreez1567
    @mpapyreez1567 4 года назад +9

    2020 Kipind hik cha Corona unatulia home unasikliza nyimbo kali usisahau tahadhari yakutosha gonga like

  • @amarachimoney6880
    @amarachimoney6880 6 лет назад +39

    Baba na mwana wapo huru shv 😍😍😍🙏🙏

  • @almasaziz3613
    @almasaziz3613 7 месяцев назад +14

    Im 1998 ila hii mizigo naielew sana 2024 tujuane

  • @mzenyewaclass2207
    @mzenyewaclass2207 6 лет назад +10

    daaa nyimbo toka nko darasa LA nne ndio nmeichek Leo nlipo skia mko Uhuru 2018 nilikua naisikia toka 2010 mungu awalinde sana wa kufa na kupona

  • @Osiemo911
    @Osiemo911 7 лет назад +5

    Papa Kocha and Nguza Vikinga we miss you guys here in Nairobi Kenya.Nice song

  • @nyabisemaro2095
    @nyabisemaro2095 7 лет назад +18

    Nimeusikia kwa Mara ya Kwanzaa natoka chang'ombee naelekeaa Kurasini kila ukipigwaaa na kumbuka siku hiyoooo nilifurahi sanaa kuusikiaa mziki kama huuuu

  • @saadajohnson3361
    @saadajohnson3361 11 лет назад +34

    Nguza Viking and his wife were my neighbors in Sinza 1982-1983. I was a student at Jangwani girls secondary school in Dar.....wow! Papi was a toddler. Nguza was very private. Miziki mizuri kabisa.

  • @iddychris
    @iddychris 8 лет назад +58

    my father's favorite song, who still listening to this in 2016

    • @godfreyjosephephat9316
      @godfreyjosephephat9316 6 лет назад

      Mungu anajua kuwa huyu mtu hanakosa bigap rais we2

    • @queensasha6695
      @queensasha6695 6 лет назад +1

      waooh muziki ni mutamu sana auchuji miaka miaaaaaa yanikumbusha kipindi natoka out

    • @queensasha6695
      @queensasha6695 6 лет назад

      mabusu motomoto wabaya wetu mnabaki na aibu

    • @generalsir8806
      @generalsir8806 6 лет назад +1

      music is art it doesn't expire, t matures with age.

  • @josephfrances1447
    @josephfrances1447 Год назад +6

    Mh. Magufuli, Rais wa sayar zote hvi Sasa uliona mbali sana kabla ya kifo chako, Mungu aendelee kukupa Kila itaji lako hapo pepon... Kwani na sisi ulitupa hitaj letu hapa dunian 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @millfrey1336
    @millfrey1336 Год назад +12

    The instrumental and wording is still killing me on 17th day of December, 2022

  • @martinwangwe8966
    @martinwangwe8966 6 лет назад +61

    Wana sauti nzuri sana, ningependa wafanye collabo na diamond platnumz

    • @nikohalison1558
      @nikohalison1558 5 лет назад +2

      hizi ndio nyimbo sio nyimbo tunazo imbiwa saiz ,matus tu nakutuvalia vimini

    • @omaniallybakari2372
      @omaniallybakari2372 4 года назад

      Tatizo hawa hawatoweza kuimba matus na hawa wanaimba mziki unao ishi sio mziki wa kileo nyimbo hit siku tatu wanajisfu na views

    • @nghwayampemba3487
      @nghwayampemba3487 4 года назад

      Nc

    • @Inagole4233
      @Inagole4233 5 месяцев назад

      Ouch,,ni kuharibu

  • @snehalpatel8775
    @snehalpatel8775 4 года назад +21

    I love this song ambae bado anasikiliza huu wimbo December 2 2019 gonga like tumalize mwaks😍

  • @josephkakonzo3183
    @josephkakonzo3183 2 месяца назад +2

    Master piece,
    2024 August Na bado Na play on repeat mode

  • @patrickkimeu9283
    @patrickkimeu9283 7 лет назад +6

    Watching/listening from Dubai and proudly Kenyan; Life is precious and talent is also God given that's why I listen to good music only!
    bless up brothers!

  • @Sir_Owish
    @Sir_Owish 3 года назад +16

    Never gets old. The days when only KBC could give you burudani in Kenya. Old is truly gold.

  • @stellahjames1974
    @stellahjames1974 5 лет назад +45

    Kama upo wa 5 October 2019 gonga like hapa

  • @SameèrKulwa
    @SameèrKulwa 9 месяцев назад +27

    Tangu 2003 adi leo 24, kama unakubali gonga likes

    • @mmnimshindi
      @mmnimshindi 2 месяца назад

      ❤❤❤❤🎉🎉

  • @reinhardokinda4887
    @reinhardokinda4887 Год назад +5

    Wimbo mtamu sana huu,wanikumbusha mbali sana.Mwaka wa 2015.Aki hiyo guitar hapo mwisho,aki aaaaaaaaaaaaaaangai!

  • @DocSerengeti
    @DocSerengeti 11 лет назад +9

    this song qill b with me throughout the rest of my life!!" Free Papi Kocha na Nguza Viking NOW!!!

  • @BARAKABLESSING
    @BARAKABLESSING 6 лет назад +34

    Asante Mungu kwa kuwarudisha hawa watu uraiani...... Kama Unahamu ya kuwaona back to the game like hapa.....

  • @knoxkarter5402
    @knoxkarter5402 10 месяцев назад +2

    2023 and the song is still a hit...those days going back for lunch and you happen to listen to such a hit @radio citizen

  • @montyentertainment7419
    @montyentertainment7419 5 лет назад +120

    Wale wa 2019 gonga like kama tupo pamoja

  • @erickhaule8680
    @erickhaule8680 6 лет назад +46

    najua mtakuja kucheki nyimbo hii baada ya jamaa kuachiwa huru hongera babu seya hongera raisi magufuri kwa kuwaachia huru tunakupenda raisi

  • @geraldexperius9345
    @geraldexperius9345 6 лет назад +272

    Gonga like Kama unaipenda hii nyimbo... Wenye kusema sema wabaki kinywa wazi

  • @chrispinuswanyonyi9300
    @chrispinuswanyonyi9300 3 года назад +4

    I used play this when was on CD when DVD were on market.Used play it before leaving house to work in 2008 2009.And on coming from work when tired first thing play it.Its still my favourite song.Now listening to it from Kingdom of Saudi Arabia Jeddah.Very motivational song.

  • @kokwi
    @kokwi 17 лет назад +18

    One of the best songs to come out of East Africa !!Please get Papi and Nguza back in the studio. Awesome 111

  • @silungwesh7487
    @silungwesh7487 4 года назад +59

    Wale wa 2020 tunaouckiliza wimbo huu tujuane kwa like hapa

  • @godsblessings5713
    @godsblessings5713 6 лет назад +8

    Welcome back Baba na mwana! Just forget the baggages of the past and make a new beginning!

  • @prhairsalon314
    @prhairsalon314 6 лет назад +13

    Such a wonderful Father and Son. God bless you

    • @kanjajose5950
      @kanjajose5950 5 лет назад

      Amen my sz

    • @clemencemganyizi1201
      @clemencemganyizi1201 5 лет назад +1

      Tokea Jpm Aingie madaraki Arichokifanya nikafurahi nikumuachia huru,mwanamuzingu ngur wa dance Akia papii kocha

  • @mkaliwenuoriginalpleasesub9297
    @mkaliwenuoriginalpleasesub9297 6 лет назад +85

    siamin kam leo umetangazwa kuwa huru na rais wetu Magufuli mzee wetu babu sea kweli kilio chako kimefik kwa mwenyez. mungu

    • @salomematasha9094
      @salomematasha9094 6 лет назад +1

      kazi nzuri

    • @mkaliwenuoriginalpleasesub9297
      @mkaliwenuoriginalpleasesub9297 6 лет назад +1

      Salome Matasha kweli salome mzim wew

    • @mariammavumba4449
      @mariammavumba4449 6 лет назад +1

      Seya mungu. akuongoze kwakila jambo utakalofanya kwani nilipo sikiya umetoka nimefulahi sana upojuu baba nyimbozako haziishi hamu kalibu tanga.utupelaha

    • @hemedmkele8243
      @hemedmkele8243 6 лет назад +1

      Justine Nunda Hamna lolote kama kweli wananchi wake anatupenda basi awaachie mashekh waliokamatwa na kufungwa bila hatia mm naona ni upuuzi na udini tu ndio unaoendelea hapa

    • @ttraceruk
      @ttraceruk 6 лет назад +1

      Babu sea

  • @DocSerengeti
    @DocSerengeti 9 лет назад +55

    I hope that the new TZ president, JPM , will set them free soonest!!

    • @joanedward3277
      @joanedward3277 6 лет назад +1

      Ralf Schuster @soonest is already done are freed by JPM today independence day, God's great.!

    • @cholowao
      @cholowao 6 лет назад +1

      How did you know @Ralf

    • @kiltechservices
      @kiltechservices 6 лет назад

      and yes he did.. their free now

    • @quietatse
      @quietatse 5 лет назад

      Why are they in jail?

    • @renatusaugustine3410
      @renatusaugustine3410 4 года назад

      As u say till now has free

  • @Huseinmusong
    @Huseinmusong 6 месяцев назад +4

    Much respect..... April 2024 Ngoma Bado ni kaliiiiiii

  • @yama_virginhairthequeen1065
    @yama_virginhairthequeen1065 2 года назад +2

    One of the greast hit na kumbuka way back when I was young living at military house lugalo makongo this use to be beat song on the wedding and babtsing birthday celebration party so much memories a lot of people has passed away 😭😭😭😢when I remember those days

  • @mosesabwao2673
    @mosesabwao2673 6 лет назад +3

    i remember when i was in std 2 my dad used to dance to this song waah,,,,,sikujua utamu wake hadi now ndio naona kumbe miaka inasonga.....

  • @BahatiChibago-mo3rl
    @BahatiChibago-mo3rl 3 месяца назад +1

    Mimi unanikumbusha mwaka 2007 ndio ilikuwa Mara kwanza kumwona live MC pilipili. Ndani ukumbi wa Veta dodoma.

  • @stellah28
    @stellah28 6 лет назад +6

    I use to listen to this when young with grandma until now in 2018 I still do its mad love

  • @kokwi
    @kokwi 13 лет назад +7

    Their talent still is growing strong!!!! and yes they were framed

  • @mutheukaylee
    @mutheukaylee 4 года назад +6

    2020 niko hapa napenda this song sana much love 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙌

    • @kevinoracha9693
      @kevinoracha9693 Год назад

      Kenya in the building 🇰🇪🇰🇪❤️

  • @mretamreta8058
    @mretamreta8058 2 года назад +4

    This is what i b've, God has our inner secrets, we live in a darkiest vision we really dont know what tommorrow is, lets keep on saying Almight is our seviour......no one could expect these man will be free......thank you God, lets keep listening the beaut of melody from extracted vocals and tones

  • @patrickKitambo
    @patrickKitambo 3 года назад +7

    drawing back my childhood memories with this lifetime master piece

  • @rukaiya86
    @rukaiya86 Год назад +4

    Mungu akurehemu magufuli uliwatoa hawa

  • @karaninamunyu6072
    @karaninamunyu6072 6 лет назад +6

    I never new who sang this great song until they were let free. I just fell in love with the song again.

  • @elitewriters8062
    @elitewriters8062 4 года назад +1

    hii nyimbo jameni. reminds those old days growing up at my grandpa place, he used to turn on the radio at exactly 5am, and we could listen to this kind of music as we were preparing for school.. and with no time, it was 6am, time to go to school. I miss them dem days.

  • @ivanlucy9791
    @ivanlucy9791 7 лет назад +8

    Jaman hii nyimbo haijawahi kuisha utamu tangu 2007 mpka Leo inabamba tyuu

  • @nicksongreyson3035
    @nicksongreyson3035 4 года назад +2

    Wimbo wa zamani ila hadi wa leo unazikonga nyonyo za watu wengi. Big up babu Sey@

    • @TwitikeMwakyonde
      @TwitikeMwakyonde 7 месяцев назад

      Niko,mimi,ndounanimaliza,kabisa,nanikikaa,alafu,Pembeni,yang,yupo,wangu,achatu

  • @sinzasoundbandtanzania6200
    @sinzasoundbandtanzania6200 10 лет назад +38

    Seya, Tayari Bado.......... miziki ya namna hii haichuji hata kidogo.

    • @jaroslavjanecek1523
      @jaroslavjanecek1523 9 лет назад

      Mtanzania Junior haichuji kwakuwa MUngu anasimamia watui wa watu walibambikiwa kosa jamani mbona siku ya kesi wale watotot hawakuja mahakamani ,lol free papii kochaa na

    • @carloskitheka5401
      @carloskitheka5401 4 года назад

      Sea and not seya.

  • @christophensengiyumva6600
    @christophensengiyumva6600 Год назад +2

    Hiyi nyimbo inanikumbukisha mambo mengo,mimi mukimbizi,kutoka burundi

  • @waregawarega1863
    @waregawarega1863 8 лет назад +27

    baba na mwana tunaimba na kucheza...

  • @mamaabup5817
    @mamaabup5817 8 месяцев назад +2

    Who else came here after watching allan mwijage bongo stars season 2024❤❤❤he did justice to this song💪💪💪❤️

  • @abrahammadede4313
    @abrahammadede4313 Год назад +3

    In 2023 still rocks. What a jam

  • @najmasaleh9231
    @najmasaleh9231 8 лет назад +32

    Mwisho wa mwanadamu ni kifo! Msikate tamaa mungu atawasaidia cku1 mtakuwa huru na maisha ya jella mara ya mwisho kikuona kabla ya kwenda jella ulipiga hii ngoma kwenye mis ocean sandol

  • @subirabello5934
    @subirabello5934 6 лет назад +15

    Hakika Mungu mwema
    Karibuni uraiani

  • @sophiamageka8012
    @sophiamageka8012 8 лет назад +3

    sik moj utakuw hur hay maish ya dunia ...mungu awatie nguvu

  • @mbelekithome5070
    @mbelekithome5070 9 лет назад +10

    one of my favourite tunes,reminds me of someone i loved

  • @kokwi
    @kokwi 17 лет назад +4

    All the fans should be outraged at the injustice done to this talented group.Lets campaign for their freedom and justice to be done. Keep the faith guys!

  • @omarkimbwembwe5494
    @omarkimbwembwe5494 4 года назад +3

    31 December 2019 last day in 2019 watching from Tanzania

  • @danielmafara7168
    @danielmafara7168 5 лет назад +3

    I remember those times on radio free Africa. How I love this song! It's June 2019

  • @veronikagerson2476
    @veronikagerson2476 Год назад +3

    2023 bado naisikiliza

  • @Humayd-d1p
    @Humayd-d1p Год назад +2

    Naukubali sana wimbo huo ndugu%%%%

  • @keamaoli
    @keamaoli 5 лет назад +12

    2019 sea gimalo..papi kocha balaa nad a clasic

  • @Noah-zt5zf
    @Noah-zt5zf 4 года назад +1

    Dah,,nmekasirika sana hii nyimbo nmeitafuta 10yrs

  • @nyachio1
    @nyachio1 3 года назад +6

    I love this jam it is timeless. 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @kingdonald3312
    @kingdonald3312 4 года назад +2

    Sijawahi choka kuusikiliza wimbo huu, wimbo huu ni Baba Lao daima ✌

  • @eunicesaumu7486
    @eunicesaumu7486 7 лет назад +18

    who is watching this 2017 i really like this song

  • @kaisamjunior3692
    @kaisamjunior3692 Год назад +1

    Daaah huu wimbo naupenda sana tangu totoni 24/08/2023 🎧🇹🇿 good music

  • @ashaomina1136
    @ashaomina1136 4 года назад +65

    Nani bado anaupenda huu wimbo 2020 kama mimi

  • @chonegaboy
    @chonegaboy 14 лет назад +2

    @tanzanianboy cant u just say that the top person was Kikwete. I'm a kenyan lakini these guys make my day!!

  • @zulfagorah9149
    @zulfagorah9149 8 лет назад +54

    Wimbo huu hauchuji ukipigwa lazima nicheze

  • @mack_vita_onyango8409
    @mack_vita_onyango8409 6 лет назад

    Ai see Mie ni mapenzi mzuri Sana wa muziki wenye kuliwaza Jambo, mshukuruni mungu Kwa kila jambo,hakika yeye anayajua yaliyo mbele zaidi na yaliyo pitwa na wakati

  • @hamadykatikiro2483
    @hamadykatikiro2483 2 года назад +10

    Its... 2022 still sounds so great....✅🕸

  • @husseindadi5237
    @husseindadi5237 7 лет назад

    mungu ni muweza wa yote,tunamshukuru rais wetu kwakutambua mchango wa babu seya katika jamii,mung awape maisha marefu yenye amani,upendo na afya telee wawe kama zamani waendeleze sanaa yao,mungu atawabariki

  • @DocSerengeti
    @DocSerengeti 11 лет назад +7

    on of the first songs I heard on a Friday evening in 2003 at Q-.Bar in Dar!! gd mkemories!

  • @mariachales5444
    @mariachales5444 6 лет назад +11

    Mungu baba muumba wa bingu leo imesikia kilio cha babu seya

  • @kennedymutisya2579
    @kennedymutisya2579 Год назад +5

    I really love this piece

  • @elizahdaudi9020
    @elizahdaudi9020 2 года назад +1

    Nyimbo nzuri sana nashukuru Magufuli kwa kuwaachia huru.

  • @kanjajose5950
    @kanjajose5950 5 лет назад +12

    2019 watu wangu mko wpi

  • @AnnaviolethRutahuzibwa-wj7xg
    @AnnaviolethRutahuzibwa-wj7xg 6 месяцев назад +1

    Naupenda baraa❤❤❤

  • @MegaOmbeni
    @MegaOmbeni 6 лет назад +4

    Karibu tena uraiani Nguza Viking na kijana wako!

  • @killion9406
    @killion9406 Год назад +1

    2023 BADO TUKO HAPA Baba na mwana ka toa ngoma ya kimataifa kweli ❤