Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
Ambao tunaangalia mwaka hu 2024 gonga like
Niko hap naangalia Tena msondo Ngoma ya Wa. Tanzania tx Moshi William na wengine
2024 nipo hapa bado ❤❤❤ Sana msondo ya watanzania
Tupo pamoja
👊🏿
@@JohnChatila-z7c tuko pa1
Allah awapunguzie adhabu ya kaburi mziki zaman jamani sio sasa
Leo 9/12/2024 hawa watu walikua wakiimba nyimbo zenye ujumbe. Mungu awape pumziko jema.
❤❤❤❤p1
Daaah kwel wananjua haw jamaaa yaan not hatar
ngoma ina ujumbe hii kwa mtu anaejielewa
Kweli mziki huu hakuna bandi itakayo ifikia kwakizazi hiki Leo 2023 Jamani!
Dah sina cha kusema zaidi ya kusema respect
Boss hataki kuniona kabisa
Lazima ukaze moyo maisha yaende
Zilipendwa hezi izo
Lo! Kifo.Hawa wanaume karibuni wote Mungu kawaita. Aiseeeeee msondo.
Hawako?
Nakaza moyo Dunia hii❤❤ like 2024
Kazi nzurii hazichuji
Nikita site sehemu za Geita (engineering fieldworks) lakni hata mtu huchoki, RIP WAZEE
Tamuuu sana
Wow nimeipenda Mashaallah
mziki ulipigwa zamani nduguzangu.leo niumalayatu nabangi.
Kweli kabisa
❤sana
Tutazihenzi kaz zenu tungo zenye vichwa na maana
Nakumbuka ndugu Hawa tukisakata Ngoma zao Mkapa hall mbeya Mungu awarehemu
Maisha haya Mungu tu ndio anajua,yaan daaah
Ahsanteni... wahenga..mnanikumbusha ....
Msondo ngoma imebaki kumbu kumbu isio futika Mungu aziweke peponi walio tutangulia.😢
Kula vitu Vy kiutu uzima
Ujumbe mzr sana
Hawa jamaa nkiwAona hadi nalia
Ukisema unasikiliza mzki huu ndio mzki mashaili yanaishi
mziki ukiimbwa kwa ustadi kwa gitaa sio siku hizi beats za kutengenezwa hawa walitengeneza wao wenyewe big respect
Sina lakusema 2024 bado tunaipenda
niwangapi ambao walishatanguliya hapa? Duuu,Mungu awalaze mahali pema peponi.
Ngoma atariii Sana hakuna band itayifikia ngoma hii
Kweli ata mie hizi. Nyimbo zahawa watu huwa natoa machozi mana nyimbo zilizo beba ujumbe wa maisha 😮❤😊
Nyimbo xime jaaa mafunzo maishani mwetu
Du mababu waliteswa sana😅😮😅
Kweli awapunguzie azabu
Anna domo kazi yao kubwa kushika shika mbòo tu na mashairi feki na matusi
Huu ndio mziki mchezaji anaingia uwanjani anafanya mazoezi ilihali watu wamelipia baadae machi mnaambiwa imeisha Ndio maendeleo
Miziki ya zaman inatoa ujumbe na kuelimisha San ila ya sas n mapenz mwanz mwisho
Ngoma Kali mbaka mwaka 2019 jaman duuuu
2024 Tena bado inatamba hamna kuchuja
Msondo ulevi ulionao omali
Unanikumbusha wazazi wangu,Mungu awape Raha na mwanga wa milele awangazie Amina.
SELE
Nice music
Nasikiliza leo tarehe 11 10 2023
Pia mimi bado nasikiza mpaka leo
Nyimbo zetu 😢
Daahh huyo chorus😢
Inakusumbua choyo 19.12.2024
Enzi yetu hiyo vitu vya mafundisho
Hao jamaa ni akina Luambo Makyadi Franco watanzania.
Ni kweli ila...ila ni kuwa Mbaraka Mwinshehe Mwaruka ndiye angeweza kuwa level za Lwambo Franco, ila sasa alitutoka mapema (1979) wakati huo hakurekodiwa video kama hawa...ila hawa nao ni "Mashine Kubwa" wanawakilisha Mziki rumba la Tz..
Tunaoangalià 2025 tujuane🎉🎉🎉🎉🎉😂😂❤❤❤❤💪💪💪
Like ziwe ngingi
Liked this songsss❤❤❤
Ishapita iyo hailudi tena
Muziki utaendelea kudumu
Ama kweli ya kale ni dhahabu
napenda nyimbo zao26-11-2024
R. I. P .ma legendary
Wanaangalia Leo 2024 na wanaona Bado kunaujumbee weka like
Aww jamaa ninoma sana
Enzi zile bado nasoma shule yamsingi naitwa runi
😂😂😂😂au sio runi
Mziki wa enzi nikiwa kijana
Nice
bonge la ujumbe Kama unakichwa🙏
Nakumbuka mbali sana
Ngoma Kali sana
htr
Siku nying
Mwembwembwe aliaga dinia😮😮😮
Wajina wangu yule Suleiman Mbwembwe
Hizindonyimbo zakusikiliza
2025 msondo ngoma
Hizi ndiyo nyimbo huchoki kuzisikiliza na kujifunza ardhi imebeba watu r.p msondo ngoma
Nitafatira nijue wamezikwa wapi wanaume Hawa nikaparirie makaburi Yao
Sana t
shaggy
Twende wale wazee wenzangu
Mambo moto
Fireeee
1992 waaah
Moore Edward Miller Christopher Lewis Michael
2024 niko hapa
Mimi pia nipo nao bmpa tu Bampa msondo Ngoma 2024
Nimesoma comment zote za miaka ya karibuni kuonessha music huu bado unaishi
2022🙏🙏🙏🙏🙏
Nakubal
2024 like
🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍✌️.
Aliaga Dunia
❤❤❤🎉🎉🎉🎉
kila siku nahangalia
Atari
Inamafundisho ya kutosha
Tupo
2025!!!
2024/🎉
Nauliza .sulaiman Mbwebwe ako hai au pia aliaga?
Alifariki 12/6/2004...aendelee kupumzika kwa amani 🙏
Okay @@jovanmmetta8618
@@jovanmmetta8618 okay gracias desde el caribe de América Puerto Rico

Ni kweli ila...
ila ni kuwa Mbaraka Mwinshehe Mwaruka ndiye angeweza kuwa level za Lwambo Franco, ila sasa alitutoka mapema (1979) wakati huo hakurekodiwa video kama hawa...
ila hawa nao ni "Mashine Kubwa" wanawakilisha Mziki rumba la Tz..