Mocco Genius feat Alikiba - Mchuchu (Official Music Video)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 26 дек 2024

Комментарии • 3,1 тыс.

  • @KelvinKigamu
    @KelvinKigamu 7 месяцев назад +69

    Wale tulikuwa tunangojea video ,,,Alkiba is the king gonna like tukisonga

  • @ricardo4sureboy
    @ricardo4sureboy 7 месяцев назад +55

    Alikiba uki mruhusu atiye vionjo kwenye wimbo wako Mara moja wimbo unakuwa wake. 🙌🙌🙌🙌

    • @bekamwaba3571
      @bekamwaba3571 6 месяцев назад +2

      Umeona pia bro? Aise nilitaka kuandika hicho kitu pia

    • @ricardo4sureboy
      @ricardo4sureboy 6 месяцев назад

      @@bekamwaba3571 kabisaaa bro👊👌

    • @edwinepeter
      @edwinepeter 2 месяца назад

      Hii ngoma kali sana nawakubali

    • @edwinepeter
      @edwinepeter 2 месяца назад

      Aisee hiyo alikiba balaaa nzito ameunogesha wimbo

  • @IsdoriBango-ke2ov
    @IsdoriBango-ke2ov 6 месяцев назад +15

    Professional music maker na Professor wa muziki Alikiba.

  • @JojyLuhasa
    @JojyLuhasa 7 месяцев назад +167

    Sijaona wacongo apa na Kama wapo naomba like zao

  • @JojyLuhasa
    @JojyLuhasa 7 месяцев назад +26

    Inawezekana kiba mchawi sijuwi anatowaga wapi maneno matamu aise

  • @peacemuzaliwa2563
    @peacemuzaliwa2563 6 месяцев назад +33

    King Kiba na Like za Crown 👑 Media hapa....one of the best collaboration

  • @officialgypsum12
    @officialgypsum12 7 месяцев назад +50

    Nice gonga like apaaaaa🎉🎉🎉

  • @OkandjoJean
    @OkandjoJean 7 месяцев назад +27

    Kula chuma icho toka kalemie DRCongo

  • @JoseMauricioCristiano-ix8wr
    @JoseMauricioCristiano-ix8wr 7 месяцев назад +13

    Ngoma kali sana uku kwetu Mozambique 🇲🇿 tumeipokea vizuli❤❤❤

  • @JojyLuhasa
    @JojyLuhasa 7 месяцев назад +75

    Wapi ma fans wa Alikiba

  • @Chafitoo
    @Chafitoo 7 месяцев назад +22

    Leo niwakwa kutoka Mozambique🇲🇿🇲🇿🇲🇿🔥🔥

  • @JojyLuhasa
    @JojyLuhasa 7 месяцев назад +75

    Kiba kiba kiba kiba kiba kiba kiba kiba kiba kiba kiba kiba kiba kiba kiba kiba kiba kiba kiba kiba kiba kiba kiba kiba kiba kiba kiba kiba kiba kiba kiba kiba kiba kiba kiba kiba kiba kiba kiba kiba kiba kiba

  • @JojyLuhasa
    @JojyLuhasa 7 месяцев назад +14

    Wanawake huu mwaka mutanikoma nawatongoza mbaka museme mashairi kwenye nyimbo Kama nvula yoooooooo

  • @Perfect-migomigo
    @Perfect-migomigo 7 месяцев назад +47

    Wakwanza nipeni like zangu please 🙏🎉

  • @mousaoswego8257
    @mousaoswego8257 7 месяцев назад +29

    Mocco kaiba vocal ya kibaa kaibia keys za kibaaaa km umeona hilo sema kwa likes

    • @aaa64sa13
      @aaa64sa13 7 месяцев назад +3

      Nyimbo nzuri Wameimba Vizuri ❤❤🇹🇿🤜

    • @EriyaRichard
      @EriyaRichard 24 дня назад +2

      Mwalimu wake

  • @Vadothierry45
    @Vadothierry45 7 месяцев назад +15

    Leo wa 20 kutoka nchini burundi🇧🇮

  • @kelvintv4469
    @kelvintv4469 7 месяцев назад +19

    Leo wa kwanza naombeni like

  • @MkaliMdogo
    @MkaliMdogo 6 месяцев назад +12

    DRC tuna kubali bwana Alikiba

  • @NoelKimario-x4h
    @NoelKimario-x4h 7 месяцев назад +20

    video kali sana likes hapa kama umekubali

  • @JojyLuhasa
    @JojyLuhasa 7 месяцев назад +74

    Team kiba sijawaona bado

  • @MaheerMohammed-q1h
    @MaheerMohammed-q1h 22 дня назад +2

    uwezoooo sinaaaa ningekuhonga madinaaa oya izo saut sio pw

  • @kalziidazamba2862
    @kalziidazamba2862 7 месяцев назад +6

    Ngoma imefika sehemu salama hapa mozambique 🇲🇿 good work my brother MOCCO

  • @hajjihadhrajeee1523
    @hajjihadhrajeee1523 6 месяцев назад +3

    Respect kiba hana hiyana ana penda mziki wa bongo usonge kama mna amini hivyo nambieni na kama hamuamini semeni...ali kiba ndio bongo flavour watching from Sweden 🇸🇪 Mocco anaju mziki

  • @mgulambwacharles
    @mgulambwacharles 6 месяцев назад +25

    Kama unamkubali king 👑 gonga like ❤❤❤

  • @jasielsalim2968
    @jasielsalim2968 7 месяцев назад +15

    Sijaona wakenya apa like please

  • @rashidamohamed9927
    @rashidamohamed9927 7 месяцев назад +6

    Kama Kawa idaa yenu hantarii nanusu kichupa 💯 mmetisha sana ♥️♥️♥️♥️ nyimbo tam busu tuu na zima mahaba Yako mazito ukia pima umetisha sana mocco wejini kwakweli🙏🙏🙏🙏🙏

  • @razakilipwelele5518
    @razakilipwelele5518 7 месяцев назад +34

    Combination kaLiii. Kama unakubaLi hii combo gonga Like nyingi hapa kwa good music 🎶

    • @Jumashabanitz
      @Jumashabanitz 7 месяцев назад +1

      tena iko 🔥🔥🔥sana

  • @yasrikomba7874
    @yasrikomba7874 7 месяцев назад +10

    Sijaomba like muda kweli leo naombeni like kama ww mpenz wa mziki mzuri❤

  • @jospinbertin8023
    @jospinbertin8023 7 месяцев назад +6

    Tupo kwa uwingi.mimi ni bertin kutoka Congo RDC.na mukubaliyaka sana kiba.

  • @Omari12fuluku
    @Omari12fuluku 2 месяца назад +1

    nyimbo zenye ujumbe zimekuwa nadra sana hongera kwako brother kwa kutukumbusha Misha halisi

  • @Mwanatanga
    @Mwanatanga 7 месяцев назад +8

    Naombeni hata like 100 jmn nakupa mchuchu 🎉🎉🎉 king kiba and mocco🎉🎉

  • @IOSARBX
    @IOSARBX 7 месяцев назад +6

    Mocco Genius, You're the best! I just had to subscribe!

  • @Peterpeechez254
    @Peterpeechez254 7 месяцев назад +4

    yooooh!!! representing 254 kiba to the world baby....moco G kazi safi sana sauti taaamu🥳🥳🥳

  • @robinsonshoo6754
    @robinsonshoo6754 7 месяцев назад +7

    Ngoma za mocco ni Kali sana kiukweli

  • @official_vanchaz
    @official_vanchaz 7 месяцев назад +10

    Chege recognized Mocco and Alikiba introduce him to the world

  • @Its_konjaboyTz
    @Its_konjaboyTz 7 месяцев назад +1

    Naomba angalau 500 SUB Support big up brother

  • @OFFICIALSEMAH
    @OFFICIALSEMAH 7 месяцев назад +11

    From Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Fons of alikiba mchuchi bonga like hapa zote

  • @ashamahadi5281
    @ashamahadi5281 6 месяцев назад +4

    Kiba hana baya na MTU endeleza vipaji vya wasanii wenzako. Big up Mocco🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤

  • @tlthiraofficiel
    @tlthiraofficiel 16 дней назад +1

    Mocco kwa king namupenda sana

  • @JojyLuhasa
    @JojyLuhasa 7 месяцев назад +6

    Ngoma la wakubwa watoto nendeni mukalale

  • @kingdeniscrocodile
    @kingdeniscrocodile 7 месяцев назад +9

    Ngoma kaliiiiiiii

  • @rehanipaul7196
    @rehanipaul7196 7 месяцев назад +11

    Nipeni like wenzangu wa alikiba

  • @BimwaraBeiby
    @BimwaraBeiby 7 месяцев назад +8

    Ajawai kukosea king kiba

  • @footystatx
    @footystatx 7 месяцев назад +23

    naomba like za alikiba ✌✌

  • @JojyLuhasa
    @JojyLuhasa 7 месяцев назад +8

    Wapi ma fans wa mocco

  • @AllyMeshack
    @AllyMeshack 7 месяцев назад +9

    Alikiba asifananishwe na ujinga wenu wa huko tandale

    • @isayamsisika6255
      @isayamsisika6255 7 месяцев назад

      😂😂😂 watakutukana Domo Fans

    • @AllyMeshack
      @AllyMeshack 7 месяцев назад

      Watajua wenyewe 😁

    • @DgPilla-jm4ns
      @DgPilla-jm4ns 6 месяцев назад

      Kiba anajua sanaaaaaaaaaaaaaaaa

  • @emmanuelchrisant3563
    @emmanuelchrisant3563 7 месяцев назад +11

    Imejaa poa Sana. Naomba like zangu hapa🎉

  • @MONDE254
    @MONDE254 6 месяцев назад +13

    Wacoast wako wapi siwaoni nipe likes

  • @MwashiShabani
    @MwashiShabani 6 месяцев назад +4

    Kiba anawezaa ndioomaana wimbo unaonekana wa kwake❤❤

  • @JojyLuhasa
    @JojyLuhasa 7 месяцев назад +6

    King kiba na mocco awajawayi kukoseya

  • @IsdoriBango-ke2ov
    @IsdoriBango-ke2ov 6 месяцев назад +2

    Jamani mziki wa zuku ni mtamu sana, au hiki kinanda nakisikia mwenyewe tu.

  • @DeWhite-tu8xg
    @DeWhite-tu8xg 7 месяцев назад +9

    Team kiba forever

  • @AngelousiMbusa
    @AngelousiMbusa 6 месяцев назад +4

    King kiba nataka nikulete congo

  • @laxmajor
    @laxmajor 7 месяцев назад +1

    Uñyma mwingi 💯🙌 🇹🇿⭐

  • @48kingfahadem63
    @48kingfahadem63 7 месяцев назад +6

    Nakubali sana 🇰🇲🇰🇲🇹🇿

  • @JojyLuhasa
    @JojyLuhasa 7 месяцев назад +6

    Alikiba t'es le roi de tout le temps

  • @VgmukomboziOficiel
    @VgmukomboziOficiel 6 месяцев назад +4

    Nilikuwa nikisumiriya sana tena kwa hamu apa ni nyumbani

  • @omaryluambano3495
    @omaryluambano3495 7 месяцев назад +9

    Mziki mzuri uwa ujifichi kama unakubalina na mimi like apa twende sawa team mziki mzuri kingsmusic 🎧❤️

  • @williamjuma5320
    @williamjuma5320 7 месяцев назад +8

    King is the best all time 🇰🇪

  • @husseinally7822
    @husseinally7822 7 месяцев назад +6

    Hivi huwezi like mara nyingi zaidi eeenh mana i wish nipewe nafasi za like zaidi ya moja

  • @LubnaGeorge-re4yp
    @LubnaGeorge-re4yp 7 месяцев назад +5

    WA kwanza❤❤❤❤❤❤like song letu

  • @ClaudeAchille-sp2zu
    @ClaudeAchille-sp2zu 7 месяцев назад +28

    Kama una kubali hisi king alivo vaa gonga like apa 🔥🔥🔥

  • @kawingasimkoko1391
    @kawingasimkoko1391 4 месяца назад +1

    Siku zinavo zidi huu wimbo naupenda sana tofauti na mwanzo niliuona wa kawaida hasa vase ya king iko powa sana

  • @pendozebedayo-ho6mq
    @pendozebedayo-ho6mq 6 месяцев назад +9

    Kama alikba unampenda naoma like

  • @Chrisnaida_1
    @Chrisnaida_1 7 месяцев назад +1

    Mwanangu Yan unashika jembe kama unalijua sana big up

  • @loffeshdady9580
    @loffeshdady9580 7 месяцев назад +6

    realy meaning of Bongo fleva 🙌

  • @denisharo-wl7ob
    @denisharo-wl7ob 7 месяцев назад +3

    Hii tamu,kopakopa...twende sasa

  • @mashmashmello329
    @mashmashmello329 6 месяцев назад +4

    I'm now in love with the king I swear this is next level🥰

  • @Cute_baby.922
    @Cute_baby.922 6 месяцев назад +4

    Unajua sanaaa

  • @SamuelDengoDengoDengo-u6f
    @SamuelDengoDengoDengo-u6f 9 дней назад

    Niko msubiji nagonga like kwa king Kiba , "gostei de música "Yani nimependa nyimbo

  • @baysadam235
    @baysadam235 7 месяцев назад +4

    Unyama mwingi sanaa mwaneto🔥🔥🇲🇿🇹🇿

  • @Cute_baby.922
    @Cute_baby.922 6 месяцев назад +4

    Kituuu sanaa hiii

  • @NanaRiziki
    @NanaRiziki 6 месяцев назад +2

    Hongera sana 🔥🔥🔥🔥🔥 nice song by Mocco feat Alikiba ♥️♥️♥️♥️

  • @SimigoZiwa
    @SimigoZiwa 6 месяцев назад +3

    Umetisha san moccogenius❤

  • @HappyMtondi
    @HappyMtondi 6 месяцев назад +11

    wow wow team kiba nipen like zenu❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉.

  • @reymekay1
    @reymekay1 6 месяцев назад +2

    Real musizk kompa kompaaaaaa

  • @HakunaMatata-uj9vy
    @HakunaMatata-uj9vy 6 месяцев назад +4

    Kiungoo safii

  • @Cute_baby.922
    @Cute_baby.922 6 месяцев назад +4

    Umenyoosha sanaa

  • @EsterMeshack-q8s
    @EsterMeshack-q8s Месяц назад +1

    Jamani mm ndo naamka wapi Tim kiba

  • @Hadasamevis
    @Hadasamevis 7 месяцев назад +5

    From Kenya 🇰🇪 much love ❤️

  • @Aluseta-ww5yb
    @Aluseta-ww5yb 7 месяцев назад +5

    Yamoto Sana

  • @ShiiiYiuuu
    @ShiiiYiuuu 7 месяцев назад

    Umeua sanaa hiiiiii

  • @bazzafrank9377
    @bazzafrank9377 6 месяцев назад +5

    I love king Kiba coz kuna vibe huwa if you are a fan unafeel inakuanga kwa verse yake from begining 😂😂

  • @rason_tz3626
    @rason_tz3626 6 месяцев назад +4

    Mpaka kieleweke 🔥🔥

  • @mselamsafi-w2z
    @mselamsafi-w2z 6 месяцев назад +2

    Umetsajaaa sanaaa

  • @Cute_baby.922
    @Cute_baby.922 6 месяцев назад +4

    Nomaa sana

  • @fundiseif1096
    @fundiseif1096 7 месяцев назад +4

    Mchuchu ni hatariii sana 🔥🔥🔥💪

  • @Sophia_amelowa
    @Sophia_amelowa Месяц назад +2

    My favorite song uwiiiiiii ❤🎉 2024

  • @dr_donye
    @dr_donye 7 месяцев назад +4

    Hii ni tamu bana🔥🔥🔥🔥👑👑👑 KINGKIBA

  • @mudyngwale7487
    @mudyngwale7487 7 месяцев назад +3

    Mocco genius wa bongo flavour

  • @liylahahmed829
    @liylahahmed829 7 месяцев назад +5

    Kibaaa roho yng kabsaaa❤❤❤

  • @swalehemondo2858
    @swalehemondo2858 7 месяцев назад +5

    Salute 🫡

  • @aishaduniaaishadunia
    @aishaduniaaishadunia 5 месяцев назад

    Nilijua tuu tusingefika mbali ww na mimi, unapenda makuu ndmn haukujali kidogo cha mimi umekondeana poleee poleee sana vp danga lako la masaki mmeshaachana.....

  • @C7Simulizi
    @C7Simulizi 7 месяцев назад +8

    Nipeni likes mbili tu✔️

  • @mbossopage4092
    @mbossopage4092 7 месяцев назад +3

    Ijumaa qareem🙏🏽

  • @255og
    @255og 7 месяцев назад +5

    Wa kwanza Nipe like ❤❤

  • @mohdkhalifa8828
    @mohdkhalifa8828 7 месяцев назад +4

    Respect my king

  • @WakuwezaWajuaji
    @WakuwezaWajuaji 7 месяцев назад

    Nomaaa sanahiii

  • @mbossopage4092
    @mbossopage4092 6 месяцев назад +3

    Mooooco

  • @Heispax_jay_c1
    @Heispax_jay_c1 7 месяцев назад +6

    Najuwa kuwa nime chelewa ila. Naomba like zenu please nawa penda sana ❤❤❤