KIKEKE afunguka WASAFIFM na AZAMTV kumtaka nimechagua CROWN FM ALIKIBA naendana nae vizuri…
HTML-код
- Опубликовано: 11 дек 2024
- East African number one RUclips channel for Gossips,Sports as well as Politics News owned By BONGO PLUS
KANUNI NA MUONGOZO
Tunaripoti Matukio ya watu mashuhuri katika nyanja ya burudani, Michezo Filamu na mitindo ya maisha kwa kuzingatia misingi ya uandishi wa habari hapa nchini. Kufuata misingi kwa kuripoti habari zenye uwiano na usawa ndani yake,kutokuingilia faragha ya mtu,Kujiepusha na mambo yote yanayoweza kuleta sinto fahamu katika jamii yanayoweza kusababisha uchochezi.
NB:Tuna uhuru wa kufuta maoni yasiyokuwa na maadili au yenye matusi makali.
WeAreEverywhere
#entertainment #exclusive #trending #diamondplatnumz #wasafi #ayotv #update #updatenews #udaku #gossip #mwijaku #babalevo #tanzania #kenya #manara #hajimanara #bongo #habari #justinbieber #bieber #rap #hiphop #hiphopmusic #pop #rnb #rnbmusic #exclusivenews #tmz #tmztrends #arianagrande
Huyu mtangazaji yuko vizuri sana kwenye maswali tofauti na.wengine
Kweli kabisa
Shukran na karibu kwenye familia ya BongoPlusTv
Safi sana kijana upo vzr katika kuliza maswali endelea kueka bidii utafika mbali
Shukran na karibu kwenye familia ya BongoPlusTv
#Kingkeke 👑 ni habari ya mjini hapa Tz kwenye tasnia ya habari 👊 #kingkiba 👑
Ambangile yupo vizuri mno
kikeke bana😂😂😂😂 tunajuwa sisi wenye d 2
Good king kikeke
Taasisi asilimia kubwa huendeshwa na hisa ,hivyo kikeke anaweza kua miongoni mwao wenye hisa kubwa crown
Mimi nikimuona uyu Dogo uwa sinaga wasiwasi Caribu CROWN TV upige kazi Dogo
Shukran na karibu kwenye familia ya BongoPlusTv
Kikeke mtangazaji na 1
gorge alikua magic fm yuko good
redio yako itakuwa na nidhamu sababu wewe mwenye redio unanidhamu
Safi
Kumbe Crown ya salim
Huyu mtangazajo anaehoji maswali yupo vizuri sanaaa
king keke
Uyu kwel king kikeke
Ama kweli hii Media ni ya huyu Bwana leo ndo nimeamini.
Ww ni pimbi mnalazimisha ukwl uwe uongo😂😂 j ww ujaskia jana Alikiba anasimulia kuusu Redio
😅😂Hhhh maskin yaan hapo Kuna kitu gani kimekufanya wewe uamini ni yake. Acheni chuki jamani. Aliepewa kapewa. Maisha yanawafanya muwe na chuki.
Kwani kuna ubaya gani kampuni aiwezi kuwa na mtu mmoja
Mshkaj kapiga maswali safi kabisa wala hakutetereka yupo na nani big up endelea utafika mbali
Ss kwann usinywe maziwa maana kiungulia kitakuua.. Kinauaga hichooo
Huyu Ni mjanja Sana aliamua kumtumia ally sababu anajuana na watu wengi na yeye kuja na watu wake haha
Sasa ww mjinga sana
Maswali ya jamaa yamefanya tupate mzjibu kuwa crown ni ya salum kwa asilimia nyingi
George alipaswa kuja Crown
Not Hans
Why not hans
@@annalubango9899
Quality