VIDEO: ALIKIBA AMJIBU BARAKA THE PRINCE, "SAWA KAMA ANANICHUKIA, MIMI SIJALI, MOYO WAKE UMECHAGUA"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 11 дек 2024

Комментарии • 326

  • @raiye5621
    @raiye5621 2 года назад +39

    Nampenda sana Alikiba mungu akupe umri mrefu wakheir ❤

  • @angelfortunatus117
    @angelfortunatus117 2 года назад +42

    Mi nampenda Alikiba jaman asilimia Mia ❤️❤️❤️❤️❤️❤️

  • @deboraadolfu4011
    @deboraadolfu4011 2 года назад +32

    nimependa the way ulivyojibu hujali inatosha na tunaokupenda ni wengi Allah akulinde inshaAllah

  • @ezekielkashilim9108
    @ezekielkashilim9108 2 года назад +80

    Alikiba is a humble guy ever ✊

    • @DonMooSTUDIO_Express
      @DonMooSTUDIO_Express 2 года назад

      Nakuomba Bonyeza 👇 🙏 👇
      ruclips.net/video/XGsWo_7YoO0/видео.html

    • @mujarifuwiliam6511
      @mujarifuwiliam6511 2 года назад

      ruclips.net/video/Rcy77m-ntDY/видео.html

  • @strongwoman9600
    @strongwoman9600 2 года назад +35

    King ni mmoja tu hanaga mambo mengi🔥🔥🔥

  • @chantalsalumu2766
    @chantalsalumu2766 2 года назад +42

    Thé king kiba🔥saluti kubwa mzee baba🔥

  • @winfridapeter9455
    @winfridapeter9455 2 года назад +5

    Huyu ndo alikiba tofauti na kumwita king pia hajali loloseeeeeee😍😍😍😍

  • @BARBERJAY001
    @BARBERJAY001 2 года назад +12

    Alikiba is the best on answering questions because he comes from far a part from music,he is very educated artist in africa💪💪

  • @judithjayden2103
    @judithjayden2103 2 года назад +20

    Kweli uyu ni king majibu ya busara Sana Kaka🙏🙏

  • @allynassoro2080
    @allynassoro2080 2 года назад +25

    Ndio nnapo kukubali King kiba🤴

  • @thethengomba355
    @thethengomba355 2 года назад +100

    Alikiba is well educated and well brought up by his parents

    • @monstermonster3649
      @monstermonster3649 2 года назад +2

      Well brought up? Maybe.
      Well educated? Big NO.

    • @thethengomba355
      @thethengomba355 2 года назад +3

      @@monstermonster3649 depends on your understanding and I ain't responsible of it

    • @monstermonster3649
      @monstermonster3649 2 года назад +1

      @@thethengomba355
      This shit is about facts, the dude is not 'well educated' so cut the crap.

    • @hajjiomary2383
      @hajjiomary2383 2 года назад +2

      @@monstermonster3649 nafikili ajajua maana ya well educated

    • @monstermonster3649
      @monstermonster3649 2 года назад +1

      @@hajjiomary2383
      Ndiyo hapo sasa na watu mazuzu wasio na uelewa huwa ni wabishi, mtu form four failure anatajwa kuwa ni 'well educated'.

  • @eiynahmadrid9869
    @eiynahmadrid9869 2 года назад +12

    Mfalme kama mfalme♥️🔥Mimi nakupenda King👑

  • @lizahadongo1801
    @lizahadongo1801 2 года назад +3

    Ali kiba Mimi nakupenda sana especially your kids 🇰🇪🇰🇪

  • @richardjoseph2921
    @richardjoseph2921 2 года назад +1

    Alikiba, sijui watanzania tunamchuliaje.... Allykiba yupo humbler sana. Halafu jamaa hapendi hata kuzungumziwa hili na yeye akuzungumzie

  • @EzraKawogoPujongtown
    @EzraKawogoPujongtown 2 года назад +47

    Nakubali Sana The legend Unajielewa Sana bro

    • @kgchippy
      @kgchippy 2 года назад

      ruclips.net/video/2apIro4o91s/видео.html

    • @mariajohn123john5
      @mariajohn123john5 2 года назад +1

      Hakupendi sbb hakuweziii akwendee kule mpk ubuyu kichwa ...

  • @lovecutetz9668
    @lovecutetz9668 2 года назад +13

    Salute king of bongo flavour😍😍😍

  • @mubarakakizenga8636
    @mubarakakizenga8636 2 года назад +17

    "Hakuna kibaya nilichomtendea zaidi ya Mapenzi na kumsaidia mambo yake yaende" king Alikiba

  • @amanithebrilliant268
    @amanithebrilliant268 2 года назад +4

    Kwa majibu yako king 🤴 great appreciation .

  • @allymtapera5370
    @allymtapera5370 2 года назад +74

    Huyu hakujiita mfalme, wala hakuomba ila wenye muono wa mbali walimuona kwa hekma na nyendo zake aitwe king of bongo freva ufalme unajieleza

  • @hasanimkamba8377
    @hasanimkamba8377 2 года назад +22

    umejibu kikubwa sana king kiba

  • @haureyfeisal7854
    @haureyfeisal7854 2 года назад +27

    Ally mtu poa sn jmn ❤

  • @bonnetambweofficial
    @bonnetambweofficial 2 года назад +19

    Sikia 👑 anavyo kwambia hapa 🤝

  • @sandrasmith9915
    @sandrasmith9915 2 года назад +1

    Sema yote tisa kumi Alikiba ni li handsome balaa🥰🥰

  • @ayshamahariq6665
    @ayshamahariq6665 2 года назад

    Achananae huyu mshamba tuuu wakawaida😏 penda sana kiba😍😍😘😘😘🇪🇭

  • @CoptogangGang
    @CoptogangGang 8 месяцев назад +1

    Alikiba na baraka nawapenda sana mpakasasa niponasikilza nyimbo yenu nisamehe video tamu jamani nailudia ludia naxiichoki mungu awajalie mumalze tofauti zenu kwenye huu mwez mtukufi waramadhana mnajuakunogexhanakutostree yaani nyie cjui mmegombania kipi munguawafanyie wepes muwekamazamani

  • @mandyuwimana7735
    @mandyuwimana7735 2 года назад +17

    Humble man 4ever !!!

  • @minanicharles3081
    @minanicharles3081 2 года назад

    Uyo njo king mwenyewe majibu yenyee busara I like that my brother much respect king kiba@kings Music

  • @huseinshedrack6180
    @huseinshedrack6180 2 года назад +1

    Ukipewa jina kubwa ni vyema sn km ukiendana nalo, Ahsant sn King 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @kimah9461
    @kimah9461 2 года назад +18

    Kiba ni smart haki, no need umjibu👏

  • @griffinjahazi2167
    @griffinjahazi2167 2 года назад +31

    King 👑 kiba always in my heart ❤️

    • @mgasa_tz5527
      @mgasa_tz5527 2 года назад

      Mmh.!! At.. my heart.!!🤣🤣

  • @yusrasalum
    @yusrasalum 2 года назад +45

    Yani mtu unasema kabisa simpendi huyu mungu tunusuru na chuki hizi

    • @omantel4680
      @omantel4680 2 года назад

      Kuna watu huwa wana laisisha kujibu et sijui kama ana nichukia vizuli sana maana kwamtu asie kuwa na busara angeongea magi sana ongera king 👑kiba

  • @emmanuelcharles3727
    @emmanuelcharles3727 2 года назад +1

    Mungu akupe maisha marefu alikiba alhamdulilah

  • @jmm1840
    @jmm1840 2 года назад +82

    Tukikupenda sisi inatosha tunaosapoti mziki wako

  • @enockelisa1398
    @enockelisa1398 2 года назад +15

    Salute King

  • @bonnetambweofficial
    @bonnetambweofficial 2 года назад +20

    King kiba 🔥🔥👑🔋

  • @damarygaratulu9135
    @damarygaratulu9135 2 года назад +18

    Nakubali sana umejibu kikubwa

  • @maryjkiosa3380
    @maryjkiosa3380 2 года назад +4

    King Ni mmoja tu 💪🏼

  • @djkelvinke
    @djkelvinke 2 года назад +8

    The talk of a king🔥🔥🙌

  • @superwhitetz3258
    @superwhitetz3258 2 года назад +22

    Kingkiba 👑

  • @sheryphamwenevalley6124
    @sheryphamwenevalley6124 2 года назад +11

    only one king💖

  • @rahimmwago2445
    @rahimmwago2445 2 года назад +1

    Allah blessing king kiba, coz king is one 🎵🎶

  • @nevermwambela3719
    @nevermwambela3719 2 года назад +1

    Safi sana King...unakosa nini kwa wengine🤣🤣

  • @elia5475
    @elia5475 2 года назад

    Asikumize kichwa sana braza nikupotezea tu izo niisia namaoni yake yeye ku kotusi churie pasoni kuivazi sumu moyoni kaka nikupotezea tu brother maisha ya naenderea

  • @buberwapaulinabuberwapauli7327
    @buberwapaulinabuberwapauli7327 2 года назад +1

    The King kiba nakukubari sana

  • @mdta8161
    @mdta8161 2 года назад +3

    Nampenda Alikiba angekuwa ajaoa ningeenda kutafuta

  • @papykatoziking2395
    @papykatoziking2395 2 года назад +2

    Ali una utu kama wimbo wako was utu thanks so much

  • @alicenice1711
    @alicenice1711 2 года назад +10

    Nimekua nimemiss interview ya kiba

  • @munirashughuli618
    @munirashughuli618 2 года назад +9

    Smart Man

  • @rehemaponera8160
    @rehemaponera8160 2 года назад +1

    Kumbe Ali ni handsome namna hii

  • @mrlyricsstar7881
    @mrlyricsstar7881 2 года назад +24

    The King Kiba

  • @petroalex419
    @petroalex419 2 года назад +2

    Namkubali sana alikiba

  • @habibapazi9087
    @habibapazi9087 2 года назад +3

    Safi sana nakupenda bure king

  • @lanafelix8649
    @lanafelix8649 2 года назад +9

    King Kiba hajali 👑

  • @isakamaganigani1587
    @isakamaganigani1587 2 года назад +10

    King oyooooooooooooooo tileeeeeee

  • @aishaomer6934
    @aishaomer6934 2 года назад +8

    Safi sana kaka

  • @salomemdoe8514
    @salomemdoe8514 2 года назад +4

    King kama King ♥️♥️♥️♥️♥️

  • @devothajacob5197
    @devothajacob5197 2 года назад +1

    Huyu kaka namwelewa sana majibu yake unaweza ukalia

  • @mikemwasambuchefdeparty.3546
    @mikemwasambuchefdeparty.3546 2 года назад

    Baraka the Prince Ni Mtoto Sana Ki mziki kwa king Kiba

  • @josiahnaftaeli7862
    @josiahnaftaeli7862 2 года назад +15

    Jibu zuri sana👏🏻

  • @christercheru8328
    @christercheru8328 2 года назад +1

    Mkali Wao King kama King. Very Wise.

  • @hawayusuph6818
    @hawayusuph6818 2 года назад

    Achan nae mi nakupenda mpk keroooo San 🥰🥰🥰😍

  • @officialzuuh4638
    @officialzuuh4638 2 года назад

    That's why kiba his my favorite

  • @coclewitgar-sn8vn
    @coclewitgar-sn8vn Год назад

    King kiba nakupenda sana natukikupenda sisi inatosha

  • @EdithTelemark
    @EdithTelemark 5 месяцев назад

    Safi kabisa huwezi zuia Moyo Wa mtu ambao umeamua kukuchukia!

  • @allyadam9586
    @allyadam9586 2 года назад

    Bro keep up hakupendi mimi nakupenda sana aiseee asipokupenda achana naye mama yako anakupenda sana

  • @emmanuelnzaligo6262
    @emmanuelnzaligo6262 2 года назад +1

    Kama anakuchukia kwani yeye Kama Nani kwenye hii dunia yeye Ni nyau huyo cheusi Ni mwehu Kama wehu wengine tu.

  • @walterchilumba8302
    @walterchilumba8302 2 года назад +1

    King Ni mtu tofaut sana

  • @rajabumrope8732
    @rajabumrope8732 2 года назад

    GENEOUS KIBA

  • @saidmwinyi7062
    @saidmwinyi7062 2 года назад +6

    King kama king

  • @majorkingcc1306
    @majorkingcc1306 2 года назад +6

    King kiba🔥

  • @poulmalingumu833
    @poulmalingumu833 2 года назад

    Akikupenda mama inatosha king kiba one love

  • @kastomwaipopo1763
    @kastomwaipopo1763 2 года назад +3

    Kiba nimekuelewa ih Dunia sio kila mtu atakupenda😔

  • @OmarsalimOmar-d7d
    @OmarsalimOmar-d7d 10 месяцев назад

    Asante sana king yani hujali na uwezi kereka na chuki zake wazi broo mwanaume ajengi chukii nimshamba yule dogoo

  • @hakiba1207
    @hakiba1207 11 месяцев назад +1

    Kakaangu kiba hana baya👍🤓🤓

  • @ngetvofficial1627
    @ngetvofficial1627 2 года назад

    2 my best artist kiba na harmonize

  • @samwelimadaha767
    @samwelimadaha767 2 года назад

    Umeongea kama Shekhe mkuu..Hekima nyingi hongera sanaaaa...Umezidi wengi

  • @ziyandamhlana8776
    @ziyandamhlana8776 2 года назад +2

    Jibuu lakishuwa najuwa Gali nzuli kumiliki au kiwanja kumiliki dar nikwasababu King

  • @bettymasitsa9504
    @bettymasitsa9504 2 года назад

    Napenda alikiba 💕🤩🤩🤩🤩

  • @sakinaamani1486
    @sakinaamani1486 2 года назад +10

    Alafu wanapendana hawa

  • @jumajay8496
    @jumajay8496 2 года назад +6

    Baraka ni fala mnafik,alikua kwa mahasimu wa kiba akataka kiwaonyesha hata yeye pia nihasimu wa kiba ili tu kutafuta maslahi uchafuni hajui unaweza kufanikiwa bila ya unafik, baraka kashindwa na mtoto wa kike maua sama jana palepale uchafuni kawapa yote yamoyoni nawao wakabloo.

  • @josemaro5653
    @josemaro5653 2 года назад

    Safi sana sio lazima Kila mtu akupende 💪

  • @ireneimbuhira7759
    @ireneimbuhira7759 2 года назад

    Kingkiba 🤴 ❤❤❤

  • @pachaerick8057
    @pachaerick8057 2 года назад +2

    Utabaki kuwa king tu kaka na hekima busara ulizo nazo

  • @saidjumasaid3924
    @saidjumasaid3924 2 года назад +7

    Daah kiba kwishaaa

  • @ddontz
    @ddontz 2 года назад +1

    King💪💪💥

  • @imamoimamoimo3224
    @imamoimamoimo3224 2 года назад +4

    Nimependa sana kwagibu

  • @amillahqueeen5586
    @amillahqueeen5586 2 года назад +2

    🤣🤣🤣🤣🤣 nakupenda ali kiba

  • @elizamkolwe4816
    @elizamkolwe4816 2 года назад +1

    KingKiba Ninakupentraaa hatriii............

  • @barakajackson2694
    @barakajackson2694 2 года назад +1

    Nice Comment King kiba

  • @abdulazizsharif2984
    @abdulazizsharif2984 2 года назад +3

    Alaf Frida Amani ngugu yangu kbsa me Abdulaziz Amani

  • @candy9969
    @candy9969 Год назад

    Allah Akufanyie shifaaaa wallah 😂😂

  • @leilahasani3118
    @leilahasani3118 2 года назад

    Big up💪💪 king kiba

  • @eshasozy69
    @eshasozy69 2 года назад

    King kiba💕💥💥

  • @issakamangila4143
    @issakamangila4143 2 года назад +6

    Amekutana na mwenye kiburi mwenzake

    • @theodorycharles4474
      @theodorycharles4474 2 года назад

      Acha chukizakijinga wewe lini Kiba kakuletea jeuli muogope Mungu achaujinga wewe unamchukiamtu hatahakujui acha ulimbukeni

  • @babanahbabanah5998
    @babanahbabanah5998 2 года назад +14

    Sisi wenyewe mashabiki wa kiba hatumpendi uyo cheusi mangala baraka da prince kwanza akafie mbele

  • @Kbaya86
    @Kbaya86 2 года назад +1

    I real like your Lebo pamba safi sana

  • @sautikaliitz934
    @sautikaliitz934 2 года назад +5

    Tukikupenda sisi inatosha achana na bwege yule

  • @amidaibrahimu271
    @amidaibrahimu271 2 года назад

    big up brother the lovely king

  • @watendemkwayu9701
    @watendemkwayu9701 2 года назад

    Tunakupenda watuu mia moja anaekuchukia 1 ni kaz bure tyuu kwake muache aendelee kujipaxukia na majipu ya moyo wake

  • @eliyanorobeth8567
    @eliyanorobeth8567 2 года назад +2

    Jaman baraka sio mpumbafu amchukie tu alikba paspo 7bu. Hatahyo alikba mnae mtetea nae nimzee wadharau na kiburi