Huyu Baraka kweli hana shukrani kwa sababu wakati alikiba anampa collaboration hakua nanajulikana ivo much. Tena hiyo collaboration ilikua kali na pia nikikumbuka iliishia kushinda best collaboration of tha yr in Kilimanjaro awards unaona.
Hahahaaa unaleta bifu na star alikiba pole sana maana ata ukimchukia alikiba haimshtui coz hana msaada anaoutegemea kwako maana kakuacha mbali sana yan kama ukisema mambo ya masomo yeye yupo chuo kikuu wewe upo shule ya msingi darasa la Nne, kua mpole Ali kipenz cha watu hata sisi Tim kiba kwa ujumla hatukupendi pia,.
Waafrica wengine wanajichukiyakweli, how can u ask such a stupid question? Eti ange badilisha rangi ya ngozi atapata endorsements. That was insulting. I would stop the interview if it was me.
Yan nyie wote wapuuz mwanzo wa mahojiano unaanza na kumdis Mario na mabantu iv wew mtaangazaji gan unazan Kuna siku utawahoji mabantu au marioo utawahoji ao ao wanaotukan kaka zao
Alikiba ana bifu na ww ila una lazimisha upokelewe simu kuwa kama mtoto wa kiume acha kulilia mbeleko kaka si uliamini wcb wanaweza kukufikisha upatakapo ukaanza dharau aliye kusaidia vp mbona walalamikia sana kiba
Tatizo walimdanganya akajiona yeye ni mkubwa kuliko alikiba asee huyu jamaa angekuwa Mbali mno mana jamaa alitokea kumkubali sana alikuwa akienda nae mpaka marekani uingereza lakin sikio la kufa alitosikia dawa yamemkuta yalomkuta pnc
Huyu msenge anadharau sana kunduchi lake
Baraka is always my mentor🥰
Huyu Baraka kweli hana shukrani kwa sababu wakati alikiba anampa collaboration hakua nanajulikana ivo much. Tena hiyo collaboration ilikua kali na pia nikikumbuka iliishia kushinda best collaboration of tha yr in Kilimanjaro awards unaona.
Ni uongo kusema halikuwa ajulikani! Sema ilimbust
Hakuna wimbo wa baraka ulio fikisha views 1m Zaid ya nisamehe kama upo huyo wimbo bas aliimba wakat ata yeye ajazaliwa
Wewe ni mtu real sana maduanzi wachache humu walamba nyayo wanataka uwe kama wao, keep on being real hommie.
Alikiba hawezi kuwa na bifu na Barakah 😂😂😂😂😂🤣🤣🤣
Uyo baraka bado ana shombo la sangara dar amekuja na Lori la n'gombe
Hahahaaa unaleta bifu na star alikiba pole sana maana ata ukimchukia alikiba haimshtui coz hana msaada anaoutegemea kwako maana kakuacha mbali sana yan kama ukisema mambo ya masomo yeye yupo chuo kikuu wewe upo shule ya msingi darasa la Nne, kua mpole Ali kipenz cha watu hata sisi Tim kiba kwa ujumla hatukupendi pia,.
Sana tu
Ni kweli kabisa 🔥
Sisi team Baraka pia hatumpendi Alikimbwa
@@sondemtanashati6164 utafirwa mchana kweupe
@@victorguapo7827 we ndo utafirwa wima mamae
Msani wangu kbs wa myaka yote big saana up bro
Boroka da chizi umebuma atukupendi piaa mwanza una ngoma Kali umuwezi tunakwenda kwenye show za kiba theking
Ndio Maan hauendelei unaendekeza roho mbaya. Sana kuliko utu
Kwa mtu mwenye akilii timamu huwezii kusema huyu mwamba anadharau, ni anajibu maswalii kulingana na umuhimu wa swali.
Alikiba ndio ana mpa kiki dogo huyuuu
Baraka unamuonekano wa kichimba chumvi anaonekana mzee kama babu yake tu😂😂😂😂😂😂😂😂 hutomuweza mfalme kiba
Huyu ni mjinga, angeachwa tu apotee. Ni mjeuri sana
baraka yupo vzr
Ww ni timu Simba
We mdada na kuelewa Sana hebu fanya nikujue zaidi bhana, nakukubali Sana upo simple and real hauna mambo mengi
Sijawai mwelewa huyu msanii afanye kazi aache mbwembwe
Baraka can Sing.....
Wivu acha wivi alikiba kakuacha pakubwasana humuwezi acha ushamba
hata kwa alikiba alizungumza namna hii ila kinachoendelea..... mtajua wenyewe bhana msinisumbue mm
Tuliyemuona yule mdada aliyekuwa anakuja nyuma ya barakha ghafla akajushtukia akasepa tulike hpa plz🤣🤣🤣🤣
baraka mbona anajbu ksomi sn ss mbn wana mchukulia tofauti
Petit Prince il faut respecté les grands
Wewe msenge vipi yani mtu akiwa mweusi kuna shida afu wakiume wamuliza nini eti ukiwa brown unapata endorsement
Ali kba anaitumia chuki juu ya diamond Kama mtaji ktk mzk muache baraka awe real msituletee mahaba yenuu
Huongopiii kabisa
Choka mbaya Ali Kiba hawezi kukupa kiki
Barakah siaseme tu situnajua bifu likoje yeye anafcha wakat anaumia kila SKU,naaonesha kabsa kuw anaugomvi ne
Waafrica wengine wanajichukiyakweli, how can u ask such a stupid question? Eti ange badilisha rangi ya ngozi atapata endorsements. That was insulting. I would stop the interview if it was me.
Not 'If I was me...' sema ivi ' If I were me'
Tunakumbushana tu najua hizi lugha siyo zetu
@@magidachimija5599 ona sasa ujinga, eti "if I were me🤣" I blame yr English teacher.
@@thierrybisimwa3312 🤣🤣
That's y is not you😁
@@magidachimija5599 😆😆oya kapige msuli wa tense embu,hamn kutu umefanya apo 😆
Hilo swali la rangi ya ngozi lipo offensive sana umewataja na majina kabisa
Kabisa huyu manzi ni unethical
Yan nyie wote wapuuz mwanzo wa mahojiano unaanza na kumdis Mario na mabantu iv wew mtaangazaji gan unazan Kuna siku utawahoji mabantu au marioo utawahoji ao ao wanaotukan kaka zao
Unajua tatizo la afya ya akili linaendelea kwa vijana wengi sana. Tumwombee
Nikwer 😅😅😅😅😅
Kama mgonjwa linavoongea😅😅😅😅
Alikiba ana bifu na ww ila una lazimisha upokelewe simu kuwa kama mtoto wa kiume acha kulilia mbeleko kaka si uliamini wcb wanaweza kukufikisha upatakapo ukaanza dharau aliye kusaidia vp mbona walalamikia sana kiba
Hapa Kenya twamtambua Alikiba ila huyu cheusi mangara ndio nani????
Yaani unavyozidi kumchukia king kiba na rangi yako inazidi kupauka.
Wew ndo unaakili kweli fala ww
Baraka upo juu ww ndo icon ya Mwanza
Kayumba msanii mpya sio😂😂
Ila jamaa anachetuka vibaya kawa haeleweki ata akitoa kazi kama ep or album zote zinakuwa mbovu 🙄
♥️ ! #Ljaystunner #LuckyHavana #LjayKitchens #NyamaChoma
Hahaha mbona anamelemeta na rangi yake
hunipendi lakin mi cjali
Mi nikajua ambaluti hiyo minywele
Kabaya
Baraka nakumbali
Anachamaa
Umechoka hatar umenyanyua kichwa kama nyoka anataka kugonga mtu hovyooo
Choko wewe huna mpya
mbengo plz naomba mnitafute nna tukio sio la utani
0712334444
chizi huyo ajitambui kki
Ww ni mupumbavu baraka hauna akili unamatope kichwani mwako
Tatizo walimdanganya akajiona yeye ni mkubwa kuliko alikiba asee huyu jamaa angekuwa Mbali mno mana jamaa alitokea kumkubali sana alikuwa akienda nae mpaka marekani uingereza lakin sikio la kufa alitosikia dawa yamemkuta yalomkuta pnc
Sasa Mungu kakuumba ivo izonywele
Mana rangi umesema Mungu ajakuumba ivo nywele je?
Mambo Ya kutoelewana Kati yahao washikaji me siwezi ongea cocote.kwasababu sijui mumakosa gani yaliyo fanyika kat ya Alkiba ao baraka.
Sasa mbona Baraka hasemi alichokosewa na Alikiba Kama Sio Mnafiki
Haaa blogger zina lazimisha cnaaa vitu visivyo
Huyu jamaa mshamba tu
Wewe mtangazaji nauyo muimba mchiliku amna akili wote kila siku mnsmzungumzia kiba amna stoli zingone
Alafu huyu kashaungua
Nani kaungua?
Suala la kuugua ukiwa na akili timamu si la kumzodolea mtu! Siku ukiugua gonjwa lolote utajutia kiburi chako!
Miwani Kama fundi mageti pumbavu wewe
Duuuuuu
Kama kidem iv
He is not a gentleman.
Ubakie kwenye hii colour🙆🏽Africans are doomed m obsessed with colorism
Mbona huyu Baraka anakonda tu kila uchwao
😂😂😂😂😂
daaah kakonda sana jamani
Uhakik
Hana lolote unataka uzungumziwe tu
Sasa mtu Aende dm ya baraka kwakweli anatafutanini?mtuwenyewe amekaa kutukana tukanatuu
Mbengo huyu dogo anaumwa uyu mkampime ongea gani anayo ongea hio khaa king ni mmja tuu
Baraka uweus unamsimbua Kama mkaa ulio lowana na mvua
Hv Baraka ndo nani lkn Kiba namfahamu
#TAZAMA UKWEELI WOTE HUU HAPA ruclips.net/video/n__u94VBBPg/видео.html
Laana😒
Unajua kuimba Baraka na safi sn kwa kumtolea uvivu huyo kumaa kibakuli
He is a gay