Nimeipenda bureee hii story yake kwa kweli...hongeraa dada Catherine...na subiri muendelezo....hongera pia Kaka lslam kwa Kumuezesha dada cath kutimiza malengo yake💞
Poleni Sana sister Catherine Kwa changamoto uliopitia hasa kutupua changa lasimba wanyama wapolini I feel so sorry for you dear sister I'm watching you from Nairobi
Hivi niko nili tamani trailer but marafiki madriver wako na ugumu wa kumwachia mtu gari. Nina endesha mguu kumi ingawa niko na ujuzi wa trailor but nina hitaji mtu wa ku ni vusha kwa trailor. Niko kenya mombasa. But inshallah niko na imani nita fanya kazi ya trailer
Ili dhahabu ipate thamani halisi/kubwa, ni lazima ipite kwenye moto. 👉Huku duniani, watu wenye uthubutu wa dhati na wanaoongozwa na Mungu, ndiyo wanaofanikiwa na kuvuka(kutoboa) kwenye maisha.
Interview yako imependeza sana na unastahili kufika ulipo maana mwalimu wa tano mr Mathew alichokufundisha na ukazingatia hiyo ndio iliyokuwa dawa yakukubarika nakuvumiriwa na wengine..
Sister kwanza pole sana kwa changamoto ulizopitia na pia ongela sana kwa kushinda mitiani na sikuzote shetani hajagi na pembe ilitu muogope bali anakuja kwaajili ya kuhalibu kazi ya MUNGU . Lakini mshulu MUNGU kwa yote ila yakupasa kujishusha na kuludi katika familia yako kuomba msamaa kwa kilicho tokea japokua wao ndio wana makosa na pia ndoa ya ki Kristu haivunjiki mpaka mmoja apumzike ndipo utakua hulu Naomba uludi kwa mmeo msameane mjenge maisha ita pendeza sana Pongezi kwako kwa kujisimamia ubalikiwe sana Sister
Shukrani dada kwa maelezo lakini yalinipata lakini tofauti kabisa. Nilimwambia Dereva anayeitwa Juma akiendesha Fiat Tipper yenye ridota. Nilikuwa kijana wa miaka 20 na nalikua najua mambo ya magari kwa theory na nilikuwa nahakikisha najua kinachotendwa na maderva. Nikamwambia Juma, kwa nini huwa haunipi gari niliendeshe? Akanijibu hujawahi kuniambia unajua kuendesha. Basi alinipatia gari na ilikuwa jioni lakini nilipokuwa nabadilisha gear alisikia siachilii eccelarater vyema akasema ondokea accelarater. Kwa hivyo, sauti aliisikia nilipotoka gear No 2 kuingia No 3. Aliposema hivyo niliondokea accelarater vyema na nikawa nafanya h8vuo kwa gear zote pamoja na redota na nikawa naendesha kwa spidi ya 30 mph. Usiku ukaingia nikawasha mataa vyema na akaona napiishana na magari vyema. Kwa hivyo akatulia. Lakini nilifika kwa T Junction nikabadilisha gear vyema lakini kabla sijasimama ili kupisha gari lililokuwa linakuja Fiat ilizimika. Nikajaribu kukanyaga break nikaona bado halisimami. Nikamwambia juma mbona halisimami? Akjibu break yake ni hydronic. Na nilkuwa najua hili gari halina self start. Likizimika itakuwa shida.Basi kwa kuwa hapo mbele palikuwa ni mtaro wa culvert nikaamua kukata stearing ili niende kushoto kabla ile gari inayokuja haija nifikia nikiwa katika hali hiyo ya ukosefu wa control kwa break. Nilipojaribu kukata stearing ikawa ngumu kama mawe. Nikamwambia juma. Mbona stearing imekuwa kama mawe? Akajibu hata nayo ni hydronic. Basi niliiweka gear No 3 na kuachilia clutch haraka huku nimefinnyilia kijiko. Lo....lilinguruma kama Simba. Na kwa kuwa nilikuwa nakata kushoto stearing ilibadilika na kuwa kama nyepesi sana. Basi lilielekea ukingoni na kikalisimamisha na kuliweka free na kuweka handbrake. Juma akaniuliza. Swaleh ni nini? Nikamjibu njoo uendeshe hili gari. Wakati ule nimepatwa na uoga mkubwa. Basi alirudisha reverse na tukaendelea akaniteremsha kwetu nae akarudi kwao kule tulikotoka. Baada ya wiki nilimkuta Juma anapakia kokoto akaniambia njoo. Nikapanda gari tukawa tunaongea kwa cabin. Akaniuliza, ulifanya nini siku ile? Nikawambia, acha nikueleze. Akasema, ehe... nikamwambia sijawahi kuenendesha gari. Hiyo ndio mara yangu ya kwanza. Akaona ajabu. Akanuambia, ulionekana kama ambaye umeendesha mwezi mzima hivi. Nikamjibu hiyo ndio mara yangu ya kwanza. Kisha gari lilijaa kokoto na akaondoka nikiwa ndani. Na hapo palikuwa ni mteremko wa kilomita kama 3 hivi. Na barabara ni ya mchanga. Basi gari lilikuwa linayumba yumba kwa uzito wa mzigo. Akasema, njoo hapa nyuma. Nikaja. Sijakaa vyema akaachilia usukani staili,, uendeshe gari au uliache lielekee mwituni. Nilishika usukani na kukaa vyema. Basi tuluenda kama km 10 huku akisema, achilia mafuta, ninaachilia. Akusema punguza mwendo ninapunguza. Akisema badilisha gear nabadilisha. Siku ya tatu aliniambia, chukua gari ukalete mchanga. Nikaenda peke yangu na nikaleta mchanga na kuumwaga unapofaa kwa kuinua Tipper. Tangu hapo aliniambia nenda ukachukue license
Story ni nzuri lkn ungeiunganisha ikawa moja halafu ukawa una muacha asimulie vizur bila kumkatisha,,,raha ya story inatakiwa uwe msikilizaji mzuri...big up mwandishi msomi
Huyu si mwanamke kamili hana jinsia mbili ila hana hisia kama mwanamke kamili ndiyo maana aliachana na mume wake na akutembea na madereva bali ana jisikia vizuri akiwa na wanaume kutia story tu 😢🤔
Wadau kwenye sehemu ya nne, pale kwenye kalvati, kuna kitu hakijawa sawa wale watu wa mali asili walijuaje kama kuna mtu chini ya kalvati? Na ilikuwa ni saa ngapi? Au mwandishi ameeditid vibaya?
Mashallah lslamu good Muslim mwenyezi mungu akupe maisha marefu
I have never cried before, but this one has made me cry,, but I say congratulations my sister Cathy wewe ni shujaa kweli.
Hii imenigusa salute kwako dada na kwa huyu dereva. Nyie ni mfano wa kuigwa.
Islam Mungu akutunze na UZAO WAKO MILELE
Amen
Wonderful story big kolomba for nice story and also Catherine your a strong woman big up mamaaa
Islam Mungu akubariki na uzao wako
Duh.....hii kweli ni Unique story, hongera sana Bi Catherine Sanga big up sana🖐️
Hongera Dada Katherine Sanga. Mwanamke anaweza.
Nimeipenda bureee hii story yake kwa kweli...hongeraa dada Catherine...na subiri muendelezo....hongera pia Kaka lslam kwa Kumuezesha dada cath kutimiza malengo yake💞
Catherine hongera sana dada wa jina la mwanangu
Mashallah Islam Mungu akulipe Kheri
Islam mungu ambariki sana! Uzao wake ukawe na mafanikio
yes man
Masha Allah, Mr Islam big up bro, God bless you like your name.
Dah! Story nimeipenda sana
Asante dada kwakutokata tamaa
Hongera sana kwa ujasili
Poleni Sana sister Catherine Kwa changamoto uliopitia hasa kutupua changa lasimba wanyama wapolini I feel so sorry for you dear sister I'm watching you from Nairobi
Aisee, pole Sana dada
Kaka mungu akujaalie maisha marefu utalipwa namwenyezi mungu
Hongera, siyo wanaume wote wanao tamani kila mwanamke hususana inje ya ndoa
Hongera sanaa catharine pia hongera isilam
Nimekupenda sana dada. Mungu akulinde zaidi
Pole sana kuifikia ndoto ni changamoto sana hii ndo maana halisi ya mwanamke ongera sana 🙏 mungu akubariki
Kweli mungu amubari Islamu kwaku ku saidia dada na yule baba
Amen .Mtumishi wa Mungu naendelea kujielewa.
Mungu akusaidie sana ili udumu katika kuendelea kujielewa.(Keep it up)!
Pole Sana kwa changamoto izo
Mungu amekutunza Sana hongera sana
Sema mtangazaji una maswali mengi katikati ya story hadi unaharibu utamu wa show yako... Hebu fanyia kazi ushauri wangu
Ni story nzuri, napenda ningeongea na Catherine Sanga
super woman 👍 be blessed Islam for wonderful women empowerment.
Story ya huyu dada imenifundisha Sana,ukiwa unahitaji ki2 usikatishwe tamaa
Nikweli kbsa mm pia nilikatishwa tamaa na wtu wengi ktka kzi yngu nshukuru mpka ss npo kwenye kzi yngu sijasikiriza mtu
Mashaallah ❤❤
God bless Islam for helping this soul (Islam ) means peace ana match kabisa
Hivi niko nili tamani trailer but marafiki madriver wako na ugumu wa kumwachia mtu gari. Nina endesha mguu kumi ingawa niko na ujuzi wa trailor but nina hitaji mtu wa ku ni vusha kwa trailor. Niko kenya mombasa. But inshallah niko na imani nita fanya kazi ya trailer
Hongeraaa my dear M/ MUNGU na akutangulie katika yote
Iklam chukua maua yako ❤❤❤❤❤❤❤❤ love u so murch nakuombea sana kwa huo moyo ulokuwa nao
Duuh kweli umepitia mengi dadaangu kwanza hongera sana
mashaallh 👏👏👏👏
Mwanafunzi ulisoma elimu ngumu, hongera hujawahi kata tamaa
Ili dhahabu ipate thamani halisi/kubwa, ni lazima ipite kwenye moto.
👉Huku duniani, watu wenye uthubutu wa dhati na wanaoongozwa na Mungu, ndiyo wanaofanikiwa na kuvuka(kutoboa) kwenye maisha.
Congratulations super hero
Hongera sana dada
Islam be blessed.ubalikiwe sana
Wow I like that I like to be driver bt one dy i believe
Mtangazaji unaharibu story unadandia kwa mbele mno
ISLUM BIG UP
Huyu mtangazaji aliharibu sana mazungumzo ya yule rubani wa ndege ya air Tanzania iliyotekwa.
Really woman stronger
Mtangazaji punguza mdomo tusikilize
Interview yako imependeza sana na unastahili kufika ulipo maana mwalimu wa tano mr Mathew alichokufundisha na ukazingatia hiyo ndio iliyokuwa dawa yakukubarika nakuvumiriwa na wengine..
Noma sana
Hongera sana sister
Mungu hufanya njia pasipo na njia, na anakupitisha katika mapito fulani, ili uwe somo na kwa wengine
Hongera dada
Jaman Da Catherine nifundishe na mm kuendesha gari
Waaaa hii kali sana
Sister kwanza pole sana kwa changamoto ulizopitia
na pia ongela sana kwa kushinda mitiani na sikuzote shetani hajagi na pembe ilitu muogope bali anakuja
kwaajili ya kuhalibu kazi ya MUNGU .
Lakini mshulu MUNGU kwa yote ila yakupasa kujishusha na kuludi katika familia yako kuomba msamaa kwa kilicho tokea japokua wao ndio wana makosa na pia ndoa ya ki Kristu haivunjiki mpaka mmoja apumzike ndipo utakua hulu
Naomba uludi kwa mmeo msameane mjenge maisha
ita pendeza sana
Pongezi kwako kwa kujisimamia ubalikiwe sana Sister
7777iullolm
Mwandishi msomi Big up Sana Brother, Columbus le Babaziiiii
hv huyo mtangazaj asomag comment km akisoma ajue tu anazingua sana
Dada mzuri sana huyu,lazima vijana wajiongeze.
Maelezo yote hayo Mungu anajua maama sisi ni wanadamu wazaifu ila Mungu atuepushe na majaribu.
Tumeni sehem ya 6
Pore sana dda
Good
Daa islam is from heaven....
Never give up
Mungu ni mwaminifu mnoooo,akiamua kukunyanyua hata itokeee nini lazima itokeee tu
“Mungu ni mwaminifu mnooo”,😊nimependa ulivoweka msisitizo huo
Shukrani dada kwa maelezo lakini yalinipata lakini tofauti kabisa. Nilimwambia Dereva anayeitwa Juma akiendesha Fiat Tipper yenye ridota. Nilikuwa kijana wa miaka 20 na nalikua najua mambo ya magari kwa theory na nilikuwa nahakikisha najua kinachotendwa na maderva. Nikamwambia Juma, kwa nini huwa haunipi gari niliendeshe? Akanijibu hujawahi kuniambia unajua kuendesha. Basi alinipatia gari na ilikuwa jioni lakini nilipokuwa nabadilisha gear alisikia siachilii eccelarater vyema akasema ondokea accelarater. Kwa hivyo, sauti aliisikia nilipotoka gear No 2 kuingia No 3. Aliposema hivyo niliondokea accelarater vyema na nikawa nafanya h8vuo kwa gear zote pamoja na redota na nikawa naendesha kwa spidi ya 30 mph. Usiku ukaingia nikawasha mataa vyema na akaona napiishana na magari vyema. Kwa hivyo akatulia. Lakini nilifika kwa T Junction nikabadilisha gear vyema lakini kabla sijasimama ili kupisha gari lililokuwa linakuja Fiat ilizimika. Nikajaribu kukanyaga break nikaona bado halisimami. Nikamwambia juma mbona halisimami? Akjibu break yake ni hydronic. Na nilkuwa najua hili gari halina self start.
Likizimika itakuwa shida.Basi kwa kuwa hapo mbele palikuwa ni mtaro wa culvert nikaamua kukata stearing ili niende kushoto kabla ile gari inayokuja haija nifikia nikiwa katika hali hiyo ya ukosefu wa control kwa break. Nilipojaribu kukata stearing ikawa ngumu kama mawe. Nikamwambia juma. Mbona stearing imekuwa kama mawe? Akajibu hata nayo ni hydronic. Basi niliiweka gear No 3 na kuachilia clutch haraka huku nimefinnyilia kijiko. Lo....lilinguruma kama Simba. Na kwa kuwa nilikuwa nakata kushoto stearing ilibadilika na kuwa kama nyepesi sana. Basi lilielekea ukingoni na kikalisimamisha na kuliweka free na kuweka handbrake. Juma akaniuliza. Swaleh ni nini? Nikamjibu njoo uendeshe hili gari. Wakati ule nimepatwa na uoga mkubwa. Basi alirudisha reverse na tukaendelea akaniteremsha kwetu nae akarudi kwao kule tulikotoka.
Baada ya wiki nilimkuta Juma anapakia kokoto akaniambia njoo. Nikapanda gari tukawa tunaongea kwa cabin. Akaniuliza, ulifanya nini siku ile? Nikawambia, acha nikueleze. Akasema, ehe... nikamwambia sijawahi kuenendesha gari. Hiyo ndio mara yangu ya kwanza. Akaona ajabu. Akanuambia, ulionekana kama ambaye umeendesha mwezi mzima hivi. Nikamjibu hiyo ndio mara yangu ya kwanza. Kisha gari lilijaa kokoto na akaondoka nikiwa ndani. Na hapo palikuwa ni mteremko wa kilomita kama 3 hivi. Na barabara ni ya mchanga. Basi gari lilikuwa linayumba yumba kwa uzito wa mzigo.
Akasema, njoo hapa nyuma. Nikaja. Sijakaa vyema akaachilia usukani staili,, uendeshe gari au uliache lielekee mwituni.
Nilishika usukani na kukaa vyema. Basi tuluenda kama km 10 huku akisema, achilia mafuta, ninaachilia. Akusema punguza mwendo ninapunguza. Akisema badilisha gear nabadilisha. Siku ya tatu aliniambia, chukua gari ukalete mchanga. Nikaenda peke yangu na nikaleta mchanga na kuumwaga unapofaa kwa kuinua Tipper. Tangu hapo aliniambia nenda ukachukue license
Mtangazaji anaharibu story...!!!???
Dada mimi ni Islam nakukumbuka sana dada yangu ubarikiwe
ahaha Islam wa Mchongo
Story ni nzuri lkn ungeiunganisha ikawa moja halafu ukawa una muacha asimulie vizur bila kumkatisha,,,raha ya story inatakiwa uwe msikilizaji mzuri...big up mwandishi msomi
Akimzungumzia islam kuna haiba flan hivi Islam alikula mzigo kwa sababu alimpenda wengine hakuwapenda mwanamke akipenda hutumiii nguvu
Nakubaliana na wwe jamaa kalamzigo
Taarifa tutamfikishia
She says no coment!!!!
Tani mia mbili mhuuu
Story yake nzuri sanaaa
Yani huyu dada ninge mpata mimi ninge mfundisha wakiwa na mtoto wangu wa kike natafuta mwingine nikae naye akiwa na mtoto wangu
Kwenye maisha hutakiwi kukata tamaa
Mtangazaji unanifurahisha maneno yako
Lakin alikukula huyo wa 6 sure
Sehemu ya 6 mnitag
Huyu si mwanamke kamili hana jinsia mbili ila hana hisia kama mwanamke kamili ndiyo maana aliachana na mume wake na akutembea na madereva bali ana jisikia vizuri akiwa na wanaume kutia story tu 😢🤔
Tomboy sio
Dada jasili hy kongore kwake
Kuna wanaume wana utu sana.
Mashallah, hatariiii wewe ni super women Dadaangu.
Islamu alikula hapo hakuna namna
Mwandishi umezingua unaingilia mazungumzo sana unaharibu mada mbona dada anaweza kujielezea vizuri kwanini usimuache atuelezee
Ako kimbelembele sana
Ok
Jamaaa anazingua huyu maswali
Kila sec 10
Leta 6
Mtangazaji anazingua maswali yakijinga acha m2 aelezee mwenyewe
😂 😂 😂
Ww mtangazaji una maswali ya kumkatiza katiza story
mtangazaji unazidisha maswali
umepambana ila kuna funzo umeliacha mungu amekuletea islam kwann usisilimu hujaelewa tu
Ila mtangazaji tulia kidogo
Wadau kwenye sehemu ya nne, pale kwenye kalvati, kuna kitu hakijawa sawa wale watu wa mali asili walijuaje kama kuna mtu chini ya kalvati? Na ilikuwa ni saa ngapi? Au mwandishi ameeditid vibaya?
Stori imechachuka bwana na msimuliaji nimotoo
Afu na nyie wanaume hizi tabia zenu, Mnaachana na mwanamke afu mkiona kafanikiwa mnamrudia! Mwache sawa! Jiamini kama mwanaume!
Wandishi msomi, tunasubiri sehemu ya sita. Mbona haiji?
Tan 200 tumepigwa nakitu kizto hakuna gar inayobeba tan 200😅😅😅
😂😂😂😂😂😂😂
Kwa kweli hakuna kitu Kama hii
Volvo inabeba tani 750. Sema Sheria haziruhusu kubeba tani hizo kwa Tanzania
Catherine hapa funguka tu Islaam nyota iliendana
Wariyo simamishwa kazi na waziri mkuu