MTANZANIA AKWAMA CONGO - BOSI WAKE AMTUPA GEREZANI KUMKOMOA - IKIPATIKANA LAKI 4 ANARUDI BONGO...

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 ноя 2024

Комментарии • 52

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  Месяц назад +4

    MPIGIE DR.JJ.MWAKA SASA KUPITIA 0758 100 100 na 0785 100 100 UPATE MSAADA WA KITABIBU KWA GHARAMA NAFUU.

  • @MfiriFulgensi
    @MfiriFulgensi 28 дней назад +1

    Pole mama

  • @lightmoshi3131
    @lightmoshi3131 Месяц назад +8

    Yupo gereza gan jmn?sisi tupo congo tuweze kumsaidia

  • @FatumaSaid-t4r
    @FatumaSaid-t4r Месяц назад +1

    Jaman ni mahangaiko kweli.Tumshukuru Allah kwa neema ya afya

  • @basumegheMbotwa
    @basumegheMbotwa 28 дней назад +1

    Pole sana

  • @AdamOman-n2s
    @AdamOman-n2s Месяц назад +1

    Pole sana mama mamaetu samia amekusikia inashallaah🙏🙏

  • @SalamaJuma-s8e
    @SalamaJuma-s8e 10 дней назад

    Mungu isaidie iyo familia ww ndio mwanzo mwishoo

  • @umarwa6915
    @umarwa6915 25 дней назад

    Inauma sana

  • @umarwa6915
    @umarwa6915 25 дней назад

    Jaman duuu

  • @Mwanatanga
    @Mwanatanga Месяц назад +3

    Hyoo kampuni hafai kufanya KAZI kwa vijana wa ktzania

  • @RamadhaniKitala-gx6wc
    @RamadhaniKitala-gx6wc Месяц назад +3

    Sasa hao watu wanaotaka hati ya kiwanja alafu wataenda kulala wapi mbona watz utu ni mdogo sana why

  • @MohammedAmour-nf9wq
    @MohammedAmour-nf9wq 29 дней назад

    Hii sio sitor ata mim yame sha nikuta kama hayo boss wangu alitaka kuni funga msumbiji kwa uwezo wa mungu nika kimbia

  • @DanielLikangaga
    @DanielLikangaga 28 дней назад

    Kongo sehem Gani maana Kuna upande wa goma ,karemii kupitia kigoma na Lubumbashi na gereza gani

  • @bahatimellita6619
    @bahatimellita6619 Месяц назад +2

    Duuu hii Dunia tunapitia shida duuu

  • @firdaus7428
    @firdaus7428 Месяц назад +3

    Serikali yake lazima ikamtoe gerezani imrejeshe Tanzania.serikali inayo haki ya kutetea Raia wake .

  • @AlHamra-k4u
    @AlHamra-k4u Месяц назад +1

    Mmmh wallah hawa matajiri wa malori matapeli wanyantasaji hawawalipi kitu.

  • @saidalhinai1131
    @saidalhinai1131 23 дня назад

    Na mkipata hizo pesa ni bora kilipia kupitia ubalozi wa congo uliopo hapa maana matapeli wengi

  • @Jane-h1f6s
    @Jane-h1f6s Месяц назад +1

    Kampuni ya hovyo sana na ma boss wanaroho mbaya sana

  • @christaoman8890
    @christaoman8890 Месяц назад +1

    Matajiri wengine wanathamini magari yao tu kuliko binadamu mwenzie mtihani kwa kweli Mungu amsaidie kijana atoke awasaidie wazazi wake

  • @RenaldaZeramula
    @RenaldaZeramula Месяц назад +2

    Ina.maana ubarozi wants KONGO staff mmoja amekosa laki 4 tuuuuuu, au mln 4. Ndio.maana kiboko ya wachawi anatutukana

  • @kennethbenjamin275
    @kennethbenjamin275 Месяц назад +2

    Hawa matajiri wa malori huwa wana roho mbaya sana ukingia kwenye 18 zao

  • @BizzBoy-g4o
    @BizzBoy-g4o 27 дней назад

    Hiyo sio kampuni inashindwa na kikindi cha vikoba.

  • @kennethbenjamin275
    @kennethbenjamin275 Месяц назад +2

    Hiyo kampuni inaitwaje

  • @mussaelias3535
    @mussaelias3535 Месяц назад

    Huyo tajiri ajitafakali sana machozi ya family hiyo hayatamuacha salama

  • @MfiriFulgensi
    @MfiriFulgensi 28 дней назад

    Tajir matatizo makubwa usitume watu fata mwenyewe

  • @MfiriFulgensi
    @MfiriFulgensi 28 дней назад

    Mshahrlakitatu mzigo hadi bilion na wanafikisha mashida ya njia wengine wakumbana mpaka na waasi wakitakakupora mizigo wanapambana nao had wengine kuuliwa na magenge njian ukiacha ajali kwenjia mbovu na magari yenu mabovu

  • @aishajuma7813
    @aishajuma7813 Месяц назад +3

    Ubalozi utusadie

  • @jomba6514
    @jomba6514 29 дней назад

    Itaje iyo kampuni yenye roho mbaya

  • @MfiriFulgensi
    @MfiriFulgensi 28 дней назад

    Hao mashetani hawakumwona hata huyo mzee anavyosota hapo na mtoto ndio uhai wake mashetani mlimpa mzigo wa beigani na umefika salama alafu unamtelekeza mtu afie nchi za watu du

  • @Neema935
    @Neema935 Месяц назад

    Hakuna nchi isiyo na sheriya, ila kila nchi na sheriya zake. Ungelisema kuwa, sheriya ya Congo siyo kama ya Tanzania hapo ningekueewa vizuri sana . Pole tena ndugu kwa matatizo mazito , ila Mungu atatenda na atafunguwa njiya. Na wafata toka Congo.

    • @rajabuyusufu4790
      @rajabuyusufu4790 29 дней назад

      Dada wew mpe pole tu muhusika huko nikuchanganyikiwa vaa tu kiatu chake uone dada wala usijaji

  • @aishaabrahaman9957
    @aishaabrahaman9957 Месяц назад +3

    Laki 9 mpewe hati ya kiwanja kuna watu wabaya sana

    • @mithlaabdulrahim8566
      @mithlaabdulrahim8566 Месяц назад +2

      Nd apo....wanaona wa2 wajinga.... kiwanja kweli kw laki 9😢 mmnnhhh binaadam hawana utu looh

    • @edithaeugeni9695
      @edithaeugeni9695 Месяц назад +1

      Hakuna hata ubaya ndugu yangu pesa namali zinatafutwa na zinapatikana kama wao kweli wangekuwa na wema basi wangetowa hyo hati mtoto wao akarudi lakini wameshindwa kujali utu wakajali mali wewe fikiria tangu mwezi wa5 mtoto ana teseka tu na mama bado amekumbatiya karatasi 😏Ndomaana kalilia kwenye khanga maybe ata machozi hayajatoka😂😂😂😂

    • @siwonikewilliam9146
      @siwonikewilliam9146 Месяц назад +2

      Matajiri wana roho mbaya sana ameona bora watume dereva mwingine kuliko kumlipia dola 150 ili atoke gerezani

    • @NamiriNamiri-oz4xs
      @NamiriNamiri-oz4xs Месяц назад +1

      ​@@edithaeugeni9695fikiri kabla ya kusema haya watatowa hati mtoto atarudi akirudi watapata wapi pesa ya kurudisha nyumba yao unataka wakalale barabarani??

  • @LilianPhilemon
    @LilianPhilemon Месяц назад

    Atarudi tu mwamini Mungu mamangu

  • @RaphaelKapesa-x6g
    @RaphaelKapesa-x6g 23 дня назад

    Kwani kazi ya ubalozi nikufanya nini?kwahiyo uyo balozi anawakilisha nini

  • @Neema935
    @Neema935 Месяц назад

    Wa fungwa wanaudumiwa chakula ila siyo kama mtu huru
    Tangu mwezi wa nne mpaka sasa, bila kupewa chakula , hapana nyoosheni misemwa ndugu zangu.

  • @Neema935
    @Neema935 Месяц назад

    Sasa viskuti na mandazi, kayatowa wapi na yeye ni mgungwa wa kujitegemea ??

  • @temuramadhani5134
    @temuramadhani5134 Месяц назад

    Akuna faida ya kua na balozi

  • @greysonmlowosa9551
    @greysonmlowosa9551 Месяц назад

    Huyo tajiri atakua anatokea ukoo wa shetani na sizani kama ni binadamu wa kawaida huyo tajiri .

  • @smallscaleminingsupplies9670
    @smallscaleminingsupplies9670 Месяц назад

    Mi nimekaa wiki jimbo la kivu ya kusini Congo kwa wiki moja tu kwa niliyo yaona, sijui jela za huko zinafananaje

  • @mugishamajeba9628
    @mugishamajeba9628 Месяц назад

    Sasa balozi kweli anawakirisha inchi kweli ana raki akamutoa mutanzania mwenzake jameni ata akitumia cheo chake uyo sianataka maana ajaiba jameni

  • @roswitaexavery3378
    @roswitaexavery3378 Месяц назад

    Samia kifo nikifo wewe unasema akusaidie Samia teeeee teeeee wewe omba kwawatanzania usimuhusisha Samia unaharibu unakuwa Kama zuchu alipoenda mbeya badala afate kilicho mpeleka yeye akaanza kusema nipe tano yamama kilichompata anakijua Sasa nawewe sema watanzania wakusaidie huyo mwingine usimwingize

  • @MamgazaYohana
    @MamgazaYohana Месяц назад

    Yani baba mgonjwa mtoto mtafutaji kafungwa jamani

  • @mzeeHarubu
    @mzeeHarubu Месяц назад +1

    Vumilia tu mzee wachia hao

    • @mzeeHarubu
      @mzeeHarubu Месяц назад

      Hiyo no yenu ukipiga haipokelewi weka no ya ihakika tu aogopa

  • @temuramadhani5134
    @temuramadhani5134 Месяц назад

    Matajjili awnawema

  • @omanoman2044
    @omanoman2044 Месяц назад

    Laki 9 watuy wanashidwa kutoa ya mwez mmoja msitoe hat yakiwanja nyie ni wajinga san hat yakiwanja duuh