...pindi likianza linasema "LAKINI PIAA WANATAMANI KUJUA MAISHA YA MASTAA WAO" .....ila sasa hivi unatuekea prank ndo nn sasa ndugu yangu...turudishie wasanii bwana
Nimecheka jamani, ilinitokeaga niliokotaga 500 nikiwa darasa la3, msaada wa darasa la 6 alikuwa nyuma yangu, akasema naye ameona inabidi tugawane nikakazaa, baadaye akaniletea lasita zima kila mtu anasema ukiokota na mtu akaona basi naye anasitahili gawio uwii wakachukua ela yangu wajinga Wale🤣🤣🤣
Ila munaboa Ile mbayaaaaa 🥴🥴 Hii clip ya Mtu mmoja inachukua Kipindi karibia kizima, kaangalieni wenzenu wanavyofanya, wanaweza kuwapitia Watu hata 14 Kwa Kipindi kimoja, Editing pia haiko sawa kabisa... Kuunganisha matukio🥴🥴🥴 Camera ndogo za kuwaleta karibu Ili tuone facial expressions zao zipo, munazoom mpaka inaboa.. Kajifunzeni Naswa Prank
Unatisha mo town sanya😂😂😂😁😂 hali ngumu mbaka watu sana zingua kutoa ata buku🙌🙌🙌🙌🙌🙌👈👈👈👈👈
Big up bro am from Kenya na niko Dubai
Your creative with a good heart more life bro sanya ipo sikuu nitakam Tanzania 🇹🇿 juu yako
Big up montan sanya and all cruel in wasafi mwatishaaa May Allah bless you and add you more for that you give little much love from🇰🇪🇰🇪
Tunakutegeme mwambaaaaaa motown sanya haujatuangushaaaaa💪💪💪
Noma sana
Mmasai anajiamini uyo atari sijui alijua kunamihela yaani mmm bandigu uyoooo
Motown sanya nililumis bro ahsante sana bro nachekaga mno kwenye pindi lako
haibu kweli kweli 😄 🤣 😂 😆 yani mtu anakaza kweli. masai katisha
Thats is the best
...pindi likianza linasema "LAKINI PIAA WANATAMANI KUJUA MAISHA YA MASTAA WAO" .....ila sasa hivi unatuekea prank ndo nn sasa ndugu yangu...turudishie wasanii bwana
Ila Huyu baharia angekupa bana kama picha ingekuwa yako, maana alikuwa muaminifu sana. No1, bado naendelea kuangalia
Shoo kubwa Sana Tena sana
Nimempenda masai jamani wekeni namba nimsalimie 😜
Tajiri wa kwanza kakaza😂😂😂
Ubanifu unapungua broo... Rudisha Ubunifu Ule Wa Mwanzo
Kipande Cha mwanzoni sijakielewa kabisaaaa.. musingeweka Tu🥴
Aman sana mo town sanya.
Ila huyu mmasai kha😂
Jifunzeni uaminifu hili ni funzo kwetu unapookota kitu cha mtu mpe mwenyewe
Big up bro
Mi masai
Mo sikuizi hakuna biti iiyoshiba kwanini?
Hii Iko sawa I say😄😄😂
Noma
Live now
😂😂😂😂😂😂 ila siku kitakukuta kitu yaani litakukuta jambo
Ajali kazini lazma😂
Asa ndo kuishiwq ubunifu au mbona mmeanza utoto
Kadoshe pochi alafu iweke picha ya msaniii yoyote alafu wambie ni msanii
Moo taonieee umezingua Kuna pisi imepita hapo cjamuona vzr amavipi mrudi mshuti Tena niinjoi wowowooo kapiga surual ya bluu
🤣🤣🤣
@@husnahabityhabity9517 🙈🙈🙈🙈
Masai katisha asee 🤣
Nimecheka jamani, ilinitokeaga niliokotaga 500 nikiwa darasa la3, msaada wa darasa la 6 alikuwa nyuma yangu, akasema naye ameona inabidi tugawane nikakazaa, baadaye akaniletea lasita zima kila mtu anasema ukiokota na mtu akaona basi naye anasitahili gawio uwii wakachukua ela yangu wajinga Wale🤣🤣🤣
😅😅😅😅 inafundisha sana
Kipindi chako ni noum ila Sasa umekosa ubunifu lbd ungejitahd urud Kam mwanz au zaid uongez ubnf
Nice
Hivi kinaonyeswaga sangapi hiki kipind
Dah ila we jamaa😂😂😂
Kuna huyo mrembo aliyepita hapooo aisee
💪💪💪
Umeishiwa ubunifu we jamaa, asa iyi content c ulishatuletea last week ama???
Andaa nawewe kipindi chako sio kuponda ....
Tumeomba irudiwe
Muuni kakaza fuvu😂😂
Ongeza ubunifu kka kiwango kinashuka kawaida sna
Ila munaboa Ile mbayaaaaa 🥴🥴
Hii clip ya Mtu mmoja inachukua Kipindi karibia kizima, kaangalieni wenzenu wanavyofanya, wanaweza kuwapitia Watu hata 14 Kwa Kipindi kimoja, Editing pia haiko sawa kabisa... Kuunganisha matukio🥴🥴🥴
Camera ndogo za kuwaleta karibu Ili tuone facial expressions zao zipo, munazoom mpaka inaboa..
Kajifunzeni Naswa Prank
Nenda huko kaktuma nani huku haters wa Wcb
Wenzao akina nanii wee naye acha izoo
@@Saidkhel the 🤣🤣🤣yani anamijidogo huyu jamaa
Wacha nyege wewe
kipind kinashuka viwango
Viatu ni vileee vileee kila cku sanya anavaa vile ileee
hello my friend nitwa vestina ndakwinginze mfasha ukande kwi photo yange unkorere subscribe ndagusabye mfasha
Haahaahaaa
😅😅😅😅😅😅
😂😂
Hhhhhaaa