😂😂 hapo kwenye mweshimiwa kupiga sarakasi 😀...our Tanzania is so beautiful, tudumishe amani ndugu zangu, amani ni hazina kuu 🇹🇿🇹🇿. Tufanye kazi za halali tukimshukuru Mungu kwa zawadi ya uzima na amani. Mungu ibariki Tanzania🇹🇿 Mungu ibariki Africa.
Mungu ni wa wote ni wa jamii zote Mungu amesimama. Unaposema maisha flani huwezi kuishi kuna wengine wanaishi unaposema kitu flani hakiliwi kuna jamii zingine wanakula na hawazuliki. God is for all God is greatest.
Nimenjoy kweli nimetembea na wasafi tv nimepata burudani ya mbunge kwanza pamoja na wazabe nyumba imenifurahisha Sana namna inavyojengwa kweli ni watu tofauti sana
WOW! Ila kwanini jamii yao haiongezeki kama mbunge alivyosema? wanapata huduma sahihi kweli za afya? Au wanaliwa na wanyama wakali wa porini? Au pengine namna wanavyolala sio mazingira mazuri ya mating? Mngewauliza pia how do they treat their old ones? Au misiba kwao taratibu zinakuwaje? yaani maswali ni mengi sana. Anyways, all in all it's a very catchy documentary, hongera sana Mchagga OG, it's amazing how u also kept on showing a lot of respect to these folks.
Wazungu wanachokifanya hasa Kwa jamii ya wamasai wanapokwenda kuwatembelea wananunua Yale Mashuka Yao Kwa Dola kiasi Kwamba mmasai anathamin Hela kuliko tamaduni yake kiasi Kwamba wenyewe hushindwa kununua Rubega zao
@@hassanmsipi4094 Sasa kununua shuka la masai wanapungukiwa na kitu gani na zaidi wanapata kipato wewe unashanga kitu gani ata wa Mexico wachinese na wacolombia wanauza vitu vya jinsi hiyo kama walivyo wamasai wakiuza decoration katika vitu mbalimbali au haufahamu unachoshanga ni kitu gani , au wewe unafikiri kila kitu unaibiwa
Hapo Kuna mtu ametajirikia kupitia huyu mtanzania ambaye hakuwa na uelewa wowote yeye anachojua ni kufika Korea tu na cdhani km alijua kuwa anapaswa kulipwa duuh imeniuma sana
Mzee walifidia tiket ya ndege wakaona wakupe baskeli 😂” ila mzee wamekuonea coz hujui lugha.. Na hukuwa na msimamizi mzuri” hongera kwa kufika korea mzee baba
Sijapenda aina ya utangazaji, ni kama hajaandaa content, amekuja kushangaa na kuanza kuuliza chochote anachokutana nacho. Hataki kuuliza asili, tamaduni wala mila na miiko ya wahdzabe. Yeye ni kufukunyua tu maisha binafsi ya familia.
This make me feel good and proud being an African,, one day one time I will travel all over the tz villages and also kenyans villages to learn more about our own people.
Wanaongea hadzabe hao kiswahili kizuri sana wanajieleza vizuri sana na wako smart sana kujua mazingira yao .Watanzania wengi ni vichwa maji hawawezi kutumia common sense na kujieleza na hata hawaongei kiswahili kizuri kilichonyooka
Nimeipenda nimekumbuka age yangu ya 0_10th yrs niliish na jamii ya namna hii japo sio waadzabe kweli mabadiliko na ustrabu vinakuja na wao watabadilika rip wazee wote wa miaka hiyo 197--.... 1985 da walitumia sana kiko
I hope your Deputy President was not taught how to shoot arrows. He is a quick-tempered emotionally unstable tribesman and we are concerned he might shoot Raila after he loses the August elections to him.
Jamani waje Kenya watamaliza nyani.Na hii nyumba aki si ni shida sana kuishi?wacha wajikakamue watoke unlock angalau kidogo aki hii ni aibu.Asante sana kutuletea juu ya hawa watu eti wanakula nyani!
Mweshimiwa ananipa Raha Sana, I love you Tanzania from here Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Safi itakua vizuri kama mtafanya nyingi zaidi kama hizi 👏🏾
Jamani TANZANIA 🇹🇿 yetu ni nzuri... I love you forever Tanzania 🇹🇿
❤️❤️
@@Jazziumumeme😍
Sana sana sana mungu izidi kuilinda
Ni kwasababu ya Channels za NAMNA hii hata napata UJASIRI WA kufunga kifurushi na kuingia RUclips....big up Wasafi media!!
Hapa nawapa pongezi
Mpo vzr
Nimeipenda Mungu atupe pesa tutembee kwenye nchi yetu
Naipenda sana hadithi kama hizi zote, telling african story in an African way .
Hii ndo royal tour sasa original kabisa,hapa wasafi mmeua!!♥️
Waheshimies hupenda kutumbuizwa kwa nyimbo.
Hongera mchana og umefanya nijue hawa watu wanatoka Tanzania nilikua nawaona tuu kwenye mitandao
😂😂 hapo kwenye mweshimiwa kupiga sarakasi 😀...our Tanzania is so beautiful, tudumishe amani ndugu zangu, amani ni hazina kuu 🇹🇿🇹🇿. Tufanye kazi za halali tukimshukuru Mungu kwa zawadi ya uzima na amani. Mungu ibariki Tanzania🇹🇿 Mungu ibariki Africa.
Amin
Nimependa viongozi na waandishi wa habali walivyo enjoy nao uko jamani💖💖💖💖🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼
Safi sana wasafi hii ndo loyal tour ya kweli siokutuonesha wazungu
We mjinga aisee 😂
hey peter
Mashallah, utalii wa ndani, nilijua hawajui kiswahili.
Nimeenjoy aisee kumuona pia mheshimiwa brother Faratei
Alaa..!! Kumbe wanazungumza kiswahil vzur
Wapeni elimu hao wasiishi km wanyama
Yaan wanavyolengesha hiyo mishale mm huku mwili unasisimka🙌🙌🙌🙌
Hongera mwandishi hakika taaluma yako umeitendea haki
Wasafii Ni Tv 📺 Nzuri Kabisa Tuna Shukuru Sana Kabisa Iyi Ni Kubwa Sana Love From South Africa 🇿🇦
Nawaza san jinsi yakuingia huko juu
This was so professional but I thank God I shall never complain again seeing how this people live
Seeing how THESE live… “error is human.”!!
Mungu ni wa wote ni wa jamii zote Mungu amesimama. Unaposema maisha flani huwezi kuishi kuna wengine wanaishi unaposema kitu flani hakiliwi kuna jamii zingine wanakula na hawazuliki. God is for all God is greatest.
Huyu mbunge anafaa sana yuko very humble
Nimenjoy kweli nimetembea na wasafi tv nimepata burudani ya mbunge kwanza pamoja na wazabe nyumba imenifurahisha Sana namna inavyojengwa kweli ni watu tofauti sana
WOW! Ila kwanini jamii yao haiongezeki kama mbunge alivyosema? wanapata huduma sahihi kweli za afya? Au wanaliwa na wanyama wakali wa porini? Au pengine namna wanavyolala sio mazingira mazuri ya mating? Mngewauliza pia how do they treat their old ones? Au misiba kwao taratibu zinakuwaje? yaani maswali ni mengi sana. Anyways, all in all it's a very catchy documentary, hongera sana Mchagga OG, it's amazing how u also kept on showing a lot of respect to these folks.
Sasa wakilala sehem nzur siwataacha utamaduni wao
Yaeda chini.
Ninajisikia furaha kuwa daktari aliyebahatika kumtibu mhadzabe
@@jasminjumanne4157 kweli hiyo wanaweza kupoteza utamaduni wao…!!
@@dr.barakankondo1919 hongera sana dokta…!!
hao wanaenjoy maisha kuliko unavyodhani ww
Very interesting content. Mchaga asked very relevant questions. He showed respect although at times he was surprised by their answers. Kudos
Ukosee uwende na kibatali mungu wangu umechoka nyasi zotee nyumba hizo hazikai na majiko karibu iwe Lanka's ama kumi mtihani mtupu
Kunaogopesha mno
Viongozi wa Tanzania Sikuhizi nirafiki sana na Wana nchi hiiipia marehemu magufuli alikuwa anaipenda sana hiii
Hiki kipengele kiwekwe kwenye Royal Tour itafana sana....I love my culture👏👏
Yaaani hii ni zaidi ya royal tour
Hapana bro, tutamwongezea Peter shavu, atosheke na aliyoyapata!😥
Hata bungeni unajua wajibu wako kuwakilisha na kulilea jimbo kiimani kabisa mungu akulee na wewe hivo hivo mpaka mwisho wa maisha yako. AMIIIN
Nimeburudika Sana, Mkiacha Ubinafsi Mtaitaza Vizuri Sana Tanzania Kidunia
Huyo Jamaa kawakilisha inchi hadi Korea mwisho wa siku anapewa baiskeli. Watu wamuogope Mungu Dhuluma haifai.
Hawa watu ni endemic species of the country 🇹🇿🇹🇿, wasipotoshwe, Mungu atutunzie Ndugu zetu Hawa, hazina ya nchi yetu
mmmmh wamesha anza kuwapeleka bonding bas wanapotea wote hawa miaka ijayo
Kweli Kabisa…!!
@@yousirsports7482 yaani ni huzuni
Wazungu wanachokifanya hasa Kwa jamii ya wamasai wanapokwenda kuwatembelea wananunua Yale Mashuka Yao Kwa Dola kiasi Kwamba mmasai anathamin Hela kuliko tamaduni yake kiasi Kwamba wenyewe hushindwa kununua Rubega zao
@@hassanmsipi4094 Sasa kununua shuka la masai wanapungukiwa na kitu gani na zaidi wanapata kipato wewe unashanga kitu gani ata wa Mexico wachinese na wacolombia wanauza vitu vya jinsi hiyo kama walivyo wamasai wakiuza decoration katika vitu mbalimbali au haufahamu unachoshanga ni kitu gani , au wewe unafikiri kila kitu unaibiwa
Mashallah mashallah mashallah wapo vizuri wtt ktk shabaha
hapa loyal tour ikasome jaman i feel so much excited kuiangalia hii😁
Wasafi ni wabunifu sana kwenye vipindi🙏🙏🙏🙏🙏
Uyo mzee mwenye t-shirt nyekundu asee yupo really asee.!!! 💥 Good creativity
Tena anafaa kuwa kiongozi wa mtaa
Very good !! Huu ndo uwakilishi wa kizalendo kwak kiongozi
Mwenyezi Mungu yesu kristo anaweza 🔥🔥🔥🔥
Sasa mbona umechanganya majina tena !mwenyezi mungu yesu kristo tena ?ndo nn
na amini hvyo imani yangu
duuuh !🙄🙄🤐🤐
bila kuandika hvyo moyo wangu ukuwa hauna imani
@@adaboychibu1659 yani AllAh na mtume wake
Wasafi Ongeleni sana kwa kuwapenda wananchi wenu na kuwafatilia.mbaka mapolini wasafi oyeeee?
Documentary nzuri sana hii . Hizi ndo za kuoneaha mashuleni
Sure
Ila yule Dogo kazingua eti ana miaka miwili
@@limymasele21 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣khaaa nimecheka Sana jmn tatizo shule hamna huko
Jmn hz nyanya Tena kwetu morogoro kule unaviminyia kwenye samaki wabichi perege au kambare wabichi na pilipili hatar 🤣😋
Hakika!
Hongeren Sana mheshimiwa mbunge Nahisi hao watu ufahamu wao wa rohon uko vzr
Tanzania yetu ni nzur sanaa..
Napata uchungu kuona piraaa kala bilion 7 kizembe wakati hii ukimix na clips chache ni best kuliko iyo ya piraaaa🚶😭
🤣*Peter tho
😂😂😂 hey piraaaa
@@davidsalikoki6319 Peter 🌚
Nimecheka kwa sauti
Hiii ndo wasaafiii mambo ni 🔥🔥🔥🔥🔥
mbona tv nyingi zimeshatembelea huko kitambo sana tu.
unaongelea wasafi leo hata hao wenyewe wanajua kuvaa nguo kwa sasa.
Hapo Kuna mtu ametajirikia kupitia huyu mtanzania ambaye hakuwa na uelewa wowote yeye anachojua ni kufika Korea tu na cdhani km alijua kuwa anapaswa kulipwa duuh imeniuma sana
Big respect wasafi media, mchaga og na mbunge pia
Umetisha sana mdogo wangu is nice content
Hongera Mkuu kwa kuanzisha Royal tour kwetu ,huu ndo uongozi bora na siasa sfi
Nyanya tunguja nzuri kweli hizo, natamani ningepata mbegu yake, unazitumbulia ktk mchuzi hata usipo Tia ndimu Sawa zenyewe zinakiugwadu furani hivi,.
Hata usipo Tia ndimu zinandimu zenyewe😄nisahihi💯
@@chimbokiswaga8662 kumbe na wewe unazijua 😂😂😂haki nimekumbuka mbali Sana.
@@aishaamwalimu2887 nimezitumia Sana hizo kijijni kwetu alikuwa ana tuletea bibi
@@chimbokiswaga8662 Sawa mimi alikuwa akizitumia bibi wa baba angu (mama mkuu) ningepata mbegu ningefurahi kweli.
@@aishaamwalimu2887 🙏💯
Hongera mchaga og hongereni wasafi media kwa hakika mnatuelimisha mnatuburudisha nimejifunza vitu vingi kupitia hii story
Naipenda Tanzania yangu wote tunaongea lugha moja
Hadi mimi kama mkenya nimeshangaa, watu wa porini na bado Wana kifahamu Kiswahili...nchi yenu ya umoja kweli...
Haya ni maisha ya kawaida sana mwenyewe nimeyaishi huko manyara
@@ananiamarko8419 hahaha, kuwinda Porini, ni kawaida....
Representing nakuru Kenya 🇰🇪 🙌 👏
Hv ndo vitu vya kuonyxha sio kila cku Interview na akina Mwijaku
Viongozi wakuigwa ni kama hawa hawana majivuno ya kujiona big up leadership
Mzee walifidia tiket ya ndege wakaona wakupe baskeli 😂” ila mzee wamekuonea coz hujui lugha.. Na hukuwa na msimamizi mzuri” hongera kwa kufika korea mzee baba
Ila dhambi jaman
Sijapenda aina ya utangazaji, ni kama hajaandaa content, amekuja kushangaa na kuanza kuuliza chochote anachokutana nacho. Hataki kuuliza asili, tamaduni wala mila na miiko ya wahdzabe. Yeye ni kufukunyua tu maisha binafsi ya familia.
This make me feel good and proud being an African,, one day one time I will travel all over the tz villages and also kenyans villages to learn more about our own people.
O.7
.
Upo vzr cn
Tume enjoy sana,ila mabinti hatujawaona ety🙆🙈🙈tungejua juu ya tamaduni kwa vijana lika ya kati.
Be blessed 🙏
Wanaongea hadzabe hao kiswahili kizuri sana wanajieleza vizuri sana na wako smart sana kujua mazingira yao .Watanzania wengi ni vichwa maji hawawezi kutumia common sense na kujieleza na hata hawaongei kiswahili kizuri kilichonyooka
Ndo mambo nayoyapenda haya' Shukran San Wasafi tv
Binaadam bwana! Yani kafika KOREA alafu kapewa baskeli tu ata kama hana elimu lkn mnyonge mnyongeni haki yake apewe, tumeinjoi sana
Aaaaaa muheshimiwa umetisha sana uko kawaida sana nimependa Glory comoro
Mzee anaonekana mahindano ya mshare Ali shinda ila uelewa mdogo WA elimu alipigwa fedha
Walimpiga bila huruma karudi na baiskeli ndiyo zawadi
@@frankngoloka2589 watu hawana huruma😭
Jmn kweli tembea uone yanii hpo ndpo unamiini mungu anawalinda watu wake 🙏🙏
I'm proud of my tribe hadzabe
Maisha magumu hayo lakini kwa wenyeji nirahisi sana GOD bless them
Naomba serikali afatiliwe huyo mtu aliye mpeleka mzee nje ahojiwe vizuri
Kweli kabisa
Huy mbuge ND mfan wa kuigwa
Kweli kabisaa
Aojiwe
Kwakweli umeongea pointi ambayo hadi video inakarbia kuisha bado nilikuwa natafakali juu yahilo usikute watu walipiga peaa
Nzuri Sana nzuri Sana hongereni wahzabe
Wamebadirika sana tofauti na zaman
duh! Huu ni utalii tosha kabisa kwakweli Mungu akubariki sana mchaga og
Jamani nawakaribisha kusikiliza wimbu wangu mzuri na mtamu sanaaa
Duh so amazing jomon duuh this is like loyal tour mweeeh
Kama kuna mtu nampongeza ni huyu muheshmiwa nihodar na hawa ndio viongoz tunao wataka wasio na ubaguz kabisa na kuambele kwa kila kitu.
Yupo vizuri
Na uskute Hao wadzabe ndo watanzania halisi wengine waamiaji😀😀
Nimeipenda nimekumbuka age yangu ya 0_10th yrs niliish na jamii ya namna hii japo sio waadzabe kweli mabadiliko na ustrabu vinakuja na wao watabadilika rip wazee wote wa miaka hiyo 197--.... 1985 da walitumia sana kiko
Nakupenda Tanzania 🇹🇿 yangu ❤️❤️
Lovely, muwacha Mila ni mutunwa.
Hizo ni nyanya natural sio hizi zetu za kuduplicate
Ndiyo
Achana na nyanya zetu za multiplication hizo ndiyo Nyanya Sasa vitam hivyo
@@kasimuidd1113 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Du Aise mmenikumbusha mbali sana du et kwetu tunatia nyanya mshenzi😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Tume enjoy
Very interesting big up bro.dunia Una maajabu
Duuh wasafi inawalipa sio poa
Hongera sana mchagga og kaz nzuri sana
Safi sana hadi raha mbunge anaonekan mtu wa mazoez
Hii kubwa sana ila wasafi bana dah🙌 wanawatu mana ukipita kwa mo sanya ukirud kwa mchaga madogo janja2 lakn akili mingi sana
They make arrows like my tribe Nandi in Uasin Gishu District. I myself know how to prepare as that is part of passage process during iniation period
Hi my fellow Kenyan?
I hope your Deputy President was not taught how to shoot arrows. He is a quick-tempered emotionally unstable tribesman and we are concerned he might shoot Raila after he loses the August elections to him.
Wasafi media mmefanya kazi nzuri. Documentary kama hizi ndizo tunazotaka kwani zinafundisha, elimisha, burudisha na pia hazijali rika wala jinsia.
Kwel
Creativity of another level #morethanroyaltour
A great news anchor, this guy is a real…!!
Mashallah ALLAH barik mbunge hai hai hai.
Mungu mkubwa asee 🙌🙌🙌
Inge hostiwa na babu zembwela tunge faidi zaidi hata Mchaga OG
Flatei masay uko sawa, eti wakwetu wa karatu awaki ameona hiyo kweli,awaki wahazabe wapo hata eyasi fanya utalii pia hiyo fursa
Jamani waje Kenya watamaliza nyani.Na hii nyumba aki si ni shida sana kuishi?wacha wajikakamue watoke unlock angalau kidogo aki hii ni aibu.Asante sana kutuletea juu ya hawa watu eti wanakula nyani!
Very amazing documentary.
I wish to visit these good people one day. Their living style is so special
Thank you for good work WASAFI MEDIA
Mtangazaji unge Lala japo usiku mmoja
Wow this is amazing 😍👌
Mungu ni mwema
Lizika na ukipatacho
This is the real African life very beautiful ilike thank you for telling us our roots
Nonono it's not
This the remaining treasure of Africa continent.
Hawa watu lazima watetewe Ili wasije kuisha au kubadirishwa!
Beautiful knowledge
Daaah jaman wasaf mnastairi sifa kwakwel mnaupga mwingi mno
Mungu waajabu Sana akili zake azichunguziki
Hongera sana History nzuri sana
Hongera kiongozi kwa ushirikiano ulioonyesha
Nmeenjoy mnoo 🥰🥰sema huko panafaa kutengeneza movie moja iv amazing yaniii
Nmeinjoy nmefurahiii 😂 Yan nmejihs nmefika ,hongera bro mchag aisee umeupiga mwingii 🙌🙌🙌