Asanteckwa somo hili la kanuni 8 za maombi uetubaliki sana paster Bwana akutumie zaidi na zaidi kutusaidia aminaa KIKUBWA IMANI TUSIJITILIE MASHAKA.TUAMINI.TUJUE UWEPO WAKO.
Amina pastor barikiwa sana na mafundisho yako mungu akubarik na akutie nguvu usonge mbele but nilikuwa na shida na hyo namba maana nataman sana kushirik maombi pamoja na ww
AMEN, ukweli MUNGU yuko kila sekunde, nimeshuhudia. Niko uarabuni na mama alinikishia gas inichome bila sababu yoyote, lakini wakati ilinishika kwa haraka sana upepo mkali ulikimbia ukiwa na batagi kali sana ukanipiga mwili mzima ule moto ukazima. MUNGU ASANTE KILA SEKUNDE.
Mchungaji nabarikiwa sana.swali yangu ni kuhusu hapo uliposema Mungu yupo nasi kila wakati ndio nakubali na naamini sana lakini je,uliposema na shetani yupo nasi lakini hawezi patikana mahali popote kwanini na shetani ni roho na Mungu pia ni roho vilevile ?nimechanganyikiwa Mungu akuelekeze kwa hii sms alafu utanijibu tafadhali barikiwa sana
Amen Amen. Sikuwa live leo. Ila mesikiya mahubiri yote hadi mwisho. Nomebarikiwa sana. Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu. Na barikiwa kila siku ninapo sikiya mahubiri yako.
Mchungaji nimekutumia sms Dm najua unaona sms nyingi Ila Mungu akikuwezesha kuona sms yangu naomba uniombee hapa nilipo nimekaukiwa nashindwa hata kuomba kabisa mtumishi wa Mungu 🙏🙏
Mungu wangu uliyeziumba mbingu na nchi ninakusihi ukamtie nguvu za kukuabudu mtoto wako huyu. Nakusihi ukampatie baraka za kila namna sawasawa na wingi wa fadhili zako. Kwa Jina la Yesu nimeomba. Amina
Asante sana Pastor Mbaga, Mungu azidi kukubariki. Na jina la Bwana Yesu Kristo lihimidiwe. Wakati unasema zingati ombi la 6, sauti ikapotea.
Asanteckwa somo hili la kanuni 8 za maombi uetubaliki sana paster Bwana akutumie zaidi na zaidi kutusaidia aminaa KIKUBWA IMANI TUSIJITILIE MASHAKA.TUAMINI.TUJUE UWEPO WAKO.
Pastor mmbaga mungu Akubariki nasikiliza nikiwa Uganda amen 🙏
Mungu atende haja ya kila mmoja wetu masomo haya yatusaidie na kutubadirisha.
Thank you pastor when i listen to your preachings am always inspired
Pastor nimebarikiwa na neno lako mungu azidi kukutumikia
Pastor Mungu akubariki mno asante kwa somo.
Mungu akubariki
Amina pastor barikiwa sana na mafundisho yako mungu akubarik na akutie nguvu usonge mbele but nilikuwa na shida na hyo namba maana nataman sana kushirik maombi pamoja na ww
Pasta unanibarikia sna❤
Mungu akubariki sana pastor
Nimefurahi kukuona Tena hewani ,Nabarikiwa mno na mafundisho yako Mungu akutunze
AMEN, ukweli MUNGU yuko kila sekunde, nimeshuhudia. Niko uarabuni na mama alinikishia gas inichome bila sababu yoyote, lakini wakati ilinishika kwa haraka sana upepo mkali ulikimbia ukiwa na batagi kali sana ukanipiga mwili mzima ule moto ukazima. MUNGU ASANTE KILA SEKUNDE.
Amen
Mh mh huu ni muujiza MUNGU NI MWEMA
Amina🙏. MUNGU AKUBARIKI SANA.
Pole dada Mungu azidi kukupigania@@benaharuna-bo1sf
Glory to God🙏🏽🙏🏽
Amina pastor mbaga barikiwa
𝐀𝐚𝐡𝐬𝐚𝐧𝐭𝐞
Pastor unamuombea hadi adui ambae mnapishan nachuki anakusem vibya naumesem tuwe wawaz kwaMungu ntamuombea moyon natamn Mungu apigane nae
Mchungaji nabarikiwa sana.swali yangu ni kuhusu hapo uliposema Mungu yupo nasi kila wakati ndio nakubali na naamini sana lakini je,uliposema na shetani yupo nasi lakini hawezi patikana mahali popote kwanini na shetani ni roho na Mungu pia ni roho vilevile ?nimechanganyikiwa Mungu akuelekeze kwa hii sms alafu utanijibu tafadhali barikiwa sana
Amen 🙏
Pastor nahitaji sana msaada wako hata kwa ushauri tu ,nahitaji kuwasiliana na wewe
Mungu hakumbaliki ameeni
Amen Amen. Sikuwa live leo. Ila mesikiya mahubiri yote hadi mwisho. Nomebarikiwa sana. Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu. Na barikiwa kila siku ninapo sikiya mahubiri yako.
Mchungaji nimekutumia sms Dm najua unaona sms nyingi Ila Mungu akikuwezesha kuona sms yangu naomba uniombee hapa nilipo nimekaukiwa nashindwa hata kuomba kabisa mtumishi wa Mungu 🙏🙏
Mungu wangu uliyeziumba mbingu na nchi ninakusihi ukamtie nguvu za kukuabudu mtoto wako huyu. Nakusihi ukampatie baraka za kila namna sawasawa na wingi wa fadhili zako. Kwa Jina la Yesu nimeomba. Amina
Ni barikiwa kabisa nikiwa Goma 🇨🇩 mashariki DRC
Mungu akutendee haja ya moyo wako
Mungu amesha kutendea sawasawa na moyo wako usemavyo.
Amen @@yohanaanthony3422
Muhubiri naomba uniweke kwenye maombi ili nipate visa🙏Mungu atubariki zote❤️
Mungu akutendee muujiza
@@MahubiriPrMmbagaAmen.🙏
Pr naomba utoe masomo haya 1.YESU KRISTO NI NANI?
2.BABA YAKE YESU NI NANI?
3.ROHO MTAKATIFU NI NANI?
4.MUNGU WA BIBLIA NI NANI?
ASANTE
𝐏𝐫 𝐦𝐢 𝐧𝐚𝐜𝐡𝐚𝐧𝐠𝐚𝐧𝐲𝐚 𝐦𝐚𝐦𝐛𝐨 𝐧𝐚𝐨𝐦𝐛𝐚 𝐤𝐮𝐣𝐮𝐚 𝐤𝐡𝐮𝐬𝐮 𝐤𝐮𝐣𝐞𝐧𝐠𝐞𝐚 𝐦𝐚𝐤𝐚𝐛𝐮𝐫𝐢 𝐧𝐚 𝐢𝐛𝐚𝐝𝐚𝐳𝐞 𝐣𝐞 𝐧𝐢 𝐬𝐚𝐰𝐚.? 𝐦𝐚𝐤𝐞 𝐦𝐢 𝐧𝐚𝐳𝐢𝐝𝐢 𝐤𝐮𝐜𝐡𝐚𝐧𝐠𝐚𝐧𝐲𝐢𝐤𝐢𝐰𝐚.