Dully Sykes Ft. Billnass Super Star (Official Lyrics Video)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 23 дек 2024

Комментарии • 242

  • @JamesNailsTzJamesNailsTz
    @JamesNailsTzJamesNailsTz 9 дней назад +1

    Kali saan aseee like nazitaka hapo chin jaman

  • @maicktabaran5151
    @maicktabaran5151 19 дней назад +1

    Hahahaha hatari sanaaaaaaa namuelewa huyu jamaa MISIFAS CAMP!! Tangu kipindi cha ladies freeeee , dhahabu, hunifahamu Hahaha hakoseagi huyu jamaa!!

  • @Omarykiing
    @Omarykiing 2 месяца назад +15

    Kama unaamini kuwa DULLY SYKES ni m2 ambaye kachangia Kwa kiasi Kikubwa kuchonga njia ya mziki wa BONGO FLEVA like apa 👇👇

  • @Kinnegerboss
    @Kinnegerboss 2 месяца назад +38

    Kama unamkubali dully like hapa

  • @lucymgina8093
    @lucymgina8093 2 месяца назад +1

    duly anajua sana kuimba

  • @pollografix8801
    @pollografix8801 2 месяца назад +4

    This guy this guy, kwani how many voices dyu gat, Dully Sykes hawamuezo🤫🤫

  • @johnsonpotua3035
    @johnsonpotua3035 2 месяца назад +1

    Dude limeeza walai 🔥🔥🔥🔥💯

  • @joseambrosio1503
    @joseambrosio1503 2 месяца назад +2

    Big master🎉🎉🎉

  • @hassanikobelo3688
    @hassanikobelo3688 2 месяца назад +2

    Pure bongo flavour let’s goo dully never disappoint 🔥🔥💣

  • @E.J_VIHIGAN_LION
    @E.J_VIHIGAN_LION 2 месяца назад +13

    Kitu cha hatariiii 🔥🔥🔥🔥🔥 SUPER STAR ✨ Great combination brothers banger ..... 4rom 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @MadeeTozzy
    @MadeeTozzy 2 месяца назад +3

    Am Also Super star ... ❤ Nenga Tronixx ... Wagwan 🎉

  • @SifaEmma
    @SifaEmma 2 месяца назад +1

    Dully Sykes anatambua vizuri Harmonize Mzee Popo hawezi kuacha Ngoma yake iende mbali.. Harmonize ni laana kwenye sanaa yetu Tz 💯😭🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @DjsimpleAlitchoki67
    @DjsimpleAlitchoki67 2 месяца назад +2

    Dully sykes mwamba wa zamani ila flow ni kama za kisasa((simple🔥🔥🔥))

  • @mcfabian2190
    @mcfabian2190 2 месяца назад +11

    Mc Fabian approved this super star from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 wapi likes zenu hapa super star ✨⭐❤

  • @bojomohamed9999
    @bojomohamed9999 2 месяца назад +2

    kama wamkubali dully wakati huo wa 90s akijiita Mr misifa weka like

  • @beautyposhy827
    @beautyposhy827 2 месяца назад +1

    duhh mazazi umerudi kwa game. eshima kwako alafu mungu akupe maisha marefu

  • @thekipandes
    @thekipandes 2 месяца назад +2

    Big ting watching from 🇰🇪

  • @jumaraha
    @jumaraha 2 месяца назад +2

    MZIKI MKUBWA...254 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Super star ⭐⭐⭐⭐⭐...we salute you Dully👍

  • @irakozejustinbroun
    @irakozejustinbroun 2 месяца назад +2

    Ayoo machizii watangano dully and bill naakubaliio Sanaa kk hiyii wimbooo hupoo wanja n'ganiii 😮😮🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💯💯💯💯💯

  • @dadychaps7527
    @dadychaps7527 2 месяца назад +3

    Duuh! No.1 musician natambua🔥🇰🇪🙏🏽

  • @AsumaniMajesty
    @AsumaniMajesty 2 месяца назад +1

    Ng'ombe azeeki maini❤❤❤

  • @JonathanNelson-l8h
    @JonathanNelson-l8h 2 месяца назад +1

    Ujue Dully ni father of bongo flavor 🎉🎉pia huyu mwamba hazeeki😂😂😂

    • @Rahman-seneda
      @Rahman-seneda 2 месяца назад

      Omba ukutane nae Live utafuta hiyo kauli yako hazeeki

  • @Emmanuelzakayofrolence
    @Emmanuelzakayofrolence 2 месяца назад +1

    Yeeeeaaah, Umeuwa san, Dully, we ni super star⭐😎 kura gwara🤜🤛

  • @jflycommanderhofficial
    @jflycommanderhofficial 2 месяца назад +1

    Dully sikes my legend toka ile enza za ukicheka utamu tamu ukilia utamu tamu ama inde morning big up

  • @ramaboystar4803
    @ramaboystar4803 2 месяца назад +2

    Dully namkubali toka zile enzi billnas anauwa kama kawa 🎉🎉🎉

  • @husseinvidide3952
    @husseinvidide3952 2 месяца назад

    Dully never change always bro hazeeki bro umeua hii🎉🎉🎉🔥🔥🔥🔥💯💯💯

  • @lastsimbatv1497
    @lastsimbatv1497 2 месяца назад

    Ukitoka hapo toast goma na Mr blue utaua htariiiii senior dully

  • @RogatoKibano-rn9pd
    @RogatoKibano-rn9pd 2 месяца назад +1

    Nakukubali sanaa duly
    Toa magoma 🔥🔥🔥

  • @Chida
    @Chida 2 месяца назад +2

    Banger banger 🔥 🙌 👌 Superstar

  • @DaudKallagasi-s2n
    @DaudKallagasi-s2n 2 месяца назад

    Luka wise tangu umeingua kwenye music hii ni ngoma yako ya kwanza naikumbali na umeitendea haki sanaaaa umwtishaaa sanaaa🎉🎉🎉

  • @seifmziray2551
    @seifmziray2551 2 месяца назад +1

    Huyu ni mtu mwenye kazi yake

  • @FucianeBulemo-nd4wc
    @FucianeBulemo-nd4wc 2 месяца назад +1

    Ila billnas cjawah mwelewa, dully gooogooogooo ahead

  • @likamiabdul
    @likamiabdul 2 месяца назад

    Dah nmechelewa
    But Asante MUNGU Kwa ushauli Wang kufanyiwa Kaz my number 1 song from vonalis
    🙏🙏🙏🙏🙏

  • @djhector001
    @djhector001 2 месяца назад +1

    huyu jamaa kumbe bado ako top ya game ....Dully sykes we always knew na mr Nengaaaaaa booooooooom

  • @MussaRasul
    @MussaRasul 2 месяца назад

    Hii ndio maana ya kuwa legendary sasa

  • @MTALIITV
    @MTALIITV 2 месяца назад

    Indeed u never age🔥🔥💯💯🔥❤️

  • @KevinGolovinkg
    @KevinGolovinkg 2 месяца назад +1

    Mzee wa magoma ya kufungia mwaka🔥

  • @alexdougly82
    @alexdougly82 2 месяца назад +1

    Remind me about ACTION TONIGHT with C Pwaaa...Sir Dully unaimba sana, the beat 🪘🎯

  • @beatricemshubi479
    @beatricemshubi479 2 месяца назад

    Hata ukaekimya vipi siku ukiibuka lazm wakae pembeni kwanza your a real super star

  • @adolphmwangoje2887
    @adolphmwangoje2887 2 месяца назад +4

    Dully blza Umetisha Sana mwanangu 😂

  • @5googleuuu727
    @5googleuuu727 2 месяца назад

    Congratulations to you brother dully. . Na hazeeki. Ni hatareeeee. Ni kama. Ana miaka 25

  • @MoN_KaDO
    @MoN_KaDO 2 месяца назад

    TAFSIRI YAKE NI KWAMBA, PRINCES DULLY NI SUPERSTAR HATA BADO HAJAZEEKA NA AMEFUNIKA SANA KWENYE HILI BANGA...🫡🫡🫡

  • @ChockMaumba
    @ChockMaumba 2 месяца назад

    Dully kama dully anastaili ya peke yake huyuwamba. Was kitambo sana tangu julieta, nyambizi ns midude mingine kibao. Ho ng era sana

  • @Mshihiiriboy
    @Mshihiiriboy 2 месяца назад +1

    Hili goma Kali sana kwenye michano unge mueka blue ingekuwa bomba sana

  • @johnfatal2282
    @johnfatal2282 2 месяца назад +3

    Brother Dully wewe ni super star ⭐✨ kitambo tu na hilo linaelewekaa 😂😂

  • @fathiafathia6324
    @fathiafathia6324 2 месяца назад

    Mzee wa enzi izooooo big up

  • @richardmaxwell3991
    @richardmaxwell3991 2 месяца назад

    Prince Dully Sykes Versatile Artist. We mzee mbaya sana

  • @nasibuomary7981
    @nasibuomary7981 2 месяца назад +2

    Unyama Sana wazee.

  • @abdallaomar183
    @abdallaomar183 2 месяца назад +3

    Dully ni star banaaaa....😅😅😅😅

  • @SaidSombo
    @SaidSombo 2 месяца назад

    Safi sana kaka

  • @salimjumaa8180
    @salimjumaa8180 2 месяца назад +1

    Hataree💥💯 Dude moja kubwa mno🎉.

  • @simonmacharia8539
    @simonmacharia8539 2 месяца назад

    DULLY IS DAMN TALENTED!!

  • @nyikaboychannel7089
    @nyikaboychannel7089 2 месяца назад +4

    mbonge la ngoma

  • @carlyboytz
    @carlyboytz 2 месяца назад +22

    Kaka ndo umegoma kuzeeka sio😂😂

  • @laxmajor
    @laxmajor 2 месяца назад +2

    Duly 🔥

  • @kishhilz5370
    @kishhilz5370 2 месяца назад

    Ever the king ov bongo flava@dully kip dat spirit

  • @dundoonlinesingeli
    @dundoonlinesingeli 2 месяца назад

    MWENYE BONGO FLEVA YAKEE

  • @ycmrpondis1537
    @ycmrpondis1537 2 месяца назад

    Ngoma kali wallah huyu Legend hazeeki maini🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 super star to the world 🌎🌍

  • @SukaDmGuy
    @SukaDmGuy 2 месяца назад

    Noma sana Dully hajawahi feli

  • @IDDNZARO22-eu5xx
    @IDDNZARO22-eu5xx 2 месяца назад

    Boooom 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @salimoassumane3693
    @salimoassumane3693 2 месяца назад

    Sauti ya Dully aizeeki toke kitambo sana

  • @JamesKikezi
    @JamesKikezi 2 месяца назад

    Noma sanaa

  • @Qau669
    @Qau669 2 месяца назад

    Weeeeee hii nimoja ya kitu bora kitaishiiiiii miaka 1000

  • @rockonsonmlandi2818
    @rockonsonmlandi2818 2 месяца назад +1

    Bado Niko apo kwa ' I never change, i never age 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @matugarecords
    @matugarecords 2 месяца назад

    Kazi kubwa sana mkongwe🔥🔥🔥

  • @NurdiniChipanganya-kd7lw
    @NurdiniChipanganya-kd7lw 2 месяца назад +3

    Bnge la ngoma

  • @KashBoy-zo4du
    @KashBoy-zo4du 2 месяца назад

    Noma super start 🎉🎉🎉🔥💥

  • @petergisbert2437
    @petergisbert2437 2 месяца назад

    Dully umeua mzazi ulijuaje nenga anamaliza kinyamwezi

  • @mogrosso3500
    @mogrosso3500 2 месяца назад +1

    🇨🇩🇨🇩🇨🇩big fan dully 🔥🔥🔥🇹🇿

  • @kissfmradio2849
    @kissfmradio2849 2 месяца назад

    on air💥💥

  • @Jamal_muller_Jordan
    @Jamal_muller_Jordan 2 месяца назад

    Nenga kaaribu hii song bana Dully voice iko fiti💯🔥🔥

  • @raheemsaleh14
    @raheemsaleh14 2 месяца назад

    Mr T touch anakuwezea sana lafu beat za ivi cjawah ona umemezwa

  • @sponsor7882
    @sponsor7882 2 месяца назад +1

    huyu jamaa azeeki flow nyingi

  • @nicasayubu3328
    @nicasayubu3328 2 месяца назад +1

    fire

  • @chenge3223
    @chenge3223 2 месяца назад +1

    Ngomaa nomaaa hii

  • @ndeiyandorongei3617
    @ndeiyandorongei3617 2 месяца назад +3

    T touch m2 na nusu🔥🔥

  • @JosephNdumia-ny3ow
    @JosephNdumia-ny3ow 2 месяца назад

    Tangu Zama za hi respect Sykes

  • @ShamsiMbago-n2q
    @ShamsiMbago-n2q 2 месяца назад

    Ila dully 🔥🔥🔥🔥💯

  • @sevarinijrchitandachitanda138
    @sevarinijrchitandachitanda138 2 месяца назад

    Super 🌟

  • @nicelemoTripleFive
    @nicelemoTripleFive 2 месяца назад +3

    Bro Dully hakuna kama wewe kwenye Bongo flavour

    • @antibiotic7238
      @antibiotic7238 2 месяца назад +1

      Kabisa.. sijui kama yeye analijuwa Hilo?

  • @alexshabani2012
    @alexshabani2012 2 месяца назад

    Hakuna mziki apo hamna mashauri ni ngoma tu kweli ni mapiano mziki for making money

  • @martinewillyfred5615
    @martinewillyfred5615 2 месяца назад

    Ngoma kali sana imezingatiwa ❤❤❤❤

  • @andersonmwaega8242
    @andersonmwaega8242 2 месяца назад

    Kali sana big boys

  • @SurpriseAfrika
    @SurpriseAfrika 2 месяца назад

    MWANAUME SIFA !!! SUPERSTAR

  • @ShamsiMbago-n2q
    @ShamsiMbago-n2q 2 месяца назад

    Wote🔥🔥🔥💯

  • @mbwanamtessa8607
    @mbwanamtessa8607 2 месяца назад

    Jamaa hazeeki aisee... Yani kama dogo janja yanii

  • @alvinkulasare148
    @alvinkulasare148 2 месяца назад

    Vanny boy ujaionaaaa hili song mzeee colĺlloooob💥💥💥💥aaa hilooo

  • @drafteddynasty
    @drafteddynasty 2 месяца назад

    Dully never miss.

  • @RosecocoRose
    @RosecocoRose 2 месяца назад +1

    Yaaan nimechekaa balaaa broo unajua bhn ngoma kali😂😂😂😂

  • @enockgogy5458
    @enockgogy5458 2 месяца назад +3

    Sema leo voda wamezingua sana

  • @ZzikoliaKE
    @ZzikoliaKE 2 месяца назад

    FROM KENYA JOOH.

  • @makanzaignas6383
    @makanzaignas6383 2 месяца назад

    It's a bangger..rep +254..🇰🇪❤

  • @KingLee_on.the.beat.
    @KingLee_on.the.beat. 2 месяца назад

    SUPERSTAR

  • @5googleuuu727
    @5googleuuu727 2 месяца назад

    Bongo fleva. Is back

  • @Nyamvula-tn7up
    @Nyamvula-tn7up 2 месяца назад

    Mbna uko vizuri duli

  • @alinotilucamoris6189
    @alinotilucamoris6189 2 месяца назад

    Dully aise we LEGEND 🔥🔥🔥😍

  • @patrickprotas9184
    @patrickprotas9184 2 месяца назад +2

    Bonge la gomaaa

  • @kgtshadeed
    @kgtshadeed 2 месяца назад

    muache dully afanye kitu.My real brother he found me kinondoni studio,and said straight up,...superstar

  • @papamukulu1045
    @papamukulu1045 2 месяца назад

    Mwenye bongo yake🔥🔥

  • @killahdon356
    @killahdon356 2 месяца назад +1

    Ngoma imetulia...