Waandaji wa Interview ni muhimu Sana kuandaa maswali muhimu kwa manufaa ya watazamaji 1.Garama za mradi 2.Upatikanaji wa Masoko 3. Changamoto za mradi 4. Mapato 5.Nini faida ya Mradi ukilinganisha na miradi mwingine... e. t. c Msikurupuke kufanya interview pasipo maandalizi. Kiukweli sijajifunza chochote kwenye clip hii zaidi ya kumjua Jose Masamaki. Tubadilike twende kisomi sio kukurupuka!
Waandaji wa Interview ni muhimu Sana kuandaa maswali muhimu kwa manufaa ya watazamaji
1.Garama za mradi
2.Upatikanaji wa Masoko
3. Changamoto za mradi
4. Mapato
5.Nini faida ya Mradi ukilinganisha na miradi mwingine... e. t. c
Msikurupuke kufanya interview pasipo maandalizi. Kiukweli sijajifunza chochote kwenye clip hii zaidi ya kumjua Jose Masamaki. Tubadilike twende kisomi sio kukurupuka!
Sijakuelewa na wewe umetoa ushauri au unawalaumu ?
Hii taaluma imevamiwa sana
Ni kweli kabisa yaani mada nzuri lakini wanakosa mwaswali sahihi ya kuwaongoza kwenye mahojiano lakini pia wanakosa mtiririko mzuri wa mahojiano
Is it hujapata chochote kweli au umeamua tu kuponda
Umenena vyema hata mimi moyoni nilisema hili 🤣
Shukrani kwa somo vijana tujifunze na tuingie kwenye kilimo hiki
Msiri sana. Asante kwa ushauri
Kazi nzuri Sana
Aisee hongera brother, nimependa sana aidia yako
Nimeipenda saana project hii.Ubarikiwe.
Hongera sana kwa huo mradi nimejifunza kitu nafanya maandarizi nami nianzishe huo mradi nakuhitaji kwa ushauri naomba namba zako za simu
Aliehojiwa yupo deep kwenye kujibu..yupo vzur sana
Asante sana kwa kipindi kizuri, Tafadhali nisaidie namna ya kumpata huyo Jose Masamaki. Ingefaa zaidi kama ningepata mawasiliano Yake
Namba yake ni 0757283517
@@eliahkomba9357 🙏Shukrani sana
Hongera sn umejitahid sn ogeza bidii mm npo nyuma yko
Idea nzuri Sanaa , ahsante sanaaaa
Nipo kwangu
Safi
Mie nilifika zamani ila saizi kupendeza sana hongera sana kaka
Namba naomba
Hongera kk nakuja
ongera sana. ufugaji wa samaki inaomba nini na ina omba pesa ngapi?
safi sana
Hongera Kaka na me nakuja kupata elim
Hivi ndio vitu vya msingi kujifunza,asante sana ntakutembelea mkuu
Hongera sana
Ww yaan Kuna watu Wana akili ya biashara sana
Safi sana
Vinywaji,vitafunwa, video stori hayo ni machapisho kwenye mabasi mengi lakini ndani akina kitu.
Naomba namba ya cm ya uyo mfugajo
Kiongozi wakati utapata sms hii naomba mawasiliano na mzee wangu
Aweke namb za sim pia
Naomba namba ya mkuu uyoo natak nifike nyumbani kwake niji funzee plz
Nipee kazi tafadhali
Jaman tekash unataka ajira ya kufuga samak,si uimbe tu!! Hahahaaa
@@abeljoseph2615 haha wacha niimbe tu hila biashara ni nzuri
Naomba namba yako mtaalam
Muandishi wa habari ni shabiki wa Jose , sio mtu wa kujua taarifa za biashara
Ahsante tumejifunza mengii
Mshua anataka kutupa mbinu Mtangazaji hataki
Maji sio machafu ni langi ya chakula
Nimeipenda laziness hiyo
Natamani nimfaham anifundishe kitu
Mtangazaji anazingua
Namba yake
Mwndsh ulza maswl yamaana
Ninauza suluali za kuvulia samaki,
Hazipitishi maji
Namba ya Jose Masamaki ili tujifunze zaidi
0757283517
Wewe mtangazaji ovyoo kabisa acha mtu ajieleze amalize sio unamkatishakatisha tu tutajifunzaje sasa
Sw lkn maji machafu badilisha
Nimpeb
Tunaomba naamba yake jamn
0757283517
chakula wap nitapata
Naomba namba ya cm ya uyo mfugajo