Tuonyeshe jinsi unavyo Fanya mixing ya beat na vocals na mastering ya beat na vocals.....beat kila MTU anagonga mocco banaaaaaa......tusaidiane apo kwa mixing and master itatusaidia
Yooo Broo We Need This Tutorial kwa watu km sisi ambao tunapenda na tunatamani kuingia kweye music production Salute Kwako Mocco Genious Its always do your Best.
Who else this guy should be a singer too.. he's got sweet melodies chai 🔥🔥🔥
are you there ?
He is actually a singer now and I enjoy his melodies 🔥🔥🔥
@@Eneji me too
Kitu kingine pia nilichokigundua kwako mocco unaweza kuimba tofauti nakupiga beat
Hatari, nakukubal sana
wengi wanakuita mzee wa zinanda na hilo me sipingi big up brother moco
Yani mocco wew ni zaid ya prod..🔥🔥 nahuwa c beatz huwa unawapa zawad wasanii
Tuonyeshe jinsi unavyo Fanya mixing ya beat na vocals na mastering ya beat na vocals.....beat kila MTU anagonga mocco banaaaaaa......tusaidiane apo kwa mixing and master itatusaidia
Wish to record with you bro one day inshallah love toka KENYA...pwani #kilifi..
Kazi nzuri sana bro 🙏🙏🙏
Hatari sana. Genius in simplicity
Nakuaminia kaka.. natazamia kufanya kazii nawe... From 254
Yoow moco the genious hii style ilkua kali sana sijui naeza kupataje mawasilliano na ww
Mocco u made my day so cool
Ni adilipendo kutoka Kenya nimeupenda Sana huo umarufu wako Mocco
Content nzur bro endlea ku2elmisha✌🏾✌🏾✌🏾✌🏾✌🏾🙌🏿🔥
GREAT safi sana. japo kwa ufupi but uko very clear
Safi ndugu ukipata nafasi tuonyeshe na leveling ya hit beat
Fanya na vocal mzee utatisha sanaa
du! unakaa muda mrefu sana ndg tunamis sana vitu kama iv
Unajua sana mzee
Mocco💞💕😍more love from south sudan🔥🔥
Sema mocco ungeifanya na Cheche maana sio powa ile beat IPO kiutofauti sana
Nakbaaaali sana Pror. Mkali
Bora ata ulivyorud broo kitambo sana
Awesome beat.🔥🔥🔥
Very good sound selection and layering Mocco 👋
Genius mwenyewe great fun toka kenya
Kazi nzuri sana
🎺🎺🎺🎺kila siku hua nasema ww Hufaiiiiiiiiiiiiiii vitu vichache lakn vimepigwa kwa ustad mkubwa sana Big up
You Have A Great KeyStation ❤
Dah brother..eeh me nimeelewa sana we ni mkali kinyama...napenda sana sana mziki..napenda nijifunze production ...
Nakubali kali
The Real Genius✍️🔥🔥🔥❤️❤️❤️❤️❤️..Wallah Mungu alikupa Kibaji kikubwa sana
Mi producer tokea Kenya.. Kusema ukweli kazi Naipenda.. Collabo ya Mbosso na susumila.. Na pia tamba zikitokea itakua freshi
Nakukubali sana Mzee, umenifunza mazito kwenye production yangu🤝 👏 🙌
Big up mocco genius yu deserve the best🔥💯🎧🎧I like your beats keep it up bro and never change👌👌👌🔥💯🎶🎶
soul touching sounds
Kak wew ni mutuuu mubad san naamin siku moj nitafika huko🎉🎉
mmmmmh... fire bro
Mocco unajua mabeat unajua kuimba oooyh unabalaa fundi muziki
bro kwa kweli hilo guitar hapo katikati ya verse ya kwanza na ya pili ni💥
We jamaa hatari sana
Genius one day inshalla tuta meet
Asante Kaka mkuu
Big up bro
Nzuri sana hii...umeuaaa
Sounds good
Umetisha sanaa.
💥💥💥unyama
Br vip mix ya beat
and your voice ..men... you killing me
big up sana kaka
Kazi nzuri kaka...God bless
Uliitisha mocc
Very nice brother unajua
NICE ONE
Mocco toa nyimbo zako na wewe maana unavocal tamu atari
Nakuona bro wangu, hii kali kweli kweli, congratulations from Australia💯
Nakubar sana kaz yako
Guuuuuud
Mdundo hatari mocco..mm nnakufurahikia sana, zaidi kazi yako
Genius
Wewe Genius tu
Mnomaaa sanaaa mocco
Brooo hit inayo Fata ni ya kwangu toka kwako
You're genius
Unaweza sanaaa kiongozi respect
Nakubal brazaaa
Unanitia hasira sanaaaa
mojaaaaa Genius
Nice San mocco
Napenda kazi zako ndugu. Keepit up!
Waah 🔥🔥🔥kaka
Nice one
Mocco apo ukoshua hukutumia brass?
moko uko jiniaz🔥
Oy man mishe niaje. Am artist from green city Mbeya je nafanyaje niweze kufanya kazi na wew broo 🙏
Imagination sounds💥💥💥💥
Mocco🔥🔥
Kizaz saaana Boy🔥🔥🔥
Hii video sichoki kuiangalia,,, Mocco Genius we ni balaa,,, yan ni raha sana, natamani nije kiwa produce mkubwa na mm,,, nmependa hapa: 8:15
I LOVE THIS SOUND BY MOCCO, FROM MOZ
Bro nakukubali sana kiukweli Naomba Ata Namba zako bro
bro nakuelewa sna napenda toach yako huwa najifunza kupita wewe 🙌🙌🙌
Thanks for coming I like your work
Cool👍🏽
Good kabisa, tunaomba kuona moja kati ya hizo Rumba za RUBY, lini kaka??
Naitaji kujifunza broo
Good music blood
Kweli we ni moko nakuongezea jina moko miujiza aka fundi
Unajua jamaa #Mocco
Nakubwekea huhuhuhuhu
Yooo Broo We Need This Tutorial kwa watu km sisi ambao tunapenda na tunatamani kuingia kweye music production Salute Kwako Mocco Genious Its always do your Best.
You're real genius.....mocooooo
kaz kal bro, following your sessions from Mombasa.
Wewe ni mocco ban 🇹🇿💪
Yoooh Moco napenda hii kazi yako bro
Aminia kazi yako
na dream sana kufanya kaz kwako bro
Courage mon producteur
Kali Sana nimesoma Jambo lamaana Sana.
Vipi bro, kuna uwezekano utuonyeshe ya Maajab ya mboso?
Hivi kweli sound from Africa ya VANNYBOY itakuaje zile sythn vocal pale Mwanzo tuelimishe kweli bro