FL STUDIO : NJIA RAISI YA KUTENGENEZA MELODY YA BEAT / EASY WAY TO CREATE A MELODY IN FL STUDIO 2021

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 янв 2025

Комментарии • 62

  • @denismakau9119
    @denismakau9119 2 месяца назад +1

    wow this is amazing uko zaidi ya noma from 254 na nimekubali good job kaka

  • @rayzilla440
    @rayzilla440 10 месяцев назад +2

    brooo unatishaaa sanaaa sasa napataje naxsus pulity na sumple za amapiano

  • @DjStarboy5382
    @DjStarboy5382 Год назад +2

    Unatixha kaka na dalasa lako fuluunyama xana✊✊✊

  • @becadoksultan8144
    @becadoksultan8144 8 месяцев назад +2

    Napenda sana mafunzo yako mkuu

  • @gvanmiku9311
    @gvanmiku9311 Год назад +1

    Kakaa umetisha sana asee asante sana broo wang, Nitakutafuta kakaa

  • @maicoandrelilepe3728
    @maicoandrelilepe3728 2 месяца назад +1

    Asante sana kaka ubarikiwe mimi nataka kujifunza mengi

  • @j.ndubula2570
    @j.ndubula2570 2 года назад +1

    Vzr sanaaaa!!

  • @calebamon1613
    @calebamon1613 2 года назад

    Daaah nakielewa saana bro hakuna mfano

  • @RickMusicRickmusic-rb4ol
    @RickMusicRickmusic-rb4ol Год назад +1

    Dah nashukulu sana br me piah nipo najifunza uproducer napatkana mbeya huwaunanifunza vitu vingi sana sinamtu wkunifundisha lakin kupitia wew na gain vitu vingi sana yan

  • @TekkenBeatz
    @TekkenBeatz 2 года назад +1

    Nashukuru kwa kutu cahngia talent zako

  • @jumazuber
    @jumazuber Год назад +1

    unajua kaka

  • @thomaskazangu1367
    @thomaskazangu1367 3 года назад +3

    nashukuru sana kaka ninalazima ya mastering ya beat kwenye fl na ya sauti kwenye cubase

  • @Joestar112
    @Joestar112 Год назад +1

    Unajua mnyama

  • @JumaLugutu
    @JumaLugutu Год назад +1

    Natamani sana nijue vitu kama hivyo ila kunavitu nakua nafeli sana kaka

  • @saimonymohammedy4217
    @saimonymohammedy4217 Месяц назад

    Bro wewe noma sana pia ni Mwalim mzuri maananilikuwa sjui kitu lakin sasa naona mabadiliko

  • @gmproduction3481
    @gmproduction3481 3 года назад +1

    Mzee umekuwa msaada Sana kwangu aiseeh

  • @yoodavid1930
    @yoodavid1930 2 года назад +1

    Nice

  • @patrickuligu8420
    @patrickuligu8420 8 месяцев назад +1

    Unatisha kaka. Naomba kama hutojali namna ya kupigazile shot vibe bases kama .. za koongezea ladha mfano wa sample

  • @joshuamtokoma3228
    @joshuamtokoma3228 2 года назад

    Every thing is well

  • @becadoksultan8144
    @becadoksultan8144 8 месяцев назад +2

    Ningependa kupata namba yako

  • @officialmanjoo
    @officialmanjoo Год назад +1

    mi nataka purit

  • @Frolen40
    @Frolen40 Год назад +1

    Big up Sanaa bro nataman sana kujua lakin Kuna vitu nakosa na nashindwa nianzie wap msaada wako tafadhari

  • @LauxNexus
    @LauxNexus 5 месяцев назад

    👏👏

  • @moodnationtwo5451
    @moodnationtwo5451 Год назад +1

    Very nice bro

  • @Astinbray
    @Astinbray 6 дней назад

    Kaka habar yako,hv ni FL ya mwaka gan ambayo Ina instruments nyingi wengne tunatumia FL ya mwaka 2024 Haina instrumentals kam hzi zako

  • @Mellanke
    @Mellanke 3 года назад +1

    🔥

  • @josephatkt4870
    @josephatkt4870 3 года назад

    Saf Sana kaka

  • @kizibovituko3478
    @kizibovituko3478 2 года назад

    Oya mm nashid tele tu. Ss hamuhimu nipenamba yakoya simu. Ila samani sw

  • @bitruthbuzz4021
    @bitruthbuzz4021 2 года назад +1

    Mafunzo ya kodi yameweza

    • @c-soundbeats
      @c-soundbeats  2 года назад +1

      Og

    • @bitruthbuzz4021
      @bitruthbuzz4021 2 года назад +1

      @@c-soundbeats naomba kujua kuseparate chords na vinanda pale song maana kwangu vinacheza mzunguko wote

  • @Smallguy2020
    @Smallguy2020 2 года назад +1

    Kaka naulizaje hizi plugin za urban latin kontakt na nexus na purity naeza pata vipi kaka

    • @c-soundbeats
      @c-soundbeats  2 года назад +1

      Majina unayajua unaeza tu download

  • @MecarYouth
    @MecarYouth 15 дней назад

    Ukisha download fl studio kuna vitu lazima udownload

  • @FahimuMajidi
    @FahimuMajidi 6 месяцев назад +1

    Mkuu uko poa san je nakupatajee kaka me niko bukoba

  • @officialmanjoo
    @officialmanjoo Год назад

    naitaka video hiyo

  • @abuukingm2mbaya.216
    @abuukingm2mbaya.216 3 года назад +2

    Nimeifatilia hii video umenifanya nimekua mpya kwa Mara nyingine tena

  • @alfredally375
    @alfredally375 2 года назад

    Vp unasave ivi vivuli hadi utumie kueka kodi zingine plz 🙏🏼🙏🏼🙏🏼

  • @balakamussa165
    @balakamussa165 2 года назад +1

    Sisaundi beat

  • @piusdenyongs8436
    @piusdenyongs8436 2 года назад

    Hallo kaka,asanta Sana kwamafunzo unalotupa hapa,kwa hakika mimi mgeni saaana katika fl ,ila nina hamu Sana kujuwa kazi hili, na nimesoma mengi tiyari kutoka kwako,nashukuru.Ila kufanya kodi refu au fupi katika ile kiwango nahitaji mimi bado changamoto,kisha swali ni..,nexus imo ndoni ya fl ama inanunuliwa kando? Nikiwa na fl,is it a guarantee to have nexus?

  • @wazuribrandlabelkenyawb4024
    @wazuribrandlabelkenyawb4024 6 месяцев назад +1

    Tamu bro nipee number

  • @justin3787
    @justin3787 3 года назад

    Bro let do some collaboration