Napenda kukupongeza chado kwa kuwapa nafasi wasanii wadogo kufanya kazi pamoja na wa katika movie hii endelea kufanya hivyo mungu atakubariki 🎉 like kwa chado master
@@aishaomar2287 yeah hawataki raia wavae kitu kinachofanana na chao ila huko kwenu tu tz huku Mongolia unavaa tu t-shirts trouser kofia mkanda buti boxa ila uko kwenu ni issue
Hichi kitoto jaman daaah Ila ni funzo kwa serikali hvi vijitoto vyengine visumbufu sana vinajitakia vyenyewe kubakwa mbora wafungwe woote jela ndio vitapungua kushobokea wanaume
Kama unampenda chado like hapa
Nampenda chado yuko vizuri 😅 yani sijacelewa kabisa
Napenda kukupongeza chado kwa kuwapa nafasi wasanii wadogo kufanya kazi pamoja na wa katika movie hii endelea kufanya hivyo mungu atakubariki 🎉 like kwa chado master
wapi hao wasaniii wadogo😅😅😅😅
@@sharifamohd3857Kwan hujaona huyo kijana mdogo
Safi sana tem chado Like nyigi kwa tem chado ❤❤❤❤
Ww mwanaume hacha kulilia mwanaume
Like kwajili ya chado master mnyama nipeni kidogo naombeni tafadhali
dahh mwanangu Baga ndo atutakuwanae Tena au😢😢😢😢
Leo na mm mnipee likes zangu, more love from 254
Kisong cha mahaba nacho kitamu cjui ntakipatapi .Pole kaka gadaya,l feel your pain 😢
Sema jamani tuwe wakweli hii movie nikubwa kuliko Yani atali atali chado unajua sana sna sna kaka
Chado mwamba asiemuerewa chado huyo hovyoo
😂😂 huyu aliyeibiwa mke kawa mnyonge hadi najiskia vibya sijapenda !!
😂😂😂😂ni huzuni
Sana sana boy naqbar chado❤❤❤❤
Nice blo
Chado Jina la nyimbo jameni
Chine-aniue
Chado master nakukubali sana pamoja na Baga❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉
Wa kwanza Leo kaz mzuli bro 🎉🎉
Safi sana kuna sound moja matata sana bravoo
Unahendeleya vizuri sana MTU wangu chado master
Good
Wakwanza mm like zenu
Nampenda sana chado so hand some boy
Chado msalimie sana ngadaya kazi nzur ❤
Nilikua sipendi bongo movie lakini hii nimeikubali❤❤❤
Jumba Bovuuu😂😂😂
Niko tu in love na huwo wimbo😢
Ongeza dakika chado! Nakubali sana mwamba... Mimi chabiki kutoka mozambique🇲🇿
😮😮
Naombeni like ata kumi tuu
Kazi safi Mr chado 👍👍👍💪💪💯✔️🙏🙏🙏🇰🇪
Tem chado hio safi sana
Yani chado sijui nimsifu nani nyote muko talented mwanzo hao waproblem 🤣🤣🤣👌👌👌👌👌👌humu tu humu tu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰bagaaaaah
Chadu lupango ngome 😂😂😂 nakupenda chado
Wakwanza Leo nipeni like hata 10 jamani
Wa kwanzaa leoooo
Kinawashwa😂😂
❤😮
Daaaah! Mnatisha sana kaka haswa kaka ake kindege upepo😂😂
Kaz mzuri
Hiki chawashwa kwl km kkake anavyo sema😂😂😂Much love from 🇰🇪🇰🇪 Chado❤
hiko kitoto kitafutien nguo nzurii zashule maan hzo hazifai jmn duh..yaan zinamuharibikia niushaur tu jmn ....ila mnafany kazi nzuri sanaaa❤🎉
Au avishwe na juba yan hijab ndoyaendan na sket ndetu viatu pia abadilishiwe avae visimpo black iyo itapendeza na shat ya mikon mirefu
😂😂😂😂😂😂😂nimecheka sana@@Realme-xm3sh
Mr chado 🙏👍💯 twende na kazi
Safi sana kazi nzuri 💯💯
Mjomba uxela mnauweza knyma
Chado nakupenda pia ....utapata barua kutoka kenya
Chado umetisha
Mwanzo mzuri
Nzuri sana
Kwa ninavyoijua nchi yenu ya tz icho kipensi na iyo kofia vitakuletea matatizo chado masta ni ushauri tu from Mongolia am watching the show
Hua hawaruhusu?😮
@@aishaomar2287 yeah hawataki raia wavae kitu kinachofanana na chao ila huko kwenu tu tz huku Mongolia unavaa tu t-shirts trouser kofia mkanda buti boxa ila uko kwenu ni issue
@@Maarifasnr-gu6dp kumbe
Ngadaya ulipigwa changa la macho! Ati kaka kumbe wanakakana😂😂😂...wafanyie zile za kwenye problem wakuheshimu hao 😊
Jmni chado mim a ananimaliza nampend kweli❤
Mapenz wewe pole ngadaya daah 😢😢
Asema achekwa hadi na vijiko😂
@@aishaomar2287 🤣🤣🤣
Gongeni like nyingi kwaajili ya chado master
Ngadaya wangu analia jmn 😢😔🤦🙆😂
Mimi ha pa kutoka kuzimu naitaji kafara yangu
Jina lenyewe linaonesha umetoka kuzimu😅😂
@@user-qb4qp7xj7d😂😂😂😂
😂😂nkimuona ngadaya tu namuona kama ni msukule kama problem 😂 akili funguka katika jina la yesu
Kaz nzur 🎉🎉🎉
Madonga naikubali sana mshikaji wangu
Ngadaya anasauti nzuriii
Hii ni parfect kali sanaaa
Iyo tena mm hoi chako good sana
Likes nyingi nyingi
Haya sasa
Hoyoooo
🎉kaz nzur❤
Ila uyu binti anakiranga sana
Kusema ukweli jamani uyu cheusi anajuwa kuigiza yuko siliasi nampenda anavyo fanha
Alafu naweeee najma achakuwatiaaa wenzako kwenye matatizo
Msela so mtu
Ngadawa umeua mwamba😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉
Uo mzki kaimba nani
Movie Iko poa sana but nataka jina wimbo
CHADO MASTER LIKE KWAKE💯
Cheusi mwanangu 😂😂😂
Baga umeyakanyaga😅😅
Bagaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa we mbwa hujawah kuharibu
Mwendelezo 5
Hichi kitoto jaman daaah
Ila ni funzo kwa serikali hvi vijitoto vyengine visumbufu sana vinajitakia vyenyewe kubakwa mbora wafungwe woote jela ndio vitapungua kushobokea wanaume
😢😢😢 jamani sisi pia tuna haki ya kupenda
@@SarahRichard-iv2dl ttzo kupenda kwenu ni mattzo kwa wenzen
Kindege upepo 😅😅😅😅😂😂
Jamn wanawake tutuzeh silih za waume zetu jamn
😂😂😂hapo kwa Binti kuhusu kusoma ndo bac tena
Hii nyimbo ameimba huyo msichana nayempenda chado
😂😂😂Baga million 10 na bikra unachagua bikra MBONA LEO police na bikra umechagua police 😂😂😂😂😂
😂😂
Ongeza dakika chado
Hichi kitoto nacho
Aka kawimbo kaz😊uri
Iko poa kaka unajua sana
Kila mchuma majanga hula na nani jamani ?,nmeuliza naitaji majibu...
Hula nawakwao
Nice brother chado❤
tilatulatilala tulia mtot wa samia🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ila kaka kabinti😅😅😅😅 kananipa raha sanaaa😅😅😅
Hii kweli wanaigiza ukweli
From DRC 🇨🇩🇨🇩🇨🇩 i love you so much chado
NgadayA 😂
wote wanaoomba like wakat hawahusiki wote wanawekwa
Anqjua sana chado
😂😂😂😂 ila huyu mwamba mm nnampendaga eti ni shoga angu
🔥🔥🔥🔥
Mjomba hataki ujinga
🔥🔥
Goodjob
Mwamba kayakanyaga
Woow amazing unaandik n mkon w shot bibie napend san
❤❤❤❤❤chado ❤❤❤❤❤❤kazi nzuri
Kingede upepo😂😂😂😂
😅😅😅 kidemu kinatka kuwapa msala waun😅😅