PAMBALU AICHAKAZA CCM KAGERA, ATOA HOTUBA NZITO, "MTAENDELEA KUTESWA NA CCM MPAKA LINI?"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 21 апр 2024
  • #TANZANIA: John Pambalu, Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa Chadema aichakaza CCM huko Kagera, atoa hotuba nzito, "mtaendelea kuteswa na CCM mpaka lini?, mnapeleka watoto wenu vyuo wakimaliza wanakuwa bodaboda kisha wanawaita maafisa usafirishaji, mpaka lini?, Idi Amini alivyokuwa anaichokoza Tanzania, Nyerere alijiuliza mpaka lini? akamtwanga"

Комментарии • 69

  • @jumakisailo8496
    @jumakisailo8496 Месяц назад +3

    John Pambalu, Mungu akubariki sana. Umenifanya nibubujikwe machozi..,😭😭😭...mpaka lini..!!??..😭😭😭

  • @LufingoMwalongo
    @LufingoMwalongo 3 дня назад

    Sawa

  • @essaumapunda5766
    @essaumapunda5766 Месяц назад +2

    Big up John safi sana

  • @scolabwana8252
    @scolabwana8252 2 дня назад

    Kijana yupo vizuri

  • @lucaschisamalo2852
    @lucaschisamalo2852 Месяц назад +4

    Mpaka lini inauma Sana watu wanacheka kama mazuri tuchukue hatua

  • @abdalahgunda1319
    @abdalahgunda1319 Месяц назад +3

    Point pambalu creat lmotion into Tanzania population there kagera hiyo ndio sauti ya upinzani jengeni nguvu ya Uma umoja kulindana sababu upinzani nguvu yake ni unity kulinda wanachama wake na viongozi wake na kuwaaminisha sauti ya viongozi ni silaa na nguvu moja hapo mtafanya nchi ya wananchi sio vyama tuu eshima itakauwepo police na ccm chama tawala wataeshimu maamuzi ya wengi

  • @user-ze6lx9ng6s
    @user-ze6lx9ng6s Месяц назад +1

    Strong leader

  • @vitalisnyagali2774
    @vitalisnyagali2774 Месяц назад +2

    Pambaru mungu akulinde

  • @alenminja445
    @alenminja445 Месяц назад +1

    Pambalu Mungu akulinde

  • @PaskaliCharles-pz8ds
    @PaskaliCharles-pz8ds Месяц назад +2

    Huyu kiongozi wa CCM aitwe ahojiwe pengine anajoa walipo waliopotea na kama CCM inahusika kupoteza watuambie

  • @prospermsemwa1433
    @prospermsemwa1433 Месяц назад +2

    Pambalu politics guys good point

  • @MzeewaslowHusseinAndrew
    @MzeewaslowHusseinAndrew Месяц назад +3

    Kiongozi wangu umenifanya ni mwage machozi ya hasila sana baada ya kunikumbusha kifo cha Alfonsi mawazo.

  • @user-uv7op3id3s
    @user-uv7op3id3s Месяц назад

    Mpaka lini
    Duuuuh big up dogo
    Upo vyema sanaaaa

  • @prospermalala6636
    @prospermalala6636 Месяц назад

    Ujumbe mkali sana ndani ya siasa za Taifa letu, Mungu akuongoze kwenye elimu iliyopotea ndani ya Taifa letu

  • @maryfranknamkumba9182
    @maryfranknamkumba9182 Месяц назад +1

    OPERATION MPAKA LINI
    WELL DONE PAMBALU ❤️🙏🏾

  • @LekenMatambash
    @LekenMatambash Месяц назад

    Ongera Sana wanna kangera tupo pamoja kazi Andi ileweke

  • @ElinaziAdil
    @ElinaziAdil Месяц назад

    Tumeni maelokezo kwa kiswahili

  • @Baraka-wn3mj
    @Baraka-wn3mj Месяц назад

    Umetisha AA kamanda❤❤❤

  • @tumainimwaifunga3884
    @tumainimwaifunga3884 Месяц назад +2

    Huyu ndio pambalu

  • @ZabroniSiyaleo
    @ZabroniSiyaleo Месяц назад +1

    Pamoja kagela

  • @victorkisenha5933
    @victorkisenha5933 Месяц назад

    Point kaka,

  • @MageAwe-hl5zb
    @MageAwe-hl5zb Месяц назад

    Mungu awasaidie

  • @LekenMatambash
    @LekenMatambash Месяц назад

    John pambalu mungu akutakulie Yani unajaribu kuelimisha but tupo pamoja na wewe

  • @konderaeriasi6251
    @konderaeriasi6251 Месяц назад

    Saf sana makamanda 2025 tunamalizana nahao wates wetu

  • @user-qi6ql1lp9k
    @user-qi6ql1lp9k Месяц назад

    Nicee

  • @prospermsemwa1433
    @prospermsemwa1433 Месяц назад +1

    Power

  • @user-ei3ps8dw8h
    @user-ei3ps8dw8h Месяц назад +2

    Mtateswa nini Mozambique zenu zi
    Mambi Mozambique sababu Zina imetawala mwilni lazima mate muadhibiwe wote Wana siasa ni vapiga diĺi

  • @adellakyando2829
    @adellakyando2829 Месяц назад

    👍 good

  • @emmanuelsitayo1977
    @emmanuelsitayo1977 Месяц назад

    Bravo

  • @user-pf6yw7vh1p
    @user-pf6yw7vh1p Месяц назад

    Idi Amini alikua sahihi ila NYERERE wenu ndie aliemchokoza uliza historia kama hujui 2:21

  • @user-qo2nf6vm7k
    @user-qo2nf6vm7k Месяц назад

    Upo sahihi kabisa.

  • @user-pi4et2cc7s
    @user-pi4et2cc7s Месяц назад

    MPAKA KESHO KUTWA MSIPO CHUKUA HATUA LEO

  • @musasiame6138
    @musasiame6138 Месяц назад +3

    Products za SAUT

  • @albertkamala6843
    @albertkamala6843 Месяц назад +1

    Ujumbe mzito kutoka kwa Mwlm John Pambalu!
    Mazingira ya kisiasa yanayovumilia chama dola CCM kuhusika na jinai ya kupotezwa kwa wananchi hayapaswi kuvumiliwa hata kidogo!
    Maisha ya kila raia yana thamani kubwa!
    Sote tujifunze toka kwa Mwlm. Pambalu...MPAKA LINI?
    Siasa ifanyike kwa ushawishi wa hoja SI KUTEKANA NA KUPOTEZA ROHO ZA WATU!

  • @ibrahimaziz7158
    @ibrahimaziz7158 Месяц назад +1

    Wazeee wa maokoto wanasubiri wakazimege bungeni kule

  • @user-hj3ky9zy6y
    @user-hj3ky9zy6y Месяц назад

    Bgp pambaru

  • @dominicksangu8934
    @dominicksangu8934 Месяц назад

    Ukovzur na sa hihi bro ✌️💪

  • @musasiame6138
    @musasiame6138 Месяц назад +1

    Kamanda pambalu

  • @rahabufilangali-cp6br
    @rahabufilangali-cp6br Месяц назад

    Nimetoa chozi😢😢😢😢 mpaka lini

  • @Abs-tz8dl
    @Abs-tz8dl Месяц назад

    Inauma

  • @JoshuaStanley-qu3im
    @JoshuaStanley-qu3im Месяц назад

    Ukweli huo

  • @nkwabidonald4277
    @nkwabidonald4277 Месяц назад

    Mh

  • @TM-zs3rm
    @TM-zs3rm Месяц назад

    0:51 ❤❤😂😂❤

  • @dillonfoya
    @dillonfoya Месяц назад

    Nami nimeelewa Pambalu alivyotueleza serikali isiyosikiliza hitaji la Wananchi "mpaka Lini"

  • @JJ-fb9jp
    @JJ-fb9jp Месяц назад +1

    Mh Pambalu kiboko

  • @user-nd4tq6nd8s
    @user-nd4tq6nd8s Месяц назад

    One dream,, until the last cell

  • @sskondopoleani9616
    @sskondopoleani9616 Месяц назад

    #NASIMAMA NA SAMIA

  • @konderaeriasi6251
    @konderaeriasi6251 Месяц назад

    Maisha yanazd kuw magum had tunataman ccm isngekuwepo

  • @user-md7sd3hk6l
    @user-md7sd3hk6l Месяц назад

    niko lufiji lakini pambalu naku fatilia upo powa sana mwamba

  • @SayiMaduhu-ms7nl
    @SayiMaduhu-ms7nl Месяц назад

    Mimi nadhani haya aliyamaliza mwl.nyerere na akamwachia Joshua ambaye ni mwinyi baada ya hapo wafalme wengine wakafuatia

  • @FestolMkumbwa
    @FestolMkumbwa Месяц назад

    Somebody comred Pambalu.

  • @user-ww9iq9ds3p
    @user-ww9iq9ds3p Месяц назад

    Mpaka liniiiii

  • @pastorpetermageta6833
    @pastorpetermageta6833 Месяц назад

    Maisha ni magumu duniani kote, siyo Tanzania tu, bali ni kila mahali duniani

  • @JosephJon-wk6il
    @JosephJon-wk6il Месяц назад

    Pambalu huwezi kustaph bambana nahaliyako

  • @ramadhanikassimu
    @ramadhanikassimu Месяц назад

    Iyofasiyako tupesisiba watuawafanani sambay

  • @hijazhija316
    @hijazhija316 Месяц назад

    Head shaking

  • @user-wu2du6jy5c
    @user-wu2du6jy5c Месяц назад

    Umesahau libiya

  • @user-yh3dv2bl7u
    @user-yh3dv2bl7u Месяц назад

    Tuko pamoja makamanda

  • @manyizimusic4366
    @manyizimusic4366 Месяц назад

    😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @dominicksangu8934
    @dominicksangu8934 Месяц назад

    Hao wanasimamia ccm kuiba tuu

  • @evelynmwaimu-vd9jo
    @evelynmwaimu-vd9jo Месяц назад

    Na sisi tuseme mwisho ni
    sasa majizi haya yaondoke

  • @eliaskhamis1546
    @eliaskhamis1546 Месяц назад

    Neno kuntu

  • @user-nz9eb4ud6y
    @user-nz9eb4ud6y Месяц назад

    Ukisikia maajabu ya dunia watumnacheka matatito

  • @dickprince8757
    @dickprince8757 Месяц назад

    Pambalu umewakaaaa hatari

  • @rahabufilangali-cp6br
    @rahabufilangali-cp6br Месяц назад

    Nimetoa chozi😢😢😢😢 mpaka lini