Napata kuelewa kila wiki mpaka tupate wimbo wa zaburi kutoka Kwa despina na the choral singers. I really love you all. If you know ,you know. Despina Nilikupenda wakati WA wimbo ya mwisho ya Limila. Zidi kuijilisha . #Nairobi Kenya
Ongereni sana watumishi wa Bwana kwa kazi njema ya utume Mungu awabariki na kuwalinda siku zote za maisha yenu na kuwajalia nguvu za Roho mtakakatifu ili mpate kumtumikia siku zote za maisha yenu amina
Hapa natoa maoni yafuatayo nyimbo katoliki siyo mali ya msanii mmoja mmoja au kikundi cha wanamuziki nimali ya kwaya za jimbo mpaka palokia na vigango kwa hiyo nimuombe asikofu mkuu asiruhisu nyimbo hizi zisiwe kama nyimbo zisizo na haiba kwa kuimbwa na vikundi vya wasanii askofu mkuu piga marufuku mambo haya
Mung abarik kazi ya mikono yenu nawapenda wote❤❤
Hongereni Sana kwa kuimba vizuri kongole kwenu
Mnaimba vizuri saana yaani kikatoliki zaidi. Ningetamaani kwaya nyingi zijifunze kwenu. Mpiga kinanda pia na Mdende
Pongezi kwenu,MUNGU awazidishie zaidi na zaidi
Dada mungu amekupa kipaji ukitendee haki
Dada hongera sana saprano nzuri natamani nami kuimba kama wewe.hongereni wote
Despina Hongera sanakwa sauti nzuri ya kuimba wanyalu na sisi tumetisha
Nawapenda naomben namba jaman
Asee despina duh mungu kakupa kipaji, your talented sister, mungu awabarik nyote kwa kaz njema ya utume
yan..mb zangu zinaishiaga hapa daily..stay blessed
Mungu nimwa.minifu hahesbu maovu yetu nimwingi wa rehema,🙏
Nimewapenda bure
Hongereni Sana Kwa nyimbo zenu nzuri
Saut nzur sana kama za malaika hongeren sana
Napata kuelewa kila wiki mpaka tupate wimbo wa zaburi kutoka Kwa despina na the choral singers. I really love you all. If you know ,you know. Despina Nilikupenda wakati WA wimbo ya mwisho ya Limila. Zidi kuijilisha . #Nairobi Kenya
HONGGERENI SANA WAPENDWA kwa sauti nzuri, HONGERA ORGANIST kama tupo Vatican vile HONGERA projuza well mixed and balanced.
Nice song,dada umebarikiwa na kipaji natamani nifike mahali hapo
Dada Despina nakupenda tu,huo ufundi wa soprano tulivu unanikosha moyo haswaaaa
Huu wimbo naenda kuuwasha leo..tareh 2-9-2023 sauti ya tatu..nikiwa na kayamba yangu were ngojaaa tuuu...na voko nzito..
Ongereni sana watumishi wa Bwana kwa kazi njema ya utume Mungu awabariki na kuwalinda siku zote za maisha yenu na kuwajalia nguvu za Roho mtakakatifu ili mpate kumtumikia siku zote za maisha yenu amina
Hongereni mmeimba kwa utulivu na kwa tafakari.
Mwenzi mungu kakujalia sauti bwana naunajua kuitumia ubalikiwe
Asanteni sana kwa nyimbo nzuri na sauti zenu ni za kipekee.
Muendelee kumtukuza Mungu.Nasi tumjue Mungu zaidi na kufarijiwa naye.
Despina Despina Despina Mungu akubariki 🙏🙏
Hongereni sana,sauti zenu nzuri sana Mungu awaongoze kila iitwapo leo
Asanteni kwa wimbo huu unaoinua moyo kwa Mungu. Kwa jumla, napenda nyimbo zenu. Mbarikiwe na pia endeleeni kuwabariki watu kwa sauti zenu.
Kazi safi
Mungu awabariki mnoo
Safi sana. Mungu azidi kuwabariki
Hongereni
Hongereni sana kwa wimbo mzuri wa dominika
Well-balanced, mixed sounds of EKLESIA KATOLIKA hymns. THE LORD OUR GOD'S OWN, APPOINTED ST. PETER, SURELY, DID NOT DIE AT ROME IN VAIN.
Mungu awe nao walioimba.
Great; thank you very deeply for such a lovely song
Soprano 🔥💯...Good job peops ...Mungu awazidishie nguvu ya uinjilizaji..... more love from Kenya.
Q
Nyimbo za V. Mabula ni nzuri mnooo. Mmeimba vizuri sana hongereni
so much blessed, Sister Despina
Mmetishaaaa
Hongereni Sana kwa kutuletea nyimbo nzuri. 👏🙏
Harmony in the song is perfect, especially that chorus....Despina voice very strong, well controlled........this is excellent song.....
Excellent ,Singers😀😀😀😀😀
Very touching lyrics. God bless you.
Nice one. Your songs are extra blessing to me.
Ndiwoo🎼🔥
Perfect, wonderful, well done! meditative...
Amen nice song
Very good. Be bessed.
Hapa natoa maoni yafuatayo nyimbo katoliki siyo mali ya msanii mmoja mmoja au kikundi cha wanamuziki nimali ya kwaya za jimbo mpaka palokia na vigango kwa hiyo nimuombe asikofu mkuu asiruhisu nyimbo hizi zisiwe kama nyimbo zisizo na haiba kwa kuimbwa na vikundi vya wasanii askofu mkuu piga marufuku mambo haya
Seriously???
HONGERA MR.GODIAN NATIMUYAKO
Nice!💥🎶
Asanteni sana
Amina
Hongereni
Hongereni saana Kwa wimbo mzuri mpangilio wa sauti ni burudisho la moyo wangu daima
Happy Sunday
blessings
Nice
Mubarikiwe sana
💐❤️❤️❤️🌹💐💐💐💐🌹🌹
I like this song
Good
Nice song
💪👏
Fantabulous
Great song.
🙏🙏🙏
This group has the best music love their music it blesses me soo much and challenges me
💪🏿🙏🙏
Dada Despina nakupenda tu,huo ufundi wa soprano tulivu unanikosha moyo haswaaaa
Nice