Kila Siku ft Stamina Shorwebwenzi, Rapcha, Kontawa - Too Much Amazing Swahili Rap

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 10 фев 2025

Комментарии • 358

  • @youngrapaboy
    @youngrapaboy Год назад +2

    Ata mlango wa fahamu unahitaji funguo😂

  • @BENARDSANTOS
    @BENARDSANTOS Год назад +17

    mtu mzima ata ashike shoka hadharani hawezi kukata gogo❤‍🔥❤‍🔥❤‍🔥

  • @bigkakameshack8066
    @bigkakameshack8066 Год назад +21

    Any song with Stamina and youngkiller is always a hit before you listen to it🔥🔥

  • @SethMunisi
    @SethMunisi Год назад +5

    Mpemba naomba chps kaki na mishkavu kwanza nijenge shavu,,,like zangu hapa

  • @allenmushema5844
    @allenmushema5844 Год назад +64

    "tumetoka chini ndo maana tuko deep"😅

  • @johnrichard5482
    @johnrichard5482 Год назад +29

    Hii Ngoma Yote Ni Ya Moto 🔥🔥🔥🔥 Yaani Kuanzia Chorus Mpaka Verses ZOTE Ni PUNCHES...✍️ Mwanzo Mwisho 🎧🎤🎵💥💥💥💥💥💥💥💥💥 MUCH RESPECT TO #Youngkiller #Kontawa #Stamina na #Rapcha 👏👏👏👏👏👏

    • @simcoolkenya3079
      @simcoolkenya3079 Год назад

      ruclips.net/video/Ts6MWufd-e0/видео.htmlsi=IfsVFec9cCPLimwJ

    • @JaymbwanziOg
      @JaymbwanziOg Год назад +3

      Hapo ndyo utajua marapa wanatembea vp na puch line hamna kelele bint haiisikii sana unasikia miamba inaongea nn na wana wa mitaa . Big up sana kwa msodoki kwa kutupa hip hop og yenyew

    • @johnrichard5482
      @johnrichard5482 Год назад +1

      @@JaymbwanziOg Ni Hatari Yaani BITI Lina Mfata Rapper Na Sio Rapper Kufuata Biti...✍️

    • @mrsinia3064
      @mrsinia3064 Год назад

      ​@@johnrichard5482😂😂😂

    • @johnrichard5482
      @johnrichard5482 Год назад

      @@mrsinia3064 Sio Poa...

  • @goldenpoze
    @goldenpoze Год назад +15

    Rapcha you really killed it🔥🔥👏

  • @kadmc9124
    @kadmc9124 Год назад +6

    Young killer u remind me verses za mwsho kwenye "tungo" . Stamina remains a dude, killer killed it. Rapcha + kontawa ❤❤

  • @afterfull-time1348
    @afterfull-time1348 Год назад +7

    Watu wamelinda vyeo sana humu ndani..collabo imesimama

  • @AmaniMfuru
    @AmaniMfuru Год назад +7

    Stamina ndo king wa hip hop bongo

  • @eliudytafawa4648
    @eliudytafawa4648 Год назад +10

    Collabo yaa mwaka
    Wote mmeitendea vyema ngoma..
    Ndoa ya kochi🔥🔥🔥

  • @shagarbycash9549
    @shagarbycash9549 Год назад +6

    Hip hop ya kweli...huu ndo mziki sasa

  • @TheIC3KR3AM
    @TheIC3KR3AM Год назад +4

    Una love kubwa sana Y Killer . This is more than love. 🇹🇿

  • @rahatv5299
    @rahatv5299 Год назад +5

    Bila unafki wote mumetisha🔥🔥👍 hakuna mnyonge🚶gig up

  • @majorcrazy1988
    @majorcrazy1988 Год назад +6

    Muunganiko wa maana, respect to this collaboration

  • @Kiswaking
    @Kiswaking Год назад +5

    Young killer una vitu vingi sana 🙌🙌mistar Yako chakula Cha ubongo 🙌🕯️tunainjoy kwa kifupi.......

  • @Kilifianoxy254
    @Kilifianoxy254 Год назад +5

    🙌🙌hapa mmecheza kama nyinyi wakuu Leo from 🇰🇪❤️🔥🙌

  • @SteveTegemea-fj6de
    @SteveTegemea-fj6de Год назад +2

    Unyama Mwingi..!!!! Rappers WANGU Hawavimbi Maana Nna Dawa ya kuchua!!!!Oiiii!!Stamina.......Ngoma Kali Sana Kila Mmoja Kaiwakilisha Vizuri..Ila Kosa Kidogo Tu Wamembania Sana KONTAWA Kwenye Chorus...Baada ya Verse ya Stamina Angepiga chorus Au Angemalizia Ila Big Up Hip Hop Tz ....

  • @kelvinmacha813
    @kelvinmacha813 Год назад +6

    Ukichoka kuumia haujakua
    Makini Rasta🎉🎉

  • @habaritvtanzania5562
    @habaritvtanzania5562 Год назад +3

    Oyaaaaaaaaaaa like 2k kwa young killer

  • @kawimmullah
    @kawimmullah Год назад +8

    Wanangu wote kwenye daladala Moja,.... dereva msodoki this song is a killer🔥🔥🔥🔥rep. Kenya ❤❤

  • @JamalOthuman-ko5nl
    @JamalOthuman-ko5nl Год назад +4

    Ndani ya uwezoo toeni mawazo alf usikaze msuli kama upaja wako mdogo💪💪💪

  • @amissisumaili9995
    @amissisumaili9995 Год назад +7

    Nakukubali young 🤝nakufatilia kutoka🇨🇩

  • @demask3423
    @demask3423 Год назад +3

    StAmina nlikuwa nshaAnza kukukatia tamaa ila umeniprove wrong Apa🔥🔥

  • @fabianmachele89
    @fabianmachele89 Год назад +2

    Ukipima ni oversize kama jeans ya Mgunda @stamina 🙌🙌

  • @eliezamachaku7177
    @eliezamachaku7177 Год назад +4

    All the best msodoki all time for me
    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @lucaskanyamaha4885
    @lucaskanyamaha4885 Год назад +7

    Rapcha you killed it💥😬😬😬

  • @tellodelucky6864
    @tellodelucky6864 Год назад +8

    All the way from Zenji#Marashi ya Karafuu...🔥🔥🔥🙌🙌🙌❤❤

    • @simcoolkenya3079
      @simcoolkenya3079 Год назад

      ruclips.net/video/Ts6MWufd-e0/видео.htmlsi=IfsVFec9cCPLimwJ

  • @stephenkianga6643
    @stephenkianga6643 Год назад +11

    Best collaboration so far

  • @revocatusmtahaba9955
    @revocatusmtahaba9955 Год назад +4

    Jeans ya mgunda ni hatari lakini😂😂🙌🔥🔥🔥

  • @khonan5736
    @khonan5736 Год назад +1

    You're incredible artist..!
    But I would like to see the video coz this track is very hit and should be on the top five of rap songs trending this year

  • @vuaihukum8384
    @vuaihukum8384 Год назад +9

    this song make me to be proud of my home Jambiani❤🎉

  • @georgeanthony1547
    @georgeanthony1547 Год назад +1

    Msodoki Video lakibabe lije Mapema. Kama Vipi hata tulichangie 💪🏻

  • @CHEKESHASHIDA
    @CHEKESHASHIDA Год назад +4

    Siku hazigandi hata ukiziweka kwa fridge ❤nipe like hapa

  • @sqalamanmansqala6813
    @sqalamanmansqala6813 Год назад +1

    "kontawa" Bonge Moja La Chorus Kmmk 🔥💪

  • @GUffii_
    @GUffii_ Год назад +1

    ila humu @stamina ndo kaauwaaaaa #ukiwa central ukirequest aijibolt 😂😂🎉

  • @IddyZuber
    @IddyZuber Месяц назад

    Kwel ww msukuma mjanja nakukubari sana

  • @modestentwari4807
    @modestentwari4807 Год назад +2

    3GENIUS IN TRACK 1 KIUKWELI YOUNG KILLER ARE ICON BONGO HIPHOP

  • @painkiller_Tz
    @painkiller_Tz Год назад +2

    Uyo stamina 🔥🔥🔞🔞🔞

  • @SamwelSebastian-e7w
    @SamwelSebastian-e7w Год назад +1

    wanang rapcha ataftiwe kiti akae asee sema baba baado baba mwanza ndo city

  • @mwanguohermanmwasoko3954
    @mwanguohermanmwasoko3954 Год назад +1

    Eeeh alaf mbona mmeikatiza bhana,this one though 🔥

  • @Eric_Bismarck
    @Eric_Bismarck Год назад +2

    Im a Kenyan but this one here, this one here is a banger

  • @johnshimuda8331
    @johnshimuda8331 Год назад +1

    Usishangae kulala masikini na kuamka boss

  • @DAWIDATV2025
    @DAWIDATV2025 Год назад +2

    mistari iliyokwenda shule

  • @josephmirigo
    @josephmirigo 6 месяцев назад +1

    #ukitaka kunywa serengeti kumbuka maisha safari

  • @Msanii12
    @Msanii12 Год назад +2

    Nimetibuka nungu 🔥🔥🔥💪 *333#

  • @ALBATWA5-zh4zk
    @ALBATWA5-zh4zk Год назад

    Bora ukweli unaouma kuliko uongo unaofaliji SALUTE SANA msodoki YOUNG KILLER💯💯💯

  • @shebelezatv1809
    @shebelezatv1809 Год назад +1

    NOMAAAAAA MZEEE WANGU SIJUI HATA NANI KAUA ZAIDI YA MWENZAKE 😢

  • @Donberrymrlines
    @Donberrymrlines Год назад +2

    Motooo🔥🔥 Donberry Mr Lines rapper from 254 Kenya

  • @mustapherabel8471
    @mustapherabel8471 Год назад +1

    Hip hop sio ya kila mtu ni ya wachacheeeeeeee good collabolation

  • @venturebown6983
    @venturebown6983 Год назад +2

    Chips kaki na mishkavu😅🔥🔥🔥

  • @hamfreymagelo1859
    @hamfreymagelo1859 5 месяцев назад

    killer anajua mpka anakera qmmke💔😅😅na mluguru mwenye hasira za Kipogoro apo anatisha sana😅

  • @chusseboywcb2808
    @chusseboywcb2808 Год назад +2

    Wanyama wamekutana🙏🙏🙏🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @D-Man.B-Free
    @D-Man.B-Free Год назад

    Meza ya wanangu inaitwa MVIP 👊👊👊 Rapcha

  • @rahatv5299
    @rahatv5299 Год назад +1

    Msodoki hii ndo staily ya rap tunayotaka 👍 sio ile staily yako kama unatufokea

  • @mrsinia3064
    @mrsinia3064 Год назад

    Oya ni hatari sana hizi punches et usishangae kuona mfanyakaz wa embassy anavuta sports 😂😂😂 🙌🙌

  • @erickmsaki8451
    @erickmsaki8451 Год назад +1

    Mm ndo mwenyeji kwenye nyumba za wageni😂😂😂

  • @JoshuaMasika-k5p
    @JoshuaMasika-k5p Год назад +2

    Siku izi nimeshika spanner namkaza hadi Usain 🔩"- Stamina
    Crazy fire verse hapo

  • @gwisutelecom
    @gwisutelecom Год назад

    Batalokota benyewe kunyavu,
    Miruzi mingi kama wowo limekatiza magengeni,mmetisha sana

  • @imaxshine2210
    @imaxshine2210 Год назад +3

    stamina wew ni lulu hapa Tz sijui kwama wanakupa respect nayokupa mim

  • @samcharlie4280
    @samcharlie4280 Год назад +6

    Respect for you bro

  • @NairethAodaxjoseph
    @NairethAodaxjoseph 11 месяцев назад

    Young killer nakukubar sana umetisha sana kwenye ngoma saluti kubwa

  • @leocruiserkamanda
    @leocruiserkamanda Год назад +14

    Taking Bongo Rap To De Next Universe 🎉 Shout To @YoungKillerMsodokii @Stamina @Rapcha @Kontawa

  • @bigitwo4004
    @bigitwo4004 Год назад +1

    Siku hazigandi hata ukiziweka Kwenye friji,,,kunywa tuu serengeti ila maisha ni safari

  • @dennardleonard1228
    @dennardleonard1228 Год назад +2

    HII STORY INAFUNZA..MISTARI MIKALI SANA

  • @agnessjunior0778
    @agnessjunior0778 Год назад

    Oya mbona ngoma kali sio mchezo

  • @Joxary2
    @Joxary2 Год назад

    Nakuba sana yankila mala wote umepiga chini na stamina ninoma hao wengine wakalime viazi

  • @adolphishengoma7496
    @adolphishengoma7496 Год назад +1

    Kaka much respect unajua mpk unaanz kupitiliza kipimo kwelii your regend ⭐

  • @JonahOfficial-e7h
    @JonahOfficial-e7h 6 месяцев назад

    Shetani Hali mbaya baada ya chapter ya ufunuo 👊👊✊

  • @elsonabagerera8583
    @elsonabagerera8583 Год назад +2

    Roma mlimuacha wapi ❤❤

  • @ngasamotv358
    @ngasamotv358 Год назад

    Hii Ya Moto✌️✌️✌️

  • @allybrondg4293
    @allybrondg4293 Год назад +1

    Oiiii wanangu mume deliver🔥🔥🔥#HipHopStandUp

  • @DavidMgaywa-zd5kd
    @DavidMgaywa-zd5kd Год назад

    hiii ndo track pendwa kwangu jamaaa wameua sawa chukue 🍿 mpoze tumbo😊

  • @terrymc5593
    @terrymc5593 Год назад +1

    Sumu ya 🎉🎉🎉🎉penzi kaonja belle sio mi

  • @erickmsaki8451
    @erickmsaki8451 Год назад +2

    Shida sio mawazo ni mawazo yenye tija😅

  • @mohamedlotta9286
    @mohamedlotta9286 Год назад +1

    Hii ngoma🔥🔥 inahitaji video 🔥🔥

  • @BakariMtomae
    @BakariMtomae Год назад +1

    Ujichukie alaf ujiletee hasira kama mbogo😂😂😂

  • @wakijivu8562
    @wakijivu8562 Год назад

    #Dizasta Much respected Ila #Pmawenge 🔥🔥🔥 mkubwa n mkubwa tu

  • @ARUMBAZAKAYO
    @ARUMBAZAKAYO Год назад

    aah!! asikwambie mtu babu kushindanishwa na YOUNG KILLER kujitakia KIFO jombaa

  • @BarackaSaim-ev3gk
    @BarackaSaim-ev3gk Год назад

    Ngoma Kali sana mmefanya vizur my brother

  • @khamicmegga0077
    @khamicmegga0077 Год назад +1

    Ukichoka kuumia ujue haujakuwa💣

  • @Yonzomc01
    @Yonzomc01 Год назад +1

    Hii ngoma niipe shavu kwa jina gani maana tunajua moto ndo tishio sa hii nizaidi ya moto mkali labda kama nyie jina mnalo 😂😂💥🔥🔥🔥🔥🏁🏁

  • @thevibeinternational5289
    @thevibeinternational5289 Год назад +9

    Kubwaa You Guys Killed it 🎉

    • @simcoolkenya3079
      @simcoolkenya3079 Год назад

      ruclips.net/video/Ts6MWufd-e0/видео.htmlsi=IfsVFec9cCPLimwJ

  • @MagakaLyaboya-qz2wh
    @MagakaLyaboya-qz2wh 11 месяцев назад

    Noma killer

  • @philipkilugha3423
    @philipkilugha3423 Год назад +4

    Killer young 🔥🔥🔥🔥

  • @mwogeramwimeti9902
    @mwogeramwimeti9902 Год назад

    Eti Leo nmeshika spanner namkaza Hadi Hussein bolt🤣🤣🤣🤣🤣 utafunguliwa mashtaka shauri yko ebu jaribu uone blaza....tamu sana hii

  • @KelvinEgdi
    @KelvinEgdi Год назад

    Kwel stamina ni m1 wengine wa mabua

  • @MobigoMobigo-e1q
    @MobigoMobigo-e1q Год назад

    Ata ushike shoka hadharani huwezi kuakata Gogo...😂😂😂😂 Elewa neno gogo....

  • @trendingfootshorts
    @trendingfootshorts Год назад

    Ngoma bora 2023

  • @patrickemanuel3105
    @patrickemanuel3105 Год назад +2

    Ukiwa snitch kunjaaa____. stamina😂😂🔥🔥🔥🔥🔥

  • @fadhilmwami1478
    @fadhilmwami1478 Год назад +3

    Leo wamelipuka, wamepita sheli waka-smoke 🔥🔥

  • @maliqdapainkiller8203
    @maliqdapainkiller8203 Год назад +1

    Hii ndio colabo ya mwaka walai...very hot than my beb

  • @ShadaGangRecords
    @ShadaGangRecords Год назад

    Salute 110 Kitee tumekubali

  • @drkimwaga9583
    @drkimwaga9583 Год назад +1

    Ikooo poa san ☄️

  • @Tony-d2j
    @Tony-d2j Год назад

    Aaaaaah mume ua kwenye ili goma respect aipingw kitaaan

  • @NasibuAbdallah-dl3xu
    @NasibuAbdallah-dl3xu Год назад

    Show kambaa one dei mim na wew

  • @mgengewamatumbler9258
    @mgengewamatumbler9258 Год назад +4

    Young Killer 💯✌️💥

  • @MokaThePoet
    @MokaThePoet Год назад

    Usishangae kulala maskini unaamka Boss 👍

  • @ommyjay4622
    @ommyjay4622 Год назад +5

    Ila Stamina we ninyoko💥💯

  • @vivanemmily1861
    @vivanemmily1861 Год назад

    great wazee bonge la hit