MAKONDA na JESHI La POLISI, Vijana Wakamatwa kwa "KUMLAWITI MTOTO" ARUSHA, DC AINGIA KWEYE MFUMO.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 май 2024

Комментарии • 36

  • @MhlMoshi-iv1gc
    @MhlMoshi-iv1gc 26 дней назад +5

    Wakati wote ulikua wapi

  • @user-yl2br2ts3i
    @user-yl2br2ts3i 23 дня назад +1

    hadi makonda aingilie ndio mfanye kazii

  • @Everline398
    @Everline398 20 дней назад +1

    Kwaiyo kumbe lilikuwa linawezezekana lkn ni mpk tusukumwe kuna mambo yanatia aibu na kuudhi sana

  • @annastevensteven9515
    @annastevensteven9515 26 дней назад +3

    Kwan.siku.xot.hiz mlikuwa wap

  • @agnessmduma7581
    @agnessmduma7581 26 дней назад +3

    Kwahiyo nyie hamjui wajibu wenu mpaka Mkuu wa Mkoa aingilie kati

  • @emmanuelmlowe-ew7gx
    @emmanuelmlowe-ew7gx 26 дней назад +4

    Sasa ilikuwa lazima mkuu aseme?

  • @user-xk7vy4gb6g
    @user-xk7vy4gb6g 26 дней назад +2

    Km kwahyo Bila Mh Makonda kutoa amri yakukamatwa kwa Hao majangili msingelifanya? Yani hadi makonda aingilie Kati Bila yeye kazi haifanyiki 😢😢😢 loooh jamani! Rais Samia anaimani na nyinyi lkn hamtendi haki hadi mfokewe

  • @barikimollel7890
    @barikimollel7890 20 дней назад

    Mnakuwaga wapi Mnakulaga pesa Za Serikali bure yaani mpaka Mkuu awaamshe

  • @user-kr8vc3gv5j
    @user-kr8vc3gv5j 25 дней назад

    Wanyongwe tu maana hata ingekuwa niwatoto wao wamefanyiwa hivo wangejiskieje mungu ana waona ujue😭😭😭

  • @youthmediatv1
    @youthmediatv1 26 дней назад +3

    Hapo kwanza usalama wa huyo mama ndo kiwe kipao mbere maana hana usalama na ma Police

  • @jackgodgivenzihindula
    @jackgodgivenzihindula 25 дней назад

    ❤❤❤ Asante sana Baba

  • @omaryyusuph7877
    @omaryyusuph7877 26 дней назад +2

    Siku zote mlikuwa wapi mpka makonda

  • @aminaosman3315
    @aminaosman3315 26 дней назад +3

    🎉kwa nini wakuu mikoa mingine wasifuate nayo za makonda hapa hapa tanga hapafai wañyonge wanavyo zuluwa hawana kukimbilia

  • @user-vp1zu3fb5w
    @user-vp1zu3fb5w 22 дня назад

    KWAHIYO ASINGEKUA MAKONDA HAO WALAWITI WASINGE KAMATWA😆

  • @masoudrajab3614
    @masoudrajab3614 26 дней назад

    Mbarikiwe na Allah awape wepesi ktk utendajikazi wenu

  • @PrinceHendry-hp8vv
    @PrinceHendry-hp8vv 26 дней назад +5

    Mnakuaga wapi kwamba makonda asinge kuwa kama alivyo watu wangekufa na majanga badilikeni bana

  • @user-ce2xg9wt4s
    @user-ce2xg9wt4s 26 дней назад +1

    Sasa kama mh asingeta Gaza hii ingekuwaje?

  • @alphoncewilliam4325
    @alphoncewilliam4325 26 дней назад +1

    Inasikitisha inaoneka wajibu amjui au paka makonda. Aongee

  • @user-wy5zv2qw6t
    @user-wy5zv2qw6t 25 дней назад

    inamaana bila uwepo wa makonda arusha hakuna huduma za kutatuwa kelo za wananch sio

  • @benjaminf361
    @benjaminf361 14 дней назад

    Jamani mlikuwa wapi kutafuatilia hayo hasa la mtoto mda wote huo? Hadi mkuu wa mkoa aje ndo mnakuwa na akili timamu? Hata aibu huna. Mungu anawaona!

  • @user-wy5zv2qw6t
    @user-wy5zv2qw6t 25 дней назад

    huyo ndio makonda.makonda mchapa kz

  • @dingadinga6674
    @dingadinga6674 26 дней назад +1

    Safi sana

  • @happymrema7487
    @happymrema7487 26 дней назад +1

    Mlikuwa wap mda wote mpak aje astak kwa makonda

  • @youthmediatv1
    @youthmediatv1 26 дней назад +1

    Mungu awe nanyi

  • @elibarikmafie7490
    @elibarikmafie7490 26 дней назад +1

    wakati wote ulikuwa wapi wewe mpka aje makonda aje kufanya hzo kaz

  • @shabansalum1848
    @shabansalum1848 26 дней назад +1

    Muheshimiwa mkuu wa wiliya..arusha mjini jitaidi saana kusimamia..haki ipatikane kwa huyo..mtoto na mama yake usalama wake pia na matibabu apate.

  • @emmanuelmlowe-ew7gx
    @emmanuelmlowe-ew7gx 26 дней назад +1

    Makonda hoyeee

  • @lizzybrownlizzy6094
    @lizzybrownlizzy6094 26 дней назад

    Na nyinyi viongozi wa wilaya mjikaze sasa

  • @nappekiliakiliasalimu346
    @nappekiliakiliasalimu346 26 дней назад +3

    Kituo cha mulieti kinautilitimba sana.

  • @MaghobaGeorge-lq4yg
    @MaghobaGeorge-lq4yg 26 дней назад

    Kwahiyo siku zote mulikuwa wp?

  • @user-zu8ou2oe4c
    @user-zu8ou2oe4c 26 дней назад +1

    Mm nina swali kama mmeweza kuwakamata wabakaji kwa cku moja siku zote hizo mlikuwa unasubir nn? Kwa hiyo unataka kutuambia kuwa asingekuja makonda wabakaji wasingekamatwa daa taarifa zenu sa zingne zinawavua nguo mnabaki uchi kabisa hamjui tu

  • @SwitbertMarcel
    @SwitbertMarcel 26 дней назад

    Kwahiyo mpkaa wananchi wajue ndio mfanye kazi

  • @martinlema4192
    @martinlema4192 26 дней назад

    Umeongea vizuri ila wangeongea wahanga maana kuaminiana ni ngumu. Isijeikawa unatupiga au laa.

  • @mustaphersamson6174
    @mustaphersamson6174 26 дней назад

    SASA AFANDE SIKU ZOTE MLIKUA WAPI, HADI MH MAKONDA KUINGILIA KATI?, NDO HAKI YA HUYU MAMA KUPATIKANA AU KUSHUGHULIKIWA?, MNAFANYA KAZI NZURI JESHI LA POLISI, LAKN HAKI IKICHELESHWA, NI SAWA NA KUNYIMWA.

  • @davidmalisa8043
    @davidmalisa8043 26 дней назад

    Police hivi kwann mko hivi jaman mnataka muabudiwe nyie Kwan nyie sio binadam Kama sisi jaman ndio maana mimi nasemaga hamna shidaa yanamwisho ndio maana hata wengine wakistaafu wanakuwa Kama makapurwa million 200 ya mafao inakuwa miez 4 kwisha maana mna laana za watu wengi mno